#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Jiandae na maisha ya milele ya akhera kwa ibada na kusikiliza muongozo wa masheikhe mbalimbali hapa Miraj khan online
    ⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 766 445 024)
    ⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

ความคิดเห็น • 537

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 2 ปีที่แล้ว +2

    Mathayo 17:5
    Alipokuwa bado akisema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.

  • @abdulrehmanriadha6574
    @abdulrehmanriadha6574 3 ปีที่แล้ว +18

    Ama kweli mazinge ww n kiboko wa Makafiri Mungu ukuweke pamoja na Mtume MUHAMAD S.A.W

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 3 ปีที่แล้ว +4

      Mtume aliyekuliwa na nguruwe mohammed yupo kuzimu lol

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว +2

      @@samutykuntathebantu8402 Tatizo lako unapanik Sana tulia dawa ikuingie wewe subir yesu arudi akatae uungu na uana wa mungu sjui utakimbilia wapi maskini😁😁😁

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 3 ปีที่แล้ว +1

      @@cideboy4676 hadi sasa hivi hujui Nafasi ya Yesu bado unateseka na uungu uko na shida

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว +1

      @@samutykuntathebantu8402 🤣🤣🤣 acha kuteseka ndugu haya muelezee yesu ni Nan halafu na mm nitakuambia ni nan

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 3 ปีที่แล้ว

      @@cideboy4676 sasa wewe unathani unajadili hapa..😂😂😂 tazama mjadala na utesekee polepole naukweli

  • @Indonocomedy02
    @Indonocomedy02 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie waislamu someni kitabu cha Mathayo 17:5 Mungu awajalie kuelewa

  • @saadiashariff5377
    @saadiashariff5377 2 ปีที่แล้ว +10

    Wallahi , we ask Allah to protect sheikh mazinge , and all

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      Narrated Ibn `Abbas:
      The Prophet (ﷺ) said, "You will meet Allah barefooted, naked, walking on feet, and uncircumcised."
      حَدَّثَنَا عَلِيٌّ، حَدَّثَنَا سُفْيَانُ، قَالَ عَمْرٌو سَمِعْتُ سَعِيدَ بْنَ جُبَيْرٍ، سَمِعْتُ ابْنَ عَبَّاسٍ، سَمِعْتُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ ‏ "‏ إِنَّكُمْ مُلاَقُو اللَّهِ حُفَاةً عُرَاةً مُشَاةً غُرْلاً ‏"‏‏.‏ قَالَ سُفْيَانُ هَذَا مِمَّا نَعُدُّ أَنَّ ابْنَ عَبَّاسٍ سَمِعَهُ مِنَ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم‏.‏
      Reference : Sahih al-Bukhari 6524
      In-book reference : Book 81, Hadith 113
      USC-MSA web (English) reference : Vol. 8, Book 76, Hadith 531
      (deprecated numbering scheme)

    • @ademisho165
      @ademisho165 2 ปีที่แล้ว

      Ila hapa amekutana na kiboko. Mazinge ana hoja dhaifu sana

  • @isaacbangaya8354
    @isaacbangaya8354 2 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwa ninashauku Sana siku moja pastor ndacha akutane na mazinge maana naona mazinge anapend sana kuwaonea wachungaji utopolo nakujiona yeye ni mwamba kumbe ni mpuuz mmoja ambaye anapotosha watu

  • @barakazeboss2145
    @barakazeboss2145 2 ปีที่แล้ว +10

    Jamani tukiachana na ushabiki wa dini kiukwel Ndacha yuko vzr i mean yuko deeper zaid, sijasema kuwa Mazinge hayuko vzr nae yupo vizur kulingana na uelewa wake,
    Mfano, hapo mwishon Sheikh mazinge amesema kuwa yesu sio mwana wa mungu kwa kurukia mstar mwingine ambao hauhusiani na mstar ambao petro alisema kuwa yesu ni mwana wa mungu, ukitaka kuelewa kasome kilichoendelea baada ya petro kusema kuwa yesu ni mwana wa mungu, kilichoendelea ni kwamba yesu alimwambia petro kuwa umefunuliwa na mungu it means yesu anakubali kbx kuwa yeye ni mwana wa mungu
    Mazinge yeye alihamia mstar mwingine kbx ambao hauhusiani na petro kumuita yesu kuwa ni mwana wa Mungu!

    • @legendaction202
      @legendaction202 2 ปีที่แล้ว

      Wewe mungu alizaa wap

    • @barakazeboss2145
      @barakazeboss2145 2 ปีที่แล้ว

      @@legendaction202 kamsikilize vzr huyo pst Ndacha kama ni wakuelewa utaelewa ila kama hutaweza kuelewa basi

    • @moussaalast4950
      @moussaalast4950 2 ปีที่แล้ว

      ni nani aliempa mimba mariam🤗🤗🤗😎jibu wewe hili swali

    • @barakazeboss2145
      @barakazeboss2145 2 ปีที่แล้ว +1

      @@moussaalast4950 nafikiri maelezo ya pastor yanajitosheleza vzr kwamba Mungu anazaa kwa roho sio katika mwili kwa maana hiyo sasa mimba aliyopata mariam ni kwa uwezo wa roho mtakatifu(roho ya Mungu) jaribu kutuliza ubongo utaelewa vzr

    • @khalfanibobewe4278
      @khalfanibobewe4278 2 ปีที่แล้ว

      We,tenda mema tu,sio ushabiki wa din

  • @ernestjohnbosco2053
    @ernestjohnbosco2053 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana mazinge Mungu akurehemu mana unaropoka tuu ila hujui lolote, omba sana Mungu akusamehe

    • @zitojosempakama2243
      @zitojosempakama2243 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani huruma sana huyu Mazinger😂😂😂

    • @esterkanuda5002
      @esterkanuda5002 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @naimamwambe1605
      @naimamwambe1605 2 ปีที่แล้ว

      Akysameheni nyie msio jielewa Wala kuifahamu hiyo bible yenu washirikina wakubwa lini mungu Kawa na mtoto yesu

    • @ericonzere1274
      @ericonzere1274 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mazinge ni debe tupu achi kupiga kelele hana lolote

    • @iddyjuma8036
      @iddyjuma8036 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani wew ndo ziro ×ziro huna lolotee

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว +17

    Brother ndacha is very genius

  • @barkaabdallah2407
    @barkaabdallah2407 2 ปีที่แล้ว +6

    Takbir
    Allahu Akbar
    Allah akuhifadhi sheikh wetu
    Nakupenda sana

  • @modijuma3154
    @modijuma3154 2 ปีที่แล้ว +3

    In sha Allah nakuombea shek mazinge Allah akuajalie maisha marefu utupiganie waislam amiin thuma amiin

    • @totodavis1949
      @totodavis1949 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ndio hupigania watu sio binadamu amelaniwa yeyote anae mtegemea binadamu

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว +12

    TAKIBIR JUU YA KILA KITU الله أكبر

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni mwana wa maría kimwili na ni mwana wa Mungu kiroho, wakristu wote wanajua hawawezi kudanganywa katika Hali hiyo tu.

  • @edwardntamaboko3414
    @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

    Aleluya Ndacha,Waislamu wapotoshaji wapo hata huku Kigoma.Tunafurahia uwepo wako endelea kumhubiri Kristo karibu Kigoma Tanzania.Tunaelimika kupitia uwepo wako

  • @samuelngogo5572
    @samuelngogo5572 3 ปีที่แล้ว +10

    Wanaokukimbia mapadiri sio Ndacha,be blessed NDACHA

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 2 ปีที่แล้ว +7

    Asw alykum fresh sana sheikh Mazinge uko vizuri

  • @sarahkudoyi4371
    @sarahkudoyi4371 2 ปีที่แล้ว +1

    Proud Christian ndacha wahubirie wao waokoke na waache kufuga majini na mapaka za wachawi

  • @bro.okellor6485
    @bro.okellor6485 2 ปีที่แล้ว +8

    Itabidi waokoke wanajifanya eti wanajuwa mola Bali wanaabudu dini yao wana judge wakritu eti ni wakafiri Mungu awahurumie sana

    • @hoziaissai3768
      @hoziaissai3768 2 ปีที่แล้ว

      ukweli wote mazinge kaambiwa kilichobak ubish maana mkatili mkatili 2

    • @hoziaissai3768
      @hoziaissai3768 2 ปีที่แล้ว

      Mazinge ushaambiwa ukweli bhana ubish 2

    • @hoziaissai3768
      @hoziaissai3768 2 ปีที่แล้ว

      hawana nguvu wenzako du

    • @hoziaissai3768
      @hoziaissai3768 2 ปีที่แล้ว

      lakn mazinge ushaambiwa hiko kitabu kinako toka unaijua lakn hio ni mtihan mkubwa kitabu kilikotoka ujanjaujanja ww

  • @ommygraphics4355
    @ommygraphics4355 2 ปีที่แล้ว +10

    Mashaallah Shekhe Mazinge Allah akupe maisha marefu ili utupiganie waislam. Amiin

    • @christopheryaa2444
      @christopheryaa2444 2 ปีที่แล้ว +1

      Jipiganie mwenyewe brother by reading books. Don`t be lazy in reading coz if you do, you will be told a story. So go out there and begin to read the KORAN by yourself and once you get the knowledge do the right things

    • @ommygraphics4355
      @ommygraphics4355 2 ปีที่แล้ว

      @@christopheryaa2444 sahihi kabisa lakini ndiomaana hata msikitini kuna shekhe kwahiyo hata elimu tunazidiana. Binafsi nafurahi kuona shekhe Mazinge anavyoupigania uislam na ndio chachu yetu kupata bidii zaidi. Inshaallah

    • @totodavis1949
      @totodavis1949 2 ปีที่แล้ว

      @@christopheryaa2444 Amen

  • @alisaidi2620
    @alisaidi2620 2 ปีที่แล้ว +7

    MASALLAH ALLAH, ALLAH akulipe dunia na akhera ustadh mazinge

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 ปีที่แล้ว +7

    Ndacha ni kiboko,Mazinge kazidiwa mno

  • @tituskiokom.6392
    @tituskiokom.6392 2 ปีที่แล้ว +7

    Mambishano kado, Dacha ni mwalimu kweli. Yesu ndiye kweli,

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndiye Mazinge bana.....Lazima mtakimbia hapa,,,,,💯

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว +6

    Mr ndacha pongezi xana jina la bwana mungu wetu na bwana yesu lipewe sifa !!

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว +1

    This Sheikh is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!

  • @andikaroibrahim1909
    @andikaroibrahim1909 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuhifadhi Mazinge unatumia vizuri uwezo aliokupa Allah

    • @ademisho165
      @ademisho165 2 ปีที่แล้ว

      Mazinge amemalizwa vibaya na Mkenya hapo. Na huyu Mkenya hapo ameletwa mtu wa kawaida sana. Hii Debate Mkenya amemshinda Mazinge kwa mbali sana

  • @hemedmteta1201
    @hemedmteta1201 2 ปีที่แล้ว

    Mungu asaidie sana, waislamu wengi, hawaelew wanakalili maandiko, kwahyo wanaimba2, viarabu kichwani hamna kitu. Mioyoni mwao halikai neno ndio maana wakiongea kuhusu mungu ni pumba tupu, Kwa mfano,, Neno mwana kibiblia haimaanishi ni mototo kwa kumzaa mtu!!! Mwana inawakilisha Imanueli, yani mungu pamoja nasi, kwa maana Neno mwana linakuwa kama kiwakilishi cha mungu na mtu. Hata Adamu hajazaa watu wote Duniani lakini wanaitwa Wana wake kwa kuwakilisha, na mungu hajazaa na hana mtoto, bali mungu Ni mkuu wa Babu, Baba, Mama, kaka, dada, nk. Sina utaalam sana wa maandiko lakini nafikir kutumia akili kubwa kupinga Imani ya watu kwa 7bu ya Neno mwana, It's not a big deal. Swala ni kwamba Mungu ndio muweza na ndie mlezi wa viumbe vyote. Alafu mimi naomba nisaidiwe kumjua babake na yesu.

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 ปีที่แล้ว

    Anachoniuzigi mzinga ni kupindisha maandiko, huo ni upumbavu soma ipasavyo, sio kutafuta kudanganya..WAKRISTO HALLELUYA AAAAAAAAAA

  • @rahmamubaraq2484
    @rahmamubaraq2484 2 ปีที่แล้ว

    Sema shekh mazinge Allah akulinde na azidi kukupa umri mrefu kusudi dini izidi kukuwa na tuelimike sie tusio jua wallah raha kuwa muslam napata raha neema kuwa muisilam

  • @kellimjanja180
    @kellimjanja180 3 ปีที่แล้ว +14

    Mazinge mskize ndacha kwa umakini huyo ndo mwalimu wako ,,,mbinde eka pembeni usipotee

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 2 ปีที่แล้ว

      Mungu hana mwana labda. CCM ina mwana ambae ni nyerere

    • @zitojosempakama2243
      @zitojosempakama2243 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaaaaa yani kwa mtu mwelewa hangebatizwa papo hapo

    • @zitojosempakama2243
      @zitojosempakama2243 2 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo lá waisilamo hawana roh wa mungu ndo shida😂😂😂😂

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 2 ปีที่แล้ว

      @@zitojosempakama2243 ati mkristo ana roho wa Mungu. Eeeeeehe

    • @zitojosempakama2243
      @zitojosempakama2243 2 ปีที่แล้ว

      Neno lá mungu ni Siri kulijua ni mungu mwenyewe hakuwezeche, yani ona mauburi haya mazinge Hakuna gata hanachoelewa kipindi yesu hakizungumziwa kiroh yeye hanamzungunzia kimwili na kumlinganicha na binadam wakawaida, heti Mariam mala yusufu, yani huruma kabisa

  • @petermagoye8324
    @petermagoye8324 3 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge naoan anatokwa na povu tuu hana uwezo wa kujibu hoja kabisa

  • @feyzungu633
    @feyzungu633 2 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji Wala hutoelewa maisha yako mungu akisema wote ni duniani ni wana wa mungu lakin nyinyi munataka kufos kua lazima mungu awe kazaa na mariamu Hilo ndo usilolielewa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 ปีที่แล้ว

    Waislam vichwa vigumu Sana kuelewa vitabu vya mungu hatukatai kwamba Quran ni kitabu takatifu na biblia pia kitabu takatifu lakn mazinge anatetea tu maslah ya uislam lakn ukwel anaujua kua anapoteza wafuasi wake

  • @RamaNevi-fs6zr
    @RamaNevi-fs6zr 4 หลายเดือนก่อน

    Ety mwanzo kulikua n neno na neno alikua n Mungu sasa maneno yalitamkwa na nan,wakristo hamna elimu someni Kwanza,hasa ndacha jifunze Kiswahili na usome sna

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 วันที่ผ่านมา

      Yaani ww unataka kujilinganisha elimu na wakristo j

  • @joachimsamwel812
    @joachimsamwel812 3 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge unawapelekapeleka waislamu .mbona Mungu huyu ndio mwanangu mpendwa msikilizeni yeye

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 ปีที่แล้ว

      Tunafata mafundisho ya Allah TU sio useme mazinge anatupelekesha Tuu

  • @timotyhkitirwa5464
    @timotyhkitirwa5464 2 ปีที่แล้ว +3

    Mr. Ndacha you are surely great. God bless you.

    • @husseinchea5524
      @husseinchea5524 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mchungaji anajua Maandiko sana

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 2 ปีที่แล้ว

    Ustazi Mazinge anassema ukhele😍😘😘😊

  • @edinahkemuntomainya6551
    @edinahkemuntomainya6551 2 ปีที่แล้ว

    Waislaam karibieni jeanam kabisa kwasababu mmekataa uokofu.Mnapenda sana ubishi na ushabiki.Hutaenda mbinguni kwasababu umepata max kwa kupinga Bali kwa kuokoka na kukiri kwamba Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha ya wanadamu

  • @SumalgevicenteCebola
    @SumalgevicenteCebola 5 หลายเดือนก่อน

    Asalamo aleikmu w.w nadaka kouliza swali moja .kampa mwamine Qr,ane ya Mungo wew Ndacha wew ni kafruna kumba

  • @paschalkisimba9222
    @paschalkisimba9222 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge mhuni sana alipoona kazidiwa kwenye biblia akahamia romani katoriki kwenye maisha ya watakatifu hakika wasabato wako vizuri

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 wakiristo hamna jipya dini yenu ni ya uongo tu hata ukatae

    • @kellimjanja180
      @kellimjanja180 3 ปีที่แล้ว +1

      Anaupinga kiristo ndani take msimlaumu

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

      @@kellimjanja180 Kwan ukiristo nao ni dini?😃

    • @kellimjanja180
      @kellimjanja180 3 ปีที่แล้ว

      @@cideboy4676 kwani huja gundua''
      Basi zingatia kile unachokijua usicho kijua uskiekee kifua mbele kitakutoa damu za pua

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

      @@kellimjanja180 Kama we ni mkiristo ujue tu umepotea dini Gani ambayo hata mtume wa mungu yesu haitambui Wala mungu haitambui hiyo sio dini

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 2 ปีที่แล้ว +1

    Uislam ni dini ya ibilisi lkn hawajui kwa sasa. Ila siku Zinakuja mtatamani kuokowa kuwa wakristo lkn haitawezekana.

  • @ludalberinger417
    @ludalberinger417 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukimsikiliz huyo sheik anajikanyang mpk anamkashifu mungu ss kwan yey anamuabudu mungu gani

  • @thomashariohay7388
    @thomashariohay7388 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapa kilichotokea mwenye maneno kakutana na mwenye Neno......Ndacha hata wakikataa ukwel unaoufundisha leo ipo siku watajutia

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 25 นาทีที่ผ่านมา

    Ni tofauti sana ukisema kalamu ya waandishi imefanya torati kua ya uongo pamoja na watu waliofanya kur-ani kua ni ya uongo kwa maana kwa upande wa torati kuna waandishi waliotajwa hapo. Inamaana ou uongo unaozungumzwa hapo sio wa mafikirio tu ni uongo wa kimaandishi kwa maana watu waliandikwa vya uongo kwenye biblia

  • @kellimjanja180
    @kellimjanja180 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akufungue macho yakiroho uone mbali majini yamekuingia kindaki ndaki Mungu akuokoe

    • @mwitamotera5368
      @mwitamotera5368 2 ปีที่แล้ว

      Alisha okolewa tatizo hujui ndg

    • @ibrahimmusa331
      @ibrahimmusa331 2 ปีที่แล้ว

      Pole kelli

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimmusa331 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765

  • @jumaabdalah1651
    @jumaabdalah1651 2 ปีที่แล้ว +7

    Masha'Allah Ustadh wetu

    • @abdirazaqibrahim1960
      @abdirazaqibrahim1960 2 ปีที่แล้ว +1

      Masha Allah 🥰

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@abdirazaqibrahim1960 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 ปีที่แล้ว +1

    Wape hao wamezoea kugeuza Mambo hawamuogopi Mungu.

  • @emmanuelngewa8894
    @emmanuelngewa8894 2 ปีที่แล้ว

    huyu mchungaji anawafundisha waislamu, na waislamu mngejua kuwa kitendo cha kuweka midahalo na wakristo inasaidia kuwafumbua macho washiriki wenu maamuma wajue ukweli na kubatizwa mngeacha mara moja lakini huu ni mpango wa Mungu watu wote waokolewe wakiwemo waislamu waliopotea

  • @saadiashariff5377
    @saadiashariff5377 2 ปีที่แล้ว +8

    The guy ako ( ndachu)outside topic he is so loud and anger 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @rehemambedule7531
      @rehemambedule7531 2 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @AaAa-cm6li
      @AaAa-cm6li 2 ปีที่แล้ว

      Fact he is out of topic

    • @alexandermulilison5844
      @alexandermulilison5844 2 ปีที่แล้ว

      Wekeni video yote sio kukata nusu

    • @husseinchea5524
      @husseinchea5524 2 ปีที่แล้ว

      Ni vile hutaki kumuelewa lkn anajibu sawa sawa tu

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@husseinchea5524 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765

  • @maryaloyce5715
    @maryaloyce5715 2 ปีที่แล้ว

    Kuna tofauti kibwa sana hapo. Ndacha anafundisha. Mazinge anatafuta ushindi hskubali kuelewa na maandiko

  • @omaraliy8207
    @omaraliy8207 ปีที่แล้ว +1

    ndacha umuongo uyo pro mazinge ni kichwa humuwezi ata cku moja

  • @thobiasbeda7204
    @thobiasbeda7204 2 ปีที่แล้ว

    Natabiri Mambo 3 ktk mihadhala hii ya kidini 1) inasaidia waislam kusoma biblia na kuwafanya wachunguze MAANDIKO mwishowe watapokea ukweli moyoni 2) kufanya uadui Kati ya wakristo na waislam na kumtukuza shetani maana hapa hawataki DHAMBI wao Ni kukutetea dini bila kukemea DHAMBI watafanyika wa jehanam Mara mbili 3) mazinge ATAKUWA na pesa Sana mwishowe atakemewa na YESU mwenyewe Kama alivyo sauli hata ishi kwa amani atadharauriwa na dini zote mbili ataitwa tapeli mganga wa kiyenyeji ,muuza dawa yaani mwisho wake utakuwa mbaya na wote wanaomsema YESU kwa fitna wanakuwa na mikosi anae msema YESU vizuri anabarikiwa Sana YUKO MBINGUNI NA MUNGU YUKO MBINGUNI wanaona kwa pamoja

  • @111dudi
    @111dudi 2 ปีที่แล้ว

    Nashauri, wasimamizi wapige marufuku kwa wahadhiri kubadili maneno katika aya. Ndacha muongo bila haya

  • @methodkakoni4465
    @methodkakoni4465 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge huna lolote nawaislam wasio elewa wanashangilia utupu

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kunakuwa na malumbano ya Waislamu na
    Wakristo mara kwa mara kuna nini,Kuna Mungu wa Wakristo
    Na Mungu wa waislamu Mazinge nijibu.

    • @hemedmteta1201
      @hemedmteta1201 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna mungu wa mtu maalumu, bro watu wanaushabiki na dini zao, asilimia 70 mpaka 90 wanabudia Dini badala ya mungu, kwa7bu kukalili kilichoandikwa bila kuelewa. Kwa mfano, Mazinge akifafanua maandiko anaonekana kabisa Haelew maandiko kwa mapana lakini watu wanamshangilia inaonyesha ni kind gani watu hawaelew maandiko. Kwamfano, kwenye swala la Yesu mwana wa mungu, ana shindw hata kujiuliza" kwamba" Mtume gani alikuja Duniani Bila baba?? Na kama yupo Baba yake ni nani,??? Na kama hana baba wa kumzaa, aseme Ni binadamu gani au mtu gani Baada ya Adamu ya Awa walikuja Duniani Bila kuzaliwa na wazazi, Alafu atagundua Mungu ni mkuu kuliko kichwa chake. Alafu dini sio, Sio Timu ya moira.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 ปีที่แล้ว +1

    Haslimu mtu ha Yesu, Fundisheni ukweli sio kuwatawanya watu na Imani za watu jamani TUPENDANE MUNGU WETU NI MMOJA

    • @rosejordan5391
      @rosejordan5391 2 ปีที่แล้ว

      Amen nikweli kabisa tusifanye dini km siasa...

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 2 ปีที่แล้ว

      @@rosejordan5391 umeona eee

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 2 ปีที่แล้ว +1

    Mara nyingi Yesu alisema yeye ni Mwana wa Adamu

  • @111dudi
    @111dudi 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Ndacha hodari wa kubadili quraan .aya aliyoitaja hii : "Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.Basi Naapa kwa Mola wako Mlezi! Tutawahoji wote." Tena Ndacha muongo sana

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mungu akuzidishie umri mazing

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge Tubu dhambi na Uwaokoe wafuasi wako kwasababu nikama unawapumbza na wao wanakufuata na kukushangilia hata ukiingea utumbo sasa utachomwa jehanam Mungu amekupendelea kukuweka hai mpaka leo ili utubu ukifa ghafla imekula kwako kwasababu unajua Yesu atakuja kufanya nini kwenye ukumu ya Dunia.

    • @silasally8498
      @silasally8498 3 ปีที่แล้ว +2

      Hujielewi utakapo elewa itakuwa too late

  • @abdirazaqibrahim1960
    @abdirazaqibrahim1960 2 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah 🥰 Ustadh wetu

  • @officialcylas7445
    @officialcylas7445 2 ปีที่แล้ว

    Amesahau kusoma hii
    Mathayo 16:21-23
    [21]
    Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
    [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.
    [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

  • @salehsuleiman8519
    @salehsuleiman8519 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndacha siku atakayo fumba jicho2 ndio atajua kama kweli nikipotea na nikipoteza wenzang Mungu akuongoze njia ilionyooka kabla haujafika siku hio

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 ปีที่แล้ว +5

    Waislamu ni noma kweli 💯💯

    • @teammayuro7267
      @teammayuro7267 2 ปีที่แล้ว

      Silimu basi kama umeamini

    • @ilovejesus666
      @ilovejesus666 2 ปีที่แล้ว

      @@teammayuro7267 nisilimu mala ngapi

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@teammayuro7267 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 2 ปีที่แล้ว +4

    YESU NI MWANA WA MUNGU AMBAE ALIKWEPO TOKA MWANZO AKIWA NENO...YOHANA:1:1-10

  • @michaelmhagama3343
    @michaelmhagama3343 2 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu wote wakabatizwe, wampokee Yesu Kristo

    • @amourkarenzo9713
      @amourkarenzo9713 2 ปีที่แล้ว

      Mazinge so mtu mzuri may allah protect your and give you mwisho mwema.

  • @abeydacane7640
    @abeydacane7640 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah ustadh

  • @kabarezephanie3573
    @kabarezephanie3573 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukisoma matayo16:22 kwa mustari hi petero alikataza yesu Cristo kusubiwa ndio mana yesu alimwambia tekeni nyuma yangu shetani , kwani Petro alitaka kusimamisha mupango wakuokowa ndunia kwa kupitiya kazi ya msalaba

    • @bryanachieng8160
      @bryanachieng8160 2 ปีที่แล้ว +1

      You got it,na ukisoma apo 17,Yesu anamwambia Petro,heri wewe Simon mwana ya Yona,kwa maana akuna binadamu yoyote aliyefunuliwa Jambo ili,ila babangu aliye mbinguni.
      20 Kisha Yesu akawaonya wanafunzi wasimwambiye mtu yoyote kuwa yeye ndio Kristo.Sheikh hawache kuruka mstari.Yesu mwenyewe amesema yeye ni Kristo.

  • @user-sz6kx7zd7x
    @user-sz6kx7zd7x 5 หลายเดือนก่อน

    Wakristo mwaulizwa wapi yesu kasema mungu Ni babake

  • @kikongajoel5172
    @kikongajoel5172 2 ปีที่แล้ว +5

    Kila.roho isiokubali yesu alikuja kupitia mwili duniani lakini yenye ni mungu kwa asili yake roho hiyo ni ya mpinga kiristo

    • @Ibrahym2422
      @Ibrahym2422 2 ปีที่แล้ว

      Ww mpinga kristo unamjua les mujibu wa bibilia kama alivolisema yesu au we unasema tu mpinga kristo ? Ww mwenyewe ndo mpinga kristo sasa maan humfat yesu ata robo tu

    • @mwola
      @mwola 2 ปีที่แล้ว

      @@Ibrahym2422 wewe Ndio Humjui.

    • @Ibrahym2422
      @Ibrahym2422 2 ปีที่แล้ว

      @@mwola lete andiko Kama mimi au lete andiko Kama si wewe

    • @mwola
      @mwola 2 ปีที่แล้ว

      @@Ibrahym2422 Quran 16:17..Anayeumba ni Mwenywzi Mungu.
      Quran..3:49..ISA ambaye ni YESU' Kaumba jiwa kutoka kwa udongo; kampa uhai wa pumzi na kijidege kikafly.
      Haya basi..wewe taja nani mwengine kaumba kutoka kwa Bibilia takatifu au Qurani ata kama ni izi.

    • @mwola
      @mwola 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Ibrahym2422 Wakati wa KIAMA;.kunzia wewe hadi ulimwengu wotee.kila Goti na kinywa kitakiri YESU ni BWANA ..yani ni MUNGU.
      Soma Kitabu cha WAFILIPI 2:10-11.

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 ปีที่แล้ว +3

    huyu jamaa ndyo kiboko ya mazinge

  • @adamissa8307
    @adamissa8307 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani, Mazinge ni kidume. Tumwombee maisha marefu kama ya nabii Nuhu ili awanyooshe hawa vipofu.

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว +1

    YESU ni MWANA WA MUNGU na UKRISTO ni IMANI na sio DINI.
    Waislam mnajichanganya sana kwa kuwa mnaingiza Uislam ndani ya Biblia,poleni sana lakini bado ni ndugu zetu.

    • @UFC_HIGHLIGHT123
      @UFC_HIGHLIGHT123 2 ปีที่แล้ว

      Kaka hii haipo sawa ..coz huwez kusema mungu ana mtoto ..je adamu baba yake nan na mama yake nan

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      @@UFC_HIGHLIGHT123 JESUS is LORD👏

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      @@UFC_HIGHLIGHT123 Wewe je,siyo mwana wa MUNGU???acha ushamba hata mimi ni mwana wa Mungu,maana mpango wa mimi kuzaliwa hapa Duniani aliupanga yeye,huwapo kwangu hai ni yeye,na nina shika Sheria na Amri alizoziweka ili niziishie.
      Hivyo MUNGU anao watoto wengi tu ila JESUS ni mzaliwa wa kwanza.

  • @mgogododoma9601
    @mgogododoma9601 2 ปีที่แล้ว

    Hapa kuna mtu mwenye kipaji cha kuongea na mwingine ana elimu juu ya IMANI anayoiongelea
    GOD bless u pastor ndacha

  • @wilsonlameck4046
    @wilsonlameck4046 ปีที่แล้ว

    Kinachoshangaza Mazinge anakataa akina Mathayo siyo Mungu! Sasa mbona bado ananukuu maandiko yao akina Yohana??!!

  • @fordmasnyenga_kiuyangulyri7409
    @fordmasnyenga_kiuyangulyri7409 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge ungewasaidia waisilamu waache maovu maana wanahitaji msaada wako hiki unacho kifanya ni upuuzi mtupu

  • @kellimjanja180
    @kellimjanja180 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakuhurumia mazinge kwa kubishana na mwalimu wako ndacha! Mskize kwa umakini na utafakari usije ukapotea

    • @jumashabani8474
      @jumashabani8474 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha hahaha pole sana yesu amewahi kuimba kwaya? Ameingia kanisani?

    • @ademisho165
      @ademisho165 2 ปีที่แล้ว

      @@jumashabani8474 unatoka nje ya mada. Sikiliza mdahalo.

    • @ademisho165
      @ademisho165 2 ปีที่แล้ว

      Mazinge amepondwa vibaya hapo

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@jumashabani8474 Magic was worked on Allah's Messenger (ﷺ) so that he used to think that he had sexual relations with his wives while he actually had not. Sahih al-Bukhari 5765

  • @ngalasafari8321
    @ngalasafari8321 2 ปีที่แล้ว

    Si lakn waislamu reasoning yenu iko chini sana,

  • @naftalimagige4699
    @naftalimagige4699 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mwl ndacha

  • @ludalberinger417
    @ludalberinger417 2 ปีที่แล้ว +1

    Jenga hoja za msingi kabla ya kujibu swali

  • @venancelusana1111
    @venancelusana1111 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge hana hoja zenye mashiko ila plaster ata maneno yake yana viashilia vya roho mtakatifu hata kwa mtu asiyefungamana na Dini ata mtoto mdogo analitambua hilo

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu

  • @byronemmanuel9364
    @byronemmanuel9364 2 ปีที่แล้ว +1

    Acheni upuzi stop wasting time you people mjadala huu haufurahishi ila jueni ya kuwa ipo siku Midomo ya watu itakiri Yesu ndiye mwana wangu na mkombozi dunia kwa sasa hakuna mwelekeo hata wayahudi wenyewe hawakumkubali yesu kristo lkn kwa wenye tumeshudia maishani mwetu tutamtuza yesu ambaye ni mwana wa Mungu na Mungu tena

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว

    Jifunze quran kusoma kuandik husa picha yang hapo kama hautojli

  • @111dudi
    @111dudi ปีที่แล้ว

    Unaona uongo wa Ndacha, kairuka aya ya 89. Mazinge kampa cha uso,Ndacha kaingia mitini,uongo wake umekamatwa

  • @florianntulo5731
    @florianntulo5731 2 ปีที่แล้ว +1

    Amani itawale Kila mtu abaki na Imani yake

  • @eddyblack6544
    @eddyblack6544 2 ปีที่แล้ว +4

    Allaahuakbar 💪

  • @methodkakoni4465
    @methodkakoni4465 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge umechemsha andiko liko nje na maada, watu someni hapohapo matayo 16:21_23 ili mjue yesu alimwambia hivo kwa nini!musiwe wepesi kumuelewa mazinge dhamila yake anaijua mwenyewe

    • @moussaalast4950
      @moussaalast4950 2 ปีที่แล้ว

      nani aliempa ujauzito mariamu...????🤗🤗🤗🤗😎

  • @mwola
    @mwola 2 ปีที่แล้ว

    MTAKATIFU SAYUNI Hamjui kabisa...Lakini wakati wa Kiama (Waislamu)mtamwona Mrembo wa wote SAYUNI...

  • @abdallahissa6245
    @abdallahissa6245 2 ปีที่แล้ว +5

    mashaAllah tabir

  • @damsonmywanga4405
    @damsonmywanga4405 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndachi Ni mwalimu hakika

    • @nicksonsanga8748
      @nicksonsanga8748 2 ปีที่แล้ว

      Nakukubali saana pastor ndacha Nickson sanga From Tanzanian

    • @esterkanuda5002
      @esterkanuda5002 2 ปีที่แล้ว

      hakika

    • @mashakabundala9955
      @mashakabundala9955 2 ปีที่แล้ว

      Ni mwalimu wa vipofu na viziwi tuu sio wenye kuona dalili za mungu Mkuu tena alie mmoja tuu makafiri wakubwa na siku mtalia na kusaga meno bila kumsaada wowote

  • @billyongus344
    @billyongus344 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona majeshi wa Mungu wanazozana na kushindana?adui ni muovu shetani sio mkristo au muislamu...Bora tufuate amri kumi za Mungu ambazo sote twafahamu Kwa Koran na Biblia

  • @bahatitumainichance8905
    @bahatitumainichance8905 ปีที่แล้ว

    Asante kwa Mungu

  • @saadiashariff5377
    @saadiashariff5377 2 ปีที่แล้ว +1

    Takbir Allahu Akbar! *100000000000000000

  • @rehemambedule7531
    @rehemambedule7531 2 ปีที่แล้ว +2

    Takbir inamuumiza Nini? Alafu majungu mengi kuliko point

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 2 ปีที่แล้ว

    Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa

  • @joelshow905
    @joelshow905 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila mtu na Imani yake hapo hakuna siku wakristu na waislam watakutana

  • @methodkakoni4465
    @methodkakoni4465 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge hapo unajitetea kiswahili kime kuchanganya maneno yako mazinge ya mtu asiye muelewa

  • @protusmuliro2796
    @protusmuliro2796 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah uisilam ndo dini ya haki

  • @dicksonassery5083
    @dicksonassery5083 2 ปีที่แล้ว +1

    Duhhhh mazinge unadanganya watu kweupeeee 😂😂😂😂😂 ukipata neno papa kwenye Bible 14:17