Bwana Yesu akubariki mtumishi wa Mungu haya ndiyo mafundisho ya Roho mtakatifu nilikuwa nayatafuta imani yangu imeongezeka mimi nachunga kanisa kwa sasa natimiza miaka 3 niliposikiliza mafundisho nimejaszwa nguvu za Roho mtakatifu bahubi kwa ushindi na kwa ubarikiwe
Ooh! Hallelujah...
Hii ndio faida tunayoipata ndani ya Kristo.
"Mungu yupo upande wetu, nani aliye juu yetu?"
Hatuna cha kuhofu.
Moyo wangu unampenda KRISTO YESU. Na mema yako kwangu. Amenichagua, ameniita na amenihesabia haki.... AMEN, AMEN. Asante Rabbi Kwa Mafundisho mazuri. Barikiwa
Amen Amen. Mungu akubariki uzidi kutufundisha neno lake nasi tuliishi
Mwenyezi Mungu muumba wa Mbigu na nchi akubariki na kukulinda mtumishi wa Mungu ninamshukuru Mungu kwaajili yako
Bwana azidi kutufundisha na kutufunulia injili ya Kristo kupitia wewe rabi mimi najifunza mengi kupitia wewe asante Bwana kwa nafasi hiii
Bwana Yesu akubariki mtumishi wa Mungu haya ndiyo mafundisho ya Roho mtakatifu nilikuwa nayatafuta imani yangu imeongezeka mimi nachunga kanisa kwa sasa natimiza miaka 3 niliposikiliza mafundisho nimejaszwa nguvu za Roho mtakatifu bahubi kwa ushindi na kwa ubarikiwe
Umebadilishwa hata muonekano mtumishi wa Mungu!!!
Mungu ametukumbuka tena !!
Hallelujah pastor nimeanza kukufuatilia ntaingia njuzi tuna kitu unakiza ndani mwangu be blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Mungu ninakushukuru sana sikujua kabisa tafsiri ya jirani yako ni nani Asante sana Yesu
Da somo Zuri Mungu ametupenda sana lihimidiwe Jina lake Mungu wa Ibrahimu
Amen
Hallelujah 🙌 hallelujah 🙌 hallelujah is the LORD
Mungu Yuko upate waku.hakuna
Wakuika kinyume nami Kwa jina la Yesu Kristo
"AMEN" NENO LA MUNGU LINANITIA NGUVU YA KUSONGA MBELE
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa napokea mafundisho mazuri barikiwa sana mutumishi wa Mungu
Amen amen papa pasteur ❤❤❤
Amen
Amen Amen
Balikiwa umenitoa sehemu umenipeka sehem nyingine🙏🙏🙏
Namwaami Mungu namupenda Yesu
Halleluja
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
Beit AR which from Zambia Amen and Amen natamani mane no Yako
Barikiwa sana na Bwana Yesu!
Mungu akubariki kwa neno nzuri
Amen Man of God
Mungu akubariki amen Asante 🙏🏻
Glory to God Germany
Ameeeen
Naomba flash nipo chemba napataje pia tunakukaribisha chemba tunakiu tunamwitaji mungu nyakati hizi
Kweli Mungu akiwa upande Wetu hakuna aliye juu yetu
Hakika wewe ni mwana wa Imani Mimi Niko
Na lmani Mimi ni mwana unitoa uninga Kwa akili Yaku
Amen amen amen
Amen
Amen Amen