2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU NA ZA INJILI BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @modestamarakammbishi1127
    @modestamarakammbishi1127 8 หลายเดือนก่อน +128

    Hallelujah Hallelujah,,nimekuwa na ugonjwa wa growth ndani ya jicho langu.ilikuwa inafaa nifanyiwe operation,,lakini nilisikiza hizi nyimbo na nikamini mungu,,nashukuru mungu ameniponya

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน +10

      Wow glory be to God ❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏❤

    • @AseqHeed
      @AseqHeed 8 หลายเดือนก่อน +7

      Amen amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏 mungu wetu nidaktari WA Kila kitu

    • @NadzuwaGofwa
      @NadzuwaGofwa 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙏🙏🤲🤲👏👏

    • @RoseMtiva
      @RoseMtiva 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @timothybaraza2641
      @timothybaraza2641 8 หลายเดือนก่อน +1

      He is able God

  • @user-maria976
    @user-maria976 8 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu nimesikiza hizi nyimbo zako 😢na nakuomba unifungulie njia za kazi na ufungue tumbo langu la uzazi na ni latika jina la Yesu naomba

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen amen 🙏🙏🙏🙏

    • @EmilyEshihanwa-wm1jt
      @EmilyEshihanwa-wm1jt 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen,I remember I sang it in my church yr 2015 ppl hadn't heard of it so some wept(kijito Cha utakaso)

    • @FredNyakundi-vq8fm
      @FredNyakundi-vq8fm 8 หลายเดือนก่อน

      Amen amen amen

  • @celestinenatulukucheto-gg7ti
    @celestinenatulukucheto-gg7ti 5 หลายเดือนก่อน +1

    I love this songs it's built me in spiritual 🙌🏿🙌🏿❤🙏

  • @LydiaLydia-iw6qt
    @LydiaLydia-iw6qt 9 หลายเดือนก่อน +31

    Who else feels like flying while listening to this wonderful songs ,wow,thenkyou Jesus

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen Hosana Echima Kubwa Ku YESUS Muana Wa Mungu na ♥️💋🌹

  • @AaBb-uy9ko
    @AaBb-uy9ko 9 หลายเดือนก่อน +53

    Very sick while listening 😢😢hop mungu anaenda kuniponya katika jina lake takatifu amen 🙏🙏

    • @pmblessed.5580
      @pmblessed.5580 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mungu akutembelee, ni salama katika Yesu

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen❤❤

    • @CelestineKhaleji-y2g
      @CelestineKhaleji-y2g 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@pmblessed.5580it's true Man of God 🙏 hata hali ikiwa ngumu shout with joy for the Joy of the Lord is our strength 🙏

    • @josendush2805
      @josendush2805 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@pmblessed.5580o8ooo

    • @kariukijoseph1198
      @kariukijoseph1198 8 หลายเดือนก่อน +1

      May healing be your portion in Jesus name

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243 9 หลายเดือนก่อน +261

    Amen aki napitia kipindi kigumu huku Iraqi 😢Naomba Mungu anione ninaposikiliza hizi nyimbo za kumtukuza 😢😩😭😭😭😭🤲🧎🙏

    • @LydiaLydia-iw6qt
      @LydiaLydia-iw6qt 9 หลายเดือนก่อน +33

      Mungu na akuokoe dada❤❤❤

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  9 หลายเดือนก่อน +33

      Amen amen
      Mungu akupiganie na akushindanie❤❤❤🙏🙏🙏❤

    • @Billionaire-mr6et
      @Billionaire-mr6et 9 หลายเดือนก่อน +12

      Mark 11:24.,Hesabu 14:28. Amin

    • @milkaopatia7560
      @milkaopatia7560 9 หลายเดือนก่อน +9

      Mungu anasema yeye ni mungu wa vizazi vyote, kunalo jambo gumu kumshinda?

    • @beatriceomino6266
      @beatriceomino6266 9 หลายเดือนก่อน +10

      Damu ya yesu ikufunika dadangu

  • @lornahshibikhwa
    @lornahshibikhwa 7 วันที่ผ่านมา

    Wakristo wa Jeshi la waokovu wanaelewa utamu wa tenzi za rohoni

  • @Godfreybarasa-m7c
    @Godfreybarasa-m7c 9 หลายเดือนก่อน +40

    Am lonely 💔
    Jobless 😓
    Homeless
    But God remember me 😢

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  9 หลายเดือนก่อน +4

      May God be with you. Wherever you are 🙏🙏

    • @Godfreybarasa-m7c
      @Godfreybarasa-m7c 9 หลายเดือนก่อน

      @@danielsifuna7377 AMEN 🙏

    • @janewillium4445
      @janewillium4445 8 หลายเดือนก่อน

      Ameen ameen😊

    • @user-maria976
      @user-maria976 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @Highlyfavored_One
      @Highlyfavored_One 8 หลายเดือนก่อน +1

      May God remember you and open doors for you.Mbingu sikukubali na zikukumbuke katika Jina la Yesu.Amen🙏

  • @JentrixNgutuku
    @JentrixNgutuku 2 วันที่ผ่านมา

    Ni nyimbo za baraka kwa maisha yangu sana,I'm much blessed

  • @VeronicaMabonga
    @VeronicaMabonga 5 หลายเดือนก่อน +7

    Kila ninapo huzunika pindi Tu nisikizavyo hizi nyimbo nayasahau machungu yote✊✊

  • @Rita-lq6mq
    @Rita-lq6mq 4 วันที่ผ่านมา

    Amen baba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NaomiSanga-p5y
    @NaomiSanga-p5y 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu naomba unishindie majalibu ninayo pitia kwa sasa 😭😭 ,nikisikiliza nyimbo hizi na pata faraja 🙏🙏

  • @peninnahmbithe-yu3nj
    @peninnahmbithe-yu3nj 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu,nyimbo zako zanibariki sana

  • @ceciliawanga7641
    @ceciliawanga7641 9 หลายเดือนก่อน +33

    Mungu naomba uponyaji napo sikia huu wimbo magonjwa c sehemu yangu nikiwa huku Saudi Arabia 😢😢

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen 🙏 🙏 MUNGU awadhidishie na awabariki 🙏

  • @pmblessed.5580
    @pmblessed.5580 8 หลายเดือนก่อน +9

    Ni salama moyoni mwangu,ata hali ikiwa ngumu bado ni salama

  • @EmmanuelMunialo-e1w
    @EmmanuelMunialo-e1w 19 วันที่ผ่านมา

    Whenever I listen nyimbo za injili, huwa najaswa rohoni mwangu

  • @EmilyBarasa-o1i
    @EmilyBarasa-o1i 8 หลายเดือนก่อน +14

    Hallelujah 🙏🙏napenda hizi nyimbo saaaaana beacuse hua sinanituliza Roho yangu like nimeona nimefika mwisho,nikizikiza najua nko na mungu karibu sina haya tena 🙏🙏🙏🙏👍

  • @RobertMwololo-f2o
    @RobertMwololo-f2o 17 วันที่ผ่านมา

    Ndio maana tinzileeee.utelile shinza tee holo wane.uise wetu wa humwanye amwonjele ikhone uyendelelaje shishinza ne mbombo yakwe.

  • @Carennasenya
    @Carennasenya 6 หลายเดือนก่อน +7

    Aki napitia kipindi kigumu nikiwa huku Nairobi naomba mungu anionekanie ninaposikiliza hizi nyimbo

    • @levywetu5348
      @levywetu5348 6 หลายเดือนก่อน +1

      It shall be well

    • @dorcusnjoroge9290
      @dorcusnjoroge9290 5 หลายเดือนก่อน

      Not u alone ni wengi n all is well in Jesus name. Kuna hicho kipindi but utavuka Tu katika Kina La Yesu🙏

    • @ceciliawanga7641
      @ceciliawanga7641 5 หลายเดือนก่อน

      @@Carennasenya mungu akupiganie🙏♥️♥️

  • @TruphenaMarierie
    @TruphenaMarierie 8 วันที่ผ่านมา

    Amen am blessed while listening to this songs,God is doing great thinks in my love

  • @jackiemulala-ur8dn
    @jackiemulala-ur8dn 8 หลายเดือนก่อน +10

    Nyimbo za ukuzo nahisi Amani moyoni baada ya kusikiza hixi nyingi pokea baraka 🙏🏻

  • @danielkutsushi
    @danielkutsushi 2 หลายเดือนก่อน

    I love this songs so much,I thank God for using to come with songs like this

  • @mildredsakali2243
    @mildredsakali2243 9 หลายเดือนก่อน +8

    Baba yangu wa mbinguni nitumie msaada 😩😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲😭

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  9 หลายเดือนก่อน

      Amen amen

    • @doreenkhavai6980
      @doreenkhavai6980 9 หลายเดือนก่อน

      @mildredsakali please can I get your number ?

    • @vovacksteven
      @vovacksteven 8 หลายเดือนก่อน

      Just believe my siz♥️♥️♥️♥️🙏🙏

    • @NadzuwaGofwa
      @NadzuwaGofwa 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu atakumia ulinzi usijali mungu wa mbinguni halali wa hanzii jipee moyo 😍😍🥰

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amen hizi nyimbo za nitia nguvu niko na kipindi kigumu sana ,niko Saudia Arabia Mungu awabariki sana

  • @Risperotieno-k4g
    @Risperotieno-k4g 3 วันที่ผ่านมา

    Napenda hizi nyimbo ❤❤❤❤❤

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu aliyefanya njia kavu baharini na njia kuu jangwani akuonekanie maana umeenda jangwani Bado ni Mungu akufanyie njia pasipo na njia alimsikia Ishmael akampatia maji natuma malaika wa msaada akutoe.

  • @philisnjoki1247
    @philisnjoki1247 3 หลายเดือนก่อน

    Remember me God through this worship songs,, you are my everything

  • @ambunyacaroline1348
    @ambunyacaroline1348 8 หลายเดือนก่อน +14

    Barikiwa sana na nyimbo hizi tamu na kumsifu mungu ....... nakuombea mungu aendelee kukupa ufunuo ili uwendele kutubariki na nyimbo tamu kama hizi ❤❤😅

    • @SusanMwimali
      @SusanMwimali 7 หลายเดือนก่อน

      Very enjoyable

  • @davidkimutai3685
    @davidkimutai3685 3 หลายเดือนก่อน

    I feel very much blessed
    God has brought me to this far
    Always believe in God and be thankfull

  • @Josphine-ng2my
    @Josphine-ng2my 8 หลายเดือนก่อน +20

    Amen uu wimbo sa rohoni imenitia mwoyo nimepitua maisha ngumu sna kwa maisha ,Mmi ni mjane mzee alipata road accident 2007 akaniajia watoto watatu nashukuru mungu mahali nipo kwa sai

    • @danielmusyoki3786
      @danielmusyoki3786 8 หลายเดือนก่อน +2

      Pole

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen amen.
      Pole kwa huo msiba🙏🙏🙏

    • @Josphine-ng2my
      @Josphine-ng2my 8 หลายเดือนก่อน

      @@danielsifuna7377 Thank you

    • @Josphine-ng2my
      @Josphine-ng2my 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@danielmusyoki3786 Thank you

    • @Josphine-ng2my
      @Josphine-ng2my 8 หลายเดือนก่อน

      @@danielsifuna7377 Thank you

  • @DieumerciKafanya
    @DieumerciKafanya 28 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe watumishi wa mungu 👏🤝

  • @NgenaSuzanne-rh5eu
    @NgenaSuzanne-rh5eu 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu wangu naomba namimi bwana unipe nguvu baba yakushinda ulimwengu, na unipe aja ya moyo wangu ninaaja unifunguwe tumbo langu baba yangu unipe namimi watoto yesu wangu😢😢😢

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน

      Amen amen🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤

  • @AnithaPaul-p4u
    @AnithaPaul-p4u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nitete kwamapitoninayoyapita ninaposikilizaizinyimbo nipatebalimachonikwako nifanikiwe ajayamwoyowangu

  • @roothaa3843
    @roothaa3843 9 หลายเดือนก่อน +15

    Niko Saudi Arabia but ninapozikixa nahizi nko nyumbani tena kanisani

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  9 หลายเดือนก่อน

      Amen amen be blessed ❤❤❤❤

    • @mrhome4426
      @mrhome4426 8 หลายเดือนก่อน

      Me too in Saudi. Let's trust God in everything 🙏

    • @tonisafari4369
      @tonisafari4369 3 หลายเดือนก่อน

      Wow God is great jameni roho wa Mungu hujaza fikra

    • @roothaa3843
      @roothaa3843 3 หลายเดือนก่อน

      @@mrhome4426 Amen 🙏🙏

    • @leahblessings2881
      @leahblessings2881 3 หลายเดือนก่อน

      Same too najihisii niko uweponi mwa Bwana

  • @adammwiti9757
    @adammwiti9757 หลายเดือนก่อน

    Dear lord open my doors 😢😢🙏

  • @jerimutuli4455
    @jerimutuli4455 8 หลายเดือนก่อน +15

    Kazi nzuri sana mtumishi wa mungu❤

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน

      Amen❤

    • @Agnesnaswa
      @Agnesnaswa 7 หลายเดือนก่อน

      hi guys good mrng, when I listen this song nahisi Nina nguvu na Imani sana kua mzima, let's pray koz ni temptation mingi tunapitia kwa wale tuko gulf na wengine wenye hawako gulf, this song is hiting me so much , may God continue blessing you Daniel sifuna endelea kumjua mungu sana, na awezi kuwacha kamwe,

  • @jackie_kaleha
    @jackie_kaleha 2 หลายเดือนก่อน

    That second song has taken me way back to the 90's in sunday school!!!! Barikiwa sana

  • @JoyceVulimu-jm6zz
    @JoyceVulimu-jm6zz 8 หลายเดือนก่อน +3

    Najua mungu atanisaidia kupitia nyimbo za tenzi napitia mambo mangumu naona ni kama naingia binguni nikiwa saudi

  • @ElizabethKamba
    @ElizabethKamba หลายเดือนก่อน +1

    Napigwa vita za majini... magonjwa naomba kufunguliwa kupitia hizi nyimbo

  • @mosesngata6674
    @mosesngata6674 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nyimbo za wokovu zani moyo B Blessed

    • @mosesngata6674
      @mosesngata6674 7 หลายเดือนก่อน

      Can I have your number Brother

  • @jacquie329
    @jacquie329 5 หลายเดือนก่อน

    Amen, Amen, and Amen 🙏 🙌 👏

  • @PrincessArielcomedian-x9b
    @PrincessArielcomedian-x9b 5 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mungu wangi nilikukosea wapi shida baada ya ingine kazi yngu kaisha mama angu kawa mgonjwa sasa wakati hnfio nimeingia kazini sasa baba yangu kashikwa na traffic police na wanatka fine ya shillingi elfu thelathini aki mungu wangu nilikosea wapi jamani basi unirehemu 😪😭😭😭

    • @mwajumaerias9881
      @mwajumaerias9881 20 วันที่ผ่านมา

      Punguza kulalamika Mushukuru Mungu kwa kila jambo utaona mabadiliko

  • @jacquie329
    @jacquie329 6 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah. May the will of God be done ❤❤❤❤❤❤

  • @matamm2411
    @matamm2411 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika nyimbo hizi zinanibariki sana ninaposikiza be blessed mtumishi wa Mungu,,🙏🙏🙏🙏

    • @HaroldRonald
      @HaroldRonald 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki

  • @onyangobenson112
    @onyangobenson112 4 หลายเดือนก่อน

    All hail father see me through the tough times

  • @elizabethnafulanamaswa
    @elizabethnafulanamaswa 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amen ninapo sikiza hizi nyimbo nahisi niko karibu naye yehova katika ulimwengu wa kiroho sifa na utukufu nikwake yesu kristo ubarikiwe ndugu unapoendea kubariki ewngine hallelujah

  • @IsayaLukumai-bx4gg
    @IsayaLukumai-bx4gg หลายเดือนก่อน

    Mungu apewe sifa na atukuzwe

  • @VionahPricy
    @VionahPricy 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asanti kwa hizi nyimbo nzuri ninapo kata imani nazo zinaniinua tena, kwa hakika ubarikiwe nimepitia kipindi kigumu muno laki najua mungu atanionekania pamoja na familia yangu

  • @martinnashimolo8816
    @martinnashimolo8816 2 หลายเดือนก่อน

    Following from Kampala Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @aminakadzo1142
    @aminakadzo1142 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hallelujah hizi nyimbo zinatia nguvu sana hasa kama uko kwa kipindi kigumu

  • @BeverlyneKashi
    @BeverlyneKashi 12 วันที่ผ่านมา

    Dear Lord I love you so much,yaani Mimi Sina lakukupa Bali ni kukushukurutu kwa Yale unanitendea

  • @fredanunda7719
    @fredanunda7719 8 หลายเดือนก่อน +3

    Very great collection👏👏be blsd ,so touched especially the first one "kijito" the best🙏

  • @VeronicaMwanyasi
    @VeronicaMwanyasi 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndio mume wa wajane

  • @YollandeMukantabana
    @YollandeMukantabana 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mingu awabariki Siku zote Kweli tunafarijika kwa hizi nyimbo

  • @mp4rashel
    @mp4rashel หลายเดือนก่อน

    Amina Jina la BWAna YESU asifiwe

  • @BettyLlege
    @BettyLlege 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atakuongoza kwa kila jambo dada

  • @JosephPulung-lb3qu
    @JosephPulung-lb3qu 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you man of God you are a blessing to many....

  • @RuthChemu
    @RuthChemu 9 หลายเดือนก่อน +4

    I feel blessed while listening to this music ubarikiwe sana from Saudi Arabia ❤❣️❣️🥰

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  9 หลายเดือนก่อน +1

      Amen Mungu akubariki sana sana

  • @saharaoliki8748
    @saharaoliki8748 9 หลายเดือนก่อน +4

    Amen thank you God for you using your son to lift many people. Fill blessed bro whenever you are.

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  9 หลายเดือนก่อน

      Amen amen❤❤❤❤❤❤❤

  • @MildredOmbura
    @MildredOmbura 4 หลายเดือนก่อน

    Your songs make me close to God....thanks......amen

  • @justineomega1996
    @justineomega1996 8 หลายเดือนก่อน +6

    i don’t why am so touched with the 2nd song🙏🙏🙏i will never be broke in Jesus name

  • @kathleendalitsu6025
    @kathleendalitsu6025 2 หลายเดือนก่อน

    This song usually fill my heart blessed Sunday my people be blessed

  • @FredinahKemuntoOnderi
    @FredinahKemuntoOnderi 8 หลายเดือนก่อน +5

    I feel so blessed up and thankful this morning have been going through allot after loosing my job and thieves stolen my 3500 aed worth 120,000 ksh from my room but I thank God am recovering 🙏 🙌 mnikumbuke kwa maombi wapendwa😢

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ame amen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @CateNzomo
    @CateNzomo 5 หลายเดือนก่อน

    Mungo anikumbuke katika maisha yagu

  • @MutisoJoash
    @MutisoJoash 8 หลายเดือนก่อน +5

    Barikiwa sana hizi zinaninguza moyo wangu

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน

      Amen amen❤❤❤❤❤❤❤

  • @ClaireMosoti
    @ClaireMosoti 2 หลายเดือนก่อน

    Msalaba ndio asili ya mema😢,

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 8 หลายเดือนก่อน +7

    Nmeamka leo nikiwa chini sana 😢😢,nlipoingia you tub nkapatana na hizi nyimbo,kwa hakika sai nguvu zangu zimerudi niko sawa,na Naamini Mwenyezi Mungu ataniongoza kwa hii safari nikiwa Saudia 🇸🇦,kwa kweli Mtumishi wa Mungu, Mwenyezi Mungu akuongoze uzidi kutubariki,to God be Glory 🙏🙏🙏

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  8 หลายเดือนก่อน

      Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤

    • @yunispatrick8613
      @yunispatrick8613 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@danielsifuna7377Glory be to God 🙏🙏

    • @keilahmukasia-rq8cq
      @keilahmukasia-rq8cq 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@danielsifuna7377❤L😊

    • @CeciliaMsagha
      @CeciliaMsagha 4 หลายเดือนก่อน

      Jitie nguvu Kwa kweli n Mungu tu anaeza kukusaidia Kwa hayo mapto so hizi nymbo ztakutia nguvu

    • @Terresia96
      @Terresia96 หลายเดือนก่อน

      Amen hki nko hpa iraq lkn sna amni na Sina nguvu ya kuomba naomba unitie nguvu mungu ninapo endelea kusikiza nyombo hizi

  • @RachelNelima-m2k
    @RachelNelima-m2k 2 หลายเดือนก่อน

    I've been sick for the last two months coughing non stop, headache feeling dizzy but when I connected to TH-cam and found the worship songs I've been blessed and feeling better day by day, right now am fine and praising the Lord together. May you be blessed and continue uplifting those souls that are down, more Blessings brethren

  • @ireneshikoya9794
    @ireneshikoya9794 8 หลายเดือนก่อน +10

    Morning all dear lovely sisters and brothers for sure i never knew this apostle has been touched with his songs day in and out as am writing this am toothless after extracting my teeth due to infection and am trusting God to see me through as am to to for refilling on 8/7/2024 has suffered extra pain beyond but am seeing light at the end of the tunnel especially the first song am feeling the presence of the HOL;Y SPIRIT

  • @Mandinojojo
    @Mandinojojo 3 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo hizi ninazisikiliza kwa sikio La ROHONI,(ubarikiwe)

  • @jacquie329
    @jacquie329 9 หลายเดือนก่อน +4

    Always is my responsibility to do revistation now and again 4 my spiritual growth.

  • @SammyMakokha-v5i
    @SammyMakokha-v5i 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏 Mungu awe nawe ninaposikiza hiza nyimbo naona moyo wangu ukipata utulivu unapatikana wapi ama kanisa angalau nishiriki ibaada na ww

  • @eglaynamayi9032
    @eglaynamayi9032 9 หลายเดือนก่อน +3

    This is the massage we need in this Gulf, it moves one near to God, more blessings pst Sifuna.

  • @adelinekoki596
    @adelinekoki596 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ninaposikiza nyimbo hizi za rohoni napata ukombozi wa roho

  • @claraimali6830
    @claraimali6830 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hallelujah PSALMS 100...sing to the LORD,all the world! Worship the LORD with joy AMEN

  • @AgnesOngeche-qi3qn
    @AgnesOngeche-qi3qn 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen nyimbo hizi Zina ni bariki sana mahali nipo Asante baba

  • @jacquie329
    @jacquie329 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hallelujah . The Good Lord who started the new work in you will carry it on until completion. You are a blessing to me here in Beirut Lebanon.

  • @sheilapandi
    @sheilapandi หลายเดือนก่อน

    Hard times in my life,,, I pray to Almighty God to be on my path when am listening thing songs

  • @RawlingsAgesa-xt8xx
    @RawlingsAgesa-xt8xx 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika nimepata kubarikiwa na kuinuliwa kupita tenzi hizi za injili, ninapitia changamoto nyingi kazini kwangu lakini ninatumai kwamba Mwokozi atanizururu na kutenda jambo tena....Amina, amina apewe sifa Yesu Kristo.

  • @TeresiaNganga-bp7bi
    @TeresiaNganga-bp7bi 6 หลายเดือนก่อน

    Pokea uponyaji in Jesus name

  • @KainetKhavulani
    @KainetKhavulani 3 หลายเดือนก่อน

    Imagine singing all songs with you but namba 3 imenishinda. 🙏🙏🙏🙏Zimenibariki sana

  • @SimonMallya
    @SimonMallya 2 หลายเดือนก่อน

    Usihofu mpendwa wa Yesu Mungu atarahisisha kuwa mepesi

  • @alainmall-c2m
    @alainmall-c2m 6 หลายเดือนก่อน

    Am passing through diffuculties dear lord help me overcome 😢

  • @AlexShadracki
    @AlexShadracki 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu uishie mbinguni, ktk jina lako takatifu tunaomba ututembelee na ushuke na uponyaji

  • @SAMSONKISABO-d7k7g
    @SAMSONKISABO-d7k7g 4 วันที่ผ่านมา

    Nice songs🎉🎉

  • @elizabethwairimu6298
    @elizabethwairimu6298 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni salama rohoni mwangu. Thank you Jesus. Mungu ni pendo.

  • @EdinahNyabuto-h9o
    @EdinahNyabuto-h9o หลายเดือนก่อน

    Kupitia huwimbo munguwangunipe ngufu nimalise salama unajua maitajiyangu

  • @EdithFidia-w3w
    @EdithFidia-w3w 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu , hizo nyimbo nkiskiza zanigusa moyo wangu nn naskia uwepo wa mungu washuka

  • @EnockMuguse
    @EnockMuguse 3 หลายเดือนก่อน

    Inaniguza na kubadilisha matendo yangu ulio mbovu nakuniweka katika imani moja katika Cristo

  • @CarolineNazi-ng4xs
    @CarolineNazi-ng4xs 5 หลายเดือนก่อน

    Nahisi nmefika mwisho ju ya magonjwa hayaishi nkiwa nje ya inchi lakin kupitia hizi nyimbo nitapata uponyaji

  • @Abrahamwanjala-y8t
    @Abrahamwanjala-y8t หลายเดือนก่อน

    nikisikiza kichito hufanya moyo wangu kutulia amen

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 4 หลายเดือนก่อน

    Lord help me uknow me better than I know myself amen 🙏

  • @BerylAdhiambo-y1v
    @BerylAdhiambo-y1v หลายเดือนก่อน

    Amen amen and amen,aki si nimebarikiwa na hizi wimbo Yesu ni bwana na baba wa watu wote,nili shtukia nikiona shemeji yangu mtumishi wa mungu pia akitoka hosi bila malipo ya 42000,mungu yupo aki walio jua atakufa watashangaa wakimwona amerudi nyumbani, pamoja na huyo ndugu yake mwenye alimkata na panga,asifiwe yesu 🙏🙏🙏

  • @ShhfddShddfff
    @ShhfddShddfff 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ninapo sikiza nyimbo hizi zinaniinua sana barikiwa mutumishi wa mungu

  • @VijiniaOkumu
    @VijiniaOkumu หลายเดือนก่อน

    Mungu anikumbuke kupitia Kwa hizi nyingi God bless you😂

  • @harrietsammy6815
    @harrietsammy6815 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mungu zaidi kubariki familia yangu kupitia nyimbo za injili 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Agnes-e6g
    @Agnes-e6g 2 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana mtushi wa mungu,mungu aendelee kukupa neema ya ushindi

  • @mauricemusyimi-m3h
    @mauricemusyimi-m3h 4 หลายเดือนก่อน

    good songs,,,really blessing listens them carefully