IBADA MAALUM YA WAFANYAKAZI NA WAFANYABIASHARA: MADHABAHU YA EBEN-EZERI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya MADHABAHU YA EBEN-EZERI. MADHABAHU YA EBEN-EZERI ni madhabahu maalum sana inayosimamia masuala yote yanayohusiana na kazi na biashara za kila mtu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 07 Julai 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
    Madhabahu na Ibada inasimama katika neno la MUNGU kutoka kitabu cha 1 Samweli 7:12 "Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake EBEN-EZERI, akisema, hata sasa BWANA ametusaidia".
    Ibada hii maalum in kichwa cha somo; "KUWEKA WAKFU KAZI NA BIASHARA NA VIASHIRIA VYA KAZI NA BIASHARA KINYUME NA MASHAMBULIZI YALIYOPANGWA KWENYE NUSU MWAKA ULIOANZA" na inaongozwa na mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

ความคิดเห็น •