SIKILIZA USHUHUDA HUU WEWE ULIYEBATIZWA KWENYE MKUTANO MWEZI WA PILI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 หลายเดือนก่อน

    Mimi baada ya ubatizo usiku wake niliotaga ndoto nashuka shimoni harafu nasikia sauti inasema asema Bwana wa majeshi nikasema nini hiki kuna baadhi niliwasimuliaga hii ndoto, mimi nilidhani baada ya ubatizo nitaota ndoto nzuri nikashangaa

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 หลายเดือนก่อน

    Amen.Atukuzwe BWANA na Mwokozi YESU Kwa kuwa Anatupenda

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen nabarikiwa sana

  • @Yerusalum
    @Yerusalum หลายเดือนก่อน +1

    Ni vyema Mungu amewafunulia haya mambo..Roho mtakatifu asha mkataa huyo Meshak..muwe makini sana naye ameshatekwa na ibilisi.

  • @MwanaeshaAsthma
    @MwanaeshaAsthma หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ElijahMbaga
    @ElijahMbaga หลายเดือนก่อน +2

    Hakika MUNGU amuachi mwenye haki angamie

  • @user-yk7ih2ri1g
    @user-yk7ih2ri1g หลายเดือนก่อน +3

    Mh mbon kama nachanganyikiwa jaman kwahiyoo mh

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 21 วันที่ผ่านมา

      wanachanganyikiwa wanachanganyikiwa lkn ndio mwisho wa lmani potofu huwa sio mzuri hawa wasipokuwa makini mtaniambia watafanya vituko sana

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 หลายเดือนก่อน +1

    Ina maana ubatizo wa mwezi wa 2 aukuwa sahihi ??

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 หลายเดือนก่อน

    Roho ndie ashuhudiae mwili roho wa MUNGU tusaidie

  • @mjakazieunicelucas
    @mjakazieunicelucas หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu ni mwema

    • @peterkarimu00
      @peterkarimu00  หลายเดือนก่อน

      Bwana Yesu ni mwema sana

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 หลายเดือนก่อน

      Amen watumishi wa Mungu Aliye Hai.

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru หลายเดือนก่อน

      Nakumbuka nilikwambia tulikutana sokoni nyuki nikakwambia MUNGU amenikataza kushiriki makutano tena MUNGU alinionyesha mazito sana sana na hata sasa MUNGU Bado anasema na Mimi kuhusu mambo yanayoendelea kwenu kuweni makini jamani jamani siku za mwisho shetani Yuko na speed kubwa sanaaaa mm ckukangaga MUNGU alinizuia kabisaaa

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru หลายเดือนก่อน

      Nilikwambia nmekosa kibali naona vibaya ni mengi sanaaa kuweni makini

    • @mjakazieunicelucas
      @mjakazieunicelucas หลายเดือนก่อน

      Ulikosa kibali wewe ..lakini wengine lazima walitakiwa kushiriki ili wapate kujibiwa maswali yao..sio kwamba sikuonywesha mabaya ila niliambiwa niende na nirekodi iwe ushahidi.....MUNGU HAKOSEI....​@@HappyFlowers-ee8ru

  • @Nyota1-en4oq
    @Nyota1-en4oq หลายเดือนก่อน

    mna manisha mtume mali yabwana siyo mtumishi wakweli?

  • @MwanaeshaAsthma
    @MwanaeshaAsthma หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya mchungaji peter.

  • @MariaMwasyila-mq6yc
    @MariaMwasyila-mq6yc หลายเดือนก่อน

    Haleluyaa Mungu ni mkuu sana

    • @peterkarimu00
      @peterkarimu00  หลายเดือนก่อน

      Atukuzwe sana Bwana Yesu

  • @Nyota1-en4oq
    @Nyota1-en4oq หลายเดือนก่อน

    mna manisha mtume mali yabwana siyo mtumishi wakweli?