AMANI ISIYO NA HAKI TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu ana watu wengi wamemfunga Mbarikiwa wakidhani watumishi watanyamaza na bado Mungu anazidi kuwatumia watu wake ktk kweli

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubaliana na wewe 100%

  • @MataukaMatauka
    @MataukaMatauka 9 หลายเดือนก่อน

    Watu weeweeeeeeeeeee🎉

  • @TulloMhombo
    @TulloMhombo 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutumie apendavyo ili tupone

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 10 หลายเดือนก่อน

    God hath spoken once;twice have I heard this;that power belongeth unto God (Ps62:11).

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 10 หลายเดือนก่อน

    AMINA AMINA BABA ASKOFU. Mi nafunga kila Ijumaa. Nchi hii lazima tuiteteee watu wake na ardhi yake

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie😢😢😢

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kila siku wanasema Inchi yetu ina Amani. Mbana hawaongelei haki? Hakuna amani bila Haki!

  • @knight6757
    @knight6757 10 หลายเดือนก่อน

    Ameen..🤲🇹🇿

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 10 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AMEAMUA KUTUTETEA EMEEN

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 หลายเดือนก่อน

    Kwanza hata juji mwenyewe ameendelea kuwa juji kinyume na Katiba. Sasa atawezaje kutotangaza mtu ambaye hajashinda? Kwa kweli nakuomba uendelee kuwaelemisha wanainchi

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 10 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli mambo mengine hata kama ni mtoto mdogo anashangaa unakuta kunatatizo la umeme 1 myaka nenda ludi acha hiyo siku mafuta yanashuka bei nauli za magari yote ikapanda bei sasa unaweza ona kuwa viongozi wenye zamana wemeshidwa kuwasemea wanainchi wameongeza kuazia 100 hadi 400 kwa kweli unaweza amini kuwa labuda kweli hawakuchaguliwa

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 10 หลายเดือนก่อน

    Bila Amani hakuna haki

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  10 หลายเดือนก่อน +1

      Bila HAKI hakuna AMANI. Haki ndiyo huleta amani. Wapuuzi TZ ndiyo husema “AMANI KWANZA.” HIi ni hadaa kwa wajinga. Umesikia kwa habari ya MAZIMWI MADARAKANI NA MAZIMWI WAPAMBE; dhidi wenye weledi na wenye hekima, je wewe uko kundi gani?

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009  10 หลายเดือนก่อน

      AMANI ni muhimu sana ktk jamii. Lakini HAKI ndiyo msingi wa AMANI. Uvunjifu wa AMANI husababishwa na ukosefu wa HAKI. Ndiyo maana, “Si kweli kusema AMANI KWANZA KISHA HANKI.” Na ni kweli isiyopingika kuzema, “HAKI KWANZA KISHA AMANI.” Mandela na Masheli wangesema “AMANI KWANZA,” kusingekuwa na UHURU Africa Kusini wala Msumbiji hadi leo. Tuache ujinga tuikomboe nchi yetu dhidi ya mazimwi wanaokalia madaraka waliyowapora wapendwao na walio wengi.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 หลายเดือนก่อน

    Wapambe hao hao waliokuwa wakimdanganya kumuelezea wabaya kufanya mauwaji na ndiyo wanajua hata kifo cha Magufuli na watakuja kulipa hapa hapa.