Muumba wangu natamani sana unikalibie na kuongea na wewe ata kwa ndoto, muumba wangu nakupenda nakutamani naomba uje na nikuone muumba wangu, mimi ni mtoto wako baba naomba unisogeleee naomba bwana amen amen 🙏
Mungu hizi ndoto nazikemea katika jina lako Kwako yote yawezekana Kupitia Kwa mapigo ya mwanao Yesu Kristo tulikombolewa Isaiah 54 Psalms 91 it's our portion in Jesus name Amen
Mungu hiii ndoto ya kula naomba unitolee hiii ndio ndoto inayo nisumbuwa kwa jina la yesu hii nguvu ya giza inayotumika kwa ajili yangu naomba baba kwa damu ya mwanayo aliekuja kunikombowa naomba unisafishe kwa jina la yesu amen amen 🙏
Bwana YESU asifiwe mtumushi Mimi niliota nimebeba bendera ya taifa nimeiinua juu sana watu wengi sana wananikimbilia wanataka kupiga picha na mimi wamenizinga sana
Mungu akutie Nguvu Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU usikate Tamaa YESU yupo pamoja nawe,hayo ni majaribu tu katika maisha yako ipo Siku ya BARAKA na HESHIMA na FARAJA Yako,Mtumaini YESU nawe atafanya Kwaajili ya MAISHA YAKO.Katika Jina la YESU nakuombea Amen 🙏🙏.
Mwanga mwingi kutoka kwenye anga inamaanisha baraka au Nguvu za Mungu,lakini Kwa kuwa unapotea Ina maanisha Kuna wakuu wa Anga wanazuia baraka zako au Nguvu za MUNGU ambazo umezihitaji au kuziomba Kwa MUDA mrefu ila hiyo ni kawaida tuuh! Kutokea Maana hata Daniel ilimtokea Ila funga na Kuomba Kwa bidii kama Daniel nawe utapata Majibu au haja ya Moyo wako kutoka Kwa Mungu ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU AMEN 🙏❤️🙏
Mimi chuon kwangu nmepewa suspension lkn jana usiku nmeota kua nipo chuon kwetu lakin kuna nyuki wengi wanatungata wanafunz na malecture wote hii inamaanisha nn mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe Sana Dada,Kwa kusema, hapo Nyuki inamaanisha mapepo Ambayo yanawatesa hapo chuoni, na kuonekana Kwa Nyuki hao Mungu anaonesha kuwa Kuna roho ambazo zinasababisha watu wasiweze kufurahia chuo yaani waone chuo ni kibaya ndo maana unaona zinawanyata Lakini Bado mpo mazingira ya chuo na hamtaki kutoka kwenye Hilo eneo Kwa hiyo Ina bila shaka Kuna Maisha Ambayo chuo chenu mnaishi alaf mnaumia Lakini hamchukui hatua, hata na walimu inawaumiza Lakini Bado mpo kimya NENO linasema "msijisumbue Kwa jambo lolote lakini Kwa Kila JAMBO ni kusali na Kuomba pamoja na kushukuru Haja zenu na zijulikane Kwa Mungu "WAFILIPI 4:6 Pia YESU anasema "Namna hii haitoki ila Kwa kusali na Kufunga" MATHAYO 17:21 Kwahiyo ukipotezea wengi mtaendelea kusumbuliwa hapo chuoni na sio wanafunzi TU,Bali hata walimu baadhi wataondolewa hapo chuo Kwa njia isiyo harali ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏 MUNGU AKUTIE NGUVU katika kuombea chuo chenu
@@The-Sword-Of-Endtimes Amen mtumishi niliota niko kwa safari kisha ghafla ñikasikia haja ndogo ila mahali nilipo enda kujiziba nitaonekana na nikaacha na kutafúta sehemu nyingine ila hio sehemu nyingine nayo pia nikakutwa hivyo na nikaamua kuacha kabisa nikatoka nalipo changanya hio barabara ili niendelee kwa safari nikaamka je unamanisha Nini hii NDOTO ?
@janecharo1196 kwanza inabidi umshukuru Mungu maana inaonekana una Maono ya kufika sehemu Fulani kimaisha ndo maana unajiona upo safarini lakini pia Kuna Mambo shetani anataka akuaibishe kwenye safari Yako Ili isiwe na SIFA nzuri ila Mungu anakupa hekima ya kuingia na kutoka mbele za watu waokuangalia kipindi unaelekea Maono Yako .Cha msingi ni hichi jilinde katika Maisha Yako usije ukaropoka hata kama unakutana na shida maana utajipunguzia HESHIMA Mbele za watu na kukosa kibali mbele za MUNGU na wanadamu katika safari Yako ya mafanikio .Ila usalama zaidi Ili hayo Yote yatimie Usiace Wokovu wa YESU KRISTO.Hivyo ndivyo Mungu alivyonifunulia maana tunafunuliwa Kwa sehemu na mengine utayaelewa mwenyewe mbeleni nawe utamtukuza MUNGU AMEN 🙏
@@The-Sword-Of-Endtimes Amen Amen MUNGU AKUBARKI SANA NA PIA MUNGU AZIDI KUNIPA NEEMA YA KUFAHAMU HAYO. HII NI KWELI KABISA MAANA ATA MMI NILIPATA HIO ILA IKAWA NASHAUKU NAYO MAANA YAKE NILIKUA SIJIAMINI KWAMBA NDIVYO. ILA NAOMBA MUNGU ANIPE UFUMBUZI ZAIDI AMEN AMEN 🙏🏿 🙏🏿
Nimeota mbegu ya maharage zimefunwga na nyusi kakitikati,niko na mtu tumekaa ndani ya maji imefika karibu kivua na hizi marage tumeshika mikono iko kwa maji safi inaonesha hizo mbegu,moja nyeupe na ingine green,mimi nimeshikiria ya green na huyo kaniambia yangu yakaa kua kaa hiyo nyeupe,unaeza tafakari hii niweze kuelewa
Bwana yesu asifiwe mtumishi Mimi Kuna ndoto Hua inanitokea Mara kwa Mara Hua naota nipo kwenye maji yanamawimbi meusi yananifata au watoto wangu wametumbukia kwenye maji mengi Maana yake nn?
Hapo inamaana kuwa Kuna kipindi Cha maisha yako ulipitia Ambayo sio mazuri na unapoona watoto wako wametumbukia basi ujue KWAMBA zile Roho chafu zilizokuwa zinakusumbua aidha maisha ya shida au Dhambi Fulani Ambayo ulikuwa unasumbuka nayo zinawafuatilia watoto wako pia maana hai ni Damu Yako. kwani hujawai kuona Kuna UGONJWA au SHIDA au DHAMBI Fulani inatesa familia au UKOO Fulani? Miaka nenda Rudi basi na wewe ndo hivyo ila shukuru MUNGU amekuonesha maana ukifunga na Kuomba Tatizo Hilo linakoma katika jina la YESU KRISTO ila hakikisha umejitakasa Kwa MUNGU na kama HUJAOKOKA, OKOKA SASA ILI upate kibali mbele za MUNGU, AMEN 🙏
Mungu wangu nisaidie nimeota mara nne niko na kanza naomba magonjwa yote yaniondekee katika jina lako baba wachawi ambao wameniandama wapotee wote katika jina lako Ameeen
Amen ubarikiwe Sana Ndugu yangu Ila Kwa usalama wako unapokua unaomba omba Kwa kulitaja Jina la YESU KRISTO maana Yeye ndo MUNGU wa kweli usiseme tu Mungu wangu nisaidie Kwa Jina lako, maana miungu ipo mingi ila Mkuu ni YESU,na MUNGU akuponye Kwa Jina la YESU KRISTO Amen 🙏❤️🙏
Hiyo ni maana ya kiroho zaidi hao polisi ni MALAIKA wa MUNGU kwahiyo Kuna Mambo Mungu anakuonesha Kwamba unatakiwa kuombea hiyo harusi hata ikamilike katika ULINZI WA MUNGU na hata Kuombea usalama katika Ndoa za watu kwahiyo Mungu amekuweka kuwa mmoja wa walinzi katika harusi na Ndoa Kwa njia ya Maombi,angalia kama Kuna Mtu unamjua anatakiwa Kufunga Ndoa muombee Sana jambo Hilo lifanyike chini ya ULINZI WA MUNGU YESU akulinde na kukuiniua uwe na siku njema AMEN 🙏❤️🙏
Hapo inatokana na Hali Yako Maana sio Kila ndoto ni ya Mungu au shetani ila zingine zinatokana na mawazo Yako ya Kila siku.ila pia ikiwa ni ya Mungu na Wala hukufikiria basi omba maana ni taarifa njema ya maendeleo Maishani mwako Ndugu yangu katika KRISTO YESU
Please nisaidie jana nimeota vibaya niliona watu wako ka skeleton alafu kila mmoja ameekwa kwa jeneza kwenye mtaro mrefu wametolewa nyama wamebaki mifupa tu wingine wamekufa wengine wako hai kwa jeneza mifupa tu , ndo nikaambia mwenye tulikuwa naye tuende tusitolewe nyama ndo nikaamka ilikuwa saa tisa 3.00am juu juu waaa naogopa
Kwanza kabisa nashukuru MUNGU umekua muazi kusema Hili ila JAMBO KUU NI HILI USIOGOPE MAANA UKIOGOPA HIZO SKELETON NI roho za mauti zinawafuatilia wewe na huyo uliye kuwa naye kwahiyo UKIOGOPA zinapata nafasi ya kukushambulia ila kuwa JASIRI Maana YESU KRISTO yupo nawe tangu Sasa nami nakuombea katika Jina la YESU KRISTO hautakufa Bali utaishi nawe utasimulia makuu ya YESU Kwa Watu Amen 🙏❤️
Omba Mungu akuepushe na roho za maibisho pia inaonekana kuwa Kuna jambo unalifanya mara Kwa mara Ambalo linakuoñdolea Utukufu nawe unaliona la kawaida MUNGU AKUSAIDIE SANA katika kuingia na kutoka mbele za watu Amen 🙏
Kama Umebarikiwa basi Usiache Bonyeza Neno ✅ SUBSCRIBE ✅ Ili Upate Mafundisho Zaidi.Na MUNGU akubariki Sana Amen 🙏
Eeeh Mungu Baba naomba uturehemu kwa Damu ya Yesu Kristo, kumbuka kazi ya mkono wangu.
asante sana nimeandika ma neno yote kwaajili ya kujifunza, nawewe piya mungu akubariki amen🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏
Ameni asante Kwa Hiyo mafunzo Bora ubarikiwe
Ubarikiwe Sana
Barikiwa mtumishi
Hizi Ndoto mbaya nazikataa kwa Jina La yesu Ee mwenyez Mungu na omba uniponye naamini kwa Jina La yesu Amen🤲🤲🙏
@@SoosanOman Amen
Asante sana mtumishi Mungu akubariki 🎉
Amen ubarikiwe Sana Ndugu yangu
Amen🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU
Eeeh Mungu Baba naomba uturehemu kwa Damu ya Yesu Kristo
Amen
Ameeen kaka Mungu akubariki sana ❤
Hallelujah hallelujah hallelujah more blessings 🎉🎉🎉
Be blessed
Amen 🙏🙏🙏🙏
YESU akulinde na kukuiniua
Amen
Muumba wangu natamani sana unikalibie na kuongea na wewe ata kwa ndoto, muumba wangu nakupenda nakutamani naomba uje na nikuone muumba wangu, mimi ni mtoto wako baba naomba unisogeleee naomba bwana amen amen 🙏
Leo Mungu atanena nawe katika ndoto
Hayo ndo maishanapitis nabiadhara yangu imekaraliwa kwa jina la Yes
Amen 🙏 ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏
Asante ❤❤
Ubarikiwe Sana
ameni
Amen 🙏
Mungu wangu ndoto ya 1-6 nimeziota mfululizo na karibia mazara yote yamenipata.Bwana Yesu nipiganie peke yangu siwez
Amen 🙏 YESU akulinde na kukutunza uwe na Maisha Mema katika jina la YESU KRISTO AMEN 🙏.
Mtumishi hizi ndoto karibu zote naziota Mungu anisaidie
Mungu akuepushe katika Jina la YESU KRISTO Amen 🙏🙏. Mpendwa endelea kushikilia Wokovu wa YESU KRISTO maana Yeye ndo UZIMA WAKO MUNGU AKUBARIKI.Amen
Mungu atusaidi
Amen
Mungu wangu mumbaji wa vitu vyote nakuomba unikubali mumaisha yangu yote ongeya na mi ata kwenye ndoto
Amen
❤❤❤
Mungu hizi ndoto nazikemea katika jina lako
Kwako yote yawezekana
Kupitia Kwa mapigo ya mwanao Yesu Kristo tulikombolewa
Isaiah 54
Psalms 91 it's our portion in Jesus name Amen
Amen ubarikiwe
Pastor niombe hio ya kupanya mapezi yako sana kwangu 😢
Kwa Jina la YESU KRISTO pokea ukombozi Kwa Damu Ya YESU, Amen 🙏.
Eee mungu nisaidie nimeishi kuota nimerudi shule ya msingi ama secondari Mungu nipe nguvu na unisaidie
Amen katika Jina la YESU KRISTO Msaada ukufuate🙏
Mungu hiii ndoto ya kula naomba unitolee hiii ndio ndoto inayo nisumbuwa kwa jina la yesu hii nguvu ya giza inayotumika kwa ajili yangu naomba baba kwa damu ya mwanayo aliekuja kunikombowa naomba unisafishe kwa jina la yesu amen amen 🙏
AMEN 🙏 YESU AKUPONYE NA KUKUWEKA SALAMA
Bwana YESU asifiwe mtumushi Mimi niliota nimebeba bendera ya taifa nimeiinua juu sana watu wengi sana wananikimbilia wanataka kupiga picha na mimi wamenizinga sana
MUNGU akubariki Kwa ndoto mara nyingi ndoto kama hizo Huwa zinaashiria ukuu yaani unaweza kuwa mwakilishi wa wengine yaani kiongozi
Yaani hiyono.10 imesababisha mume wangu kufa.
Mungu akutie Nguvu Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU usikate Tamaa YESU yupo pamoja nawe,hayo ni majaribu tu katika maisha yako ipo Siku ya BARAKA na HESHIMA na FARAJA Yako,Mtumaini YESU nawe atafanya Kwaajili ya MAISHA YAKO.Katika Jina la YESU nakuombea Amen 🙏🙏.
Eeh Mungu naomba kibali kutoka kwako Mwenyezi Mungu shetani asndwe juu yangu ntakaswe kwa dam ya yesu kristo
Amen 🙏❤️ ubarikiwe na upokee Kwa Jina la YESU KRISTO 🙏
Ulikuwa wap aisee
Amani ya bwana yesu kristo iwe paamoja nawewe kwa hyo mafundisho
Amen 🙏
Am so touched today. Na ukiona mwanga mwingi ukitokezea kwenye anga alafu upotee inamaanisha nini? Naomba msaada please.
Mwanga mwingi kutoka kwenye anga inamaanisha baraka au Nguvu za Mungu,lakini Kwa kuwa unapotea Ina maanisha Kuna wakuu wa Anga wanazuia baraka zako au Nguvu za MUNGU ambazo umezihitaji au kuziomba Kwa MUDA mrefu ila hiyo ni kawaida tuuh! Kutokea Maana hata Daniel ilimtokea Ila funga na Kuomba Kwa bidii kama Daniel nawe utapata Majibu au haja ya Moyo wako kutoka Kwa Mungu ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU AMEN 🙏❤️🙏
Aki hio ndoto ya saba nimeishi kuiota tangu nikiwa class 3, na mm naishi maisha yashida2 aki mungu nisaidie
Msaada Wa Mungu uje kwako Sasa katika Jina la YESU KRISTO.Amen
Mimi chuon kwangu nmepewa suspension lkn jana usiku nmeota kua nipo chuon kwetu lakin kuna nyuki wengi wanatungata wanafunz na malecture wote hii inamaanisha nn mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe Sana Dada,Kwa kusema, hapo Nyuki inamaanisha mapepo Ambayo yanawatesa hapo chuoni, na kuonekana Kwa Nyuki hao Mungu anaonesha kuwa Kuna roho ambazo zinasababisha watu wasiweze kufurahia chuo yaani waone chuo ni kibaya ndo maana unaona zinawanyata Lakini Bado mpo mazingira ya chuo na hamtaki kutoka kwenye Hilo eneo Kwa hiyo Ina bila shaka Kuna Maisha Ambayo chuo chenu mnaishi alaf mnaumia Lakini hamchukui hatua, hata na walimu inawaumiza Lakini Bado mpo kimya NENO linasema "msijisumbue Kwa jambo lolote lakini Kwa Kila JAMBO ni kusali na Kuomba pamoja na kushukuru Haja zenu na zijulikane Kwa Mungu "WAFILIPI 4:6
Pia YESU anasema "Namna hii haitoki ila Kwa kusali na Kufunga" MATHAYO 17:21
Kwahiyo ukipotezea wengi mtaendelea kusumbuliwa hapo chuoni na sio wanafunzi TU,Bali hata walimu baadhi wataondolewa hapo chuo Kwa njia isiyo harali ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏 MUNGU AKUTIE NGUVU katika kuombea chuo chenu
Kila ndoto mbaya zinazo zuiya hatima ya maisha yangu na futa kwa DAMU YA YÉSU
Ubarikiwe Sana Ndugu yangu
@@The-Sword-Of-Endtimes Amen mtumishi niliota niko kwa safari kisha ghafla ñikasikia haja ndogo ila mahali nilipo enda kujiziba nitaonekana na nikaacha na kutafúta sehemu nyingine ila hio sehemu nyingine nayo pia nikakutwa hivyo na nikaamua kuacha kabisa nikatoka nalipo changanya hio barabara ili niendelee kwa safari nikaamka je unamanisha Nini hii NDOTO ?
@janecharo1196 kwanza inabidi umshukuru Mungu maana inaonekana una Maono ya kufika sehemu Fulani kimaisha ndo maana unajiona upo safarini lakini pia Kuna Mambo shetani anataka akuaibishe kwenye safari Yako Ili isiwe na SIFA nzuri ila Mungu anakupa hekima ya kuingia na kutoka mbele za watu waokuangalia kipindi unaelekea Maono Yako .Cha msingi ni hichi jilinde katika Maisha Yako usije ukaropoka hata kama unakutana na shida maana utajipunguzia HESHIMA Mbele za watu na kukosa kibali mbele za MUNGU na wanadamu katika safari Yako ya mafanikio .Ila usalama zaidi Ili hayo Yote yatimie Usiace Wokovu wa YESU KRISTO.Hivyo ndivyo Mungu alivyonifunulia maana tunafunuliwa Kwa sehemu na mengine utayaelewa mwenyewe mbeleni nawe utamtukuza MUNGU AMEN 🙏
@@The-Sword-Of-Endtimes Amen Amen MUNGU AKUBARKI SANA NA PIA MUNGU AZIDI KUNIPA NEEMA YA KUFAHAMU HAYO. HII NI KWELI KABISA MAANA ATA MMI NILIPATA HIO ILA IKAWA NASHAUKU NAYO MAANA YAKE NILIKUA SIJIAMINI KWAMBA NDIVYO. ILA NAOMBA MUNGU ANIPE UFUMBUZI ZAIDI AMEN AMEN 🙏🏿 🙏🏿
@janecharo1196 ubarikiwe Sana
Ban naomba unene nami katika ndoto nimechoka na maadui zangu, nami nimekukimbilia wewe bab
Nimeota mbegu ya maharage zimefunwga na nyusi kakitikati,niko na mtu tumekaa ndani ya maji imefika karibu kivua na hizi marage tumeshika mikono iko kwa maji safi inaonesha hizo mbegu,moja nyeupe na ingine green,mimi nimeshikiria ya green na huyo kaniambia yangu yakaa kua kaa hiyo nyeupe,unaeza tafakari hii niweze kuelewa
Hii ndoto ya shule ishindwe kabisa imeniandama sana 😢
Amen 🙏 YESU akulinde Sana Ndugu yangu
@@The-Sword-Of-Endtimes amen 🙏
Imenisumbua for long ,naomba ishindwe Kwa jina la Yesu 🙏🙏
@annkemunto8 Amen 🙏❤️ YESU KRISTO akulinde na kukuiniua uwe na Maisha Mema katika KRISTO YESU AMEN 🙏❤️🙏
Jomon hata mm Hadi nachukia ishindwe kwa jina la yesu
😅❤❤❤❤
Bwana yesu asifiwe mtumishi Mimi Kuna ndoto Hua inanitokea Mara kwa Mara Hua naota nipo kwenye maji yanamawimbi meusi yananifata au watoto wangu wametumbukia kwenye maji mengi Maana yake nn?
Hapo inamaana kuwa Kuna kipindi Cha maisha yako ulipitia Ambayo sio mazuri na unapoona watoto wako wametumbukia basi ujue KWAMBA zile Roho chafu zilizokuwa zinakusumbua aidha maisha ya shida au Dhambi Fulani Ambayo ulikuwa unasumbuka nayo zinawafuatilia watoto wako pia maana hai ni Damu Yako. kwani hujawai kuona Kuna UGONJWA au SHIDA au DHAMBI Fulani inatesa familia au UKOO Fulani? Miaka nenda Rudi basi na wewe ndo hivyo ila shukuru MUNGU amekuonesha maana ukifunga na Kuomba Tatizo Hilo linakoma katika jina la YESU KRISTO ila hakikisha umejitakasa Kwa MUNGU na kama HUJAOKOKA, OKOKA SASA ILI upate kibali mbele za MUNGU, AMEN 🙏
Mungu wangu nisaidie nimeota mara nne niko na kanza naomba magonjwa yote yaniondekee katika jina lako baba wachawi ambao wameniandama wapotee wote katika jina lako Ameeen
Amen ubarikiwe Sana Ndugu yangu Ila Kwa usalama wako unapokua unaomba omba Kwa kulitaja Jina la YESU KRISTO maana Yeye ndo MUNGU wa kweli usiseme tu Mungu wangu nisaidie Kwa Jina lako, maana miungu ipo mingi ila Mkuu ni YESU,na MUNGU akuponye Kwa Jina la YESU KRISTO Amen 🙏❤️🙏
@@The-Sword-Of-Endtimes Ameen be blessed
@@The-Sword-Of-Endtimes Na mungu akubariki sana kwa kunifundisha Ameen Ameen 🙏🙏🙏
@FaithKwamboka-i5h ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU AMEN 🙏
@@The-Sword-Of-Endtimes Ameen
Nisaidie nimepata ndoto nimesimamia harusi ya m2 ambaye alikuwa analindwa na polisi kwenye harusi yake
Hiyo ni maana ya kiroho zaidi hao polisi ni MALAIKA wa MUNGU kwahiyo Kuna Mambo Mungu anakuonesha Kwamba unatakiwa kuombea hiyo harusi hata ikamilike katika ULINZI WA MUNGU na hata Kuombea usalama katika Ndoa za watu kwahiyo Mungu amekuweka kuwa mmoja wa walinzi katika harusi na Ndoa Kwa njia ya Maombi,angalia kama Kuna Mtu unamjua anatakiwa Kufunga Ndoa muombee Sana jambo Hilo lifanyike chini ya ULINZI WA MUNGU YESU akulinde na kukuiniua uwe na siku njema AMEN 🙏❤️🙏
Na ukiota unaendesha gar
Hapo inatokana na Hali Yako Maana sio Kila ndoto ni ya Mungu au shetani ila zingine zinatokana na mawazo Yako ya Kila siku.ila pia ikiwa ni ya Mungu na Wala hukufikiria basi omba maana ni taarifa njema ya maendeleo Maishani mwako Ndugu yangu katika KRISTO YESU
Kila mtu ameguswa hapa
Ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU
Please nisaidie jana nimeota vibaya niliona watu wako ka skeleton alafu kila mmoja ameekwa kwa jeneza kwenye mtaro mrefu wametolewa nyama wamebaki mifupa tu wingine wamekufa wengine wako hai kwa jeneza mifupa tu , ndo nikaambia mwenye tulikuwa naye tuende tusitolewe nyama ndo nikaamka ilikuwa saa tisa 3.00am juu juu waaa naogopa
Kwanza kabisa nashukuru MUNGU umekua muazi kusema Hili ila JAMBO KUU NI HILI USIOGOPE MAANA UKIOGOPA HIZO SKELETON NI roho za mauti zinawafuatilia wewe na huyo uliye kuwa naye kwahiyo UKIOGOPA zinapata nafasi ya kukushambulia ila kuwa JASIRI Maana YESU KRISTO yupo nawe tangu Sasa nami nakuombea katika Jina la YESU KRISTO hautakufa Bali utaishi nawe utasimulia makuu ya YESU Kwa Watu Amen 🙏❤️
Na je ukiota unajisaidia haja kubwa but ukiamka uko tu saw inamaana gani please nisaidie hii ndoto inajirudia Sanaa

❤❤❤❤❤
❤❤❤❤