Miaka minne niko kwenye ndoa bira mtoto,Ira mungu akanixaidia nikapata ujauzito tarehe 4mwez w 4 nikajifua mtoto wakiume sanne uxiku mwanangu akatoka amefariki,nashukuru mungu naamini ipo siku tena mungu atanipa tena
Ni vyema sana, sababu wote wanaokuja kutizama huu wimbo ni wale wenye kuuhitaji basi kupitia imani yao.. wao hupokea haja ya mioyo yao. Kuliko video ina views 10000000 lakini waliobarikiwa nao ni wachache🙏
Who’s here 2024
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 wimbo bora maishan yangu ❤🙏☘️
Me too
Tulie kuja kutazama tena hii video baada ya kujua Tin white yumo Plz gonga Like tujuane 2024😂😂😂
Watu hatuna dogo 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Japo haonekani vzr ila hicho ndo kimenifanya nikuje huku😅
😂😂😂Tupo weng
Naomba kuongezeka😂😂😂😂
One of the best gospel music so far, God bless Upendo🙏🏾
Miaka minne niko kwenye ndoa bira mtoto,Ira mungu akanixaidia nikapata ujauzito tarehe 4mwez w 4 nikajifua mtoto wakiume sanne uxiku mwanangu akatoka amefariki,nashukuru mungu naamini ipo siku tena mungu atanipa tena
Mungu akutimizie hitaji la Moyo wako Dada.. Mwamini yeye atakushindia majaribu yako yote
Amen
Mungu akutane na hitaji la moyo wako
Mungu atafanya njia pasipo na njia
Keep the faith koz God is able to restore what you have lost and give you beauty for ashes
This song is the best among upendo Nkone songs its suppose to be past million views.God bless everyone watching.
Nikiwemo na mimi
Amen ipo siku ntafik in Jesus name🎉🎉🎉
Lets give a shoutout to anyone who is still searching for this song 🎵 🙌
I listen to this song almost everyday i love it
🥹🥹🥹🤝
I love this song ❤❤❤❤
Ni Kwa neema yako tyu🥺🙏
Mwenyezi Mungu awe pamoja na sisi tunao pitia mambo magumu na mazito ipo siku
Najipa moyo siku moja nitafika... sometimes life is just too harsh! But one day I will testify to the world...
😊
Kweli
Ukweli ...like me sometimes I give up with the job of house help ....so najiulizaga hadi lini ee mungu fungua njia zangu...
Amen Amen..sitaogopa..najipa moyo😭😭😭🙏
I used to sing this song many years and true siko mahali nilikua
Najipa moyo siku moja nita fika 😭😭😭😭🙏🙏
From 2010 to 2024 I still love the song
Najipa moyo siku moja nitafikia tu ushindi wangu 🙏
Najipa moyo iko siku nitashinda 😢
Naimani na mim one day yes yesu yupo pamoja na mim alipo nitoa yesu ni mbali naimani ato niacha njiania amen🙏
Nmekuja kukagua kama tin yupo😂😂
Yes! siku moja nitafika
Amen.2024🙌🇹🇿
Oyoooo 2024 best song of all the time God is grateful 🙏
🙏 Amen
Nashindwa kuelewa mbona wimbo nzuri kama huu haujatamwa na wengi.
Ni vyema sana, sababu wote wanaokuja kutizama huu wimbo ni wale wenye kuuhitaji basi kupitia imani yao.. wao hupokea haja ya mioyo yao.
Kuliko video ina views 10000000 lakini waliobarikiwa nao ni wachache🙏
My love for this song, chaiii!!! Mama Gid bless you
26/7/2024 Asante Yesu 🎉
Najipa moyo ipo siku n mm nitakua mtu 😭😭
A strong Man of GOD
Mpaka hapa uliponifikisha eenh mungu ni kwa uwezo wako naamini hutokuja kuniacha mpaka nqingia kabulini nakupenda mungu wangu 😭😭😭😭😭😭😭🙏
Amina😢😢😢
Amen 🙏Amen
MUNGU BABA nakushukuru😢😢😭
2023 October just inspiring song
Hapa nilipo ni kwa nguvu zako tu umetoa mbali bwana
Jesus is Coming
Martin Elizabeth Thompson Cynthia Perez Brenda
Ulipo nitoa mbali
Nikweri safari yambingu nikujipa moyo ,kubeba msalaba sikawaida mungu tutiye nguvu tukafike Salama
Najipa moyo najuwa mungu wewe ni juya yote ndani ya maisha yangu ❤
2023 bado ni maombi yangu Mungu uniongoze
Ee Mungu ckia pitia moyo wangu😭😭😭😭
May 2024
From Congo Butmbo
Kwakuwa Yesu nikiongozi wa safari yangu mimi 🙏 najipa moyo sikumoja nitafika
Good song
Ameni
Ipo siku Tutafika Mungu ni mwema
2024
Nakupenda upendo
this song will never go odd, reminds me wen l was young
Same here
Umenitia nguvu yesu, nashukuru yesu
2024😊😊 again...nmekumbuka Ving sana
Yeeeeeeees in God 💃💃
Myfav
Nakupenda yesu umenitowa mbali
Am blessed
Najipa moypia na mi nitafika asante maman upendo
Nabarikiwa Sana ,nawewe mtumi wa bwana
The only place I find peace is in this place
One day i arrived
🙏🙇♀️🙏🙇♀️🙏🙏
Jesus is GOD Jesus is King
Nashukuru bwana mimi Nashukuruuuu Nashukuru.
Hapa nilipo ni kwa uwezo wako ee mwenyezi mungu🙏🙏
Ni kwa neema yako tu maana nilikotoka wewe unajuwa
april 2024
2024 views ❤
Amen 🙏
Najipa moyo ipo siku namimi nitakuwa mtu katika watu wote warionikimbia nakunitenga kwa wakati uhuu mgumu ipo siku watanitafuta tu kupitia wewe yesu
Amen Amen
Ameen
Nijipa moyo najua nitafika
MUNGU WANGU NAKUPENDA SANA
Tin white
I need you Lord🙏🥺
Amen 🙏❤
Amen
amen 🙏
❤
🙏🙏🙏🙏
Kwakua yesu nikiongoz wa safar yangu naiman nitafika salama
I thank God I'm still alive to date.
🙌🙌🙌🙌
Good bless you mommy