SIFA ZA NABII WA UONGO NA NABI WAKWELI #

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 33

  • @FestoJemsi-lr8pw
    @FestoJemsi-lr8pw 22 วันที่ผ่านมา +3

    NIHATARIIII mtumishi TUMEVAMIWA NENO lauzima limepotea nalinazidi kupotea Yana kuja mabaya sasaivi tumevamiwa

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubaliki sana kwasababu hata mavazi yake inatisha🎉🎉🎉🎉

  • @DottoMalekela
    @DottoMalekela 21 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana mmtumish tafadhali amin ubatizwe kanisa la waadventista wasabato

    • @anna19805974
      @anna19805974 21 วันที่ผ่านมา

      Mungu atamkuta hapo halipo sio lazima usabatoni. Mbinguni hawaingii waadeventista wala dhehebu lolote utakatifu wako ndio utakupeleka mbinguni.

  • @judithbett420
    @judithbett420 21 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu wa binguni alisema kwa bibilia watu wangu wamepotoshwa kwa kukosa maarifa kumanisha watu hawasomi bibilia. Someni bibilia kitabu baada ya kitabu. Mtumishi wa Mungu ikiwezekana kabisa Anza kusoma bibilia kitabu baada ya kitabu bila hata kutafsiri ndiyo watu wasikilize maana labda wengi hawajui kusoma . Yesu akubariki sana.

  • @JamesDonant
    @JamesDonant 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika tunaangamia kwa kutolijua neno la Mungu tatizo tumefata miujiza

  • @anna19805974
    @anna19805974 21 วันที่ผ่านมา

    hatari sana. Mungu atupe macho ya rohoni. tusome biblia wajameni neno la Mungu ndio taa na mwanga wa maisha yetu bila hivyo tutapotea kwa kukosa maarifa

  • @tourismworldwide2086
    @tourismworldwide2086 22 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI🙏🙏

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 21 วันที่ผ่านมา

    Yeye mwenyewe alivyo vaa inakujulisha wazi siyo nabii wa kwel

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤SEMA mtumishi wa Mungu

  • @AhadiJérôme
    @AhadiJérôme 20 วันที่ผ่านมา

    MUNGU wangu dunia tunaelekea wapi....😭😭😭😭😭😭😭 Baba fanya usaidie kanisa kako.

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 19 วันที่ผ่านมา

    Tukazane tu na maombi watu wamaefungwa fahamu zao na wao sio wao nifahamu imefungwa kabisa YESU KRISTO ATUREHEMU

  • @misscesty5817
    @misscesty5817 20 วันที่ผ่านมา

    Sijui watu wanakuanga na akili gani wanadanganywa wakiona eti kiboko ya wachawi na yeye ndio mchawi mkubwa kuna watu wanafaa kunyoroshwa viboko ndani ya hiyo kanisa

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 16 วันที่ผ่านมา

    Wanga wakubwa

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 20 วันที่ผ่านมา

    Amemuuriza kwamba wamesha wahi kuonana dada akamjibu ndio aka akamuliza tena have we meet before face to face akasema ndio mchugaji akasena oh huo haitaji msada kwa sababu amekataa kukubali alicho sema nabi 😢😢😢

  • @DANIELJOHN-qz2vf
    @DANIELJOHN-qz2vf 22 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mtumishi

  • @DANIELJOHN-qz2vf
    @DANIELJOHN-qz2vf 21 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa neema ni mtumishi wa mungu?yaan pastor ceasar masis

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 21 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @JamesDonant
    @JamesDonant 21 วันที่ผ่านมา

    Hakika huruma ya Mungu iwe juu yetu

  • @DottoMalekela
    @DottoMalekela 21 วันที่ผ่านมา

    Halafu mnaotukana umuogope Mungu

  • @AbbahCostaabbahCostaabbah
    @AbbahCostaabbahCostaabbah 22 วันที่ผ่านมา

    Daah hi nchi ngumu 😢😢😢😢😢

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 21 วันที่ผ่านมา

    Majitu hayajitabui nishida

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi siwezi kukutumia pesa bwege Kama wewe bora nitumie mwamposa au kuhan mussa kuliko wewe shatani mkubwa

    • @SamweliMwita-ul2kh
      @SamweliMwita-ul2kh 21 วันที่ผ่านมา +1

      Amekuomba umtumie

    • @FudidohwcbOfficial
      @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา

      @@SamweliMwita-ul2kh mbona mtumishi wako hana imani mbona anabudu majina la watumishi wazake inamuma nini mbona shatani anapanda sana

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe unaacha kufundisha neno la mungu unafundisha umbeya bangi anakusumbua sana wewe muda wote unawafuatilia wazako tuu kwenye TH-cam

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 21 วันที่ผ่านมา

      bangi mwenyewe

    • @FudidohwcbOfficial
      @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา

      @@PeterMahona-zd3oz mbona mtumishi wako aana imani mbona anabudu majina la watumishi wazake inamuma nini mbona shatani anapanda sana

    • @SilvyNelly
      @SilvyNelly 21 วันที่ผ่านมา

      Skiliza kaka nakuja kwa uweza wa Roho mtakatifu soma neno liishi neno lijue neno . Sikiliza je sio Yesu aliyesema tuutafute ufalme wa Mungu na HAKI ZAKE nasi tutazidishiwa??? JE Yesu hakusema tujihadhari na manabii waongo waonekanao kama kondoo ila ndani ni mbwa mwitu na watafanya ishara na miujiza makubwa hata kuwadanganya wengi na hata wateule je yesu hakusema hivyo na utawatambua kwa matunda yaooo??? Je Yesu hakusema kwamba Tumfuate yeye tusifuate mikate(miujiza) kwa sababu yeye ni mkate wa uzima. JE YESU hakukataza watu kutumia machukizo hassan mapambo kwa wanawake kwa sababu million yetu ni healing lake ??? Nakuuliza je sio neno la Mungu lililosema tudhihirishe kazi za shetani mbele za watu iliwapate kuokoka (waepuke jehanamu ya moto)na kumwogopa Mungu . Hujui Yesu aliwadhirisha wafarisayo . Petro alidhirisha uuovu wa anania na hata Paulo alidhrisha uuovu wa manabii wa uuongo hata akaandika kuwa kutakuwa na manabii waalimu watume wa uuongo siku za mwisho na watoto watakataa injili ya ukweli na watajitafutia waalimu wao . Je unajua yesu alihubiri toba ya kweli utakatifu haki kukemea dhambi usafi utii na kuwaandaa watu waingie mbinguni . YESU alifanya miujiza ilikuwa ni neema na ni ziada sio kitu muhimu atabaki kuwa Mungu wa haki alizingatia wokuvu huuoni mavazi ya wanawake wa kabisa za uungo wanavaa mapambo suruali na nguo zinazobana na kuonyesha maumbile na kufanya watu wazini kifikra??Je mwamposa anahubiri haki utakatifu toba ya kweli usafi kukemea dhambi kujiiandaa kuja kwa Yesu na hasa anagefanya hivi angepitia majaribu na mateso kama mtumishi wa ukwell. usifuate miiujiza umaarufu kaka fuata haki na Yesu kubali kurekebishwa nafsi yako ni ya thamani mbele ya yesu tubu ishi Maisha matakatifu soma neno jazwa na Roho mtakatifu mtafute Yesu sio majengo miuliijiza na injili ya uongo injili ya mafanikio na miiujiza fuata usafi na wokovu fuata kumpendeza Mungu . Unajua yesu atakuja kuwahukumu wote je kitabu cha Yeremia haki waonnyi manabii wa uuongo ??? YESU hakuwanaupendeleo wokovu injili ilikuwa bure . Skia soma neno wacah ujinga na wcb miziki ya kidunia Tubuuuu.MUNGU HATAKI MTUU AANGAMIE JEHANAMU ndio maana cassian anadhihirisha ill watu wasipotee ball watubu wamtafute Yesu wa kweli wamwiishie yeye wamwaini yeye wabadilike waaingie MBINGUNI pesa mali miiujiza ni za mda tu sio credit ya uuokovu na utakatifu na haki na toba na usafi Yesu anarudiiii soma neno shetani ni baba wa uuongo mwombe Roho mtakatifu wacha ujingaaa Shukrani paschal cassian ubarikiwe piga kazi utapata thawabu mbinguni amina

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe muda wote unawafuatilia wazako kwenye TH-cam tatizo ndo nini?

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา

    Siku nyingine soma biblia tusikie mafundisho yako

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 22 วันที่ผ่านมา +1

    Wajinga ndio waliwao.

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 21 วันที่ผ่านมา

    Kanisa lako wewe watu ukawambea awaponi kwani?post miujiza vya kanisa vyako vya kanisa lako