hellow!!!wellcome to my official youtube channel CHANDE ENTERTAINMENTS CHANNEL....HERE YOU WILL SEE ALL MY MOVIES,BONGO MOVIE TANZANIAN MOVIES....THANK YOU
Ucjial mungu ana sababu naww na yupo pmj naww nakuombea Sana Kama unatoa song na message Kama hii kwji yetu eeee mwenyezi mungu akulinde kwaji yetu na family yako🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
Heshima ni pesa tu hakuna kingine nisingependa kuwa.mnyonge hata siku 1 hata kam sina. Ela mm najiamin kuzitafuta najua ila apo kweny dharau hapan punguzeni dharau nyie wanawake wenye pesa
Huyu demu aliemsaliti Chande performance yke n mbovu sn yan bado anahitaji waalimu wamfunze namna ya kuigiza, muangalie Chande na uyo Haji Adam wanaigiza ila unaona km n uhalisia na c maigizo ila uyu demu bado sn na hata huyo mwanawe Haji Adam pia performance yke sio nzuri sn by the way good job just pull up ya socks🧦 🎉🎉🎉
Napenda movie zako ila uyo mwezake amesema vibaya sana eti wanawake nikama buzi wana wake atufanane piya wanahume awafanane pote kuna wabaya wasiyo jihelewa na pote piya kuna wazuri wanaho jihelewa
Hemedi chande nakupenda sana vile ambavyo unaiigiza kaka safi sana🎉❤❤❤ love you upo romantiki love na jamii inajifunza mengi kupitia nyie mfike mbali sana. ❤❤❤
Yaii iki kipindi chanifanya nikadodoa choli langu😢nikimkumbuka vile viote nimeibiwa ela zangu kwakumtumikia bwanangu ajy kazi la uderela uwarabuni😢😢😢😢😢pia bwanangu n deleva kakangu umenifunza fudisho bora saindi be blessed niko n imani kama vile ulivio kubalishwa n uyo mze ndivio mungu atakapo mtembelea bwanangu huuu mwana🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
Napenda movie zako kaka,,,,wakenya tujuane kwa likes🇰🇪🇰🇪
Jamani kweli
Wanao mkubali hemed Chande piga like❤
❤
❤
❤
wao hemedy nakukbal kwa kuigiza movie
Iike
Napenda movie za huyu kaka kwakweli more love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 hata mm naomba like
Wewe sihaki
Siyo kwel
Me,sijaipenda hiyo kwakwel
Jamaa anajua
fmedia.tenor.com/wOLM0RtlerMAAAAM/how-are.gif𓃰
Kazi nzuri kaka Fanya KAZI wewe ni mtoto WA kiumu🎉🎉🎉🇰🇪🔥🇰🇪🇰🇪kenya like naombeni
❤❤❤❤❤much love to you Adam ak nilikumiss xan kw movie ya Jamila ak unafanya mmbo mazur kaka Mungu azid kkuinua zaid
MASHAALAH nzuri sana CONGRATULATIONS MY BROTHER. Hemedy
Ucjial mungu ana sababu naww na yupo pmj naww nakuombea Sana Kama unatoa song na message Kama hii kwji yetu eeee mwenyezi mungu akulinde kwaji yetu na family yako🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
Napenda sana Kaz yako endelea kutoa movies mm nakufatilia sana yaaan unaweza sana
Wow,I just like hemed chande movies,🎉🎉🎉,big up team all the way mpaka saud
🇹🇿 Taifa Letuu.Hemedy ni moto wa kuotea mbalii
Unamkubali hemed gonga like
You ate dowwnnnn with this movie 😭🙏🏾 felt like i was back in Dar watching this on Maisha Magic Bongo
Pongezi kwenu, mmeigiza vizuri sana na story ni nzuri mnoo. Hakika ni ujumbe mzuri kwenye jamii
Hongera sana bradha
Chande for everybody 🔥🔥✌
Mashaallaah movie nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kazi zuri sn❤❤❤❤❤
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri nakkubali sana Yani unajuwa mpaka unajuwa tena
Ahmed Suleiman Kazi Yako nzuri siku zote tangu Mimi nianze kujua bongo movie Mwenyezi Mungu ☝️ akubari brother
huyu ni hemedy chande, hemedy Suleiman ni mwingine yye mnne kdgo ila white kam hyu pia
Wah baba wa mchongo 😂😂😂 kazi nzur sana next part 2 tuone Nadia life ya usingle ilkuaje master plz❤from kenya
So sweet 💕 waiting for part 2plz
Movie nzur saan nawapenda ote mlioshirik mungu awatie nguvu❤❤❤❤❤
Jamon hemedy chande Unajua sana KABISA congrats 👏👏 for you Yani we mwamba kabisa
Yaani Mungu akuinue kaka naona nikama umenijuwa hio ni history ya ngu kabisaaaa
Sisi wapwani tuko la talent sana, sema tunafata Dini inavyo tuambiya. Dunia tumewaachiya nyinyi.
mombasa au
Duh aiseee chande hujawahi kufeli, nafatilia movie zako sanaaa, ningependa kupata muendelewa wa TAHARUKI
Unaempenda ana mwingine na mwingine nae ana mwingine like hapa😊😊
Apo sasa mapenzi nyie😢😢😢😅
sindio hivo sasa
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
Boooooongeeeeee moja moooooveee yenye maaaan pia.mafunzo bigup mtunga stori chujua❤❤❤❤❤❤❤ ..
This movie teaches me never allow a lady to pay for your bills 😢much love, let's gather hear people 🥰
Very true
😂😂but we are not same
@@Chebet254 Uko sure
Nipitieni guys
😂😂😂
❤❤❤❤❤more love from 254
thank you guys for all the love&support y'all are the best!please remember to subscribe,like,share&live a coment.love always🙏🙏
From America just drop a ♥️ for me
Big up ninoh wangu 😊❤
Need part two bro 😂 nice movies
Nzuri sanaaa dah....rafki msaliti dunia ya ss tunajifunza mengi...❤
Bora uende tony mpende rahma jmn anakupendaa😢😢
kazi mzur,nimeipenda
honger Hemed❤
I loved it ❤part 2 please tuone huoo ex 😂maisha after betrayal
Movie za Hemmed Chande ninzuri hua lkn hazina part 2..apo n mwisho
Kwel
@@ancillarneema zinakuwa nayo but itadelay
Hemmed anakuwaga na movie nzur sana tu ila hazinaga ending,,,huishia juu kwa juu movie kama jesca na nyingine
Jaman naomba kuuliza aliyeimba huu wimbo ni msanii gan daaaaah nimeupenda sna
Adam nakukubali sana mzee
You did a Good job guys.
Heshima ya mwanaume ni maokoto..... 💯💯
Kazi nzuri kabisa. Much Love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
Much love from Kenya ❤❤❤❤
Kazi nzuri sana kaka Mungu akubaliki sana
Chande umetishaa sana pongezi kwako pt2 muhimu
Mmmh namm naomben like😢❤ nawapenda wote tua ongalia movie za HEMED🎉
Lkn wazazi twakosea kabisa sio vizuri acha mtoto amchangue ampendae ❤❤
Daaa ndio hvo wazazi watuache techague mtu sahihi unayempend xana❤❤❤❤❤
Hemedy chande you made again❤❤❤....
Yani mwanamke akiwa nahela atakutesa sana nikweli heshima ya mwanaume ni pesa ira kwangu mm upendo wakweli ndo kira kitu kwangu ❤❤❤❤❤
Ila kuna sisi hapa hatuna hela ila mdada akishatuangukia nikupeleka moto hadi akili yake inani waza mie siku yote😂😂
Heshima ni pesa tu hakuna kingine nisingependa kuwa.mnyonge hata siku 1 hata kam sina. Ela mm najiamin kuzitafuta najua ila apo kweny dharau hapan punguzeni dharau nyie wanawake wenye pesa
Mtajioa na pesa zenu 😅
Mm apo toka congo Lubumbashi namukubali chande
Jaman hii filam bado sjaimaliza lakn naona ipo sawa sana ❤😮
Tony you're the best
Keep it up my son Adam
Nakubali brother kazi zako jumaa cheru from Kenya 🇰🇪 tuko mbele pamoja brother
Woow maashallah but usiwe unakaa muda sana bila kutoa movie mashabik wako we want even kla mwez utoee we lavyuu 😊😊
Rahma kama rahma very cute 🥰❤❤❤ bby
Exactly
Good job love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Much love from 🇰🇪 🇰🇪 kenya
🎉Wow Kazi nzuri sana 👏👏
Kazii ya moto🔥🙌🏻Mmeua sana wana
Congratulations chande❤
Huyu demu aliemsaliti Chande performance yke n mbovu sn yan bado anahitaji waalimu wamfunze namna ya kuigiza, muangalie Chande na uyo Haji Adam wanaigiza ila unaona km n uhalisia na c maigizo ila uyu demu bado sn na hata huyo mwanawe Haji Adam pia performance yke sio nzuri sn by the way good job just pull up ya socks🧦 🎉🎉🎉
Sikupingi ata kidogo kaka nakubali saana kazi zako yes you can
Much love from Kenya 🎉🎉
Much love from Kenya
Napenda movie zako ila uyo mwezake amesema vibaya sana eti wanawake nikama buzi wana wake atufanane piya wanahume awafanane pote kuna wabaya wasiyo jihelewa na pote piya kuna wazuri wanaho jihelewa
Tony kwani una miaka 😅😅😅mingqpi 😅😅😅28 sioo mbayaaa tayariii mtuuu ataliwa
Rahma unamtaftia matatizo tony😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
Acha2😂😂😂😂😂
Namkubar sana hemed chand
Hemedi wewe ni doctor wamapezi wangu courage ❤❤❤
Mtot rahmaaa kaelewa mapigooo bado kupashwa kiporooo tuuuu😅😂😂😂😂
Awesome ❤
Mm nazipenda sana filamu zako ilah ww unatupeza mpk basi
Aisee hata kabla sijaangalia mpaka mwisho hii movie tam sana much love hemedy chande❤❤❤
Dah kaka nakubali muv zako nakukubali kaka yan mungu amekutunuku good
Adam napenda san vyeny huwa unaakt 😊😊😊😊 a from kenya 🇰🇪
❤❤
nice movie
Hii ni fasti love au ni pesa love?mbona dogo anateseka kisa pesa😂😂😂?hateseki na mapenzi?❤
Aky napenda sana movie zko Hamed ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi njema Sana hemmed,
I love nice movie ❤❤❤❤
Mupunguze mazogo ya mizik 😮kazi nzur namkubal sana huyu dogo kwa mapenzi km sharuk khan😂😂ila bado hujamfkia sharuk ni babalao.
Aiseeeee kama hujaoga unaweza kuogopa kuingiza ndoani kama pigo za ndoa ndo hivi daaaaaaaah😔😔😔😔😔😔
Good job 🎉🎉🎉❤
I love it❤❤❤
Hemedi chande nakupenda sana vile ambavyo unaiigiza kaka safi sana🎉❤❤❤ love you upo romantiki love na jamii inajifunza mengi kupitia nyie mfike mbali sana. ❤❤❤
I wish this movie would have second part.na yule mpenzi wazamani aliemusaliti akaja kumuomba kazi pale alipofanyikiwa kwa vyashala na mtoto waboss
Hata mm ndio natamani 😂
yaani mwanamke akiwa nahela atakutesa sana nikwel heshima ya wanaume ni pesa kama hauna pesa huna thamani
So nice chandeee
Kazi nzuri bro nasubiria part 2 plz
You made it Hemedy Chande😍🥰
Uyu Tony yuaonyesha n mjeuri maisha yake
Huyu ni bint yangu ana miaka 22 tu,wenye akili wameelewa
😅😅😅😅😅mimi nimeelewa mbonaaa alafu baba kakaziaaa naijua hiyo
KAZI za hemed chande zimetulia Sana
Najifunza Sana kupitia KAZI zake
Congratulations broo 👏👏 🎉
Awesome❤
5 🌟 to the cinematographer and the colorist
Kazi nzur sana🎉 ila naomba anae jua ako kawimbo hello hello anisaidie
th-cam.com/video/vXmz4pglzV4/w-d-xo.htmlsi=Z88tKlHBWWKdnoth
th-cam.com/video/vXmz4pglzV4/w-d-xo.htmlsi=Z88tKlHBWWKdnoth
Yaii iki kipindi chanifanya nikadodoa choli langu😢nikimkumbuka vile viote nimeibiwa ela zangu kwakumtumikia bwanangu ajy kazi la uderela uwarabuni😢😢😢😢😢pia bwanangu n deleva kakangu umenifunza fudisho bora saindi be blessed niko n imani kama vile ulivio kubalishwa n uyo mze ndivio mungu atakapo mtembelea bwanangu huuu mwana🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
Ilove it❤ part two plz
Keep it up good job❤❤❤❤💪💪💪