BISHOP PROF VICTOR CHISANGA
BISHOP PROF VICTOR CHISANGA
  • 122
  • 42 174
DHABIHU NI NINI
DHABIHU NI NINI
มุมมอง: 222

วีดีโอ

JIBU LA MAMBO YOTE NI DHABIHU
มุมมอง 449 หลายเดือนก่อน
JIBU LA MAMBO YOTE NI DHABIHU
ANAMEREMETA BWANA YESU
มุมมอง 379 หลายเดือนก่อน
ANAMEREMETA BWANA YESU
KUWEKWA WAKFU KWA AJIRI YA KUTUMIKA
มุมมอง 309 หลายเดือนก่อน
KUWEKWA WAKFU KWA AJIRI YA KUTUMIKA
IBADANI MWAGWEPANDE
มุมมอง 289 หลายเดือนก่อน
IBADANI MWAGWEPANDE
TOFAUTI YA MTUMISHI NA UTUMISHI
มุมมอง 15210 หลายเดือนก่อน
TOFAUTI YA MTUMISHI NA UTUMISHI
Askofu Profrsa Victor Chisanga. Uzima wa milele ni nini?
มุมมอง 33810 หลายเดือนก่อน
Askofu Profrsa Victor Chisanga. Uzima wa milele ni nini?
JE NI HAKI KUBEMBELEZA KUPATA KATIBA MPYA?
มุมมอง 24K10 หลายเดือนก่อน
JE NI HAKI KUBEMBELEZA KUPATA KATIBA MPYA?
MEZA YA BWANA
มุมมอง 6110 หลายเดือนก่อน
MEZA YA BWANA
MEZA YA BWANA;MAANA YA KUNYWA DAMU YA YESU NA KULA MWILI WA YESU
มุมมอง 10010 หลายเดือนก่อน
MEZA YA BWANA;MAANA YA KUNYWA DAMU YA YESU NA KULA MWILI WA YESU
AMANI ISIYO NA HAKI TANZANIA
มุมมอง 3.9K10 หลายเดือนก่อน
AMANI ISIYO NA HAKI TANZANIA
NJIA YA MBINGUNI NI UONGOZI WA ROHO MTAKATIFU
มุมมอง 30410 หลายเดือนก่อน
NJIA YA MBINGUNI NI UONGOZI WA ROHO MTAKATIFU
MAZIMWI MADARAKANI TANZANIA
มุมมอง 18510 หลายเดือนก่อน
MAZIMWI MADARAKANI TANZANIA
KATIBA YAMKASIRISHA MUNGU
มุมมอง 31611 หลายเดือนก่อน
KATIBA YAMKASIRISHA MUNGU
IT IS ISRAEL RIGHT TO BE PROTECTED BY GOD
มุมมอง 75ปีที่แล้ว
IT IS ISRAEL RIGHT TO BE PROTECTED BY GOD
YESU HUWAPIGANIA TAIFA LA ISRAELI
มุมมอง 183ปีที่แล้ว
YESU HUWAPIGANIA TAIFA LA ISRAELI
KANISA LA E.A.G.T KILIMANI
มุมมอง 185ปีที่แล้ว
KANISA LA E.A.G.T KILIMANI
KUISHI MAISHA MATAKATIFU NI KUGUMU SANA
มุมมอง 143ปีที่แล้ว
KUISHI MAISHA MATAKATIFU NI KUGUMU SANA
KATIBA MBOVU IMESABABISHA WANANCHI KUWA WAKIWA
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
KATIBA MBOVU IMESABABISHA WANANCHI KUWA WAKIWA
SEMINA YA NENO LA MUNGU KIBUGUMO DAR ES SALAAM. Siku ya kwanza
มุมมอง 58ปีที่แล้ว
SEMINA YA NENO LA MUNGU KIBUGUMO DAR ES SALAAM. Siku ya kwanza
KATIBA MBOVU IMEOZA.BISHOP PROFESSOR VICTOR CHISANGA
มุมมอง 2.9Kปีที่แล้ว
KATIBA MBOVU IMEOZA.BISHOP PROFESSOR VICTOR CHISANGA
SIFA ZA WAHUDUMU WA MADHABAHU
มุมมอง 165ปีที่แล้ว
SIFA ZA WAHUDUMU WA MADHABAHU
TO LOOSE A BOUND CHRISTIAN x264
มุมมอง 223ปีที่แล้ว
TO LOOSE A BOUND CHRISTIAN x264
KUFUNGULIWA NI NINI
มุมมอง 332ปีที่แล้ว
KUFUNGULIWA NI NINI
WHAT IS A SPIRIT x264
มุมมอง 39ปีที่แล้ว
WHAT IS A SPIRIT x264
ROHO NI NINI x264
มุมมอง 68ปีที่แล้ว
ROHO NI NINI x264
NINI MAANA YA KRISMASI KIROHO
มุมมอง 67ปีที่แล้ว
NINI MAANA YA KRISMASI KIROHO
SIFA KUU ZA MTAKATIFU x264
มุมมอง 77ปีที่แล้ว
SIFA KUU ZA MTAKATIFU x264
UKRISTO BAADA YA UNYAKUO
มุมมอง 61ปีที่แล้ว
UKRISTO BAADA YA UNYAKUO
JINSI YA KUACHANA NA DHAMBI
มุมมอง 95ปีที่แล้ว
JINSI YA KUACHANA NA DHAMBI

ความคิดเห็น

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d 3 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm tumesha wachokaa vibaya mno jamani

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 หลายเดือนก่อน

    Raisi Samia muogope mungu aliye beba maisha yetu Tupe Katina mpya mama utabarikiwa sana duniani na mbinguni

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm kama inakubarika kwani wanatuma polisi na mabunduki kwa nini mnahangaika na chadema na wasema haki IPO siku mtajuta mungu yupo

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 หลายเดือนก่อน

    Amen!!! Wewe siyo unasema ni mungu Yuko ndani yako mungu mitutu ya bunduki atawageuzia wao wenyewe sasaivi

  • @SelemaniZuberi-e8x
    @SelemaniZuberi-e8x 2 หลายเดือนก่อน

    Wanatutangazia wazi sasa kua kura wanashinda Kwa wizi

  • @SelemaniZuberi-e8x
    @SelemaniZuberi-e8x 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatekwa mmekaa Kimya tu mnachekelea

  • @SelemaniZuberi-e8x
    @SelemaniZuberi-e8x 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwakweli CCM siipendi kabisa Kwa mambo yake

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 2 หลายเดือนก่อน

    Magumegume

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 2 หลายเดือนก่อน

    Raisi amejimilikisha nchi hi hataki kukosolewa wakosoaji wanatekwa wanauwawa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli baba umeona watu wanavyonyanyadika. Hongera sana baba ubarikiwe

  • @starjo_3499
    @starjo_3499 2 หลายเดือนก่อน

    Amina sana

  • @dennislihepa2247
    @dennislihepa2247 3 หลายเดือนก่อน

    Si haki kubembeleza hata kidogo ukibembeleza maanayake wananchi sio raia

  • @Dawahchan
    @Dawahchan 4 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo maana hauna viewers

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 5 หลายเดือนก่อน

    Tanganyika Haina haridhi

  • @willisonTheonest
    @willisonTheonest 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli watawala msikilze bishop wa mungu

  • @StephanoSwai-o7x
    @StephanoSwai-o7x 8 หลายเดือนก่อน

    Wape makav hao mbwa

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUBARIKI SANA , NA AKULINDE NA KUKUONGEZEA MAISHA , SEMA USIOGOPE UPO NA WATANZANIA TULIO WENGI NASI TUTAZIDI KUKUOMBEA

  • @MataukaMatauka
    @MataukaMatauka 9 หลายเดือนก่อน

    Watu weeweeeeeeeeeee🎉

  • @BugayeRenatus
    @BugayeRenatus 9 หลายเดือนก่อน

    Ilo ni swali au jawabu kuomba ndiyo haki,hata uhuru tuliomba ila ukitaka hapo ujue hata kukosa kupoo

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009 8 หลายเดือนก่อน

      KWA HAPA, KUKOSA HAKUPO; KATIBA MPYA TULIKWISHA KUIANDAA. IMEZUILIWA TU NA MAJAMBAZI AMBAO DAWA YAO INACHEMKA.

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 9 หลายเดือนก่อน

    CCM NI WATUMISHI WA SHETANI!!!! NDIYO MAANA HAWANA HATA HAYA KABISA!!! KINACHO WASUMBUA NI MAOVU WALIYO KWISHAYAFANYA HAWAJUI BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI ITAKUWAJE JUU YA UFISADI WAO? NAMI NAWAMBIA CCM YA WAOVU KUWA MSIWAOGOPE WANAOADHIBU MWILI OGOPENI SIKU MTAKAPO KUFA ( SIKU YA KIAMA) MTAJUTIA UFISADI WENU NA KUSEMA HERI MGEKUWA MASIKINI WA KUTUPWA!!! CCM HAWAWEZI KUJISIKIA AIBU KWA SABABU HAWANA MAADILI KABISA WAMEHARIBIKA NDUGU ZETU HAWA WANAO HARIBU ZAIDI NI MATUTUSA WANAO WAUNGA MKONO KTK UOVU WAO!!!

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 9 หลายเดือนก่อน

    Tumechoka sana sana. kichefuchefu tu. hadi ukisikia ccm unatamani kutapika

  • @saulokahwa8194
    @saulokahwa8194 9 หลายเดือนก่อน

    Baba sema saa ya ukombozi ni sasa

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 10 หลายเดือนก่อน

    Tuna Bwana harusi hatuhitaji kufunga

  • @widimaelimushi
    @widimaelimushi 10 หลายเดือนก่อน

    ❤mzee Yuko sahihi Sana tusaidie mtumishi wa mungu

  • @widimaelimushi
    @widimaelimushi 10 หลายเดือนก่อน

    He haya mabo siyo sahihi?

  • @OcktavianMhagama
    @OcktavianMhagama 10 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tumechoka sasa tuko tayari tar 24/2024 jumatano.

  • @DanosiImani
    @DanosiImani 10 หลายเดือนก่อน

    Mch. Umenena vema

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 10 หลายเดือนก่อน

    DUH BISHOP ANAFUNDISHA VIZURI SANA❤❤❤❤❤❤

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 10 หลายเดือนก่อน

    Vikaragosi majambazi

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 10 หลายเดือนก่อน

    WAAAOOOOOO ASANTE MZEE KWA KUTEMA NYONGO.❤❤❤❤

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 10 หลายเดือนก่อน

    Mvua na Mafuriko ya kiuchwaiiiii hamstukiiii😅

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 10 หลายเดือนก่อน

    Wazee wenye kusimama ktk haki kama ww ni wachache sana

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Bishop wametufanya watanzania ni wajinga sana wao ndiyo chanzo na ujinga na umaskini umaskini umezidi sana lakini viongozi wa CCM wao wanaishi maisha ya anasa kwa kodi za wananchi wanalazimisha kubaki madarakani kwa nguvu za dola wananchi wamechoka wamechoka wanaishi maisha magumu kwasababu ya CCM.

  • @victorrobert7797
    @victorrobert7797 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu ana watu wengi wamemfunga Mbarikiwa wakidhani watumishi watanyamaza na bado Mungu anazidi kuwatumia watu wake ktk kweli

  • @imaniangetire
    @imaniangetire 10 หลายเดือนก่อน

    Nimkuelewa bishop

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 10 หลายเดือนก่อน

    Ccm mung aseme nao

  • @selestinimassawe3601
    @selestinimassawe3601 10 หลายเดือนก่อน

    Its true man of God

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 10 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mungu Akulinde Make Wasiojulikana Hawajalala Yaya Ma ccm Yameuza Hadi Bandari Yetu wangekuwepo Wengine Watumishi Ka ww Nnchi Ingekuwa na Maendeleo

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 10 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa bishop asnate kwa somo nzuri

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 10 หลายเดือนก่อน

    Halafu hivi kwanini hawa watu ni waongo kiasi hiki? MUNGU AMENITUMA, TENA KANIAMBIA HII KAZI NIIFANYE KWA BIDII??

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 10 หลายเดือนก่อน

    Tunataka katiba mpya ili mfumo mzima wa uongozi ubadilike rais anahusika ktk hili yeye ndo mwamuzi wa mwisho ktk nchi

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 10 หลายเดือนก่อน

    God hath spoken once;twice have I heard this;that power belongeth unto God (Ps62:11).

  • @pastor_mashimo
    @pastor_mashimo 10 หลายเดือนก่อน

    Ujana wako umeula bila faida leo unaongea pumba

    • @godfreymwamaso2424
      @godfreymwamaso2424 10 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe lakini wengi timemwekewa issue ya ujana amekula kula imetoka wapi tumia akili uliyopewa na Mungu

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009 8 หลายเดือนก่อน

      Faida itokanayo na uporaji wa nchi kama mnaoufanya siutaki. Mimi ninahasira ya Mungu juu ya ujambazi wenu kwa nchi hii; wala Sina haja ya mali kibinafsi. Tena sihitaji ushirikiana wala madaraka yoyote yatokanayo na MAJAMBAZI; nisije nikanajisika kama ninyi mlivyo viongozi NAJISI leo. Uongozi mlionao siyo wenu; mmewapora wanyonge wenu WALIOSTAHILI kuwa viongozi wa nchi hii; CHADEMA.

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 2 หลายเดือนก่อน

      Mashimo upastor umesomea chuo.gani? Huyo mzee amesoma Theolojia siyo Mtumishi njaa

  • @LaeryIpopo
    @LaeryIpopo 10 หลายเดือนก่อน

    Ok sawa

  • @JsProdaction-op5im
    @JsProdaction-op5im 10 หลายเดือนก่อน

    Asante baba kwa kutuamsha na kutuonyesha haki yetu

  • @PaullyzmundaPaullyamunda
    @PaullyzmundaPaullyamunda 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba ni Askofu wa kweli! Amejikana nafsi!

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 10 หลายเดือนก่อน

    HATA BANDARI TUMEPIGWA SANA TUUU NA ULIKEMEA HILI ASKOFU...

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 10 หลายเดือนก่อน

    MSUMARI WA MOTOO KWENYE KICHWA...