KATIKATI YA GHADHABU KUMBUKA REHEMA DAY 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 32

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 หลายเดือนก่อน

    Nirehemu Mungu wangu🙏🏿katikati ya Ghadhabu kumbuka Rehema.

  • @afyatanzania4354
    @afyatanzania4354 หลายเดือนก่อน

    Shalom watoto wa MUNGU. Mimi nimerudia haya maombi juzi nilikua nasikia moyo wangu kama hauna amani.Aisee Mungu amenisaidia jambo moja gumu sana kazini kwangu kwakweli kama sio rehema zake leo yangekua mambo mengine kabisa.Mungu akubariki mama kwa kutii ukatupitisha kwenye maombi haya

  • @dag5726
    @dag5726 19 วันที่ผ่านมา

    Yesu naomba rehema zako kwa mume wangu na familia yangu yote

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 ปีที่แล้ว +3

    Turehemu YESU, have mercy Ohoo LORD 😭🥹😭 Turehemu BABA tupite salama kwenye nusu mwaka huu tunaouendea 🙏🙏🙏🚪🪑🙌

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu Naomba Rehema itawale Maisha yangu

  • @frolahfortunatus
    @frolahfortunatus 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ninaomba unirehemu katika ghadhabahu mimi na Emmanuel lauriano mwenda kwenye mahusiano yetu Yesu ninaomba rehema

  • @TumainiChoir-cj7rs
    @TumainiChoir-cj7rs 3 หลายเดือนก่อน +1

    Namfunika Mama Yangu kwa Famu yako Yesu

  • @afyatanzania4354
    @afyatanzania4354 หลายเดือนก่อน

    Naamini hata yaliyobaki atayamaliza in Jesus Name

  • @jaclinesylvesterkibindu8353
    @jaclinesylvesterkibindu8353 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @neemakitaly606
    @neemakitaly606 ปีที่แล้ว +2

    Yes kanihudumie kupitia madhabahu hii

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unirehemu Mimi na familia yangu🙏🏼

  • @glorymosi23
    @glorymosi23 5 หลายเดือนก่อน

    2024 and God still speaks through this word..hallelujah Jesus 🙏

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninaomba unirehemu katika ghadhabu mimi na AJM kwenda kwenye Mahusiano Yetu ninaomba rehema🙌🏻

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 5 หลายเดือนก่อน

    Lord have Mercy on me and my family🙏🏿

  • @TumainiChoir-cj7rs
    @TumainiChoir-cj7rs 3 หลายเดือนก่อน

    Funua Rehema yako Yesu
    Nikujue Mimi na familia yangu

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 9 หลายเดือนก่อน

    Nirehemu Ee Bwana mimi na Familia yangu yote🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @user-tu7uy3uz5q
    @user-tu7uy3uz5q ปีที่แล้ว +1

    Ninaomba rehema Baba wmmajira na wakati wangu ni huu umeshawadia

  • @immaculatemashiku7633
    @immaculatemashiku7633 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu nihudumie kupitia madhabahu hii

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 10 หลายเดือนก่อน

    Lord have mercy on us🙏🏿

  • @frolahfortunatus
    @frolahfortunatus 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninaomba Rehema

  • @stellaubwe459
    @stellaubwe459 ปีที่แล้ว

    Turehemu na familia yangu Yesu!

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว

    Nirehemu mimi na familia yangu Baba wa mbinguni.

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 6 หลายเดือนก่อน

    Roho Mtakatifu lainisha Moyo Wangu

  • @naasikeya4778
    @naasikeya4778 11 หลายเดือนก่อน

    Rehema kuu ikaishi ndani yangu

  • @janethmallessa5966
    @janethmallessa5966 24 วันที่ผ่านมา

    Eeh MUNGU nirehemu njia zangu,familia yangu ,uovu uliofanywa na wazazi wangu.ehh MUNGU nahitaji Rehema zako

  • @upendobatao5202
    @upendobatao5202 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @gloryndanshau3005
    @gloryndanshau3005 ปีที่แล้ว +2

    Have mercy on me oooh Lord

  • @jedidaemil2064
    @jedidaemil2064 ปีที่แล้ว

    AMMMMMMMEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNN 🙏

  • @tasokwamichael2433
    @tasokwamichael2433 ปีที่แล้ว

    Naomba Rehema itawale Maisha yangu

  • @berthabisanda466
    @berthabisanda466 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Ahsante Mungu neema hii,Yesu naomba unirehemu mimi na famili yangu unapopita kwa wengine nami naomba usitupite!
    Mama barikiwa sana!

  • @issujar.j.francis3220
    @issujar.j.francis3220 ปีที่แล้ว

    Najiungamisha na madhabahu hii

  • @jacklinemengele4212
    @jacklinemengele4212 5 หลายเดือนก่อน

    Amen