Jehova ni wewe MTETEZI WA WANYONGE nilidhulumiwa mahali nilikua nikifanya kazi nilikua nimeapa kutowasamehe baada yakuuskiza wimbo huu niliwasamehe maanake ninaye mtetezi juu, barikiwa MUM
Nakumbuka Sana huu wimbo nilikua nikisikiliza nikiwa mwaka chuo Arusha 2015 Leo hii nasikiza nikiwa kigoma nikiwa na kaz yangu Mungu amenitetea kweli sio uwongo
Yesu wangu naomba unitetee hapa nilipo ni Pakubwa mno lkn naamini ni kipimo cha syllabus yangu huu mtihani ni wa ruhusa yako, Wewe ni mponyaji Wewe ni wa baraka Yesu wangu unitetee
Mungu nitetee kwa hakika kwako kuna ushindi baada ya mapito ya kila aina.huu wimbo ni ujumbe thabithi tuzidi kumuita Mungu haijalishi majaribu ya shetani tunalojua hibilisi hawezi pata ushindi.ubarikiwe dada kwa kibaji cha uimbaji🙏🙏🙏🙏
Unitetee Mungu wang kwa kipind iki ninacho nipo hospitalin kwasas nina imani utanitetea. Nakuniponya 😭 this song make me emotional I still don’t give up God is my savior. Amen
Nimerudi kukushukuru Mungu uliyr hai,nilikuomba umtetee dada yangu ukamfungua tumbo la uzazi wake. Naomba nami unitetee adui asikwapue nafasi yangu ya kazi. Wewe hujawahi kushindwa baba
unitetee yesu...bila wewe siwezi Mungu wangu nisaidie..nikiwa huku Lebanon show your ways to me..uplift me everytime I look unto your face..touch me Lord
Uniteteeeeee uniteteeee bila wewe siwezi unitetee mokozi wangu umteteeee,umteteeee bila ww hawezi umteteeee ,good song ilove it god bless u my sst upendo Nkone .
😢😢😢 ata na mm bwana endelea kunitetea kila iitwayo leo nkauone mkono wako,,,endelea kua ngao maishani mwangu mana hakuna MUNGU ALIYE KAMA WEWE NA BILA WEWE MIMI SIWEZI NENO LOLOTE
UNITETEE YESU MIMI MWANAO NAUMWA MADONDA YA TUMBO NAOMBA UNIPONYE MWOKOZI WANGU 2024.
Jehova ni wewe MTETEZI WA WANYONGE nilidhulumiwa mahali nilikua nikifanya kazi nilikua nimeapa kutowasamehe baada yakuuskiza wimbo huu niliwasamehe maanake ninaye mtetezi juu, barikiwa MUM
Nitetee Yesu mm nko SaudiArabia sio rahisi
Unitetee Mungu wangu nikiwa kwenye wakati huu mgum...wangap tunaisikiliza hii 2019
We are together kbx
unitetee, mungu na wanangu,
Nami pia yesu unitete bila wewe sinta weza
November 2023 still here listening to this song. Who's here with me? To this generation learn to do timeless music.
Hakika kupitia kwa nyimbo za Nkone zimenifundisha mambo Sana nakuombea uishi miaka mingi hapa duniani
Unitetee Yesu wangu bila wewe siwezi, pia watetee Wajane, Yatima, wakimbizi na wafungwa gerezani bila wewe Yesu hatuwezi lolote.
tutetee Mungu wetu kipindi hiki cha corona hatu mwingine zaidi yawew wakutuokoa tunaishi kwainchi zawatu kwakujificha Baba jehova tuongoze utupiganie
Unitetee yesu wangu bila wewe siwezi pia watetee. Yatima. Wakimbizi . Nitetee kwenye ndoa yangu
nitetee mungu wangu kwakilajambo tazama hii inchi nilio siokwetu naniwaislam watupu nitetee mpka nitakapo rudi kwetu Amen
Asate Sana Mama Mwimbo Wako Uwau Nanifariji Sana Amen
Nakumbuka Sana huu wimbo nilikua nikisikiliza nikiwa mwaka chuo Arusha 2015
Leo hii nasikiza nikiwa kigoma nikiwa na kaz yangu Mungu amenitetea kweli sio uwongo
AMINA
powerful song!am in Iraq bila wewe Yesu siwezi nitete baba yangu.May God continue to bless you Amen.
Nitetee Yesu mwaka huu siwezi bila wewe nakuhitaji Bwana iliunitetee
oh yes Lord
I take refuge in you. protect me and guide me in your ways. blessings sister
Unitete
Mungu unitetee hapa Saudi Arabia wewe ni Mungu peke
Tuko wote dear Riyadh acha anitetee
Nitetee baba kwa ndoa yangu😢😢
amen ....keep on trusting him and pray
Nitete baba maana bila ww siwezi kwa kweli bwana....
Yesu wangu naomba unitetee hapa nilipo ni Pakubwa mno lkn naamini ni kipimo cha syllabus yangu huu mtihani ni wa ruhusa yako,
Wewe ni mponyaji
Wewe ni wa baraka
Yesu wangu unitetee
Mapito yangu ni magumu baba mambo mengi yaumiza moyo bila wewe siwezi e Mungu
Wmniuot..jilmvbhduypier..wmcv.mkoiue.mlpo.mnyuikmwklj.huipghmkwe.mpledghbdkm.nbyifgplkiujhywmk.mdfw mn fonwpowehbviu..
klj.huipgh
Saf sana
Unitetee eeeeh bwana wangapi tunasilikiza 2019?
Ynnnswnn1kkklkmnh6ùjyypkkjikkiò
Amina.
UNI TETEE!
MWOKOZI WANGU
mum may God raise to more glories .u raise the spirit within me when i listen to your songs.they act prayers
GOD REMEMBER U MAMA YOUR SONGS UPLIFTS OUR SOUL
Mungu nitetee kwa hakika kwako kuna ushindi baada ya mapito ya kila aina.huu wimbo ni ujumbe thabithi tuzidi kumuita Mungu haijalishi majaribu ya shetani tunalojua hibilisi hawezi pata ushindi.ubarikiwe dada kwa kibaji cha uimbaji🙏🙏🙏🙏
Nitetee jehova feeling to give up. ...where are u daddy. ..waiting to c u in Saudi....Amen
Yesu pekee ndiye mtetezi wa kutegemea......blessing an promising song to hopeless
Nitetee mungu wangu bless me with double restoration zilizo kuliwa na zinge mungu wangu nitetee amen 🙏
2024 anyone?
🙌
Here's me ❤🎉
nkone,,, your songs are powerful and really blesses me alot,,, may the almighty continue uplifting you,,, Amen
napenda sana upendo unavyoimba mama Mungu akubariki ktk kazi zako mama angu
Edna Kahoza unitetee bwana sienzi bila wewe asante dadangu me faith amen nko qatar
Edna Kahoza ameeeen faith
My best song and theHOLY SPIRIT inspires u greatly
ubalikiwe mngu akusaidie usonge mbere
Unitetee Mungu wang kwa kipind iki ninacho nipo hospitalin kwasas nina imani utanitetea. Nakuniponya 😭 this song make me emotional I still don’t give up God is my savior. Amen
I can not do it Jesus without you.. oooh dear God..
Eeee Mungu baba mwenyezi unitetee katika matatizo yangu niyapatayo na kumbana nayo katika maisha yangu.Amina.
Nimerudi kukushukuru Mungu uliyr hai,nilikuomba umtetee dada yangu ukamfungua tumbo la uzazi wake. Naomba nami unitetee adui asikwapue nafasi yangu ya kazi. Wewe hujawahi kushindwa baba
Amen
AMINA.UTUKUFU KWA MUNGU KWA ALIYOYATENDA
NI MUNGU ALIYEMWAMINIFU NA ATENDA KAMA ULIVYO OMBA
Ubarikiw xana dada upendo ila skuiz umekuw adimu xanaa
Mungu naomba unitetee nikiwa hapa dubai....Amen
A timeless song!!! Love it from Rwanda 🇷🇼 ❤❤❤
Nitetee yesu tazama nilivyo thulumiwa mungu bila wewe siwezi....🙏🙏
Yesu wangu unitetee,
Nakuomba Mungu wangu unitetee
Naomba unitetee Mungu wa wote
2020 unitetee Mungu wangu,nakutana na mazito sana,unitetee Bwana Yesu bila wewe siwezi.
Huu wimbo pekee umetosha kubadilisha maisha ya MTU, unitete muumba wangu
🙏🙏🙏🙏🙏unitetee mwokozi wang. amina
Unitetee Mwokozi Wangu bila Wewe siwezi unitetee Mwokozi Wangu.
MUNGU akubariki Upendo Nkone
Ubarikiwe sana bira wewe siwezi mungu wangu unitete
unitetee yesu...bila wewe siwezi Mungu wangu nisaidie..nikiwa huku Lebanon show your ways to me..uplift me everytime I look unto your face..touch me Lord
unitetee mwokozi katika magumu niyapitayo bila wew siwez
The song is really a blessing to those who are suffering. AMEN
Unitetee Yesu wangu
Ndio baba gusa familia wote kenya..mguse mamangu mpendwa ambae ni mgonjwa naomba uponyaji wake kwake.
Mguse huddah apate kazi mtetee mungu baba
Uniteteeeeee Baba yangu bila wewe siwezi, wimbo huu unanifariji asubuhii ya Leo. Mungu akuzidishiye mama UPENDO
upendo nkone is such a blessing. she bleses my soul.
Psalms 10:15 and psalms 35.... JEHOVAH nitetee AMEN
Mama yangu wa hiari Mwenyezi MUNGU akutetee huko ulipo.sisi tunakuombea kila la kheri katika maisha ya akhera
bila ww yesu siwezi naomba unitetee yesu njoo katk maisha angu unitetee amin
dada Upendo ni kweli mapito ya maisha yetu lazima nguvu ya Yesu iwepo ili tushinde. Yesu nitetee.
unitetee mungu wangu"🙏27.1.2019
yesu kuwa mtetezi wangu kwa kila jambo.Be blessed upendo.
najisi nguvu ya Mungu ninapousikia wimbo huu,ubarikiwe mama nkone kwa ujumbe huu.
Nitetee Eebwana peke yangu siwezi jaribu nilonalo ni kubwa,Kila ni kisikiliza huu wimbo naiona faraja.
Uniteteeeeee uniteteeee bila wewe siwezi unitetee mokozi wangu umteteeee,umteteeee bila ww hawezi umteteeee ,good song ilove it god bless u my sst upendo Nkone .
Unitetee Mwokozi wangu kwa magonjwa haya yaliyonijiri. Bila wewe siwezi. Wewe ni mponyaji 😭😭😭😭😭
Unanibariki mama, kwa kweli bila yeye hatuwezi ni wengi wanalia kwa uchungu. Mungu azidi kukuinua mama.
mungu nitete nikiwa hapa lebanon bila wewe siwezi Asante dada 🙏🙏🙏🙏🙏 edith
Uniteteye ee Mungu Wetu niko saudia arabia
unitetee mungu kwamaisha yanyu
Unitetee mimi pamoja na familia yangu hasa mume wangu katika utafutaji wa kipato cha familia
😢😢😢 ata na mm bwana endelea kunitetea kila iitwayo leo nkauone mkono wako,,,endelea kua ngao maishani mwangu mana hakuna MUNGU ALIYE KAMA WEWE NA BILA WEWE MIMI SIWEZI NENO LOLOTE
Unitetea yesu kwa hizi shida ambazo zinasumbua kati maisha yangu.rose
bila wewe hatuwi Mungu wetu,tuko mbele zako Jehovah mwenyezi Mungu
Ee Mungu unitetee katika shughuli zangu za kila siku licha ya mapito mengi
Barikiwa
Unitetee Yesu wangu. Ubarikiwe sana Mama yangu UPENDO NKONE
Tutashinda kwa sbb Yesu Kristo ni mtetezi wetu
nakupenda sana sana dada Upendo nyimbo zako zinanibariki sana unitetee ee yesu kwa kila gumu lijalo kwangu
Amen, hakika Mungu naomba unitee
Umenituma kufanya kazi yako bila wewe siwezi, unitetee mwokozi wangu mapito mengi nimepitia bila wewe siwezi weza unitetee eh MUNGU wangu.
Bila Wewe siwezi unitete Mwokozi wangu....Bila ww siwez....Barikiwa Mama
Bwana Yesu Kristo nakuomba na mimi uniteteye katika haya ninayopitia usikiye kilio changu.Naomba katika Jina lako Yesu!!!
Mungu nitetee pekee yangu siwezi
Wateteya Yesu wangojwa, wenyi majaribu hata wanyi shida Yesu nawaombia kwa jina la Yesu 😭😭
Even Mweyezi Mungu!Teteya mais has ya Kazidi Yano an watumishi wake.
Nabarikiwa sana nyimbo zako hakika Mungu unitetee kwani bila wewe siwezi barikiwa sana dada na Mungu azidi kukutetea katika huduma usonge mbele zaid
Nitetee yesu wangu
Asante Yesu kwakunilinda apa nilipo wewe nimwenye nguvu asante Yesu.
Unitetee Ee Mungu wangu siku zote za maisha yangu.
unitetee eeh Yesu katika mitihani yangu. be blessed dada!!
Je respecte cette dame remplie de la grâce de Dieu elle la une voix d'or
Barikiwa mama kwa wimbo wa Faraja ...hakika bila yeye mungu siwez
Bila ww cwezi unitetee mwokozi wangu hakika mungu ni mwema yupo mtetezi wetu.
mama mungu akubAriki sana mungu a tuteteye majaribu nimengi kwetu mama
😢unitetee yesu mimi mwanao baada kumushikilia mumewangu baada ya kupoteza kazi sasa ivi amepata amenigeuga nitete yesu
MTUMAINIE NA KUMUOMBA MUNGU KILA SIKU NAYE ATATENDA
Nitetee Mungu wangu napita wakati mgumu sana
bila wewe cwesi, unitetee mungu wangu ucniaje
Unitetee nikiwa hapa Saudia hadi siku yangu ya kurudi nyumbani Kenya.
Agnes Sarah Mungu akutee Agnes
Mambo mengi yaumiza moyo wangu na mapito ninayoyapitia unitetee Yesu nikiwa hapa Lebanon na Saudia pia maana bila wewe siwezi mm
Unitete eeh mungu bila wewe ciwezi...
unitetee yesu I love this song feeling blessed
bila yesu hatuwezi ahsante kwa upendo wako
Catherine Indasi uniteteee hata mimi siwez bila wew
Kwa kweli huu wimbo unanimaliza, kwa hakika mungu ndiye ngome was kila mtu
mungu nitete mateso namajalibu yatoke kwang tetea AFYA nakaz yang nkutumikie mungu angu amina.
nakupendaaa upendo naomba uwe mamangu nikikuona nahis namuona mamangu naomba uwe mamaanguuuu
mungu nitete katika kipindi hiki kigumu cha ujauzito wangu sina msaada kwa yeyote zaid yako mungu
Nice melodious gospel lyrics.Keep up with the spirit sister Nkone.
unitetee baba elimu yangu imeingia vipingamizi yesu unitetee
bila wewe yesu siwez baba unitetee
Nitee ee mungu wangu uniondelee magonjwa sugu kwa yesu kunaamani
kweli hatuwezi bila yesu our loving sister/mum big up i love u mum for your blessings song