The Sword Of Endtimes
The Sword Of Endtimes
  • 20
  • 91 555

วีดีโอ

Haya Majanga 3 Lazima Yatokee kabla ya Kurudi Kwa YESU KRISTO Duniani.(usisahau ku SUBSCRIBE ✅)
มุมมอง 23314 วันที่ผ่านมา
SUBSCRIBE! SUBSCRIBE! SUBSCRIBE! Kisha Bonyeza Alama ya kengele (All) Mpendwa katika KRISTO YESU Ili uwe wa Kwanza kupata Mafundisho mengine Ya Bwana wetu YESU KRISTO kupitia channel Hii.ubarikiwe Sana Ndugu yangu Amen 🙏
YESU Anarudi jamani! PASSPORT YA NGONO HISPANIA!!?😱😱
มุมมอง 314หลายเดือนก่อน
Jiweke Tayari YESU KRISTO Anarudi.
Ndoto 11 Na Maana Zake Ambazo Hutakiwi kupuuzia /Ndoto Ambazo unahitaji Msaada Wa Mungu
มุมมอง 8K2 หลายเดือนก่อน
YESU ANAKUPENDA SANA.AMEN SUBSCRIBE Kwenye Channel yetu Ili kupata Taarifa Kwa Mapana zaidi.
KAMA UMETEULIWA NA MUNGU,ELEWA SIRI 9 ZA ULINZI WAKO.
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
Mpendwa usikate Tamaa YESU KRISTO anakupenda sana kuliko unavyodhani .mshikilie Yeye TU maishani mwako nae hatakuacha.
FAIDA 7 ROHO MTAKATIFU KWA MKRISTO /UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KWA MKRISTO MWENDA MBINGUNI.
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
Mpendwa katika BWANA YESU usisahau ku SUBSCRIBE COMMENT LIKE na PIA KU SHARE Ili Huduma iende mbali zaidi.Asante Kwa Ushirikiano wako Mungu akubariki Amen.🙏🙏
MUHIMU/FAIDA 5 ZA KUFUNGA NA KUOMBA NA MAMBO YA KUEPUKA UKITAKA KUFUNGA .
มุมมอง 45K2 หลายเดือนก่อน
MUHIMU/FAIDA 5 ZA KUFUNGA NA KUOMBA NA MAMBO YA KUEPUKA UKITAKA KUFUNGA .
SHETANI HATAKI WAKRISTO TUJUE MIPANGO YAKE 5(MITANO)DHIDI YA KANISA.
มุมมอง 23K2 หลายเดือนก่อน
SHETANI HATAKI WAKRISTO TUJUE MIPANGO YAKE 5(MITANO)DHIDI YA KANISA.
Majina 18 ya MUNGU na Maana Yake,na Msaada wake katika maisha yako ya kiroho na kimwili.
มุมมอง 1362 หลายเดือนก่อน
Majina 18 ya MUNGU na Maana Yake,na Msaada wake katika maisha yako ya kiroho na kimwili.
Dalili Za kuachwa/kupoteza ROHO MTAKATIFU.
มุมมอง 1.2K2 หลายเดือนก่อน
Dalili Za kuachwa/kupoteza ROHO MTAKATIFU.
JE! YESU NI MUNGU ?/YESU KRISTO NI MUNGU.ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI?.
มุมมอง 1662 หลายเดือนก่อน
JE! YESU NI MUNGU ?/YESU KRISTO NI MUNGU.ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI?.

ความคิดเห็น

  • @martinmwaringa9269
    @martinmwaringa9269 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Am so touched today. Na ukiona mwanga mwingi ukitokezea kwenye anga alafu upotee inamaanisha nini? Naomba msaada please.

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwanga mwingi kutoka kwenye anga inamaanisha baraka au Nguvu za Mungu,lakini Kwa kuwa unapotea Ina maanisha Kuna wakuu wa Anga wanazuia baraka zako au Nguvu za MUNGU ambazo umezihitaji au kuziomba Kwa MUDA mrefu ila hiyo ni kawaida tuuh! Kutokea Maana hata Daniel ilimtokea Ila funga na Kuomba Kwa bidii kama Daniel nawe utapata Majibu au haja ya Moyo wako kutoka Kwa Mungu ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU AMEN 🙏❤️🙏

  • @AtukuzweMwepelwa
    @AtukuzweMwepelwa 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila mtu ameguswa hapa

  • @SadiKiza
    @SadiKiza 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen Bwana Yesu asifiwe sana

  • @user-lz2tp4il5v
    @user-lz2tp4il5v 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen amen 🙏🙏🧎🧎🙌🙌 glory be to God

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏❤️

  • @beatusmichael1727
    @beatusmichael1727 วันที่ผ่านมา

    Majihurusiwi kuywa hata kama umefunga siku tatu

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaweza kunywa maji kama uliweka Nadhiri ya Mfungo Siku 3 yenye kuhusisha maji lakini kama ulisema hauna maji usinywe maana upo nje ya makubaliano Kwa Mungu Amen 🙏❤️ ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU

  • @beatusmichael1727
    @beatusmichael1727 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kwaneno zuru mtumishi kunakutunime jifunza kwako

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen 🙏❤️ ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU

  • @user-ek5sr4sd4r
    @user-ek5sr4sd4r วันที่ผ่านมา

    Amen Amena❤❤❤🎉🎉🎉

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes วันที่ผ่านมา

      Amen ubarikiwe pia ndugu yangu katika KRISTO YESU

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 2 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @euniceSimon-eb9ss
    @euniceSimon-eb9ss 2 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @emanuelbaha-x8u
    @emanuelbaha-x8u 2 วันที่ผ่านมา

    Nisaidie nimepata ndoto nimesimamia harusi ya m2 ambaye alikuwa analindwa na polisi kwenye harusi yake

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 2 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ni maana ya kiroho zaidi hao polisi ni MALAIKA wa MUNGU kwahiyo Kuna Mambo Mungu anakuonesha Kwamba unatakiwa kuombea hiyo harusi hata ikamilike katika ULINZI WA MUNGU na hata Kuombea usalama katika Ndoa za watu kwahiyo Mungu amekuweka kuwa mmoja wa walinzi katika harusi na Ndoa Kwa njia ya Maombi,angalia kama Kuna Mtu unamjua anatakiwa Kufunga Ndoa muombee Sana jambo Hilo lifanyike chini ya ULINZI WA MUNGU YESU akulinde na kukuiniua uwe na siku njema AMEN 🙏❤️🙏

  • @KaumbyaJasinta
    @KaumbyaJasinta 3 วันที่ผ่านมา

    Amina na Mungu anisaidie

  • @scolarjapheth3249
    @scolarjapheth3249 3 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumish

  • @Shirlyn-rk5sw
    @Shirlyn-rk5sw 4 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana mtumishi 👋👋👋

  • @upendochenela8000
    @upendochenela8000 4 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi ubarikiwe

  • @user-yh5ds8ck1e
    @user-yh5ds8ck1e 4 วันที่ผ่านมา

    Amina

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 4 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏❤️

  • @borashabani1114
    @borashabani1114 5 วันที่ผ่านมา

    17:11

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes วันที่ผ่านมา

      Nimekuelewa Mungu akulinde na kukuiniua uwe na Maisha Mema YESU Awa Tumaini lako

  • @MaryBosibori-iw1yo
    @MaryBosibori-iw1yo 5 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi Kwa mafundisho manzuri mungu hanisaitia niwe mukamilifu mbeli sake 😭😭🙏🙏

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 5 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU Ila Mungu Yupo nawe usiogope Cha msingi endelea kutimiza mapenzi yake Amen 🙏

    • @MaryBosibori-iw1yo
      @MaryBosibori-iw1yo 5 วันที่ผ่านมา

      @@The-Sword-Of-Endtimes amen amen amen 🙏🙏🙏

  • @user-lp9hg2dv5s
    @user-lp9hg2dv5s 5 วันที่ผ่านมา

    Hayo ndo maishanapitis nabiadhara yangu imekaraliwa kwa jina la Yes

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 5 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏 ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏

  • @user-cl7el1ky4g
    @user-cl7el1ky4g 5 วันที่ผ่านมา

    Amina ubarikiwe na wewe🙏

  • @user-qc5bp6iu2b
    @user-qc5bp6iu2b 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mtumishi kasian

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 6 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa somo zuri maisha malefu nakutakia

  • @faisalali8550
    @faisalali8550 6 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mtumichi wamungu sisa vip nahizikazi zawalabuni ukifunga nahizikazi zanguvu vp tufanyeje tuombee sana tunachindwakufunga kwasababu kazingumu

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 6 วันที่ผ่านมา

      Asante Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU,Ila ninachojua ni kwamba kama hauna UGONJWA wowote unaweza Fanya kazi ngumu na umefunga maana Mungu anakutia Nguvu,Kuna kipindi nilienda jeshi mwaka 2022 nilikutana na askali mmoja ameokoka.Aliniambia mazoezi ya Siku ya kwanza ya Kufungua mafunzo Ambayo ni magumu Sana aliyafanya huku kafunga,pia mi mwenyewe kipindi nipo kidato Cha 6 niliugua malizi Fulani ya tumbo pamoja na vidonda vya tumbo lakini Mungu ni Mwaminifu nikuwa nafunga na uponyaji wangu niliupokea kwenye mifungo Kwa hiyo kazi ngumu si sababu meombe MUNGU atakutia Nguvu ubarikiwe Sana Ndugu yangu

    • @faisalali8550
      @faisalali8550 6 วันที่ผ่านมา

      Asante sana mtumichi wamungu mungu akuzidichie akupe maicha malefu napia tuna enjoy kwakukufua tunaaamini kirasiku tutakuwa wakwanza gupata mafundichoyako asantesana

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 6 วันที่ผ่านมา

      @faisalali8550 Asante Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU barikiwa Sana Amen 🙏

  • @user-fk5yz1uj3m
    @user-fk5yz1uj3m 7 วันที่ผ่านมา

    Please nisaidie jana nimeota vibaya niliona watu wako ka skeleton alafu kila mmoja ameekwa kwa jeneza kwenye mtaro mrefu wametolewa nyama wamebaki mifupa tu wingine wamekufa wengine wako hai kwa jeneza mifupa tu , ndo nikaambia mwenye tulikuwa naye tuende tusitolewe nyama ndo nikaamka ilikuwa saa tisa 3.00am juu juu waaa naogopa

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 7 วันที่ผ่านมา

      Kwanza kabisa nashukuru MUNGU umekua muazi kusema Hili ila JAMBO KUU NI HILI USIOGOPE MAANA UKIOGOPA HIZO SKELETON NI roho za mauti zinawafuatilia wewe na huyo uliye kuwa naye kwahiyo UKIOGOPA zinapata nafasi ya kukushambulia ila kuwa JASIRI Maana YESU KRISTO yupo nawe tangu Sasa nami nakuombea katika Jina la YESU KRISTO hautakufa Bali utaishi nawe utasimulia makuu ya YESU Kwa Watu Amen 🙏❤️

  • @anithadavid5668
    @anithadavid5668 7 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @anithadavid5668
    @anithadavid5668 7 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @veronicambeleseroisaya4539
    @veronicambeleseroisaya4539 8 วันที่ผ่านมา

    AMEEN MTUMISHI

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 8 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏❤️ ubarikiwe Sana Ndugu yangu YESU akulinde na akuinuie🙏

  • @bettymuhonja9967
    @bettymuhonja9967 8 วันที่ผ่านมา

    Haya mafundisho yko yananijenga sna mtumishi mungu azidii kukuinua kwa viwango vya juu sna neema ya bwana yesu kristo iwe paamoja nawewe

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 8 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏❤️ ubarikiwe pia ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏

  • @MaurineNdurya
    @MaurineNdurya 8 วันที่ผ่านมา

    Na je ukiota unajisaidia haja kubwa but ukiamka uko tu saw inamaana gani please nisaidie hii ndoto inajirudia Sanaa

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 8 วันที่ผ่านมา

      Omba Mungu akuepushe na roho za maibisho pia inaonekana kuwa Kuna jambo unalifanya mara Kwa mara Ambalo linakuoñdolea Utukufu nawe unaliona la kawaida MUNGU AKUSAIDIE SANA katika kuingia na kutoka mbele za watu Amen 🙏

  • @E.emillymillyBlessings
    @E.emillymillyBlessings 8 วันที่ผ่านมา

    Mafundisho Mazuri sana Mungu awabariki

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 8 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏❤️ ubarikiwe pia ndugu yangu katika KRISTO YESU

  • @bettymuhonja9967
    @bettymuhonja9967 8 วันที่ผ่านมา

    Ameni barikiwa sna mteule wa bwana.yesu kristo wa Nazareti aliyehai ameni ,,naabarikiwa sna nahayo mafundisho nzuri

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 8 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏❤️ ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏

  • @lizzymwangi9940
    @lizzymwangi9940 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu mwenye nguvu na uwezo ni wewe tengemeo langu🙏Naomba unisaidie wakati huo niwe Moja yawenye watakuwa pamoja nawe my father 🤲 ukirudi kuchukua walio wako niwe Moja wao

  • @user-qp9ve6gc6v
    @user-qp9ve6gc6v 9 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi ubarikiwe

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 9 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏

  • @MartinMbajo
    @MartinMbajo 10 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 10 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏❤️ ubarikiwe pia ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏

  • @JorolimusCronel
    @JorolimusCronel 11 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @WINNIEKITI-h1m
    @WINNIEKITI-h1m 11 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 11 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU 🙏

  • @lizzymwangi9940
    @lizzymwangi9940 11 วันที่ผ่านมา

    Namwamini yesu kristo AmenAmenAmen 🤲🙏🤲

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 11 วันที่ผ่านมา

      Barikiwa Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU

    • @lizzymwangi9940
      @lizzymwangi9940 11 วันที่ผ่านมา

      @@The-Sword-Of-Endtimes Asante sana nashuruku Morepower moregrace kwa hii kazi ya Mungu

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 11 วันที่ผ่านมา

      @lizzymwangi9940 ubarikiwe Sana Mkuu wangu

  • @JoviethGeorge
    @JoviethGeorge 12 วันที่ผ่านมา

    Ameni baba🙏

  • @user-uv6km8dg1z
    @user-uv6km8dg1z 12 วันที่ผ่านมา

    Aimeeeen

  • @NeemaMatale
    @NeemaMatale 13 วันที่ผ่านมา

    Namwamin yesu. Amen

  • @AbdoulDjuma-l1k
    @AbdoulDjuma-l1k 13 วันที่ผ่านมา

    mtumishi ubarikiwe

  • @AbdoulDjuma-l1k
    @AbdoulDjuma-l1k 13 วันที่ผ่านมา

    mtumishi ubarikiwe

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v 14 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi wa mungu Asante kwakutupa chakula hiki kitakatifu.. ubarikiwe katika jina la yesu kristo mungu atufungulie katika hili kwa mamlaka ya damu ya yesu kristo

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 14 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏 barikiwa Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU

  • @LindaJohn-fy1in
    @LindaJohn-fy1in 14 วันที่ผ่านมา

    Eeeeeeeee bwana yesu unikumbuke ujapo kulinyakua kanisa lako

  • @user-md7bq3ew4e
    @user-md7bq3ew4e 14 วันที่ผ่านมา

    Amen, Ee Mungu kupitia jina la mwanao Yesu kristo nikumbuke katika ufalme wako

  • @Jane-tn5qq
    @Jane-tn5qq 15 วันที่ผ่านมา

    Amen amen amen Yesu atuseidiye

    • @The-Sword-Of-Endtimes
      @The-Sword-Of-Endtimes 14 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏 ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU

    • @user-md7bq3ew4e
      @user-md7bq3ew4e 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@The-Sword-Of-EndtimesAmen

  • @VivoMonster
    @VivoMonster 15 วันที่ผ่านมา

    Amina namwamini yesu

  • @TescoT-nf8cx
    @TescoT-nf8cx 15 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-jb5xc3bi6e
    @user-jb5xc3bi6e 16 วันที่ผ่านมา

    Namwamini YESU kristo

  • @SusyMasicha
    @SusyMasicha 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 namuamini yesu