TAARAB. MAMA SHUGHULI - Mwanahawa Ally. AUDIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2020
  • #MarjanSempa
    Don't Forget to SUBSCRIBE , LIKE & Share
    Follow me on my INSTAGRAM ACCOUNT @MarjanSempa
  • เพลง

ความคิดเห็น • 71

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 ปีที่แล้ว +11

    Mambo bull bull 😘👌🎶

  • @user-fc8xe2sc3w
    @user-fc8xe2sc3w 4 ปีที่แล้ว +8

    Nyimbo konk👌👌👌

  • @yassinomary3329
    @yassinomary3329 4 ปีที่แล้ว +9

    Aisee hii nyimbo ina nikumbusha mbali sana👌👌👌👌

  • @lecool2350
    @lecool2350 4 ปีที่แล้ว +7

    mwaaaaaaaah😙😙

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 4 ปีที่แล้ว +9

    👌👌👌ndani ya baharein kwa mpango mzima

  • @wahidamakena6836
    @wahidamakena6836 4 ปีที่แล้ว +7

    Wow ✔💯

  • @bethwelbrandlie6108
    @bethwelbrandlie6108 4 ปีที่แล้ว +7

    Asante sanaa. Kama una gendaeka ya bi Khadija tusaidiane..

  • @salamajalina7789
    @salamajalina7789 4 ปีที่แล้ว +6

    Wallah Mpk Raha Anasema Na mimi nikatoa kaul karib yaa Habiiib

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 ปีที่แล้ว +7

    Marjan naomba last warning na kipendacho moyo dawa zote za mwanahawa ally

  • @leylasaid355
    @leylasaid355 4 ปีที่แล้ว +5

    Weeeeeeraaaah!!!!! Namlisha maakuli

  • @didawaa7555
    @didawaa7555 4 ปีที่แล้ว +5

    Hapana chezea

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 4 ปีที่แล้ว +18

    Yani nimefurahi sana sana saaana mana ninavyoipenda hii taarabu leo nitaisikiliza mpaka nahisi simu itazima chaji wallah umenifurahisha sana nipe namba yako nikutumie vocha aisee umenifurahisha sana

  • @darinimatimbwa785
    @darinimatimbwa785 4 ปีที่แล้ว +2

    Pambeeeee

  • @saidabdullah7273
    @saidabdullah7273 4 ปีที่แล้ว +6

    Taarab za zamani sio mchezo zimetulia sana tupe rahaaaa 👌mwanahawa sauti tu mama 💥

  • @akhamedimaster6400
    @akhamedimaster6400 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo tarehe 11 mwezi 9 mwaka 2021 Akhamedi master Dar salaam Tanzania 🇹🇿
    to Vancouver Canada 🇨🇦 naisilikiza mwanahawa aliy

  • @khadijakassim6926
    @khadijakassim6926 4 ปีที่แล้ว +7

    Hii nyimbo ilikuwa tamu na imedumu mpaka leo .asante kwa kutukumbuka

  • @madinaswaibu2954
    @madinaswaibu2954 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwaaaaa naupenda mpaka basi

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 4 ปีที่แล้ว +1

    Weuweeeee weuweeee weuweee santeeeeeeee

  • @selemaniomartwaha5416
    @selemaniomartwaha5416 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubar shangazi 2020 oyeeeee

  • @rahamaazizi2461
    @rahamaazizi2461 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha mama shughuli

  • @machetebogota4218
    @machetebogota4218 ปีที่แล้ว

    Wapi Mke wangu mpenz khadija mtot unaniua wew mtoto wa kinyamwez asiepajua kwao😃a k.a mnyamwez wa dar umeniwez mzanzibar mie

  • @husseinbushiri9973
    @husseinbushiri9973 3 ปีที่แล้ว +4

    YAAN NAKUMBUKA 2006 JAMAN DADA ZANGU WARIVYO KUWA WANACHEZWA SIKU YA KUTOKA WARITOKA NA NYIMBO HI DAR YAAN NIMEKUMBUKA MBARI SANA DAR ZAMANI KURIKU NA NYOMBO

  • @fatumanassir3085
    @fatumanassir3085 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo si mchezo....bado iko Moto wallahi,thanks slot.

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 4 ปีที่แล้ว +1

    Woooooiiiyoooooooooooooooo

  • @mysteryman4luv
    @mysteryman4luv 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana hakika......

  • @mariamlove3134
    @mariamlove3134 3 ปีที่แล้ว +3

    2020 jamaniii hiiinyimboooo🔥🔥🔥🔥

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka mtanga alipoisogelea ndoa yangu hee alinitambua leo mume karibu tujukuu nilikuwa kama nyoka kaboko

  • @zuwenaphillipssosnowka8935
    @zuwenaphillipssosnowka8935 4 ปีที่แล้ว +5

    Wonderful work, bro uko vizuri

  • @hassanali4838
    @hassanali4838 4 ปีที่แล้ว

    Shughuli nzito ,si shughuli za kitoto

  • @mwajumajuma4461
    @mwajumajuma4461 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo pambe 👌👌👌👌Sana I mie Leo Sina nacho fanya kwenye simu zaidi yakula buludani ii imeni kumbusha mbali sanaaa

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 4 ปีที่แล้ว

    Mochoooooo😍😍😍😘

  • @amourdaani1233
    @amourdaani1233 4 ปีที่แล้ว

    Hatariii nakumbuka mbali sana

  • @masikamkong0154
    @masikamkong0154 3 ปีที่แล้ว +2

    Happy new year

  • @fatmarashid1575
    @fatmarashid1575 4 ปีที่แล้ว +4

    Please Weka nyimbo zote zilizokuwa kwenye hii cd

  • @user-qh8ot5nz1e
    @user-qh8ot5nz1e 5 หลายเดือนก่อน

    Shughuli kushughulika,

  • @akhamedimaster6400
    @akhamedimaster6400 3 ปีที่แล้ว +1

    Siwez kuisahau hii nyimbo sababu nilikuwa na mpenzi wangu alikataa kisa sina pesa siku ya harus yake niliudhilia hii nyimbo ilipigwa kipindi hicho walikuwa wanaita Rusha roho na kwer iyo siku roho ysngu iliruka mapenz haya yaachen kama yalivyo vizur usikie2 sasa nimetoboa nayeye yuko kijijin kwao analima magimbi 2021 tupo pamoja

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 ปีที่แล้ว

    Duh hapa siwezi paondoka
    2021 bado nipo, miaka kama mia ijao still nitakuwepo hapa kwa uwezo Wa mungu.

  • @rahmaseif793
    @rahmaseif793 3 ปีที่แล้ว +1

    Halooooo
    Mama shughuli anashughulika

  • @mgenisaid5377
    @mgenisaid5377 4 ปีที่แล้ว

    Teynaaa.....

  • @siamongi9941
    @siamongi9941 4 ปีที่แล้ว +3

    bwana sauti haimtoki huguna ndani kwa ndani, upoow???

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 3 ปีที่แล้ว

    Strong super women ❤️👌💪

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 4 ปีที่แล้ว

    Ausio mwili wangu halali

  • @dennisdennismkoma5743
    @dennisdennismkoma5743 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kila kitu zamani bwana sasa ivi maigizo tu unaambiwa sibanii staili nacheza step zote tena ni mwanamitindo nabinjuka mitindo yote duuuuu,,,,Mwanahawa Aly Ndani ya Zanzibar stars Enzi hizo lakini

  • @fatumaayubu8771
    @fatumaayubu8771 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanikumbusha mbali sanaa bd kabint ndio naolewa

  • @udahsaid9147
    @udahsaid9147 3 ปีที่แล้ว

    Niliitafuta sana hii nyimbo. Thanks @marjan sempa

  • @kambiboy715
    @kambiboy715 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahaa! sibanii staili nacheza stepu zote na tena ni mwanamitindo nabinjua mipigo yote upo Shost?

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 3 ปีที่แล้ว +2

    Shughuli zangu nzito boss ameshabaini👌s shughuli z kitoto kama zako mwafulani hahaaaa

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว

    Waaah"

  • @ratifajuma1873
    @ratifajuma1873 4 ปีที่แล้ว

    Mm mama shughuli

  • @jumaamitsanze6296
    @jumaamitsanze6296 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @hassanoddo9915
    @hassanoddo9915 2 ปีที่แล้ว

    safy sana

  • @mariamkissiwa2549
    @mariamkissiwa2549 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nmeitafuta zibeni njia sio riziki,mpaka nimechoka. Hata cjui pa kuipata

    • @marjansempa
      @marjansempa  3 ปีที่แล้ว +2

      Soon...

    • @collinslusweti
      @collinslusweti 3 ปีที่แล้ว +1

      @@marjansempa natafuta pia Manusura, Ninusuru yarabi( Mwanahawa) tafadhal nitafutie

    • @sadamohamed6332
      @sadamohamed6332 3 ปีที่แล้ว +1

      @@collinslusweti ustubwage

    • @sadamohamed6332
      @sadamohamed6332 3 ปีที่แล้ว +1

      @@marjansempa ustubwage plzz

    • @marjansempa
      @marjansempa  3 ปีที่แล้ว

      Ssawa InshAllah

  • @abylmbotton1140
    @abylmbotton1140 4 ปีที่แล้ว

    • @aminamaulid3533
      @aminamaulid3533 ปีที่แล้ว

      Namkumbuka Marehemu Amina chifupa alikua akiupiga kweny kipind chake cha taarabu