Nampenda sana sheikh kishk kwa ajili ya ALLAH , yeye afimbii macho lolote linalojitokeza na kupiteza waislam ktk Dini yetu , ALLAH akulipe kila la kheir leo dunia na kesho akhera
Shehe Allah akulinde achana na hao mashehe njaa . Jaman njaa zimezid mpaka mashehe wakubwa wanakosa hofu ya mungu . Unaweza anza vizur ukaishia pabaya Allah atumusuru , kudanyanya watu ki Iman inaumiza sana
Sahihi Kabisa. Utakuta Ukifuatilia Kinasaba/Ukoo huangukia Kwa MWANAMALUNDI afu eti Sharifu! 🙌🤫🙆 Ni lshara na Dalili tosha kwamba Wafuasi wa Masih Dadjjal Wapo Kazini, ndo Zama/Saa zilizobashiriwa hizi
Ma'shaallah jamani kiukweli mashekhe zetu tunawaombea mshikamano kama namna iii wenyewe kuitwa masharifu awajiiti ila wasiokuwa alafu wakali sana na maneno yavitisho na kweli kabisa yanaingia kwenye ushilikina mungu atuongoze na atusamehe na makosa makubwa
Utofauti wa utumikaji wa neno Sharifu katika lugha ya kiarabu ni kama utofauti wa utumikaji wa neno mzee litumikavyo katika lugha ya kiswahili Mzee 1.Mkubwa wa umri 2.Mzazi au ndugu wa mzazi au mzazi wa mzazi nk 3.Jina la mtu 4.Heshima kwa anayekuzidi nafasi fulani kamaBosi au tajiri au kiongozi Na kadhaalika
Hapa Tanzania tunae SHARIF MMOJA TUU... ambae ni sheikh KISHK hataki tu kujitangaza silsila yake imetokea kwa Mtume Muhammad Sala'llahuAlyhiwasallam ,,, kwa mujibu nasaba yake kama alivyotutangazia😮😮😮
@@SaidSeif-d4y kwa taarifa yako,huku Zanzibar,kumejaaa masharifu tele,njoo zanzibar tukuoneshe, kishki ni Sharif wa leo tu,, huku Zanzibar kuna masharif, al attas, al sagaf, al nadhir, ba alawi,jamatul lail, al hussein,na al alawi kabila langu mimi ni sharif jina langu Salim bin masoud bin al alawi, jina langu linakwenda mpaka linafika kwa Seyyina Ali na bibi Fatma bint Muhammad
Mtume Muhammad alikuwa na wajukuu wawili, ambao ni: Hasan ibn Ali - Alikuwa mtoto wa binti yake Fatima na mume wake Ali ibn Abi Talib. Husayn ibn Ali - Alikuwa mtoto mwingine wa Fatima na Ali. Hasan na Husayn walikuwa na nafasi muhimu katika historia ya Kiislamu, hasa kwa Waislamu wa Kishia, ambao wanawaona kama viongozi wa kweli wa umma wa Kiislamu baada ya Mtume Muhammad.
Ambao tuko pamoja na Shekhe kishk nawote wanao mpinga sharif majini gonga like
kuna sharif majini na sharif firdaus
🤣🤣
Shekhe kishki yupo vizuri kwanza ana elimu kubwa na anapinga ushirikina ndo maana wanamchukia
😂😂
Sharifuu hakunaaa paleeeeee aendeeeeee ukoooooooo😛😛😛
Like yangu hapo
Mash Allah Tabarakallan umefanunuwa vizuri sana . Allah akuhifadhi Shekhe Yusuphu Diwani.
Mashallah mungu akuzidishie
Nampenda sana sheikh kishk kwa ajili ya ALLAH , yeye afimbii macho lolote linalojitokeza na kupiteza waislam ktk Dini yetu , ALLAH akulipe kila la kheir leo dunia na kesho akhera
Tupo wengii twampnda ALLAH azidi kumuongoza
@@nikrahayubu-sz3pw
Mwanamalundi (eti Sharifu) azuwa Taharuki Kwa Viini Macho/Mazingaumbwe
Mashalllh shekh nimekuelewa ALLH AKUZIDISHIE AFYANJEMA WEWE NA FAMILIA YAKO
asee.. mashallah, we mwamba upo vizur nakupa salute
Sheikh diwani mwenyezi mungu akulipe kila la heri inshaallah
Sharifu ni uko yaa mtume scw
Sharifu ni ahlu beit nani uko
Amin in sha Allah
Kumbe Mtume ni mweupe sasa sisi weusi tunamfuata wa nini…….tutafute wetu mweusi😮
@@solomtz7049 Chizi sana weye, haya tafuta uyo Mtume mweusi umfate, roho mbaya tu inakusumbuwa
Sheikh Yusuph Diwani Mashallah
Mwamba anaelimu kubwa sana wallah product ya GHAZAL MUSLIM SCHOOL.
Maasha Allah barakallah Allah umeeleza vzur sana sheik Allah akulipe
Shehe Allah akulinde achana na hao mashehe njaa . Jaman njaa zimezid mpaka mashehe wakubwa wanakosa hofu ya mungu . Unaweza anza vizur ukaishia pabaya Allah atumusuru , kudanyanya watu ki Iman inaumiza sana
M/Mungu akupe kila la kheri shekh nimekukubali sana
A/Alykum...she yusufp ALLAH akuzidishie afya njema umejibu kielimu miniseme yaangaliwe mengine
Mashallah... Shekh umefafanua vizuri, Allah akulipie inshaallah
Dalili za kiama hizi Tuombe Allah atujaliye khatima njema na vizazi vyema
Shukran sheikh yussuf diwani kwa nasaha yako na ufafanuzi wako mzuri Allah akuhifathi akupe umrimrefu AMIN AMIN AMIN
Taqbir "Allahu Akbar".........Sasa tunaona nguvu ya waumini wanavyo wasafisha manyau .......Alhamdulilah❤🎉❤
Alhamdulilah
@@NauriaKhamis-mz4il 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haki nimecheka eti manyau
😂😂😂😂😂😂dah mecheka
😂😂
😂😂😂😂tena manyau pori yameingia mjini kwa pupa
Thanks bro, may Almighty Allah bless you and protect you from evil eye
Maa shaa Allah sheikh diwani,nawaomba masheikh muiombe bakwata wamzuie yule tapeli,anawaibia watu kitapeli.
Shukran sana Sheikh Diwani
Hakika umetuelimisha kuhusu usharifu na masharifu feki
Sheh mungu akubaliki walejamaa ni mtandao wa wizi hawa matapeli wezi tu
Sheikh Diwani ukiongea haki una tema Elimu maa Shaa Allah
Allah akupe kuia lakheri sheikh wangu Diwani. Umenena vyema.
Mazinge kijana kwa mupoteza sababu ya duniya ahombe radhi wa islam
Jamani ebu heshima ya Shekhe Kishki isivurugwe
Ni vizuri mashekh wajitokeze kupinga ushenzi huo
Sahihi Kabisa.
Utakuta Ukifuatilia Kinasaba/Ukoo huangukia Kwa MWANAMALUNDI afu eti Sharifu! 🙌🤫🙆
Ni lshara na Dalili tosha kwamba Wafuasi wa Masih Dadjjal Wapo Kazini, ndo Zama/Saa zilizobashiriwa hizi
Naaaaam Masha Allah,,,,Allah awahifadhi
Mashaallah tabarakallah Allah azid kukuzia kipaji zaidi shekh
MaashaAllah! Jazaaka Allahu Kheir.
Mm mashehe na walimu wote nawakubali sana tu izo tofauti ndogondogo za kielemu ni juu yangu ila sisi waini wa muislamu ni umma mmoja
Mashaallah nimekuelewa sana Allah akulipe
Shekhe Allah akufanyie wepesi umefafanua vizuri sana
Kunieka sawa shekhe Allha akupe malpo mema dunian na akhera Amie
Maasha Allah ,,,,umefafanua vyema kabisa ,,, Allah akulipe kila la kher sheikh diwan
بارك الله فيك اخوي
Masha Allah shekh diwani Allah akuhifadhi uzidi kutupa elimu
Masha allah sheikh wetu umefafanua vizur
Shukrani mwalimu kwa ufafanuzi huu
Mansharaa tabarakaa Allah elimu❤ unayo
Ustadhi diwani big up sana
Allah akulipe kila la khery
Mashaallah unaweza kufafanua jambo bila kufumbafumba au jazba
Maashaa Allah basi yule dogo atakuwa kaelewa
Yule anataka sifa sirahisi kuelewa, kuna na ao watu wanaomhashua wanampa bichwa
Sheikh diwani Mashallah umefafanua uzuri ila tusiwasapoti manyau nyau wanaididimiza dini
Huyu shekhe nimempenda sana nimefurahi kafafanua vzuri
Mashaalah sheikh diwani
mashaallah mwenyezi mungu akupe umli mrefu wenye manufaa
Alhamdullah kweli umesemaaa sawa sawa
Sheikh umefafanua vizur san mungu atakulipa kheir.
Shekhe mungu akupandishie daraja inshaallah
Maashaallah,Allah akulipe kheir
Sheghe nimekuekewa vzr sana umeongea sana kwa weredi wako na hekima zako
Sheikh siyo sheghe na weledi siyo weredi..!
Allah akulipe ishallaah
Napenda sana masheikh wanaosema ukweli., Sheikh kishki ashasema ukwel hatutak ujinga huu sharifu gan yule.
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤
Mashekh muko vizuri mnoo
Bismillah 🤲
Masha ALLAH umeongea point mzuri bila hofu umeeleweka hujamkwaza mtu
Sheikh baarkallah fiika
Yy-MTUME- aliitw & MWENYEZI MUNGU,,peke ykee,,hakuitw & hao ndg zkee. Huwez sem,,ndg zke wtee ni--MASHARIFU
Ma'shaallah jamani kiukweli mashekhe zetu tunawaombea mshikamano kama namna iii wenyewe kuitwa masharifu awajiiti ila wasiokuwa alafu wakali sana na maneno yavitisho na kweli kabisa yanaingia kwenye ushilikina mungu atuongoze na atusamehe na makosa makubwa
MashaAllah 😊
Allahuakubaruu ❤
Masha Allah Sheikh
MashaAllah
Ahsante sheikh
Jamani ,mashehe mna tuchanganya ,sana katika vitabu vya mungu ,katika hii Dunia ,hinatakiwa ,Imani ,Kwa miyo yetu yote .,
Mtukufu ni Mungu tu
Ameen
Naam shekh TAYBU TAYBU 🎉❤
Mashaallah sheikh DIWANI tumeelmika japo nlkua nataman zaid ya hil kwa maana nmetka kama bdo nna kiu ya daaawa
Utofauti wa utumikaji wa neno Sharifu katika lugha ya kiarabu ni kama utofauti wa utumikaji wa neno mzee litumikavyo katika lugha ya kiswahili
Mzee
1.Mkubwa wa umri
2.Mzazi au ndugu wa mzazi au mzazi wa mzazi nk
3.Jina la mtu
4.Heshima kwa anayekuzidi nafasi fulani kamaBosi au tajiri au kiongozi
Na kadhaalika
Njaa mbaya ALLAH atuhifadhi
Allah aqbar....
MASHA ALLAH TABARAK ALLAH....NIMEJIFUNZAA SHUKURAN SANA.
Sheikh Diwani kwa mara ya kwanza nakuelewa
Allah akuhifadhi.
Tupo hapa tunao mkubali kishik
Maji hata maka yapo bosi wangu alienda kuhiji maka ,karudi na maji ,katika hii Dunia Imani yakondio itakuponya ,Kwa Kila kitu
Jaman tuanzisheni kunut kustopisha vita ya waizlael jaman watu wanakufa mnno
Kweli Kwan Sharon alivyo zingua kunut ilitembea Sana Allah akamtia mkonon
Kweli
Mungu atupe muisho mwema
Allah akibar
Mungu ajawai kuwa na dini yoyote kwenye ulimwengu huu lakini Kuna amri zake za kuzifuata sio porojo porojo
Asalam alykm bila kumalizia clip nishaamuelewa sh Diwani shukran kwa ufafanuzi 🙏
Jazaka Allah alkhair
Yani wee BROTHER diwani ungeamua kusimama kwenye haqqi ingependeza sana
Huyu shekh Diwani sjawahi kumkubali hata chembe ila leyo ameongy vizuri sanatu na nimependa
Angesema mganga ingependeza
😂😂😂😂😂😂
Swadakta Shekh umemaliza
Hamna mantiki hapa
Hapa Tanzania tunae SHARIF MMOJA TUU... ambae ni sheikh KISHK hataki tu kujitangaza silsila yake imetokea kwa Mtume Muhammad Sala'llahuAlyhiwasallam ,,, kwa mujibu nasaba yake kama alivyotutangazia😮😮😮
@@SaidSeif-d4y we unahis kwa nn hajitangazi
@@hashimujumanne9570 hajitambui,,, sisi tunakosa karma mbalimbali.
Hapana kaka wapo wengi mbona umemsahau hata kaka ake 😅 na ndugu zake kibao wapo Bongo hii...na wengineo wapo tz hapa
@@SaidSeif-d4y kwa taarifa yako,huku Zanzibar,kumejaaa masharifu tele,njoo zanzibar tukuoneshe, kishki ni Sharif wa leo tu,, huku Zanzibar kuna masharif, al attas, al sagaf, al nadhir, ba alawi,jamatul lail, al hussein,na al alawi kabila langu mimi ni sharif jina langu Salim bin masoud bin al alawi, jina langu linakwenda mpaka linafika kwa Seyyina Ali na bibi Fatma bint Muhammad
Sote tunapambana kuupata uzima wa milele , Sasa kwa Allah ni matendo yako na wala sio unatokea ukoo wa Nambii au wa mtukufu wa aina Fulani.
Hujaelewa sheikh diwani sharifu hapo ni jina la kazi
Jibu zuri sana
Sema منْ شرَّفَ نفسَهُ :
بلغ الرسالة .........☝🏿☝🏿☝🏿
Lkn Sheikh Kishk hakusema km kujiita sharif ni kukufuru
Mtangazaji ni mchonganishi
Mtume Muhammad alikuwa mweusi sio mweupe,
Kishki oyeeee endelea kuwatumbuwa hao
Mtume Muhammad alikuwa mtu Mweus
Maji ukiyasomea Kwa moyo wako wote Kwa ajili ya mungu pekee ,ni mazuri Kwa Kila kitu ,
من شرَّفَ نفسُه : jisufi diwani amrifaisha mafuulu jamanini
Mtume Muhammad alikuwa na wajukuu wawili, ambao ni:
Hasan ibn Ali - Alikuwa mtoto wa binti yake Fatima na mume wake Ali ibn Abi Talib.
Husayn ibn Ali - Alikuwa mtoto mwingine wa Fatima na Ali.
Hasan na Husayn walikuwa na nafasi muhimu katika historia ya Kiislamu, hasa kwa Waislamu wa Kishia, ambao wanawaona kama viongozi wa kweli wa umma wa Kiislamu baada ya Mtume Muhammad.