Khadija Kopa - Gendaeka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ย. 2020
  • Taarab..

ความคิดเห็น • 22

  • @user-wi1me3gi6t
    @user-wi1me3gi6t 9 หลายเดือนก่อน

    hii ngoma imenikumbusha mbali sana ilala mtaa wa morogoro mpaka kkoo

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Sana, Naomba ile,Ngoma Yako Ya Kitoto Haikeshi ikilia,CD 1 Na Hii Gendaeka.

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisha Oman wewe ni mtu wa watu utabaki kupenda na watu hongera mama

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 ปีที่แล้ว +2

    Kajivalia mpaka chachandu hahaha kibuda stara huna weye

  • @zizou9959
    @zizou9959 3 ปีที่แล้ว +2

    Merci pour ce morceau Hadidja kopa djuu❤❤❤❤

    • @khamisjuma5481
      @khamisjuma5481 3 ปีที่แล้ว

      Mama kopa huna mpinzani

    • @johnkahekwa8962
      @johnkahekwa8962 3 ปีที่แล้ว

      Qui es tu mon frère pour commenter ce morceau? Tu es du Congo comme moi? Toka Bukavu Congo Kinshasa.

  • @arafahabibu7258
    @arafahabibu7258 ปีที่แล้ว

    Nyambiz ya hadija kopa jaman

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiasi uone choyo choyo icho choyo
    Kwa manofu nilopewa x 2
    Lakini bibi si hayo x 4
    Kwa mitikiso kasa amesingiziwa
    Na macho niliyonayo wee yakuita wee mwenyewe si unajua
    Si yako si yako bibi si yako uliyonayo ndani yalotumbukia

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 ปีที่แล้ว +1

    Pwaku pwaku huna kitu huna kitu siri ishajulikanaa

  • @bifathima2095
    @bifathima2095 3 ปีที่แล้ว +1

    Marshalls mamangu🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว +1

    Marijan asante hongera bi hadija mtafute uyu mtunzi wako wa nyimbo za zamani hakuna mbaya jamani zamani au owongo

    • @KhalidKhalid-ox4pg
      @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว

      Aisha Oman asante marijan hongera bi hadija mtafute uyu mtunzi wako wa nyimbo za zamani hakuna mbaya jamani zamani au owongo

    • @RioIpo
      @RioIpo ปีที่แล้ว

      ​@@KhalidKhalid-ox4pgAlikuwa ndio mumewe baba ake na Zuchu

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 ปีที่แล้ว +4

    Uzuri wangu maleshi uzuri wa natural ngoma zimemzingua x 2
    Anatoa cash cash ananipa cash cash x 2
    Sio mkopo kama unavofanyiwa x 2
    Wewe humbabaishi wee gendaeka wee wahangaika na jua
    Wala humtishi tishi wee gendaeka wee wahangaika na jua
    Waishi wewe waishii waishi mwenzangu wewe waishi mabwana wa kudandia

  • @fatmaabdallah1560
    @fatmaabdallah1560 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 2 ปีที่แล้ว

    Wayooooppp 😍😍😍

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 2 ปีที่แล้ว

    Babsule nakuaminia sana

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 2 ปีที่แล้ว

    Ninatafuta sana video ya hii album kama yupo mwenye nayo tafadhali up-load

  • @ashasarai8162
    @ashasarai8162 3 ปีที่แล้ว

    Si yako ulionayo ndani yaliyotumbukia

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante marijan kopa hana chafu aturejeshee vitu vyetu huyu mtunzi wake yuko wp 🙄

  • @khamismkamba5900
    @khamismkamba5900 ปีที่แล้ว

    😀😀kipindi nina miaka 12