Team gulf team strong mm apa nilisha fika weee mm naamukanga asubui na mapema napiga usafi wangu pale nikipanda gorofani karibu nivungike migu nikikuja kuangalia kipondi iki cha uyu kaka nampenda sana tujuaneni kwa likes team strong ❤❤❤❤❤❤❤
Hemedi chande leo tena nimecoment movie yako yaani unanifanya natazama movie hii kwa hisia kali you are well kila kitu kiko sawa sauti na action pia story ina hatima ya kueleweka Hongera sana..
Yani kaka hemed mimi hili jina ndo naliona tamu mpka ukiitwa jina lengine wala nalisahau hpo hpo..kiukweli huna kazi mbovu asante kwa kazi yko nzuri mungu azidi kukuza kipaji chako kakaangu..na pia naomba second wife utumbe muendelezo nakupendaa❤❤
nimechelewa kidogo kucheki hii m😢vie blo hemedy sijui kwa nn kila movie unayotuletea inakua ya uchungu mwishoni kwan unachangamoto sana kwenye mausiano eeee
Niseme shetani tu ndiye chanjo lakini alikuwa mwanamuke muzuri ANAYE PENDA ndoa yake kuseme roho inavicha mengi namupenda uyo dada sana maana alijitambuwa
Kaka Sisi ndio Tunaona Ubora wa Kazi Yako Kitu Kimoja Nilikuwa Spendi kuangali move Za kibongo Kwa 7bu Huwa Wananza Vizuri Lakini Umaliziaji Huwa Ni Mbovu, Hata Ivo Kaka Movie 🎦 Zako Ziko Poa Sana Tena Sana Hata Umaliziaji Wako Uko good Sana Nacho Kuomba Ongeza Ufanisi Wa Umaliziaji Wa Movie Zako Ili Zisituache Katika Wakati Mungu Kama Hii Connection Ulitakiwa Husogeze mbele Zaidi Kama Dkk Kumi Hivi Utuoneshe Kuwa Wewe Na Mkee Wako Mmesha Kuwa Na Furaha Na Nyumba Iwe Imetawala Amani Daaah Hapo Ingekuwa Poa Zaidi
Kama unapenda movies za hemedi gonga like hapa,from Kenya 🇰🇪
I usually searching if he posted new video
Bonge la move 💯🔥🔥🔥🔥😨
Sana sana napenda😞 😔 🙏 ❤🎉
From Mombasa
wewe ni mkamba eti😂
Team gulf team strong mm apa nilisha fika weee mm naamukanga asubui na mapema napiga usafi wangu pale nikipanda gorofani karibu nivungike migu nikikuja kuangalia kipondi iki cha uyu kaka nampenda sana tujuaneni kwa likes team strong ❤❤❤❤❤❤❤
❤
Mwenyewe nikimaliza kazi juoni saa moja ndio kazi hii
@@AbdallahAsha thanks tukifka uku unajua akili sinaachanha kufikiria woi
@@EshaBakari thanks a lot
😂😂😂 na Wi-Fi za bure za warabu naon soon tuki home tutaboek 😂😂😂 Ila Movies zk nzur sn Mafunzo Zina fanya nisahau kero za gulf😂😂😂
Nakupenda ❤ yani move zako siyo kama wakina juwa kali nusunusu ww unatuwekea kiti kamili from omani🎉🎉🎉
Umeona eeeh,,, yani mi pia uwa napenda full fully yani mzigo kamili
😂😂kah
Love to move my brother hemed
Hii ni move jua Kali ni season tofautisha
Força aí meu amor hemedy beijinhos ♥️♥️💗💗💗🤍
Movie ya hemed utapgwa mabusu romantic had usahau km n acting... Nyie .. 😂😂😂😂 n mwaaan... Mwaaah... Mwaaah .
,😂😂😂😂😂
Afu kweli 🤣🤣🤣🤣yan anapenda
😂😂😂😂😂 mpaka rah jaman
Mmmm mmi mwenyewe hapa Nisha miss mpenzi wangu 😢 anapendaga mambo kama hayo ya kubusu busu 😂🤭😅
Jamani mmmmmwwwwwwaaaaaah 😂 Akiamungu nahuku OMANI nilipo Haya tuu naiishie kwa move😂😂
Asante kwa movi nzuli na yenye mafuzo mazuli sana nakupenda sana hemedy kipenzi cha moyo wangu❤❤❤❤❤❤
Leo wa kwanza naomben like zangu❤❤
Niko Burundi niko nakufatilia kwa movie zako chande 🎉
Nakupenda San movie zako tamu KBS unanjuwa kama ni mzuri 🎉🥰👌🏽
❤❤❤❤❤
Hemedy nakupenda wew na movie zako unajua kuigiza sna
Subuhanallah weye mwanamuke siunamumewako Masikini Chanda pore sana kaka yangu Wanawake shikamo😊😊😊
Namkubali cn huyu kaka jamn mungu akuongezee kalama zaid na zaidi ❤❤❤❤
Napenda saaana movie zako yani Congratulations 😍😍😍
Vile namepnda move jmn ❤❤Na mm Leo nimeomba like
❤🎉🎉🎉🎉🎉 19:20
Hii movi nimeipenda san jamn
Naomben na mm like zenu
big up for nice job,,,,,,mung awapeleke viwango vya juu zaidi
Uwiiii usiache kamwe kuigiza hemedi mpaka nimelia yan❤❤❤❤
Amna wa kulaumiwa hpo Ndo unajifunza madhara ya pombe…. Enyway tc nice❤️ much lov hemedy💯
😂😂 Madhara ya pombe ,,,, ila angeenda ma Mume Wake au angempigia cm aendee,, pale na yy alikunywa sna
Japo nimekua WA mwisho ila naomba like 😢
Hakika hemed hauna mpinzani kwa movie zamapenzi napenda movie zako from Bdi🇧🇮
Big talented hapa tz umebak ww kwa upande wa movie 🎬 hauna mshidan full story perfect 🔥
Wallah hemedy kiboko yani bonge la movie ..tena lina mafunzo makubwa mno big up broh💥💣
Hemedi chande leo tena nimecoment movie yako yaani unanifanya natazama movie hii kwa hisia kali you are well kila kitu kiko sawa sauti na action pia story ina hatima ya kueleweka Hongera sana..
Move zako safii Sanaa chande hemmed hongeraa Sanaa broo
Aki ya Mungu hemed anajuwa kupenda ❤️❤️❤️❤️
Sanaa
Sanaaa
Nzaro aka sipper clasick niko mombasa naangali move zako bro ninzuri sana big up
Yani kaka hemed mimi hili jina ndo naliona tamu mpka ukiitwa jina lengine wala nalisahau hpo hpo..kiukweli huna kazi mbovu asante kwa kazi yko nzuri mungu azidi kukuza kipaji chako kakaangu..na pia naomba second wife utumbe muendelezo nakupendaa❤❤
mae sjui wann nimelia hvi pole chande ❤❤❤
Jamani SUZY ana kasauti kazuri Congrats Kwake Suzy ❤❤
Upo vizurii Sanaa brooo ,,,,,,, unyamaaa hii
Umeweza kaka hemedi maua yko hayo, kazi nzuri ❤❤❤, mungu akuongezee kipaji zaidi, yarahb
nimechelewa kidogo kucheki hii m😢vie blo hemedy sijui kwa nn kila movie unayotuletea inakua ya uchungu mwishoni kwan unachangamoto sana kwenye mausiano eeee
Tafadhali naomba part 2 mbona sinema imenibamba Sasa nawapenda sana jirani yenu kutona ❤❤ 🇰🇪🇰🇪
My Hemedi
Mutu wangu wa maana❤❤❤ from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hayo ndio mapenzi na upendo wa kwel nice nmependa
❤Yaani natamani niwe kama hemedy endelea vizuri sana mungu akuongeezee nguvu
Aki huyu jamaa ako na movie poa sana aki🎉🎉❤❤
Namkubali sana hemed hajawahi kosea movie kalii
I really enjoy watching your movies they're all nice ooh
Kazi nzuri bro'.. tunapata Elimu Sana kwenye move zako....be blessed a lots
Nakupenda ❤❤❤ hemedy from United States Kentucky
Daaaaah unajua Mimi mda mwingine napenda kumuiga hemedy chande kk unajua Tena sana zaid lazima niwe kama wew
Am from Nigeria 🇳🇬 but I love this boy, nice movie and keep it up dear ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
thank you guys for all the love&support y'all are the best!please remember to subscribe,like,share&live a coment.love always🙏🙏
P1 sana ❤❤
Hey love your movie
Hii movie imeniliza sana 7bu imebeba uhalisia wangu kama mke mkubwa 😢😢😢 dah
Am in love na movie zako kaka,naenjoy for sure 😅😅😅😅
Chande unajua na kujua Tena napenda kazi zako Sana❤️❤️❤️
254 well represented ❤❤❤❤
Congratulations bro....kazi safi❤❤❤
🎉🎉🎉 noma kweli❤
Movie zako bro nikiangalia zinazidisha upendo kwenye ndoa,maana kuna vitu vingi vyakujifunza hongera Sana🤏🥰
Hata Mimi naunga mkono no movie zako single yaaan kula kumaliza kula kushiba aiseee nazipenda movie zako Zina mafunzo ndan yake
Kaka Unatufusha Sana Namna Tunapaswa Tuwe Hongera Sana kwa Kila Kitu Huna baya Kaka Respect Kwako
Chemistry ya hemedy chande na uyo Queen ni nzurii sana. Ata THE FIRST LOVE ilikuwa ni Tamu sana Chemistry 🧪 Yao
Exactly arafu bonge la pis🎉
Yap wanafiti vizuri sana tokea first love😂😂
@@uchebetz7284 yp huyu demu ni mrembo
nkpenda saaana bro napenda movie zako utanitoa roho ww 😂❤❤
Good job imebeba maudhui mazr sana aky long life team ahemady
Good movies I'm enjoy
Chande hujawi kufeli me nakupenda sana ❤ napenda movie zako sana yani kwangu wewe ni kama Maurice Sam from nigeria
Kazi zuri nimependa hi story congratulations 😍😍😍
#Ahmedchande bro ❤ ujawahi kosea kabisa🤥
Brother hemed hakika unaweza kazi nzuri sana❤❤❤❤
Broo nakupenda san mungu akuzidishie maarifa❤❤❤
Move zako nzuri sana zinafundsh sanaaaa😊 hasa ya maamuzi
ongera mko vizur sana❤❤❤
🇧🇮 ninapenda unavyoigiza hamedi ❤ hongera sana bro
Waooow movie nzur but napenda na mie kuigiza
Hemed anaeza kufanya ukaingia kwenye mapenzi bila kutarajia 😂😂😂😂😂
Kama unapenda movie za hemed gonga from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Napenda sana kuangalia movie yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi safi keep it up brother
Hemed uyo rasta hajui Asa cjui umempata wpi
😂😂😂😂
Ni meipenda kazi nzuri
Kunakosa ambalo ninaweza kukutia kwenye Hali mbaya naulikuwa unalichukulia kawaida waburundi oyeeeeee🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kweli nawe umeligundua hilo
Ujawai kufail chande. I appreciate nigga🎉🎉🎉
Napenda san movie zake mwamba hemedy
Nampenda san yup making na kaz make bay mhay
Daaaaah yaan huuu mchez hajawah kutokea hemed upo juuu py unaskitisha huu mchezo huyu bi halooo kumsalit mmewake inauma naktakia Kaz njeeem
Niseme shetani tu ndiye chanjo lakini alikuwa mwanamuke muzuri ANAYE PENDA ndoa yake kuseme roho inavicha mengi namupenda uyo dada sana maana alijitambuwa
Me naitwa jacq Yan nakupend we mkak jamn ni handsome af movie zako ni noma😍😍😍
Movi nzurii kaka 🎉
Boss achia mzigo mpyaaaa
Wow so nice aki movie zako zinanifanya niingie kwenye ndoa love you guys ❤❤❤❤❤
Much love from kenya 🇰🇪 broo
Hio nyimbo inahitwaje jamani 🔥🔥🔥
Jamani wale mnaopenda movie za Ahmed Suleiman Naombeni like Zenu 🙏
Huyu sio hemed selemani... Anaitwa hemed chande..
Ahsante 🎉🎉🎉
Oy jamaa Hasan hapingwi gonga like hapa bas
A precious movie❤🌹
Move kali alafu imebeba ujumbe wa maana sana hongera Sana hemedy chande
Aky nakupenda Bure ata kama Niko kenya uko Tanzania ❤❤❤ I sent for you a million of feeling's ikufikie🎉🎉🎉❤❤❤ I love you
🎉🎉 kungekuwa na part 2 jaman
Nawapenda mukia wawili ivi❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love from Uganda ❤
Umeweza chande nice
Kaka Sisi ndio Tunaona Ubora wa Kazi Yako Kitu Kimoja Nilikuwa Spendi kuangali move Za kibongo Kwa 7bu Huwa Wananza Vizuri Lakini Umaliziaji Huwa Ni Mbovu, Hata Ivo Kaka Movie 🎦 Zako Ziko Poa Sana Tena Sana Hata Umaliziaji Wako Uko good Sana Nacho Kuomba Ongeza Ufanisi Wa Umaliziaji Wa Movie Zako Ili Zisituache Katika Wakati Mungu Kama Hii Connection Ulitakiwa Husogeze mbele Zaidi Kama Dkk Kumi Hivi Utuoneshe Kuwa Wewe Na Mkee Wako Mmesha Kuwa Na Furaha Na Nyumba Iwe Imetawala Amani Daaah Hapo Ingekuwa Poa Zaidi
poa mwamba umetisha sana mwana
Big love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bro nakukubali sana mm nilikua nikikubali hemmed fwadi lakini saii nimehamia kwako❤❤❤🔥🔥✌️
Nakupend San hemedy chande hua nafatilia San movie zak❤❤❤❤natokea burundi❤❤❤
Can l Marry u
Nakukubali sanaa✊✊✊
Mimi wa kwanza hapa Rwanda
Wa kwanzaaa Chande Nipe Script na mimi
I love your movie hemedi❤