Huyo askari aliongea ukweli tunakuhitaj zaidi ya mno...you are one in a million pastor mwenye haseme tutoe tumbarikiwe.. tujiunganishe na hio madhabahu..a pastor who does not put paybill mpesa name it..Mungu akumbariki zaidi coz wamtegemea yy bila kutagemea watu🙏🙏🙏
Amen pasta,yan nipo radhi nisile ili niweke bando tu nifatilie mahubiri maana nabarikiwa mno mno.barikiwa sana mungu anakutumia sawasawa na neno lake upo tofaut sana mungu aendelee kukuweka watu wapone.
Mtumishi barikiwa sana sababu Roho wa Mungu alikutuma uniongelelee sina usemi to God be the glory may His will be done in Jesus Name Amen Amen Lord Amen ❤
Mungu tuuu awe akukuonezea hekima kila kukicha,kwani kipawa Yako ni Baraka kwa ma elfu hasa kwetu DRC tunakuombea Sana n'a twa kupenda mnooooo,wana heri mana familia Yako hasa Maman aliye kuzaaa,kila la Heri dear Pastor Mungu akulinde kwa ajili ya wengi kbs!
@@MahubiriPrMmbaga we love pastor so much.since covid started here , God sent him to us. He's our preacher every Sabbath. My children love him so much. He's our pastor
Huyo ni mimi,kila kitu hakiendi,nilisanya pesa nikafika kununua shamba kakangu akashikwa kwa kesi haiekeweki pesa zangu zikatumika,nimesanya Tena mwaka huu huu tu Hadi nikawasiliana na muuzaji shamba Sasa nataka kununua babangu akaaga ,nashindwa ni mikosi ama Mungu Yuko kweli Hadi nakata tamaa ya maisha ila najua Mungu Yuko ipo siku
Mch Mbaga mbona kama umenihubiri mm.kama utakua na muda nikupe kisa changu cha kusisimua huenda kikakusaidia ktk mafundisho yako.kwa sasa mm ni msabato.. 0655223349 ni
Mungu akubariki mchungaji Kwa mafundisho Yako mazuri sana
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
Amen nabarikiwa sana Mungu na atukuzwe kwa mafunuo makuu
Amina
AMINA
🙏🙏🙏🙏AMEN🙏.pastor mbaga barikiwa kwa kutukuza kupitia neno la mungu.nazidi kujengeka ki imani narikiwa sana🙏
Mchungaji Mbaga Ubarikiwe kwa ujumbe Mzuriii ndiyo jamiii nyingi za kiafrika mambo yanakuwa hayaendi...#B...
Mungu ni mwema sana... Sijawahi kujutia kufuatilia mahubiri yako.
Be blessed pastor, nino limeniguza sana because am in that situation kindly I need your prayer...following you from Saudi Arabia
Amina barikiwa mchungaji
Amen
Amina pst, niombee nika napitia katika hiyo hali. Mambo yangu hayaendi.
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen and Amen 🇰🇪
Mtumishi wa Mungu barikiwa sana Amina
Huyo askari aliongea ukweli tunakuhitaj zaidi ya mno...you are one in a million pastor mwenye haseme tutoe tumbarikiwe.. tujiunganishe na hio madhabahu..a pastor who does not put paybill mpesa name it..Mungu akumbariki zaidi coz wamtegemea yy bila kutagemea watu🙏🙏🙏
Ngina Mugwe Amen
@@MahubiriPrMmbaga Apo kwa paybill ni kweli
Amen pastor,hapo kwenye msongo namm nashukr kupata tiba kwakweli
Pastor u nailed it. That warthog,s behavior is in me....naezatafuta kitu for long kumbe Niko nacho kwa mkono. May God help me
Hakika
Aminaa barikiwa sana pastor ninatatizo kubwa la kusahau
Amina sana pastor somo zuri sana nazidi kujifunza mengi
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri Barikiwa sana mchungaji👐
Amen pasta,yan nipo radhi nisile ili niweke bando tu nifatilie mahubiri maana nabarikiwa mno mno.barikiwa sana mungu anakutumia sawasawa na neno lake upo tofaut sana mungu aendelee kukuweka watu wapone.
Amen
Mtumishi barikiwa sana sababu Roho wa Mungu alikutuma uniongelelee sina usemi to God be the glory may His will be done in Jesus Name Amen Amen Lord Amen ❤
Powerful message
Uko sawa
Yesu nisaidie nione nuru ya kurudi Behlehemu
Congrats pr mmbaga
Ubarikiwechungaji
Amina, Yesu nifungue macho nione wapi nakwama mambo hayaendi, barikiwa pastor na timu yamahubiri kwa kutuhudumia hata tulio mbali
Pst David true umeniguza na nimejifunza waaau be blessed
Amina nimebarikiwa
barikiwa mchungaji
Somo zuri xana endelea hivyohivyo mchungaji
Nabarikiwa sana na Mafundisho yako Pastor! Mungu akubariki. Mahubiri TV naombeni namba ya pastor kama inawezekana nataka kuzungumza nae
Tumaini litakalo Juu,,
Mungu tuuu awe akukuonezea hekima kila kukicha,kwani kipawa Yako ni Baraka kwa ma elfu hasa kwetu DRC tunakuombea Sana n'a twa kupenda mnooooo,wana heri mana familia Yako hasa Maman aliye kuzaaa,kila la Heri dear Pastor Mungu akulinde kwa ajili ya wengi kbs!
Napitia,
Nimebarikiwa sana na mahubiri
God bless you 🙏 my pastor. Being blessed in nyeri Kenya
charles mumbi Wow! If u r from Kenya like the comment
@@MahubiriPrMmbaga we love pastor so much.since covid started here , God sent him to us. He's our preacher every Sabbath. My children love him so much. He's our pastor
@@MahubiriPrMmbaga Pamoja pastor injili imefika mjini barikiwa sana
Amen. Say hi to them
Ahsante sana pastor kwa ujumbe wako
Mungu atuhurumie kwa kila kitu hapo nikweli sana
BARIKIWA SANA PASTOR KWA SOMO NZURI,, ILA NAOMBA MAOMBI YAKUSAHAUSAHAU KILA SAA??
Nabarikiwa sana pastor kwa masomo yako
Duuuh pastor umejuaje hapo nipatie Huyu huyo John 🤭😂😂🙏ni siku mpata
😂😂😂😂
😃😃😃🤦♀️
Mungu akutunze ile tuendelee kubarikiwa na mafundisho yako mchungaji🙏😭😭 Kila neno ulilolisema limenigusa sanasana MUNGU ATUSAIDIE
Amina mchungaji!! L
Tf
Nisaidie fasiri ya kitabu cha. Kolosai 2:20--23
Thank you pastor and be blessed. That's the situation I'm going through. I need your prayers.
Asante mchungaji
We are Blessed and favoured
Amen indeed
Pstr ningependa kuongea nawe unipe ushauri wa kiroho hakika nimekata tamaa ya maisha Niko mwanza namba zangu ni 0786121201
Huyo ni mimi,kila kitu hakiendi,nilisanya pesa nikafika kununua shamba kakangu akashikwa kwa kesi haiekeweki pesa zangu zikatumika,nimesanya Tena mwaka huu huu tu Hadi nikawasiliana na muuzaji shamba Sasa nataka kununua babangu akaaga ,nashindwa ni mikosi ama Mungu Yuko kweli Hadi nakata tamaa ya maisha ila najua Mungu Yuko ipo siku
Mm nimesahau kula nakumbuka jioni baada ya kuhisi kama nguvu zinaisha.
MUNGU akubaki sana mchungaji,masomo yako yananijenga kiimani sana na kuniimalisha kiroho.
Kweli nikupotezea vingine
Mchungaji mbaga hivi wewe ulizaliwaaaaaa au uliubwa!!!!!!!
Following you gives hope in this life, be blessed
Hilo somo la kurudi Bethlehem nilipataje na wapi hasa? ...barikiwa sana pastor
Wapendwa naomben munisaidie nomber za mchungaji mbaga
Ni kweli mchungaj wangu ukifuatilia kila unachokion utatoka kweny uwepo so sitaki msongo ukinilemea namwambia Bwana beba mwenyw mim cihusik
Umekuwa chachu ya kusonga mbele katika maisha yangu kiroho,, ingawaje mambo yangu bado hayaendi ila ninaye Mungu asiyeshindwa
Mch Mbaga mbona kama umenihubiri mm.kama utakua na muda nikupe kisa changu cha kusisimua huenda kikakusaidia ktk mafundisho yako.kwa sasa mm ni msabato..
0655223349 ni
Mungu ni mwema
Amen
Amina
Hilo somo la kurudi Bethlehem nilipataje na wapi hasa? ...barikiwa sana pastor
Amen
Amen