TANZANIA ni nchi MOJA haina ukabila wala udini lkn hapa ibkar hajatendewa haki kwa KUWA ni mhindi angekuwa ni mwafrica haraka sana wangemtangaza TUKUBALI KUMPA MTU HONGERA ZAKE KWA YULE ANAYE STAHILI TUACHE UKABILA NA UDINI.
Katika inchi yetu mashujaa awathaminiki inasikitisha sana daah mashujaa wote unasikia wamesahauliwa huko nyuma...Mungu ibariki tanganyika Mungu ibariki zanzibar tudumishie upendo wa dhat vifuan mwetu
Hivi dada unawajua mashujaa au? We mtu anatafuta kuabudiwa kisa kabuni jina Jamhuri ya Muungano "Tanzania"! Je huyo aliyebuni jina kwanza Tanganyika na aliyebuni Jina la Zanzibar zenyewe hawa tunawazungumziaje? Maana tusirukie kwenye matawi tuanze kwenye shinajamani. Halafu hata hivyo jamaa mwenyewe wa Tanzania mbona nasikia miaka kibao anaishi nje ya nchi? Ana uzalendo gani mpaka akumbukwe? Mi nadhani lengo lake ni ajenda fulani; kwa nini ahusishe mambo jina la dini yake? Kwani wasio na imani ya dini yake inahusuje? Herufi ya jina lake ye kama nani? Aache kutafuta kile kwa lugha ya kibeberu kinachoitwa " cheap popularity". Kuna watu wanafanya mambo makubwa sana nchi na hawajawahi dai kujulikana. We mtu jina tu! Jamani hatuna vitu vya msingi kweli vya kugundua mpaka tuanze kufikiria majina ya vitu? Hivi kwa mfano angekuwa ndo babake au mamake Maghufuli hivi huyu jamaa tungekunywa maji kweli hapa Tanzania?. Ni vyema tukawa wapana wa kufikiri mambo makubwa kuliko kfikiri vitu vidogo hivi. U Ukiangalia asili ya majina mengi ya vitu na sehemu mbalimbali yalipatikana kwa sababu ya ujinga wa wahusika kushindwa kutamka jina halisi. Kwa mfano; waswahili waliposhinwa kutamka lugha ya kibeberu "cow way" lilitokea jina la sehemu "Kawe"; haya wamakonde nao kwa ujinga wa kushindwa kutamka jina " kwa Musa Hasani" likazaliwa jina la sehemu "Msasani" nk. Kwa hiyo uvumbuzi wa majina hautokani na uhodari wala uwezo wa mtu kufikiri ila kwa sehemu kubwa ni ujinga mkubwa wa mtu kutamka maneno fulani. Fikiria pia hata watoto wadogo wanajifunza kuongea Kiswahili wanaposhindwa kutamka jina "Maji" wanasema "mma". Angalieni sana huyo jamaa usikute mapeni yamemwishia anataka Rais wetu amzawadie! Maana analalia mlango wazi bahati ya mvumbuzi wa Tanzanite na zawadi ya Peter Tino. Asubiri na ye bahati yake siyo kwa njia hiyo tafadhali.
Na wachagga nao waliposhinwa kutamka kwa lugha ya kibeberu maneno "check train" likatoka jina la mahali "Chekereni" na hawa nao tunawaenzije? Axheni ushabiki usio na fikira yakinifu.
tULIKUWA TUKIDANGANYWA SANA pRIMARY, ETI TANZANIA NI TANGANYIKA (TAN) ZANZIBAR (ZAN) NIA ( ETI HERUFI ZILIZOJITOKEZA KWENYE MAJINA MAWILI YAANI TANGANYIKA NA ZANZIBAR. HUU NDIO UONGO TULIOKUWA TUKILISHWA.
Poa rejea kitabu cha "NANI ALOBUNI JINA TANZANIA" kimeandikwa na Mubiru. Ameelezea kwa kirefu sana. Pia katika historia ya Ahamadia Tanzania,utagundua jamaa hawa walibuni mambo mengi kuhusu Tanzania.
@Davistar Mata Kafanye utafiti wa kina. The name TANZANIA was first proposed by an Italian. I recall being the talk of this mega event Tanganyika becoming Tanzania in fact we Tanganyikans lost our identity as such and had to get used to this new identity as Tanzanians. AlHaamduLILLAHI we slowly slowly got used to it. Life goes on! TANZANIA KWANZA TANZANIA OYEEE ♥️🇹🇿👍🏽🌹🌻
Tanzania Oyeeeee kikwete juuu ndio juu juu juu zaidiiii.
Tanzania Oyeee 🇹🇿👍🏽🌹♥️🌻👏🏽👏🏽👏🏽
TANZANIA ni nchi MOJA haina ukabila wala udini lkn hapa ibkar hajatendewa haki kwa KUWA ni mhindi angekuwa ni mwafrica haraka sana wangemtangaza TUKUBALI KUMPA MTU HONGERA ZAKE KWA YULE ANAYE STAHILI TUACHE UKABILA NA UDINI.
Mapepo yako ya kidini nayavunja na kuyakemea yashindwe kwa jina la Yesu Kristo.
UNA,UMWA we Simon,,KAFIR Weeh
Simon Lulenga :YESU MWENYEWE TAABANI MSALABANI BORA TAFUTA NGUVU MTIZAME MWENZAKO ANAVYO BUSU WATU MIGUU : th-cam.com/video/dBm7_0-dt84/w-d-xo.html
Hueleweki mzee
Yeye ameeleza anachokijua ila ww ndo uloleta mtazamo wa kidini, mpinge kw hoja zenye mashiko,,, huenda humjui yesu vizur ww,,
Katika inchi yetu mashujaa awathaminiki inasikitisha sana daah mashujaa wote unasikia wamesahauliwa huko nyuma...Mungu ibariki tanganyika Mungu ibariki zanzibar tudumishie upendo wa dhat vifuan mwetu
@@DavistarMataMediaDM
Poa kaka usijali
Hivi dada unawajua mashujaa au? We mtu anatafuta kuabudiwa kisa kabuni jina Jamhuri ya Muungano "Tanzania"! Je huyo aliyebuni jina kwanza Tanganyika na aliyebuni Jina la Zanzibar zenyewe hawa tunawazungumziaje? Maana tusirukie kwenye matawi tuanze kwenye shinajamani.
Halafu hata hivyo jamaa mwenyewe wa Tanzania mbona nasikia miaka kibao anaishi nje ya nchi? Ana uzalendo gani mpaka akumbukwe? Mi nadhani lengo lake ni ajenda fulani; kwa nini ahusishe mambo jina la dini yake? Kwani wasio na imani ya dini yake inahusuje? Herufi ya jina lake ye kama nani? Aache kutafuta kile kwa lugha ya kibeberu kinachoitwa " cheap popularity". Kuna watu wanafanya mambo makubwa sana nchi na hawajawahi dai kujulikana. We mtu jina tu! Jamani hatuna vitu vya msingi kweli vya kugundua mpaka tuanze kufikiria majina ya vitu? Hivi kwa mfano angekuwa ndo babake au mamake Maghufuli hivi huyu jamaa tungekunywa maji kweli hapa Tanzania?. Ni vyema tukawa wapana wa kufikiri mambo makubwa kuliko kfikiri vitu vidogo hivi. U
Ukiangalia asili ya majina mengi ya vitu na sehemu mbalimbali yalipatikana kwa sababu ya ujinga wa wahusika kushindwa kutamka jina halisi. Kwa mfano; waswahili waliposhinwa kutamka lugha ya kibeberu "cow way" lilitokea jina la sehemu "Kawe"; haya wamakonde nao kwa ujinga wa kushindwa kutamka jina " kwa Musa Hasani" likazaliwa jina la sehemu "Msasani" nk.
Kwa hiyo uvumbuzi wa majina hautokani na uhodari wala uwezo wa mtu kufikiri ila kwa sehemu kubwa ni ujinga mkubwa wa mtu kutamka maneno fulani. Fikiria pia hata watoto wadogo wanajifunza kuongea Kiswahili wanaposhindwa kutamka jina "Maji" wanasema "mma".
Angalieni sana huyo jamaa usikute mapeni yamemwishia anataka Rais wetu amzawadie! Maana analalia mlango wazi bahati ya mvumbuzi wa Tanzanite na zawadi ya Peter Tino. Asubiri na ye bahati yake siyo kwa njia hiyo tafadhali.
Na wachagga nao waliposhinwa kutamka kwa lugha ya kibeberu maneno "check train" likatoka jina la mahali "Chekereni" na hawa nao tunawaenzije? Axheni ushabiki usio na fikira yakinifu.
Hayo majona Tanzania,Tanganyika ni yao wenyewe ni mchanganyiko tu huo kwao,kama sisi tunavyo lichanganya micx letu la mbatata za Urojo 🍜sawa?
Hawa sauliki kwa Bahati Mbaya ni mpango wa watu fulani lengo mtu mmoja ndo awe shujaa
Namku ali sana huyo muheshimiwa
tULIKUWA TUKIDANGANYWA SANA pRIMARY, ETI TANZANIA NI TANGANYIKA (TAN) ZANZIBAR (ZAN) NIA ( ETI HERUFI ZILIZOJITOKEZA KWENYE MAJINA MAWILI YAANI TANGANYIKA NA ZANZIBAR. HUU NDIO UONGO TULIOKUWA TUKILISHWA.
Hata saivi mbona umedanganywa tu mbona
Inasikitisha sana..
Dah
Kila siku nilikuwa najiuliza hii NIA imetoka WAP?
Joseph kony tupe habari yake
Hii ni hatari watu wanaangalia walipo tu, wanasahau walikotoka pia hawajui wanakokwenda.
Poa rejea kitabu cha "NANI ALOBUNI JINA TANZANIA" kimeandikwa na Mubiru.
Ameelezea kwa kirefu sana.
Pia katika historia ya Ahamadia Tanzania,utagundua jamaa hawa walibuni mambo mengi kuhusu Tanzania.
Angekua manyato hapo angejulikana dunia nzima lkn muslim
@Davistar Mata
Kafanye utafiti wa kina. The name TANZANIA was first proposed by an Italian. I recall being the talk of this mega event Tanganyika becoming Tanzania in fact we Tanganyikans lost our identity as such and had to get used to this new identity as Tanzanians. AlHaamduLILLAHI we slowly slowly got used to it. Life goes on!
TANZANIA KWANZA TANZANIA OYEEE ♥️🇹🇿👍🏽🌹🌻
Wacha hizo. Waitaliano walikuwa na uhusiano na sisi???
Huyu fatma hajaifaham history Hilo jina na history unayo semwa hapo ni sawa waitaliano hawahusiki kbs
Tan Zan TANZANIA ili skika kutoka kwa MTALIANO "ITALIAN" na ikapewa jina la TANZANIA Jamuhuri ya Muungano wetu.
Fatma Muhmmed-Yusuf hapa shida kwenye iyo ia neno la mwisho. Ametudanganya
1
Historia zilizofichika.
Wao tanganyika Sisi zanzibar
mjinga huyo mtunzi ni nyerere