KUMEKUCHA MWANZA: Kada wa CCM Ajitoa MHANGA/Atoboa SIRI Nzito KUHUSU Hayati MAGUFULI/Inatisha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • ‪@MwanzaDigital‬ #kerozawananchi #kerozawananchimwanza #migogoroyaardhi #rcmakalla #bakwata #masjidnoor #msikiti #breaking_news #hayatimagufuli #jeshilapolisi

ความคิดเห็น • 210

  • @yomseyyomsey5114
    @yomseyyomsey5114 11 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu mzee Ni Makin Sana na yupo vizur Sana confident leader & he is straight in his point Na MKWELI Nchi hii imejaa Majizi, wezi, Wabinafsi,waongo watu Mali za Umma Ni wachumaji kwelkwel

  • @aristidisamba1573
    @aristidisamba1573 11 หลายเดือนก่อน +14

    Aisee huyu mzee msomi mzuri ana confidence na experience ya kutosha anawachana live

  • @kelvinbernard5453
    @kelvinbernard5453 11 หลายเดือนก่อน +10

    Wewe ni zaidi ya mwenyekiti wa mtaa ,Mungu akulinde baba ameeen

  • @geey7893
    @geey7893 11 หลายเดือนก่อน +14

    Wana Seminary ni Honesty and Ethical. Mzee anasema ukweli

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 11 หลายเดือนก่อน +15

    Mungu akulinde mzee wetu akupe maisha marefu, Amen. Hawa Viongozi wa Ardhi Mwanza ndiyo kawaida yao yaani Dhuruma ndiyo kipaumbele chao! Ila Mungu hakimu wa haki yupo! Hao majambazi wa haki za wanyonge mwisho wao unawadia kwa uwezo wa Mungu, Amen.

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 11 หลายเดือนก่อน +10

    wanakushangaa kwa ujasiri wako.Mungu akubariki

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 11 หลายเดือนก่อน +25

    RIP, JPM Mzalendo wa kweli wa Nchi yetu.
    May his soul Rest in peace. Amen.

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hapa sawa nikuitoa ccm madarakani

  • @afwililenisaidie9597
    @afwililenisaidie9597 11 หลายเดือนก่อน +12

    Mzee Mungu akubariki nchi inataka wazee kama wewe simamia haki hasa wanyonge wanateseka katika nchi yetu

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hii nchi kunamajamaa wachache wanajiona kama nchi ya babayao pekee na kuona wengine kama hawana haki ,ahsante sana Mzee wangu🙏🙏.

  • @kassimhaji3238
    @kassimhaji3238 11 หลายเดือนก่อน +21

    Mungu akubariki mzee wangu kwa kusimamia haki na kukemea uovu,

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน +6

    RIP JPM wezi wapo wamerudi kwa kasi wananchi wanalizwa amebaki WAZIRI MKUU PEKEEE wa kutetea wengine wanalamba asali

  • @edwinnzigo4670
    @edwinnzigo4670 11 หลายเดือนก่อน +3

    For sure watu makini bado wapo Sana Mzee hongera Sana baba

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 11 หลายเดือนก่อน +7

    Kwanini wazee kama hawa wasichukue hii nchi!

  • @peacekahemela8676
    @peacekahemela8676 11 หลายเดือนก่อน +7

    Halafu unakuta vijana wa kitanzania bado wanaona serikali ya CCM iko sawa na wanashangilia yanayoendelea

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 11 หลายเดือนก่อน

      Umeongea ukweli ndg

    • @blessjo1678
      @blessjo1678 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wanachowaza ni kupata vyeo mzee baada ya hao wazee wao kustaafu ila hawana uzalendo

    • @HURUMAKALINGA
      @HURUMAKALINGA 11 หลายเดือนก่อน

      Ccm mbele kwa mbele

  • @mysoulproclaimsthelordmygodmam
    @mysoulproclaimsthelordmygodmam 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu mtetezi wa wanyonge Akulinde Baba unayetetea wanyonge.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee Mungu akutie nguvu sana juu ya manyang'au haya

  • @chembejohn9605
    @chembejohn9605 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee genius....shikamooo baba

  • @fedrickchonya7579
    @fedrickchonya7579 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee uko vizuri sana

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hii dunia kuna wanaume maana huyu muzee uko Makini mungu akubariki kwa kutetea wanyonge una ujasiri ya kuongea wengi wanaogompa kuongea ukweli

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 11 หลายเดือนก่อน +4

    Jamn Sasa hv hata Mungu watu hawaogopi

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wabongo mtakula sana za uso mpk akili iwakae vizuri

  • @bahathjuma7511
    @bahathjuma7511 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika ulisimama imala ulisimama haki pia ulikua mzalendo ulale salama mzee chuma🦾🦾🦾

  • @JuliusMhina
    @JuliusMhina 11 หลายเดือนก่อน +6

    Wizi umezidi serekalin

  • @tindatinda7330
    @tindatinda7330 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwenyekiti

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu niwaajabu sana.tutaelewana tu.

  • @user-ub1fd2ip3g
    @user-ub1fd2ip3g 11 หลายเดือนก่อน

    Asante ba ba m/kti mwenye uchungu na wananchi waka tumeonewa sana na uku mbeya sai wanatunyanyasa kama nyiye hilo hivyohivyo nasisi matatizo kama yenu

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 10 หลายเดือนก่อน

    Waziri wa Aridhi aliendesha Wizara kama Ukoo wake ndiye chanzo cha haya yote.hongera Rais Samia Kumtumbua.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona kama anayeambiwa hayupo anamambo mengine

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 11 หลายเดือนก่อน +1

    Polen sana.. Hao wezi wafutwe kazi

  • @mtumishidoublek1504
    @mtumishidoublek1504 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti wetu wa Nela, Endapo ukigombea Uraisi, Kura yangu chukua

  • @user-gf1su1ss2q
    @user-gf1su1ss2q 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mazungumzo bora kabisa kuwahi kutokea,, wewe mzee sijui namna njema ya kuongea Ili kuonesha ulivo gusa hisia za moyo wangu kutokana na ukweli mwingi,, busara na hekima ulonayo katika kusimamia haki,,natamani nikija mwanza nikuone hata nikuslimie kama baba yangu mzazi.

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mkuu wa mkoa mwenyewe yuko busy

  • @imanihussein9457
    @imanihussein9457 11 หลายเดือนก่อน +4

    ccm hovyo

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee anafaa sana kuwa kiongozi ni jembe sana huyu baba

  • @gregorycosmas3926
    @gregorycosmas3926 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabisa mzee ila nchi inahitaji kiongozi hasa nafasi ya uraisi

  • @emmanuelbusuti8800
    @emmanuelbusuti8800 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Mzee Kwa kutetea ukweli

  • @HebronMwakyambiki-uq6cf
    @HebronMwakyambiki-uq6cf 11 หลายเดือนก่อน

    Alinde mzee

  • @EdisonAndrea-c5o
    @EdisonAndrea-c5o 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuerewasana hongera

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi hiii ningumu sana mafisadi wameshika dola

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 11 หลายเดือนก่อน +3

    I hope Tanzania is not goij back to where it was before JP took over RIP JP From Kenya

  • @stevenbupamba4161
    @stevenbupamba4161 11 หลายเดือนก่อน

    mzee mwenyekiti wa serikali ya mtaa yuko vizuri。

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 11 หลายเดือนก่อน +3

    KATIBA MPYA SASA

  • @leahsangawe9609
    @leahsangawe9609 11 หลายเดือนก่อน +8

    Wazee Kama Hawa wanajua na kuyekeleza wajibu wao sio wazee wengine umri mkubwa lakini hawana udhubutu wa kukemea na kuongea maneno ya kujenga jamii. Wamebaki ushabiki na unafiki

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 11 หลายเดือนก่อน +4

    Angekuwepo chuma mzee ungetendewa haki kwa maneno yako but now wanatoka hapo watakucheka tu

  • @josephmkumbwa9836
    @josephmkumbwa9836 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mzee huo ndio uzalendo wanapo kosea wasemwe safi sana mzee wng Mungu akulinde.

  • @daudwilliam2326
    @daudwilliam2326 10 หลายเดือนก่อน

    Mzee anajitambua sana

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 11 หลายเดือนก่อน +3

    MSICHEZEE WANASEMINARI

  • @JoelMolell-wz2hc
    @JoelMolell-wz2hc 11 หลายเดือนก่อน

    Wambiye ukweli Baba

  • @user-bv4gu5po4g
    @user-bv4gu5po4g 11 หลายเดือนก่อน

    Sema baba🎉🎉🎉🎉

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuwekee ulinzi mzee wetu...tuwaondoe CCM kwanza tuone itakavyo kua

  • @maimunamisana4293
    @maimunamisana4293 11 หลายเดือนก่อน +1

    Inatisha,waje watu kama hawa watusemee kahama. Mkuu wa wilaya ya Kahama hilio liko Wilayani kwako.

  • @user-fb6dh6sz2g
    @user-fb6dh6sz2g 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 11 หลายเดือนก่อน +4

    Uongozi wa mwanamke Samia ni vilio kwà kwenda mbele

  • @user-yd7xz9ri9g
    @user-yd7xz9ri9g 11 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @DAMIANANDREW-q7n
    @DAMIANANDREW-q7n 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwenyekiti ni kiongoz by nature nimekupenda bure

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mkinyamaza hao mashetani watatumaliza semeni tujitambue

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 11 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢😢nchi inajiongoza ngoja Bora tufuatilie michezo kipindi Cha JPM hata huyo makalla asingecheka make hapo hakuna Cha kuchekesha inamaana ameonesha hiyo kweli anaijua japo nn afanye kula kwa urefu wa kamba yako

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน +1

      Siyo kucheka tu ni walewale ndo maana aliwekwa pending

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi Imekuwa Shamba la Bibi....wajomba zangu wa pwani HAWAWEZI UONGOZI

  • @user-fx7oq1fj5s
    @user-fx7oq1fj5s 11 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri baba

  • @user-ds8lg4xd4l
    @user-ds8lg4xd4l 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wambie kweliwame zowea mifumo mibovu

  • @Happy31213
    @Happy31213 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mzee apewe ukuu wa mkoa

  • @EmmaThobias
    @EmmaThobias 11 หลายเดือนก่อน

    I love you so much 10/10

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 11 หลายเดือนก่อน

    ❤ Jamaa Safi sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tz unatakiwa kuongozwa na mkono wa chumba bila hivyo maendeleo hakuna viongozi wetu ni vibaka wezi wezi watu mchongo Tu sasa lini nchi inaweza endelea

  • @user-eb2gw5ic2q
    @user-eb2gw5ic2q 11 หลายเดือนก่อน

    Safi mzee

  • @peacekahemela8676
    @peacekahemela8676 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wazee tukishaondoka vizazi vya vijana wasasa wavivu na waoga mtaliharibu hili taifa

    • @simontamba2189
      @simontamba2189 11 หลายเดือนก่อน

      Nakuambia tunakokwenda ni kubaya Saana Vijana wa leo kufanywa machawa wasipiganie mambo ya Msingi ola wapiganiee matumbo ya watu shame on next future

  • @SuleimaniFihoma
    @SuleimaniFihoma 11 หลายเดือนก่อน

    Asante mwenyekiti

  • @user-rl6vf9tg8m
    @user-rl6vf9tg8m 11 หลายเดือนก่อน

    Umezeeka vizur mzee

  • @ruthsebastian4633
    @ruthsebastian4633 11 หลายเดือนก่อน

    Sema baba

  • @kusekwasita1576
    @kusekwasita1576 10 หลายเดือนก่อน

    M.kiti wa mitaa Yuko safi

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ww mkuu wa mkoa haufai kwan unatetea uovu, ungekuwa na uongozi bora ungefukuza wote wanaodhurumu wananchi mali zao lakin unasema iwe funzo gan wakat hao wote ni wizi

  • @norascomulenzi222
    @norascomulenzi222 11 หลายเดือนก่อน +2

    HaLI NI MBAYA

  • @aymanmlomo2467
    @aymanmlomo2467 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah ALLAH aiyokoe Nchi yetu na viongozi wapigaji.

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli itakuweka huru.
    Bravo.

  • @bwirepilly8446
    @bwirepilly8446 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongezee cku za kuishi

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 11 หลายเดือนก่อน

    Aisee mzee mzee kweli

  • @janneferisaya83
    @janneferisaya83 10 หลายเดือนก่อน

    Rip magu 😢😢

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyekiti wa mfano.

  • @jescalimelela6785
    @jescalimelela6785 10 หลายเดือนก่อน

    Tukutane kwa Mungu tu mana watu wengine wanaona hii dunia ya kwao peke yao wamesahau tumeumbwa na mungu tuliambiwa wote ivi vitu tuvitawale nashangaa leo vimekuwa vyao peke yao😢😢😢😢😢

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 11 หลายเดือนก่อน +5

    SERIKALI YA SAMIA WEZI WATUPI

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 11 หลายเดือนก่อน

    Very good mzee

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania inasikitisha sana

  • @mpondaambrose2231
    @mpondaambrose2231 11 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢 dah enz hizo vibalua vingepepea hawa

  • @edisonsebasitian-th3zy
    @edisonsebasitian-th3zy 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee hama chama hyo ccm nimatapeli tu hata xixi wamachinga tuna teseka sana tunaishi kama wakimbizi kwenye hii inchi iliojaa laana

  • @donathakimaro5276
    @donathakimaro5276 10 หลายเดือนก่อน

    Leo tunauzwa sisi familiya ya mzee paschal Lusinde Ng'ingo pale wilaya mpya ya kilolo baba yetu mdogo ameuza mashamba yetu yote kwa madai kinajengwa kituo cha polisi kwenye ekali kumi 18 wakituacha hatuna pa kushika watanzania tusaidieni

  • @user-cr2nb4md6w
    @user-cr2nb4md6w 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh cjui

  • @aminamwiru7605
    @aminamwiru7605 11 หลายเดือนก่อน

    Hata kwenye mirathi wanasumbua mahakamam jaman tunanyanyasika kesi inasikilizwa Muda mref ya nan awe msimamiz wa mirathi wanafanya biashara watoto wanateseka dash kes no 346/2021 .

  • @user-yd7xz9ri9g
    @user-yd7xz9ri9g 11 หลายเดือนก่อน

    Nakupongeza kada mwenzangu hii ndio kazi yetu makada Ikn wenye nia mbaya unaweza kutafsieiwa kuwa mipinzani❤

  • @abuali-cf6cn
    @abuali-cf6cn 11 หลายเดือนก่อน

    Tumejisahau hadi dunia tumeiweka mbele akhera hatuna habari

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya hovyo kabisa!!! Kama tunaongozwa na mkoloni! It is shy!!!

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani kada wetu uko vizuri naomba hata mfumo wa elimu NECTA index no zitumike hadi AJIRA chache hizo badala ya majina

  • @user-ed5il5to4r
    @user-ed5il5to4r 10 หลายเดือนก่อน

    Tunakupomgeza Sana mzee wetu wazalendo Kama wewe no wachache

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 11 หลายเดือนก่อน +7

    Utawala wa sasa ni vilio kila kona.
    Mungu mkubwa, kuna siku yatakwisha tu.

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 11 หลายเดือนก่อน

    Mzeee❤❤❤❤❤

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 11 หลายเดือนก่อน

    Itafika tu mtasema ukweli nyakati zimefika

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 11 หลายเดือนก่อน

    Ccm igeni kwa huyu mzee

  • @ShaibuMniwa-gy8do
    @ShaibuMniwa-gy8do 11 หลายเดือนก่อน

    Masala mwizi tuuuu

  • @user-yp1dy9nb3r
    @user-yp1dy9nb3r 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee Sina Cha kukulipa ila MUNGU atakulipa tu maana wewe ni mzalendo

  • @japhetnyese2285
    @japhetnyese2285 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabsa kada wachama, mikataba feki imejaa kwenye mikataba mbali mbali wanaofanya hivo ni watu wa kati kati ya mwajiliwa , pia pongezi kwa mkuu wa mkoa kwa majibu mazuri