MAGUFULI "KUSAMEHE KUGUMU ILA NIMEMSAMEHE JANUARY MAKAMBA NA NGELEJA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @shabanijumannemgalula6575
    @shabanijumannemgalula6575 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ampumzishe mzee wetu tutakumbuka sanaaaa

  • @selestinelyakurwa7911
    @selestinelyakurwa7911 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda sanaa maguful mungu akutunze

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 ปีที่แล้ว +8

    Mungu mwema,,, hadhina yako imaandaliwa, hongera sana kwa uvumilivu

  • @MegaAlexison
    @MegaAlexison 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki sana na akuongezee miaka yakuishi kwa maana Maria wengine mno wangewapa adhabu kweri kweri

  • @paschalmartin9598
    @paschalmartin9598 ปีที่แล้ว +3

    Uliwasamehe ila hao hawakuwa na upendo na wewe uliwasamehe pumzika kwa amani mahali pema peponi jemedari wetu Magufuli

  • @jonaskilomba4094
    @jonaskilomba4094 5 ปีที่แล้ว +7

    Safi Sana Baba yetu lkn ambao hawajakuomba musamaha uwawajibishe nakuomba usikilize hata neno hili

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 หลายเดือนก่อน

    Baba Nabii Magufuli, ulimsamehe alikini hakusameheka maana aliendelea kufanya upuuzi ktk nchi na kufanya ubadhilifu wa mali ya umma. Tunamshukuru Mungu Mama Samia kamtimulia mbali, yeye na Nape Nauye

  • @alexmadinda1
    @alexmadinda1 2 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Daaah! Daaah! Ebu nikae kimya tuuu.

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania Tulikuwa na Rais

  • @dominicikuja7392
    @dominicikuja7392 2 หลายเดือนก่อน

    2024 watching nipeni like 👍

  • @salmaothuman4799
    @salmaothuman4799 5 ปีที่แล้ว +2

    Bora uwasamehe tu mh rais safi sana

  • @amanichomola6696
    @amanichomola6696 5 ปีที่แล้ว +1

    Daa unaovyo ongea nikama hii kitu imenitokea mimi yaan nahisi huzuni yako na inaonekana ilikuumiza kweli kweli. Lakini hii Dunia ina mafundisho yake na Mungu ndiyo atakaye tufunua kwa mazuri au mabaya siku hizi watu tunaweka usomi juu kuliko utu na maranyingi tunthamini maisha na maisha yetu binafsi na kusahau wengine na inamuathiri kivipi Mwingine.Usomi siyo kisu kuuwa maono ya watu bali tutumie katika kutoa maamuzi yaliyo sahihi na si kwa kuangalia ni nani kakuagiza .
    Mungu aturehemu katika haya

  • @amosmwakapesa8540
    @amosmwakapesa8540 5 ปีที่แล้ว +4

    katika siku zote umenigusa ila leo umenigusa zaidi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +2

    Sasa baba yake amesema nyie mliokufa mlikuwa na madhambi makubwa wewe mwalimu nyerere na mkapa mbele ya wake zenu waliokaribishwa mungu amlaani sana yusuf makamba afe na yeye tena kwa kugongws na gari

  • @thomasboso3081
    @thomasboso3081 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo Baba hapo ulinena R.I.P

  • @shabbymakapane1910
    @shabbymakapane1910 5 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU AWÈ NAWE BABA

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 5 ปีที่แล้ว +1

    Ngeleja anajianda vzr safari ya kwenda mbinguni kwaani amewahi kurudisha Yale mahela waliyo gawana kifisadi au nimekosea?

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 5 หลายเดือนก่อน

    Ulikosea ilibdi uwe Kama kagame ukihisi hatali inabidi umalize kabla hawjakumaliza

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah huzuni yangu hao walipata muda wa kuomba msamaha ila walio mpiga risasi lisu hawakupata muda na hadi leo hakuna alieomuomba msamaha Lisu au Beni saanane na wote waliotekwa

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +4

    JANUARY MPOLE SANA. MSTAARABU.

    • @marrymaige2481
      @marrymaige2481 5 ปีที่แล้ว +2

      You are a true leader,God bless you forever

    • @godwinmasoud7180
      @godwinmasoud7180 5 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyezi Mungu akujalie hekima na busara

  • @shabanijumannemgalula6575
    @shabanijumannemgalula6575 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ampumzishe mzee wetu tutakumbuka sanaaaa