DK 7 za KINANA AJILIPUA MBELE YA RAIS SAMIA , "tunalalamikiwa tuache rushwa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 39

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +3

    Kama rushwa hakuna kwanini mmempa adhabu Mpina kwa kusema ukweli kukosolewa swala la sukari acha hayo

  • @kaburi920
    @kaburi920 หลายเดือนก่อน +3

    Rushwa na CCM ni sawa na Samaki na maji. Ccm bila rushwa haiwezi kudumu hata saa moja na Kinana anajua hilo bayana na ndiyo wapikaji wa hiyo rushwa. Lissu kuna kiongozi kanunua pikipiki 18000 kwa bilioni 54. Pikipiki hizo zina nembo ambazo si za serikali wa za chama chochote ila kifupi cha jina la mtu. Bwana Knn hii imekaaje kwa nchi maskini lakini tajiri kama Tanganyika. Hoja ni kwamba zina nunuliwa kipindi cha vuguvugu la uchaguzi bwana Knn hiyo imekaaje. Watanganyika watakuelewa kweli kwamba unakemea rushwa kwa dhati comrade. Mambo haya hayako sawa na maono ya Mwalimu kwa chama chake.

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna kwasasa mwenye imani na chama cha mapinduzi wala mwenye imani na raisi

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e หลายเดือนก่อน +3

    Bashe na mwigulu walipata wapi mamlaka ya kisamehe kodi ya sukari? Pia bashe alipata wapi mamlaka ya kutafta mtu wa kuleta sukari ambae kisheria haruhusiwi?

  • @user-tn7ic2ky3i
    @user-tn7ic2ky3i หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe Munajuwa ndani ya ccm kuna ruswa Mpina alisema Bashe , Mwigulu wilitowa vibali vyasukari bila ruusa ya Bunge hiyo sio Ruswa

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 หลายเดือนก่อน +4

    Mnajitekenya wenyw

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is หลายเดือนก่อน +2

    Ccm rushwa ndio zenu

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 หลายเดือนก่อน +1

    Mmeshapoteza iman

  • @StewartKileva175
    @StewartKileva175 หลายเดือนก่อน +1

    CCM IMEKUA LEFTED

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 หลายเดือนก่อน +1

    I'm typing and deleting.....

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwenyewe kinana ni mwadilifu? Umeanza lini uadilifu kinana ,jambo moja kikuombe mzee wangu hebu jipumzikie lea wajukuu nyumbani mzee wangu ,pia hii rushwa nani kailea kwnye taifa hili sinyi wnyewe

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy หลายเดือนก่อน +1

    Mpina ndio muadilifu

  • @reginas1832
    @reginas1832 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha ccm yote haifai. pepo hilo

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv หลายเดือนก่อน

    Mungu ndo anajua kama mnachosema ni kweli atawaumbua siku si nyingi subra inavuta kheri

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 หลายเดือนก่อน

    Leo umeongea pont

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Rushwa ni ugonjwa wa saratani stage no 4 isiyotibika.Rushwa inarudisha maendeleo nyuma.Tujitambue.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 หลายเดือนก่อน

    Nachekaaaaa mla rushwa anawezaje kukemea kinana

  • @user-bf7sr1cv1g
    @user-bf7sr1cv1g หลายเดือนก่อน

    Mungu anakuona Mzee mbona wew ndowakwanza

  • @juliusmalunde9636
    @juliusmalunde9636 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo myasemayo hayatoki moyoni

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn หลายเดือนก่อน

      Kabisa. Na mwalimu Nyerere. Aliwahi tamka bayana kwamba tunataka kiongozi ambaye akikemea rushwa na ukimwangalia usoni ubaini kabisa kwamba anakemea toka moyoni. Wengi wanakemea lakini ukiwaangalia si kwamba inatoka moyoni. Na ndo sawa na mwalimu wangu Kinana. Ukimwangalia ni kweli kemea yake haitoki moyoni! Kwanza kwa watoa/wapokea rushwa: anawaomba, anawasihi kujiepusha, wawe na tahadhari na maneno kama hayo. Hivi kwa mla/mtoa rushwa wa leo na hasa mtanzania ukimwendea na kauli hizo za kumbembeleza unadhani atakusikiliza! Ataona unampotezea muda tu na inakuwa, kikwetu: business as usual. Ningemkubali Kinana kama angesema hivi, tena kwa ukali: kuanzia leo atakayebainika na rushwa, chama/serikali tumejipanga kumshughulikia, ebu jaribuni muone cha mtema kuni! Hawezi! Kwani naye mazi ga nyanza! Nyerere hakukosea!

  • @amosmangura
    @amosmangura หลายเดือนก่อน

    Hii kauli tungefika mbal

  • @saidmabanga388
    @saidmabanga388 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa za kijinga izooo mzeee twiga vipiii ur umesahauu

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 หลายเดือนก่อน

    Mimi nasimama na Mama Samia wabunge mpambane

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน

    Mzee kinana nyimbo hizo ndani ya ccm pikipiki zipo mtaani rushwa eduady sokoine muringe alisema tuanze sisi wakubwa kwanza NYinyi.mnskula parefu alafu mnawambia ccm masikini wasiombe rushwa wakati viongozi wa kuu ndio balaa Sasa wewe Abraham kinana usitudanganye sisi watanzania

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo หลายเดือนก่อน

    Ni pamoja na wizi wa mali za umma

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle หลายเดือนก่อน

    Himize na wizi uendelee

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm หลายเดือนก่อน

    Uku bukoba rushwa imetawara sana

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 หลายเดือนก่อน

    Nyie ndio wala na watoa rushwa mafisadi no moja.

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv หลายเดือนก่อน

    Mlisema umeme utapungua bei mbona mnazidi kuongeza bei?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Rushwa imezidi kila sekta kwa vyama vyote viwe vya Ccm na Upinzani

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa ccm iutwe upya

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv หลายเดือนก่อน

    HII WATOTO WA MAMA TUNA ITA MBWA KALA MBWA

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 หลายเดือนก่อน

    Mtaa wa amana kuna rushwa ,kuna milori mikubwa na mabasi makubwa kelele masaa yote

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 หลายเดือนก่อน

    RUSHWA HAIPO CCM PEKEE,IPO NA KWENYE VYAMA VYA SIASA VYOTE,BALI HATA KWA WANANCHI,WAFANYA BIASHARA,WAKULIMA,WAFANYAKAZI,NGO'S PIA NI WALA RUSHWA WAKUBWA.WATANZANIA WOTE TUJITATHMINI UPYA KWENYE HILI,TUSIJIDANGANYE ETI NI CCM TU.

  • @user-bf7sr1cv1g
    @user-bf7sr1cv1g หลายเดือนก่อน

    Rushwa ni ccm na ccm ni rushwa

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 หลายเดือนก่อน

    Mh!

  • @StanleySewando-nb4xm
    @StanleySewando-nb4xm หลายเดือนก่อน

    Kumbe

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน

    🙄🤔🤑🤑🤔🤔