Zitto Kabwe: Wanachofanya CCM na CHADEMA kwenye msiba wa Kingunge sio sahihi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mh. Zitto Kabwe alivyoongea na Timamu TV moja kwa moja kutoka nyumbani kwa Marehemu Mzee Kingunge leo mchana.

ความคิดเห็น • 11

  • @shafiikaorata1264
    @shafiikaorata1264 6 ปีที่แล้ว

    Mimi ndo maana nakufagiliaga bro big up baba la baba

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 6 ปีที่แล้ว +1

    Zito hua unajitambua sana

  • @donaldsamwel683
    @donaldsamwel683 6 ปีที่แล้ว +1

    Mh.hayo uliyosema ni kweli kabisa lakini kizazi chunu nyie na asa wanasiasa wa sasa mliopata majina mnashangaza sana kwani mmekuwa watu wa kugeuza nafasi zenu kuwa Dili za kupigia pesa na unafiki tofauti na wazee hawa walioasisi Taifa ili.

  • @rahimmaumba4504
    @rahimmaumba4504 6 ปีที่แล้ว

    Huyu jmaa namuelewa sana ,vijana tunatakiwa tujifunze kitu kwamba kuikosoa serikali sio tatizo ila tuangalie misimamo ya kulijenga taifa letu kwa sababu hata hao viongozi wakuu wanakosea,ila hawajitambui tusimame kulijenga taifa letu na tusisite kuokosoa sirikali inapokosea kwa maendeleo yetu..

  • @frankgalus2000
    @frankgalus2000 6 ปีที่แล้ว +1

    Cku nyingine unaongeaga point kumbe zito

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 ปีที่แล้ว

    Umetoa wazo zuli sana ww n great thinker

  • @godcompeter9844
    @godcompeter9844 6 ปีที่แล้ว

    Timamu siasa tena

  • @zeelakukomesha3653
    @zeelakukomesha3653 6 ปีที่แล้ว

    Mohamed alhaji

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 6 ปีที่แล้ว

    Hao Ccm na magandwa vipi?