Hello guys kumekucha like zangu mniwekee na maua ya my brother weeeee mbona hamjaniita mapema jamaniiii mkoje 😊😊😊😊lakini kama ulimumis hemedy kama mimi hapa nipongeze hata like moja🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤ww ni mwamba kwa sasa hamna anaekufikia kwenye movie au ndo umepewa mikoba ya Steven kanumba wazee tumsapotini mshikaji sabuscrab na kusheir Ili aendelee kutupa vizur zaidi
ahsanteni kwa upendo mashabiki zangu ila musisahau kusabscribe ili munipe nguvu ya kuendelea kufanya zaidi😢
Tupo na wewe brother
I really love u ❤️ @Hemedychande7956
Gud san
Pamoko brother,,
Hemedi Zaman tulikua unaishi mtaa mmoja wa ndengeleko mtonganii yule kaka yako chande yuko wapii skuizi
Kam unamkuba hemed chande gonga like
Akuna anae mkuba wote tunamkubali 😁😁😁
Poa kbs❤❤
Hello guys kumekucha like zangu mniwekee na maua ya my brother weeeee mbona hamjaniita mapema jamaniiii mkoje 😊😊😊😊lakini kama ulimumis hemedy kama mimi hapa nipongeze hata like moja🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
habari yako murembo
Nzuri dear🎉@@MATENDOKING-wz2zu
❤❤❤ Nilimiss San move yako hemedy yani haaaaah Ata sijuhi niseme nini Maan am very very happy 🌹🌹
✨✨✨✨
@@ELIZABETH-kp1kw akovizuri walahi 💯💯💝
Mimi wa kwanza kutoka Congo 🇨🇩,
@@user-od2ek7cn6p Asante sana
Chande ,chande chande nimekuita mara tatu aseeeh nakupenda Sana movie zako nzuri na zinafundisha ❤️❤️
Mpende mumeo wewe
@@fatimaidresa1283😂😂nimecheka wallahy
Mnaomkubali Ahmed Chande Like zenu hapa🎉🎉🎉❤❤
Hemed nakubalii sana movie zako kutak 🇰🇪
Leo niko tano likes zangu basi ata kumi tuh from 🇨🇩 🇨🇩
nawa penda sana mafans wa hemed chander 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😄
Love from kenya for real mie shabiki wako
Wazaz wa hv hata hawafai kuigwa na jamii ,, kwnz kamdada kwenyewe hvyo ooh
Kazi nzuli san tunaapenda san kutoka Burundi 🇧🇮 ♥️ ❤
Mimi wa kwanza jameni 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 likes nazitaka
Waaooh. Nice Chande nakukubali sana aseeh c unajua vile nakupenda kinoumar yah. Aaaaaaaiiiiih ❤❤❤❤❤❤❤
Chombo nimeipenda iko kwenye ubora wake
Jmn naombeni like zangu nimekua wa kwanza
😅una taka ufanyie nn😊
Akikujibu niambie na mimi😅😅
😂😂😂😂😂na me
@@AgnesMasoud😂😂daah
@@AgnesMasoud 😁😁
Tunakupenda wote ❤❤❤
Movie nzur Cy poa chukua maua yak hemed chande 🎉🎉🎉🎉❤❤
Mtu wa kuzagazaga😂😂 npewe like from Kenya 🎉
Chande unachelewa bro ila kazi nzr Mariam Niko oman team strong tujuane
Woyooooo
Tumejaa
Waaaaoh jmn tunaomb nyingn please❤❤❤🎉
Nawakubali sana mungu awa tangulie 😂😂❤
Dah mpaka naliya kweli , from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Frère, je suis fatigué et je te vois comme 🎉😂😂😂😂😂😂
M nimekuwa w mwisho jmni naomben like n mm😢😢...anyway more ❤from 🇰🇪
😊
Mashaallah movie iko sahihi wallah but part zengine waaaa yani tha n bc,haziitaji mtu mmoja jaman maupendo kibao snaa❤❤❤❤❤
Nyie jamani nampenda sana uyu kaka🎉
Wapi kelele kwa hemedy chande🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤weeeeèee
Nazielewaga sana hizi movie za jamaaa ❤❤
Uko vizuli Sana KK hongela san.tunakupendasanda ❤❤
Wow ahsante tunashukuru congratulations we appreciate kwa kweli nimejifunza mengi❤❤❤❤
Mwamba unajua sana kazi nzuri sana
Hemedy nimekukubali sana .. movie ni Kali sana
Kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu mzee waovyo 🎉🎉
😂😂😂 sanaaa
Daah chande mii nishabiki wako kufa na kuzikana kk❤❤
Your movies are always the bestttttt❤️❤️
Jamaa anajuw cna hanaga kazi chafu
Nmependa hiyo my Dad
Kazi nzur Ahmed pamoja sana 🎉🎉
❤daa@aaaaaaaaah huyu mtu ga store yuko vzr sana aiseeeee shabiki wa kwanza hapa 🤷
Dah ma kiss jamn had me naona wivu lakin hemedy why😂😂me nakupenda sio kukupend bure🥰
Jamani Hemedy movie zako zoote nasipenda saana ❤Mana unatubururdisha sana
Chande kwa kwelii big up sana wa kwanza from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nakubali sana kazi ze hemedi chande
Love you guys from Burundi 🇧🇮
Ilibidi baba na shemeji waondoke mana walijua kutapita kivumbi 😂😂😂😂 sio makiss hayo 😊🎉🎉🎉
Mimi ninavyo kukubali sijuwi kama kuna mwengine I like you Hemedy chande
Hemed siku hizi hutupi vitu kila siku wakaa mpaka nakusahau 😂😂❤🎉
Hemed like the way you act I'm from Europe
Eeeeh hii movie imefanya nkalia aki iko part 2 ikam aki❤❤
wimbo mukali nani kalielewa ilo gonga like kama umekasikia vizuli guys🎉🎉
Hemedy nilikuwa nimekumiss sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokea zawadi yako
Jaman huyu dada wa kaz sasa😅😅😅😅
Kafanyaje bby😂
Unyama ni mwingi Hemedy💪
Movie nzuri hemedy nik nyuma Yako tena napend kaz Yako unacheza vuzili nanusapoti sana mimi hapa kutoka Burundi 🌹🌹
Movie nzr sanaaaah, imetulia
Nakubal kaka umetisha Mungu azidi kukupa upeo mkubwa zaid na zaid,,,,aiseh utafika mbali sana kikubwa zaid endelea kutoa mafundisho haya kaka...
Cijawahii kukosaaa movies za chandeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ujaulizwa😂
De swahili was so lit fire chande forever
Congratulations for you hemedy chandeee ❤❤❤❤❤ big up sanaaa
This is so much better. More love from kenya nakubali kazi yako bro.
Wanaume mujifuze kupitia huu maxi mwanaume.kujiamini ❤ maxi ukitaka wapili niko hapa 😊
Nakupenda sana chande napenda gisi unacheza movies mtu wangu mungu akulinde
Kaz mzr kaka lkn baba asha hakutenda haki mana ata yy anatarajia kusameewa kwa Allah 😢😢
Me nilijikuta na cheka kama kichaa nimeipend hii baraaa❤😊
Usijali tupo pamoja sana❤
Unymaa sanaa❤❤, tumepata funzoo
Always uko poaa Actor c fans tupoo
Tunazid kukuombea na Kaz zako piaa
Congratulations 🎉🎉🎉bro much love from 🇰🇪 ❤
Hizi ndio move sasa inaitwa bongo move
Movie
Ctak kuongea k2 Zaid ya kusema hujawah kukosea kwenye mov zako❤️❤️❤️❤️❤️
Anafanya vzr san hemedy mungu akupe nguvu na uendlee kufanya Kaz vzr Zaid bro
Iyi nikali sana m paka lipenitowa chozi bro
hii kiss ya mwisho noma sana🤣🤣
Khai 😂😂😂
❤❤❤ww ni mwamba kwa sasa hamna anaekufikia kwenye movie au ndo umepewa mikoba ya Steven kanumba wazee tumsapotini mshikaji sabuscrab na kusheir Ili aendelee kutupa vizur zaidi
Oya mwanangu hemedy umetisha kinyama nyama yani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Who else here enjoying sweet movie without subscribing surely 😢
Baada ya kunitajia tu nikakimbia moja kwa moja kuiangalia namkubari sana hemedy 🥰
We love you my Bro Hemedy from Burundi 🇧🇮
Upo vizuri broo Uwe natowa cinéma kwa muda maana tuna Ku miss saaaana
Jaman picha zako haziboeshi kwa kwel hemed chade
Congrats kwa movie zko...keep glowing boy..
Uko vizur sana hemedy
At least leo nimewahi kidogo 🎉🎉🎉
unajuwa sana naunawatu wanaojuwa brooo tuko pa1
Great aisee😊
Aaaaaah mwenetu kl w noti yani kabla ata sija tizama movie lenyewe tayani nishanogea ❤daaaaah aiseeeeh kl w nomaaaaash❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli chande movie zako MashaAllah 👌tule teeni nyingine InshaAllah
Hemed anatoaga hits movie znamafunzo sana aseee big up sana
Sasa inabid uwe unatoa kama episode itakuwa poa sana
Nakkubali bro chande mm ni shabiki wko kutoka kenya naangali muvie zko nikiwa gulf am team strong ❤❤❤lady z,k.
Pamoja sana chande kazi nzuri usichele kuleta nyingine😊❤
Nakukubali brother chande huna baya❤❤❤❤
Mm cute mima ni mkenya Niko gulf Oman ❤I u I like Ur moves
Connection za oman zicome
Big up bro god bless you 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Chande unamovie nzuri mnoo ❤❤ na zinafundisha San San an
Mashaallah hemedy FURAHA BABA❤❤❤😂
Hemedy nimependa sn haki ww ndio kwanaume mkamilifu❤
❤❤❤❤❤❤japo imenitoa machozi 🎉🎉🎉🎉🎉
Kila movie yako tayari Jana nimemaliza zote kwenye account yako mpya ikingiya tu ninayo Leo kumeingiya play boys ebu nipeni like zangu guys ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
This man is so talented😊😊😊😊😊😊😪😪😪😪😪😪🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯