Blessed 2023🙏🏾❤️🤑 I pray that God blesses everyone listen to this song today,God loves you, My prayers goes to myself,my family, relatives and friends my advice to y'all is to 'seek Gods kingdom first and shall be added unto you" I pray that my plans prosper this year 🙏🏿💯 AMEN!!
Baba wa Mbinguni sina Kazi,Naomba unishushie kazi, nibariki Baba.Nipe afya njema, hekima, nitetee.ibariki ndoa yangu, Mume wangu,wanangu, wazazi wangu, Naomba Amani.Baba mavazi, chakula, mapato.BABA SHUSHA.BARAKA TELE AMINA MUNGU AKUBARIKI MAMA UPENDO NKONE, WEWE NI WA BARAKA MAISHANI MWANGU. 2021January BABA WA MBINGUNI niko hapa tena BABA 2021, nakushukuru kwa uaminifu wako.BABA ASANTE NASHUKURU.Najua utazidi kunishughulikia, nakunitendea makuu.Nasema ASANTE.💞🙏 MUNGU NI MWAMINIFU.
Kweli Mungu anajibu maombi nlimlilia Yesu wakati watu wananikopa pesa nakulipa ni ngumu but nlipomwomba Mungu iyo siku tu aliyekuwa na Deni akailipa na kusema iliyobaki nitakulipa yote Hakika Yesu ukimlilia na anatenda Amen
Nimeamka asbh nasikia sauti ikiimba moyoni mwangu wimbo wako dada ule wa upendo wa Yesu hadi nikaona nisikilize nyimbo zako ,hakika nimejisikia bubujiko nafsini mwangu
Ajabu. Hii ni nzuri sana .. Tumsifu Yesu .. Asante kwa kushiriki ibada hii nzuri. Natumahi hii inatafsiriwa kwa usahihi na upendo wangu unafikishwa .. (ninatumia Google translate) Mungu akubariki kila wakati
We yesu wangu naomba unisaidie katika ulimwengu huu nikafanikiwe katika maisha yangu nanikatende yalomema yenye kukupendeza siku zote za maisha yangu Amina 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe saaana
Yesu wewe ndiye unayenielewa zaidi na unajua ninachokipitia,naomba ushindi wako nishuhudie makubwa utakayotenda,ninakwamini Yesu kwa urejesho wa familia yangu
mungu akurinde sana Dada yangu unanibariki sana ndani ya nyimbo zako sifa na utukufu kwa ariye juu!uniombee namimi mungu aweze kuniinua ili nimtumikie .
I love dis mum n her songs blesses me alot. I believe God is gonna make a way 4 me...rght now am in so much distress hear in saudi arabia. God hv ua way. Mum God bless you.
6 ปีที่แล้ว +4
Upendo is truly blessed with a powerful voice, her songs are so uplifting. God bless you Mama.
I had to look for this song today, I have been singing this song of late.. Am so much blessed by song. God bless you Upendo as you continue lifting the hearts and souls of men to God
I am thankful to God for every moment. He is merciful to send to send His only begotten son Yesu Massiyah. I am thankful for that and I came here. Be blessed.
What a cool song, watching it 7th Dec 2024,kama tuko pamoja gonga like tukisonga
Nani ako na mm 27th October 2024 weka like tukisonga
Here nov 16🎉🎉🎉2024
Blessed 2023🙏🏾❤️🤑
I pray that God blesses everyone listen to this song today,God loves you, My prayers goes to myself,my family, relatives and friends my advice to y'all is to 'seek Gods kingdom first and shall be added unto you" I pray that my plans prosper this year 🙏🏿💯 AMEN!!
Shida zako zote mwambie Mungu..mwanadamu hawezi chochote🙏🙏
Me watching this on November 15 2024 🥺🤗
Anaweza yote Yesu mwambie. Nilimwambia Yesu na amenishindia haleluya haleluya🎶
Ee mungu nifanyie njia ktk maisha yangu
Pray for me too
Baba wa Mbinguni sina Kazi,Naomba unishushie kazi, nibariki Baba.Nipe afya njema, hekima, nitetee.ibariki ndoa yangu, Mume wangu,wanangu, wazazi wangu, Naomba Amani.Baba mavazi, chakula, mapato.BABA SHUSHA.BARAKA TELE AMINA
MUNGU AKUBARIKI MAMA UPENDO NKONE, WEWE NI WA BARAKA MAISHANI MWANGU.
2021January
BABA WA MBINGUNI niko hapa tena BABA 2021, nakushukuru kwa uaminifu wako.BABA ASANTE NASHUKURU.Najua utazidi kunishughulikia, nakunitendea makuu.Nasema ASANTE.💞🙏
MUNGU NI MWAMINIFU.
Blessed Forever God bless you forever
here in 2020 ihope God answered ur prayers
I really love, her beats, sound,
It's great, educative words,
Amen💞THANKYOU FATHER IN HEAVEN.
GOD BLESS YOU.
When it comes to worship song, you're the best Upendo Nkone
Wow a very lovely song.❤❤❤❤❤
I'm imagining a collabo between Upendo Nkone, Christina Shusho and Bahati Bukuku. The most beautiful voices in East African Gospel music.
Kweli Mungu anajibu maombi nlimlilia Yesu wakati watu wananikopa pesa nakulipa ni ngumu but nlipomwomba Mungu iyo siku tu aliyekuwa na Deni akailipa na kusema iliyobaki nitakulipa yote Hakika Yesu ukimlilia na anatenda Amen
Pamela Namtebi f
Amen
Nimeamka asbh nasikia sauti ikiimba moyoni mwangu wimbo wako dada ule wa upendo wa Yesu hadi nikaona nisikilize nyimbo zako ,hakika nimejisikia bubujiko nafsini mwangu
I woke up to listen to this song today. It has been and is really is a blessing.
Old is gold,,,seven years ago and still heart touching God is good all the time🙏
Imaging you are traveling by abus or matatu then such songs playing, can you imaging how good is journey will be
Dada upendo mungu akubariki sana nyimbo zako zinanibariki sana
True,,,,ukimwambia Yesu shida zako, atakushindia🙏🙏
Amenitendea mambo mwanadamu alishindwa kunitendea..asante Bwana Yesu. Mwambie atakusikia. Huyu Yesu ni mwema
Ajabu. Hii ni nzuri sana .. Tumsifu Yesu .. Asante kwa kushiriki ibada hii nzuri. Natumahi hii inatafsiriwa kwa usahihi na upendo wangu unafikishwa .. (ninatumia Google translate) Mungu akubariki kila wakati
Wimbo mzuri sana
Wanadamu wote walio na upendo wa yesu no ndugu ,na huyo yesu ni Baba yetu wote, hivyo tumwambie yote yanayotutia mashaka.
Atakushidia mwambie anaweza yote...glory be to mighty God
Shes a songbird...beautiful voice,the message is on another level. Lots of love from Nairobi kenya
🇰🇪 most inspirational song in ages! Wakenya we feel yah!
We yesu wangu naomba unisaidie katika ulimwengu huu nikafanikiwe katika maisha yangu nanikatende yalomema yenye kukupendeza siku zote za maisha yangu Amina 🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe saaana
Yesu wewe ndiye unayenielewa zaidi na unajua ninachokipitia,naomba ushindi wako nishuhudie makubwa utakayotenda,ninakwamini Yesu kwa urejesho wa familia yangu
Mungu akubariki sana Dada
Nyimbo nzuri sana kipindi nKua naisikiliza
mungu akurinde sana Dada yangu unanibariki sana ndani ya nyimbo zako sifa na utukufu kwa ariye juu!uniombee namimi mungu aweze kuniinua ili nimtumikie .
Ahsanteni Sana kwa wote mnaopenda huu wimbo
Asante dada kwa nyimbo zako nzuri
amen
My favorite song , upedo Mungu Akuzidishie neema
This song makes me wana shade tears but also believe in God that if I believe in him all things are possible
Kazi nzuri sana mungu wambinguni awasimamie
Kweli tumwambie Yesu shida zetu, kwa maana yeye hashindwi na chochote
Sure tysa binti
Very Happy what's da case
igbal hussain is about Jesus
mwambie yesu anaweza yote ni kweli
me listening today 19th of November 2024
Good is Good for real❤
Nimebarikiwa na hii nyimbo mama
I love dis mum n her songs blesses me alot. I believe God is gonna make a way 4 me...rght now am in so much distress hear in saudi arabia. God hv ua way. Mum God bless you.
Upendo is truly blessed with a powerful voice, her songs are so uplifting. God bless you Mama.
2011, it really hit. Milele fm walizicheza sana nyimbo hizi. Usitishwe na shida ndugu wala magongwa, kupungiwa hela ni ya muda tu
I just like all her song's she has a voice God bless u my sis
She is a blessing ❣️ in this kingdom
Nabarikiwa na ninaendelea kubarikiwa, asante dada Upendo kwa wimbo mzuri, umenibariki
Kweli Yesu ana majibu yote
Mungu nahitaj pesa ndani ya mwezi huu ameen
ubarikiwe sana Mungu
I feel lighter,,I was actually burdened,,mwambie yesu he's true friend
Financial breakthrough naomba baba🙏🙏🙏😭
been smiling throughout the whole song, gives so much hope, uplifts broken spirits...quite a track!
Amen yimbo zako zina kuwanga zana nifariji sana🙏🙏
Yah, mwambie Yesu kila kitu coz yeye anaweza kukufanikisha na anafanya njia pasipo na njia
kweli kabisa meambia yesu anaweza yoyote atakushindia Amen
Wimbo mzuri sana especially wakati uko na shida
I feel blessed 2018…… .. Na nilazma ujipe moyo
Hakika yesu anaweza mungu akubarik mwimbaji
Mwambiee Anaweza yote Yesu Mwambie ,kiukweli tumwambie yesuu umenitoa Mbali sanaaa Ushukururiweeeee
Ameen kubwa
Nyimbo hii inanikumbusha Mwanza nikiwa Saut hasanboom likichelewa nilikuwa napiga nyimbo hii,daaaa nilikuwa napiga faraja
barikiwa sanaaa
Amen nilisha mwembiya naamini atanishindiya
I love this song. I listen to it every morning after I wake up. God bless you Upendo
Sure I'm telling Jesus. this song it's a big encouragement to me.
That's true. Tell Jesus concerns your troubles He will win as you will get peace.
Her voice is iconic
Indeed, tell it all to Jesus. Such a blessing song. Thank you Upendo.
Yesu alikuepo yupo na atakuepo jina lake liimidiwe
Hii 2020 namwambia Yesu sababu anaweza yote
I had to look for this song today, I have been singing this song of late.. Am so much blessed by song. God bless you Upendo as you continue lifting the hearts and souls of men to God
I am thankful to God for every moment. He is merciful to send to send His only begotten son Yesu Massiyah. I am thankful for that and I came here. Be blessed.
Tin White kumbe alikuwa anamwimbia bwana?
Nimempongeza kila mmoja aliyetoa comments kwa. Nataka nione wangapi wata appreciate pongezi zangu
No go tired of this song ooooo eeeiwa sure ❤❤
This is 2022. Mwambie Yesu! Anaweza yote!
Amen glory to God naomba namba yako Upendo
Mama God bless you for these songs though we don't understand the language but we know their songs of praise i really like them
Mwambie yesu chenye unataka atakutimizia yote. Thanks dada cynthia
quite inspiring this song is...lifts up my spirits....
Ameeeeen tell God and he will answer you🎉❤
Wimbo Bora kweli Tena wenye upako
Ndio! Mwambie Yesu; hachelewi wala hawahi! Anajibu kwa wakati wake! Usikate tamaa.
nimebarikiwa sana mum
Yesu anatosha, ukimuamini katika kweli anatenda mambo makubwa, makuu tusiyoyaweza, haijalishi unapitia nini
Wawawaaaaah! Ninaopenda huu wimbo zaidi
kweli akuna yenye inaweza Shida yesu umwambiyetu maitaji yako ubarikiwe dada
Nakupendaga xana wimbo huu balikiwa xana
wow, those men did a really good back up job!! I do hope they are keeping on in the faith
What a voice, with a very uplifting message
I still t recommend this song to be advisable,to the current generation,,
Be blessed, it gives us hope,,to pray and repent,,,
I love this song. I will surely tell it all to Jesus Christ
mwabiy yesu atanishidiya jaribu zangu anaweza yote atanishidiy
Every thing is true
Namuomba mungu pale naposhindwa awemsaada wangu ajekunisaidia
Mungu wangu ndoa yangu ina matitizo makubwa naomba unitatulie
Eemwenyenzi Mungu nakuombajinzihilishewenyewe juu yaHuduma uloiweka juu yangu
Watching in 2020🔥🔥🔥
ubarikiwe sana
Oooooyeeee ooohhhhh
Sikua na smatfone lei hii nimeipata nkaja kukutia moyo ww apo nkishilikiana na nkone naww mwambie atakumalizia shida yako
So powerful song
kuna mafanikio katika wimbo huu
Amen
i dont understand the song but i can feel it in my soul
Hakikaaa mwambieee yesuu
Back ni 2008 ..2009 it's when I heard of this song and has really inspired me ✌️🔥💯❤️
Amen mungu awabariki sana
upendo napenda nyimbo zako sana barikiwa sana
Miongon mwa nyimbo za upendo hiii dam dam kwangu
Barikiwa sana mama yangu unatutia moyo zaid
Uzidi kubarikiwa mama yngu
sina wakwambia niyesu tu pekee
Indeed anaweza yote!!!
Yesu nimukuru😊