AMBWENE MWASONGWE_MOYO WA IBADA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 327

  • @boazdanken
    @boazdanken 3 ปีที่แล้ว +86

    Ninasikiliza Saizi ninabalikiwa Sana MUNGU Akuinue Sana Kaka Ambwene Mwasongwe

    • @abiyamashaka5716
      @abiyamashaka5716 3 ปีที่แล้ว +6

      ubarikiwe pia kaka BOAZ,huduma iliyondani yako ni kubwa mno.MUNGU wa mbinguni azidi kukuinua zaidi

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe  3 ปีที่แล้ว +16

      Mtumishi wa Mungu nashukuru Sana, Mungu azidi kukupata mafuta

    • @monicalikoko6134
      @monicalikoko6134 3 ปีที่แล้ว +2

      Asante Kaka Abwene😭😭😭😭😭😭

    • @adamsonkyando682
      @adamsonkyando682 3 ปีที่แล้ว

      @@ambweneobadiamwasongwe Dar!!!!nakukubali sana mtumishi wa Mungu " Yani umeutunza ushuhuda wako hakuna pakukukosoa labda Mungu .Mungu akusaidie umalize vema na ujuwe umebeba wengi nyuma yako tunao kuamin siku ujiteleza utaua wengi roho zao nakukubali kama Mtumishi wa Mungu Mwakasege Yan ok ,Hamna pa kukosoa mmejitunza sana

    • @felicianamhema9411
      @felicianamhema9411 3 ปีที่แล้ว +2

      ubarikiwe sana Kaka Ambwene. nyimbo zako zinanibariki sanaa. toka album yako ya kwanza nyimbo zako zinanibariki sana ubarikiwe sana. Mungu aendelee kukusaidia ili maisha yako yaendelee kuwa ushuhuda kwetu. nazipenda sana nyimbo zako ubarikiwe sana na Bwana Mungu

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 3 ปีที่แล้ว +26

    Many have praised you, many have sang for you, many have offered and worshiped you
    I desire to praise you, I desire to sing for you more than words can explained
    My words, thoughts have been weighed and found not to the measure
    I ask my words and thoughts be accepted!
    You are Lord, Only you...None like you Lord, Holy, Your name is True, Your works are great, Your testimonies are awesome...
    What can I offer?
    I want to offer but Abraham offered the most precious thing, I want to have a good heart, Moses did it, I want to dance for you but David won the prize...
    I pray that my words and thoughts be accepted before you...
    I am in the heart of worship!!! I am fearfully coz your Throne is too Holy
    You are able to do all things...

  • @elinagwimile6136
    @elinagwimile6136 27 วันที่ผ่านมา

    Maneno na maombi yangu yapate kibali mbele zako Bwana ❤.
    Before end of 2024 niko nasikiliza nyimbo za Ambwene

  • @st.juniorsilwimba9691
    @st.juniorsilwimba9691 3 ปีที่แล้ว +12

    Wacha Emoji zinisaidie Kucomment maana naona maneno yameisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭😭😭😭😭💞💞♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏

  • @highlightsfootballworldwide
    @highlightsfootballworldwide 3 ปีที่แล้ว +40

    You are the best gospel singer in Tanzania, East Africa, Africa and the whole entire world. BE BLESSED THE MAN OF GOD AMBWENE 🙏🏽

    • @Jiwakilishe2023
      @Jiwakilishe2023 3 ปีที่แล้ว +1

      Naunga mkono. Napenda huyu kaka. Mungu anijalie siku moja nitembee Tanzania tuzungumze hana kwa hana.

    • @milkajm4762
      @milkajm4762 2 ปีที่แล้ว

      @@Jiwakilishe2023 glory to God. kweli kabisa!

  • @gracemwampashi7390
    @gracemwampashi7390 3 ปีที่แล้ว +14

    Automatically ukisikiliza hizi nyimbo za huyu mtumishi unajikuta tu umezama uwepo mwa Mungu, na unapata nguvu mpya ya kuwa karibu na Mungu. Ahsante mtumishi🙏.

  • @johnasso6944
    @johnasso6944 3 ปีที่แล้ว +10

    Nilianza sikiliza nyimbo zako toka nikiwa Mdogo from Burundi.Mungu Anaishi ndani yako Baba yetu Ambwene.

  • @fidelewikha9115
    @fidelewikha9115 2 ปีที่แล้ว +9

    God bless you beloved brother ; I’m in DRC following this ministry from 2009 over the tapes with songs like : DUNIANI TWAPITA MWENYENZI WETU NI MUNGU ... And I m so proud to have opportunity to testify that all those songs and the new ones are only bless full. We praise Our Lord Jesus-Christ for having given us this gift your are. I know by the grace of the Lord that we will reach yes ! Brother Fidèle Lumana Wikha / DRC /Kolwezi city

  • @gloryvictor7013
    @gloryvictor7013 ปีที่แล้ว +1

    🙏nibadirishe maneno yangu yawe na baraka mbele zako

  • @ireneanold1662
    @ireneanold1662 3 ปีที่แล้ว +4

    Kila nikisiskia nyimbo zako moyo wangu unamtamani Yesu.Ubarikiwe sana kaka

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 3 ปีที่แล้ว +4

    hakika MUNGU amekuchagua umsifu kwa kipaji chako....so touching....hakuna wimbo wako ambao sijawahi kuguswa nao toka nimeanza kukisikia.... may LORD JESUS PROTECT YOU ALWAYS...

  • @penueljerema3556
    @penueljerema3556 3 ปีที่แล้ว +5

    Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli Mungu wangu,,ila sifa hizi BWANA zikubali

  • @wannaproducts
    @wannaproducts 3 ปีที่แล้ว +7

    MUNGU wetu ainuliwe milele
    Utukufu una Mungu juu Mbinguni .
    Ambwene this is another Master piece to raise our Almighty God!
    Hakuna Kama Bwana Hallelujah

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka Mtumishi alikuja Morogoro kwenye semina na Mtumishi Gwamaka,Dominick na Mtumishi Banzi akika mti ambao mlipanda mpaka sasa MUNGU anaunyeshea na unamea na utazaa matunda makubwa ya utukufu wake Msipungukiwe kwame, nilikuwa katika hali ya kupotea MUNGU kanirejeshea vyote namwimbia kwa ushindi saasa 😢😢😢😢😢 Hakika acheni MUNGU YUPO

  • @sharifajoseph5846
    @sharifajoseph5846 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na Nyimbo zako hasa hii ya MOYO WA IBADA.kwakweli hakuna tunachoweza kumrudishia Mungu kinachoendana na Baraka zake maishani mwetu.Mungu wa Mbinguni akubariki sana Mtumishi wa Mungu

  • @davidkisalimwala9458
    @davidkisalimwala9458 2 ปีที่แล้ว +5

    what a song i cant have enough of this song its has been playing throughout in my car and i feel the presence of Holy Spirit ....................... this is indeed a Gospel song . my brother Ambwene God bless your ministry from Nairobi Kenya we are blessed by your ministry .

  • @st.juniorsilwimba9691
    @st.juniorsilwimba9691 3 ปีที่แล้ว +6

    NI WEWE BWANA HAKUNA KAMA WEWE ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💕💕💕

  • @mwlhalimoja.ekingunza1819
    @mwlhalimoja.ekingunza1819 3 ปีที่แล้ว +6

    Here we go. Huu ni mwaka wa ibada kutoka kwa mtumishi wa Bwana Ambwene Obadia Mwasongwe. May almighty God abide you na karama yako idumu hemani mwa Bwana Yesu Kristo siku zote.

  • @maryissack1259
    @maryissack1259 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashindwa elezea huu wimbo kwa kias unavyonibariki Mungu azidi kukuinua viwango vingine

  • @festasamuel6110
    @festasamuel6110 3 ปีที่แล้ว +5

    Natamani nikusifu natamani nikuimbie
    Nataka nikutolee ibada, sadaka na maombi 😩 hujawai kuyasikia 🥺🙏🏽🙏🏽🙏🏽 MUNGU WANGU ❤️❤️❤️.....ni wewe ni wewe Bwana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @lilianoscar9604
      @lilianoscar9604 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina kubwa mtumishi wa mungu ubarikiwe sana 🙏🙏wimbo unanibariki mnoo🙏🙏🙏

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 3 ปีที่แล้ว +6

    Wengi wamekusifia wengi wamekuimbia ,wengi wamekutolea natamani kukuimbia mungu wangu@ambwenemwasongwe🙏🙏🔥🔥🎤🎤

  • @IreneLuhobe-y7h
    @IreneLuhobe-y7h 4 วันที่ผ่านมา

    Be blessed much mtumishi, naomba maneno ya kunywa changu yapate Kibale zake Mungu 🙏

  • @agapemwasomola.777
    @agapemwasomola.777 3 ปีที่แล้ว +3

    Shetani anapata shida kwasababu ya Mambo haya na kwa uzuri wa Yesu unaoelezwa kwa kinywa chako kaka,Ila My Jesus Christ is on your side to ensure the powerful moving of goodnews through singing.

    • @ndeshukurwakaaya4385
      @ndeshukurwakaaya4385 3 ปีที่แล้ว

      Asante mtumishi huyu ni lango la kumfungulia roho wa mungu atuokoe. Ukiona nguvu hizi personally, utashuhudia jinsi gani AMBWENI AMEKUWA LANGO. ILI NASI WOTE TUFUNGULIWE VIPAJI. TAKE IT, TRY, YOU WILL WITNESS. 🙏

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 3 ปีที่แล้ว +2

    Naichukia Sana dhambi, hufanya kunitenga na BWANA MUNGU WANGU. Moyoni nahitaji kumtumikia MUNGU mwili WANGU na udhaifu wake hunirudisha nyuma.
    Nakuchukia shetani 😭😭😭

    • @teresiasanga7539
      @teresiasanga7539 3 ปีที่แล้ว

      MUNGU ameona haja ya moyo wako

    • @olympiapaul7320
      @olympiapaul7320 3 ปีที่แล้ว

      Roho mtakatifu atakuwezesha muombe sana

  • @felistarleonmk5261
    @felistarleonmk5261 3 ปีที่แล้ว +20

    I feel like niko kwa another level when I listen to this song 🙏🙏Be blessed mtumishi wa Mungu,una kitu Cha ziada bro Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vingine🙏💝

  • @martinmarcus6884
    @martinmarcus6884 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe kaka yangu nyimbo zinatubariki

    • @gracethomas5298
      @gracethomas5298 ปีที่แล้ว

      Mungu axidi kukuinua nyimbo zako zinanibatiki mnooo🙏

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante watu wa mungu. Hakika ukimwona mungu moyo haukomi kusifu , uwepo wa mungu una nguvu ishindayo magumu, yaliyoshindikana, na hayo yote kwake yeye akiwa ndani yako hakika anayageuza yote yanakuwa baraka ili tumkimbilie atushindie. Moyo na macho yananapewa kibali pamoja na vyote alixyotupa kutimiza wajibu hapa duniani. Amaizing God. TRUE 🙏

  • @elizabeth8mgani341
    @elizabeth8mgani341 3 ปีที่แล้ว +1

    Najiskia kuinuliwa na kupelekwa viwango vingine kila nisikilizapo nyimbo zako mtumishi wa Mungu! Ni maombi yangu Mungu azidi kukupa viwango zaidi ili uendelee kumtumikia yeye na kutuponya wengine. 🙏

  • @faithmueni5817
    @faithmueni5817 3 ปีที่แล้ว +7

    I listen to your songs over and over and over again. The best artist I know. God bless you and take you to greater heights. You are a blessing to many

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 ปีที่แล้ว

    Amen . Tumkimbilie mungu atutendeaye miujiza tunaposhindwa na magumu. Miujiza yake inatuunganisha naye, kupitia familia, ndugu, jamaa , marafiki, hata tusiowafahamu kwa kuvutiwa na matendo yetu ambayo yamejazwa ukuu wa mungu kupitia kwa YESU MWANA MA MUNGU. Kazi ya YETU KRISTO KALVARI INAENDELEA KWA NGUVU. ILI KUOKOA WATU WAKE. IS AMAIZING.

  • @asnathkiunga9461
    @asnathkiunga9461 3 ปีที่แล้ว +3

    Kila siku nasikiliza nyimbo zako. Mungu aendelee kukubariki

  • @alex_miso
    @alex_miso 3 ปีที่แล้ว +2

    Dhahiri kaka kwamba,roho mtakatifu wa mungu anaiongoza huduma yako.Nami nitazidi kukuombea uzidi na unyenyekevu mbele za Jehovah, ili azidi kukuinua.

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hata mm nasubiri najua ni bonge la kichupa simchezo

  • @barazashirley158
    @barazashirley158 3 ปีที่แล้ว +2

    Ambwene mungu aendelee kukulinda ubakie kwenye mstarii huu huu manake wengu hubadilika na kutiwa kiburi na shetan kamwe usijegeuka mtumishi nawaombea watumishi wa mungu kila uitwapo leo unanibariki mno

  • @fanuelzakayo4463
    @fanuelzakayo4463 3 ปีที่แล้ว +4

    Uinuliwe wewe Mungu wetu kupitia sifaaa

  • @DerickNdonge
    @DerickNdonge 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah!!Asante brother wimbo mzuri sana

  • @bujabestonlinetv
    @bujabestonlinetv 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa naomba meneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako Mungu.🙏🏾

  • @Jiwakilishe2023
    @Jiwakilishe2023 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo safi sana. Maneno yenye uzito sana na yanasikika vizuri

  • @febroniaministry2632
    @febroniaministry2632 2 ปีที่แล้ว

    Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Ameni Sifa na UTUKUFU chukua wewe bwana kwa ajili ya mtumishi wako Ambwene.

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo wenye ushindi . Yote yawezekana. Tujongee !! patakatifu tuongee na yesu, mwamba, alitushindia pale KALVARI. Wote waliaminio jina lake na kulipokea tutapokea nguvu zake.
    AMAIZING. Thank you so much for the SONG. (EKA NNU DENNY) 🙏

  • @emmanuelisocelsongolo8539
    @emmanuelisocelsongolo8539 3 ปีที่แล้ว +2

    Umeniweza kaka kweli tunapaswa kuwa na moyo wa ibada ndani yetu

  • @frankelias106
    @frankelias106 3 ปีที่แล้ว +2

    Ww ndo. Ambwene usie namfano kwenye tasnia ya gospel

  • @joyceshindayi4576
    @joyceshindayi4576 3 ปีที่แล้ว +2

    Oooh haleluya, yaani nacomment kwa mapigo na uzuri wa maneno yaliyomo ndan ya wimbo. Barikiwa Sana Kaka angu

  • @clementministry2489
    @clementministry2489 3 ปีที่แล้ว +3

    NI WEWE BWANA.. NI WEWE BWANA.... HAKUNA KAMA WEWE BWANA 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕💞💞♥️

  • @agathathomas2861
    @agathathomas2861 3 ปีที่แล้ว +4

    Be blessed 🙌.. Hakika Mungu anastahili aliyotenda kwetu ni makuu sana hakuna namba inayoweza kuandika aliyotenda kwetu😭😭😭

  • @elvinabrown2411
    @elvinabrown2411 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri Sana mungu akubariki kaka

  • @nancewanu6815
    @nancewanu6815 3 ปีที่แล้ว +1

    Juma pili Yangu imebarikiwa sana na wimbo huu mzuri hakika#MOYO wa ibada ni viwango vingine kabisa ,,@napata tabu kukusifu ikiwa Sifa zote hizi wzijua bwana. Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU,@ambwene mwasongwe

  • @kayalaonlinetv
    @kayalaonlinetv 3 ปีที่แล้ว

    Brother naomba ugombee UBUNGE tunahitaji busara zako kwenye BUNGEE la Tanzania

  • @joycemtuhi4287
    @joycemtuhi4287 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene wewe ni mwana wa Mungu kweli this Song nimeimba mpaka najifungua nilikuwa nasikiliza miezi 9 yote kila siku nikiwasha gari unaanza huu.Bless u mwana wa Mungu

  • @kalumunafaustineofficial
    @kalumunafaustineofficial 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen sanaaaaaaaa kaka

    • @rehemambwete4399
      @rehemambwete4399 2 ปีที่แล้ว

      Mmh, ambwene, barikiwa namuona Mungu huyu apa nikisikiliza nyimbo zako

  • @monicawanza9911
    @monicawanza9911 3 ปีที่แล้ว +13

    Another one for my morning Playlist ❤️

    • @Jiwakilishe2023
      @Jiwakilishe2023 3 ปีที่แล้ว

      Mwa mwanaasa uyu vala ukiitaa,eka Mwiaii ose utaio

  • @lodricknassaryofficial3704
    @lodricknassaryofficial3704 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe kaka mwasongwe

  • @herielykaluse973
    @herielykaluse973 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ajuaee haja ya mioyo ya watu azidi kukubarik kwa huduma hii brother hakika sichok kusikiliza nyimbo zako . huu nao Mungu amekutumia kuwabark watu

  • @leahessau7828
    @leahessau7828 ปีที่แล้ว

    Ubarkiwe sana kaka Angu wenye Iman Haba huwà tunapata ujasil wa kusimama Kila tunaposikiliza hiz nyimbo 🙏🙏🙏🙏

  • @evnicholasmusasia
    @evnicholasmusasia 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa Sana kwa wimbo huu, yaani, napendezwa na huduma wako., barikiwa Sana mtumishi

  • @esterkasinde3523
    @esterkasinde3523 3 ปีที่แล้ว +4

    Waoooooo moyo wa ibada 🙌🙌🙌

  • @jacklinebett7688
    @jacklinebett7688 2 ปีที่แล้ว +4

    This song ...I can't put the right words to it.the humility,the total reverence to God the accuracy of how we are to God...may God receive The Glory May He take His rightful place in our hearts and in this world who are we not to worship Him

  • @philipomiddojr1707
    @philipomiddojr1707 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika ni MOYO WA IBADA
    NI Wewe, ni wewe Bwana

  • @navatishilima8270
    @navatishilima8270 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki snaaa mtumishi nabarikiwa na nyimbo zako ukianza na huu mungu aendelee kukutunza 🖐️🖐️

  • @jonsiandulu3511
    @jonsiandulu3511 3 ปีที่แล้ว +6

    Moyo wa ibada ❤️❤️❤️❤️

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 ปีที่แล้ว +3

    Unanibariki Sana.. Mungu aendelee kukutunza kaka ambwene 🙏🙏🙏

  • @saviourkasekwa2042
    @saviourkasekwa2042 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nakosa maneno ya usema ila kama mbingu zilivyoinuka juu sana ni maombi angu upandishwe juu sana

  • @pilimashaka387
    @pilimashaka387 3 ปีที่แล้ว +1

    Najiskia ,kubarikiwa sana🙇🏿‍♀️🙇🏿‍♀️🙇🏿‍♀️🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @charlesjoseph9500
    @charlesjoseph9500 3 ปีที่แล้ว +7

    Salute to JESUS

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa Sana tuu😳🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❣️

  • @hekimamliga2139
    @hekimamliga2139 3 ปีที่แล้ว +2

    What a song.........wow wow wow.......kiwango kingine kabisaa......

  • @kenedyjosephtz6900
    @kenedyjosephtz6900 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana nyimbo zako za ujumbe mno nabarikiwa

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 3 ปีที่แล้ว +2

    Nisiposikiliza nyimbo zako nitasikiliza nn? Asante

  • @musamoris8256
    @musamoris8256 3 ปีที่แล้ว +4

    Aaaaaaaah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @culatekee1261
    @culatekee1261 3 ปีที่แล้ว +1

    Always nakupenda,Mungu akulinde akupe maisha marefu.wewe ni wa kipekee

  • @suitstv5889
    @suitstv5889 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka AMBWENE mungu akuinue said ya hapo ulipo

    • @teresiasanga7539
      @teresiasanga7539 3 ปีที่แล้ว

      Mpendwa jina la MUNGU linaanza kwa herufi kubwa

  • @neemahezron1343
    @neemahezron1343 3 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru mungu kwa neema aliyoweka ndani yako kupitia we we najifunza kumjua mungu zaidi nakupata ujasiri god bless you man of god

  • @joseajames3607
    @joseajames3607 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni wewe Bwana uwezae kupanda mlima kutumia baiskel isiyo kua na mnyonyoro 💖🙌
    Uwezae kunasa chuma kwa kutumia Kijiti 💖🙌.
    ROHO MTAKATIFU anakutumia kwa maneno ya nguvu sana masikioni mwetu kuweza kuelewa UWEZO wa uyu MUNGU zaidi ya pale tulivyo kua tunaelewa.
    MUNGU na ongezeke kwa wingi kwenye huduma yako baba.

  • @winnifridajackson8383
    @winnifridajackson8383 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana unanibariki na uimbaji wako mungu akutunze

  • @StephaneMonga
    @StephaneMonga หลายเดือนก่อน

    Que le bon Dieu soit glorifié au travers son serviteur ambwene

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana...Hallelujah

  • @vickyshombe9609
    @vickyshombe9609 3 ปีที่แล้ว +6

    Very powerful song be blessed 🙏

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 3 ปีที่แล้ว +1

    Eeh Mungu wangu ninakusihi mawazo ya moyo wangu na maneno ya kinywa changu yapate kibali mbele zako, Amen.

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mtumishi

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 ปีที่แล้ว

    Abwene Obadia Mwambwene, mtumishi wa mungu hakika unaokoa taifa la mungu. Mungu ni mungu hakuna namna ya kumwelezea bali, huu ndiyo wakati wa taifa la mungu kumkaribisha aishi na wanadamu bila kujali tofauti, kwani hana mipaka, mipaka yake ni upendo wa kuokoa taifa lake ( watu ambao kawaumba kwa mfano wake ili aishi nao.
    Amaizing 🙏

  • @happyiskaka
    @happyiskaka ปีที่แล้ว

    Barikiwa mno kaka Ambwene . Nabarikiwa mno na NYIMBO zako HAKIKA MUNGU akitumie zaidi kilicho ndani Yako

  • @junnykado
    @junnykado 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka Mungu azidi kukutumia kwa hiki kizazi chetu, endelea kuishi miaka mingi.

  • @hilaryrogers
    @hilaryrogers 3 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed man of God nimebarikiwa sana kwa Moyo wa Ibada.

  • @ashimmajaliwa9136
    @ashimmajaliwa9136 2 ปีที่แล้ว

    Naweza nikarudia kusikiliza Nyimbo hii zaidi ya Mara mia MOja na hata nisichoke wala kushindwa kusikiliza Ujunbe wa maandiko na minzani ya dhamira ya wimbo huu ni baraka kwa kila Mwumini jukumu ni kujifunza namna yakuutafuta Moyo wa ibada kwakua watu wengi hatutambui au ttwashindwa kujua namna ya kushukuru tunapokuja mbele ya Mungu na kuishia kulalama pasipofahamu namana yakuwasilisha maombi yetu kwa Mwumba.
    Nafrahi sana napomusikiliza Mtumishi Ambwene tukea Album yake yenye ujumbe mzito niliosikiliza mara ya kwanza mwaka 2011 UPENDO WA KWELI, Hakika umekua baraka kwangu naamini MAfuta aliyokupaka bwana Mtumishi wa Mungu ni Utukufu MKubwa kwangu.
    Mungu Akupe Uzima na Afya na kukuzidishia Maalifa katika Uandishi na utungaji a Nyimbo hizi ili wanadamu kufuniliwa zaidi kwa wale wanaochelea kuyaelewa maandiko na kuamini kufunguka katika injili ya Mahubiri. Mungu akuweke kadri Apendavyo Mtumishi

  • @yustamrefu8682
    @yustamrefu8682 3 ปีที่แล้ว

    barikiwa mno mtumishi🤝👏👏

  • @robbyclassicfashion7240
    @robbyclassicfashion7240 3 ปีที่แล้ว +2

    Maneno yaliyo kolea Munyu 👏👏👏👏

  • @labanijapheti3045
    @labanijapheti3045 3 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe kwa jumbe nzuri

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah am blessed kaka ubarikiwe

  • @hekimaamri6173
    @hekimaamri6173 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu abariki kazii yakooo baba anguu

  • @abelalpha441
    @abelalpha441 3 ปีที่แล้ว

    Kaka natamani siku moja nipige hata picha na wewe maana Bwana ananibariki sana kupitia nyimbo zako. Mwaka 2015 nilikua nasikiliza wimbo wako wa -nibebe kama tai kila siku mwaka mzima.
    Maana nilikua na maisha mabaya sanaa,, cha ajabu Bwana Mungu alitenda🙏🙏🙏

    • @hongeramdalingwa3346
      @hongeramdalingwa3346 2 ปีที่แล้ว

      Da huo wimbo nilikuwa naimba na kuomba kwa maneno yaliyopo kwenye wimbo Mungu alinitendea mambo makubwa sana

  • @deboramakokongoro8925
    @deboramakokongoro8925 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen, barikiwa sana mtumishi💪🙏🙇🙇

  • @abmropeamadeus7286
    @abmropeamadeus7286 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi MUNGU akujalie mwisho mwema zaidi

  • @michelakilimali
    @michelakilimali 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufunuliwe mengi baba,moyo wa ibada ni kali😊

  • @ericktesha1668
    @ericktesha1668 3 ปีที่แล้ว

    Zaburi nzuri...umebarikiwa.

  • @shimwelagodbless5561
    @shimwelagodbless5561 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kaka Ambwene

  • @bonyemuelelwa3440
    @bonyemuelelwa3440 2 ปีที่แล้ว

    Aman mtoto wa mungu ubarikiwe sana mungu yuko pamoja nawe katika wa uduma yako kaka

  • @yohanakalangali3232
    @yohanakalangali3232 3 ปีที่แล้ว +2

    Naisikiliza ,,muda huu ubarikiwe sana 👏👏🙏👏👏

  • @BBVMusics
    @BBVMusics 3 ปีที่แล้ว +1

    Niko nyuma yako mkuu

  • @ministergilbertedward1123
    @ministergilbertedward1123 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sanaaaa Mtumishi wa Mungu

  • @g.gwemela5159
    @g.gwemela5159 3 ปีที่แล้ว +1

    ZIDI KUBARIKIWA KAKA.