Ni nyimbo ambazo husikia kutoka ndani kwamba namwadhimisha Mungu,Mfalme wa Wafalme ,Alfa na Omega ooooh niseme nn kwake ?Nampenda Mungu aliekupa haya mafuta ya kumwabudu kupitia kumwinua na ndiko Moyo wa Mungu hufurahi. mno.barikiwa Upendo Nkone
If the secular songs can get a million views within a few days.... This song that brings heaven down is long overdue and should clock a million views now.
Mungu akubariki sana Upendo Nkone uimbaji wako uko unique sana Kila nikiwa kwenye maombi siachi kusikiliza nyimbo zako hua zinaniweka uweponi mwa MUNGU sana be blessed my mom
Mungu wetu tunakusifu Mungu wetu twa kuinua Yale uyatendayo Ni makuu muno Fadhili zako za milele Haufananishwi na chochote Ndiwe uliye mwanzo Tena ni mwisho Unastahili yesu kuabudiwa Unastahili yesu kuinuliwa Unastahili yesu kushujudiwa Aaa-aaaa aaa-aaa Unastahili Nikiziangalia bingu Ni kazi ya mikono yako Vinavyo onekana Na visivyo onekanaa
Amazing song since my teenagehood ..every Sunday service we could feed our God with this amazing and powerful song ....in deed you're support to be praised high and High because you're wonderful and amazing God 🙏❤️🙏🙏🙏❤️🙏❤️🙏🙏❤️💖🙏🙏❤️💖💕 I
Katika waimbaji na watumishi wa Mungu wanaomba katika roho na kweli ni Huyu Mama Hakika Mungu amekupa kipawa cha kushusha uwepo Mungu Wa Mbingu Na Nchi akutumie kwa viwango Vingne
2022, we still here. I used to listen to this song when I was young and I hated it so much bcz it was slow. Now am the 1 who loves it after understanding the meaning of it. God is Good!
Kwa waimbaji wote wa nyimbo za injili, kuna mahali mnakosea, hii picha ya hyu mtu alingiza kifo cha Yesu, inahusiano gani na Injili ya Yesu, je hamwoni ni kuabudu, mtu huyu, kila mwimbapo mwimbo mxuri tu mkitaja Yesu hiki kipicha cha huyu mwingizaji.mnakitokezea,,je hamwoni ni kosa, hatuna sura ya Yesu duniani, but sisi wenyewe tuliumbwa kwa mfano, waimbaji, please, hii picha ya huyo mwingizaji hondoeni oeni kwa nyimbo za injili
2024 people in here be blessed
Waimbaji tunataka nyimbo za kuabudu kama hizi! yaani kama umeokoka kweli utalia machozi ya wokovu wako ukiusikiliza vizuri Wimbo huu vizuri
Mimi hapa😢😢😢 hallelujah Asante bwana wangu
Kama unaangalia nyimbo hii 2020 gonga like 👍 tujuane, Barikiwa sana...
2023 here
2024... I heard Edith Wairimu sing this song and I came looking for it.
God deserves and is Worthy of our worth
Ni nyimbo ambazo husikia kutoka ndani kwamba namwadhimisha Mungu,Mfalme wa Wafalme ,Alfa na Omega ooooh niseme nn kwake ?Nampenda Mungu aliekupa haya mafuta ya kumwabudu kupitia kumwinua na ndiko Moyo wa Mungu hufurahi. mno.barikiwa Upendo Nkone
Mamkubali sana Dada upendo nkone hata nikiwa kwenye majaribu nasikiliza nyimbo zake huwa nabarikiwa mno Unaatahili yesu kuabudiwa
2020 still my favorite worship song.
Haufananishwi na chochote...... amen.
2019! Anyone?
2019.….
2019...
Worshipping God with this power full music
2024
10.07.2024. For sure Mungu unastahili kuabudiwa.Fadhili zako za milele❤
If the secular songs can get a million views within a few days.... This song that brings heaven down is long overdue and should clock a million views now.
Huu wimbo ni ibada halisi..wimbo wa nyakati zote maana Yesu anastahili
Haleluya
June 2021 and it's still that song I cannot get off from my head. Such a blessing.
She's still a legend and somehow she's being underrated
I love her songs.
I came to d
search for it
U
HAKIKA YESU YESU NI MKUU YESU NI BWANAAA YESU NI MFALME WA WAFALMEE ALELUYAAAAAAA NAMLUDISHIAA SIFA YESU..
Nakupenda sana mama Yangu unanibariki sana nyimbo zako
Unastahili Yesu kusujudiwa.......i always feel blessed when i listen to this song...it's a powerful worship song.🙏🙏🙏🙏
Am here to worship the Lord 2023 is the year to know who we serve and worship .
This song always remind me the greatness of Yahweh 🙏🙏
Me too
I ❤it
Unastahili wewe Yesu Kuabudiwa, millele yote. Asante Upendo.
unastahili Yesu kuabudiwa...Amen..barikiwa mum
Unasitahili Mungu wangu.... Heri jina lako wewe uliyejuu ya vyote! Amen
Sifa zote kwa Mungu.Yale anayotenda makuu mno.Fadhili zake za milele
Wimbo usiochuja wala ku-expire Bwana Yesu Atukuzwe Milele na Milele
Huu Ni Utunzi wa ajabu, wimbo mzuri wa kuabudu, ubarikiwe
Hakika ni WEWE PEKEE YESU KRISTO ninakuabudu, ninakuinua na kukusujudia, Wewe ndio tumanini, tegemeo na ngao yangu
upendo uko vzr kwa nyimbo zako.
I'm blessed He's the begging of all our blessings and the end of all our problems, Unastahili kuabudiwa gonga likes
2021 Jesus you're worthy of all my praise and honor no one like you .....🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe ni Mungu wa ajabu. UNASTAHILI kuabudiwa🙌🙌🙌kuinuliwa 🙌🙌🙏🙏🙏
My ever powerful worship this 2023,mungu wetu tunakusifu...it uplifts my spirits and beatifufies my soul....
Thank you Holy spirit, for guiding me through to this song.. I sung it over and over in my sleep. Unastahili Yesu. Amen
Wimbo huu unanibarika sana hata kama niko kwenye nchi ya kisilamu nasikia kuinulia na kutakasika.Amen asante dada Upendo Mungu akubariki.
Evelyne Ngilah @ great to hear your voice from a Muslim nation. shalom.
waw! blessing galore
Evelyne Ngilah ubarikiwe
Mwenyezi Mungu abariki kazi ya mikono yako. Wimbo huu unalitukuza jina lake.
M Mungu akupiganie zaidi katika kazi yako kiukweliii nyimbo zako zinanibariki sanaaa upendo nkone💓❤️❤️❤️
Nabarikiwa sanaaa na nyimbo zako Upendo
Who is still with me 2022 listening to this worship,say amen if it still bless you...
nyimbo zako nzuri sana Mungu azidi kukubariki
Peke yako Mungu wetu unastahili kuabudiwa, kusujudiwa, pokea sifa na utukufu
2022 still adoring God with such a glorious worship 😍
Unastaili Yesu kuabudiwa masaa24 wimbo unanibariki hua siuchoki
Mungu akubariki sana Upendo Nkone uimbaji wako uko unique sana
Kila nikiwa kwenye maombi siachi kusikiliza nyimbo zako hua zinaniweka uweponi mwa MUNGU sana be blessed my mom
Thank you,Mama Nkone for a such beautiful song, Glory and Honour to Yaweh
Mungu wetu tunakusifu
Mungu wetu twa kuinua
Yale uyatendayo
Ni makuu muno
Fadhili zako za milele
Haufananishwi na chochote
Ndiwe uliye mwanzo
Tena ni mwisho
Unastahili yesu kuabudiwa
Unastahili yesu kuinuliwa
Unastahili yesu kushujudiwa
Aaa-aaaa aaa-aaa
Unastahili
Nikiziangalia bingu
Ni kazi ya mikono yako
Vinavyo onekana
Na visivyo onekanaa
Hakika haufananishwi na kitu Mungu wetu. 2020
Unastahi yesu kuabudiwa! God bless you woman! The song heals!
2023 I am here 🇰🇪♥️♥️♥️🙏
Wimbo wakipekee sana kwangu pale napokuwa nawazo hakika unanifariji 🙏🙏
Kweli, unastahili kuabudiwa YESU CHRISTU wanguuuuuu......Amen🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Kazi kubwa sana..Mungu akubariki mum
ubarikiwe sana mama
Amen...nimebarikiwa na wimbo huu.....u'r a worshipper.. God bless u
Asante bwana Yesu
Naupenda sana huu wimbo, hallelujah!!!!
Hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤unastahili mungu wetu
Mungu naomba uniinue juu,juu katika anga lako la milele,nipe amani ktk maisha yangu
Unastahili Bwana. Ubakiwe mama .Wimbo utaendelea kuwa fresh kama wa leo
2023....
Am here ....
unashahili Yesu kuwaabudiwa kwa maisha yangu yote.
Amazing song since my teenagehood ..every Sunday service we could feed our God with this amazing and powerful song ....in deed you're support to be praised high and High because you're wonderful and amazing God 🙏❤️🙏🙏🙏❤️🙏❤️🙏🙏❤️💖🙏🙏❤️💖💕 I
Hakika unastaili kuabudiwa Mungu wangu unastaili unastaili unastaili hakuna kama wewe
huwa inanibariki sana sana mchozi huwa unanitoka sana
Ni wimbo ambao kila ninapousikiliza nakumbuka wema wa MUNGU maishani mwangu
nabarikiwa Sana na wimbo huuu
Katika waimbaji na watumishi wa Mungu wanaomba katika roho na kweli ni Huyu Mama Hakika Mungu amekupa kipawa cha kushusha uwepo Mungu Wa Mbingu Na Nchi akutumie kwa viwango Vingne
Unastahili Yesu wangu kuabudiwa milele na milele🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
Hallelujah! Fadhili zake za milele
Thanks jesus we praise you,may your Name be magnified,I thank you jesus this is a wonderful song....
Nitakusifu siku zote mungu wangu🙏🙏
Yesu unastahili kuabudiwa amen, utukufu kwa Mungu juu mbinguni,barikiwa dada
Mungu asimame na huyu Mtumishi.
Unanibariki dada
Mungu akuzidishie upako
am watching dec2018.
You're the only living God no one else
UNASTHILI BWANA YESU CHRIST AMEN
Asante kwa wimbo mzuru
ASANTE MUNGU NINAKUSHUKURU IWA UPENDO WAKO NA NEEMA ZAKO NA UAMINIFU WAKO KATIKATI YA MAISHA YANGU. ❤
Unastahili Yesu kusujidiwa...none like You God
Unastahili Yesu
Unastahili kuabudiwa Yesu😭
Unastahili Yesu Kuabudiwa!
Ubarikiwe kwa kaz njema!
unastahili yesu
Kwa kweli Yesu astahili kuabudiwa.
Nampenda sana nkone nyimbo zake zinanibariki sana kwa nyimbo izi naamini zitalejesha amani katika nyumba yangu
Anastahili Kuabudiwa yeye pekee... Mungu wetu
Fadhili zako za milele. Amina.
2019 this worship song still touches my heart,unastahili kuabudiwa Yesu
Amen
Truly song
Me too Amina
nice song ...Mungu ni mwema
Amen unasitaili Yesu kuabudu sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2022, we still here. I used to listen to this song when I was young and I hated it so much bcz it was slow. Now am the 1 who loves it after understanding the meaning of it. God is Good!
LORD be with me. Thanks Lord for your Love.
Unastail Yesu kaabudiwa unastail Yesu kuinuliwa unastaili Yesu kusujudiwa
Haaaaahaaa......... Unastaili
Sina mwingne wa kkuabudu Eeeeh Mungu na Baba yangu. Nitalisifu jina lako milele yote. Amen
2021...still the song in my heart
unasthili wew peke ako yesu
Kwa waimbaji wote wa nyimbo za injili, kuna mahali mnakosea, hii picha ya hyu mtu alingiza kifo cha Yesu, inahusiano gani na Injili ya Yesu, je hamwoni ni kuabudu, mtu huyu, kila mwimbapo mwimbo mxuri tu mkitaja Yesu hiki kipicha cha huyu mwingizaji.mnakitokezea,,je hamwoni ni kosa, hatuna sura ya Yesu duniani, but sisi wenyewe tuliumbwa kwa mfano, waimbaji, please, hii picha ya huyo mwingizaji hondoeni oeni kwa nyimbo za injili
Unatakaa iwekwee ipi sasaaa, huyooo inasymbolize hivyo lazimaa iwekweee ukiweza kaitoe huna ata imani
I love this song with whole of my heart. God bless you servant of God
nyimbo za kuinua moyo lakini ingekuwa vyema kama zote zapatikana kwa uraisi kwani si wote wako na access to youtube
Haleluya unastahili Bwana kuabudiwa
Unastahili eeh Bwana
Unastahili kuabudiwa kwa,maisha yangu ee mungu
Amazing worship...mature composition.. I love it!!
unastahili Yesu kuabudiwa. Amen
It has always been my favourite song.. Such great annointing. God bless you @upendo