IBADA MAALUM : BONDE LA KUKATA MANENO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
- BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada ya kipekee ya BONDE LA KUKATA MANENO inayokujia leo Jumapili ya tarehe 25 Agosti 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo EEH BWANA NYAMAZISHA SAUTI NA MABAYA YA WATESI WANGU KWA MOTO, YAMENIZIDI NGUVU" na inaambatana na kuweka wakfu watoto, wajawazito, wanafunzi, vitu na kila mtu.
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.