Mimi sikua nakujua pia sikua mfatiliaji wa movie za kibongoila toka nimeona magic school bas umenifanya nianze kukufatilia, nakupenda sana na hongera na hongereni sana mungu awabaliki🙏🥰❤️
@@OfficialDubu_tzkak Naomba Namba zako Kuna Ishu Nataka Tuongee Mana mimi Ni msanii Kwasasaiv Nashut Kwenye Acount ya Zizzo punch SNAKE GIRL Sasaiv Stumii Acount yangu Lakini Acount yangu Ndo hii SAM BIGMondy
Cha kwanza sijui niseme unisamehe au vipi maan sikujua kabisa kuwa hii movie ni nzur kiasi hiki tena ina mafunzo makubwaaa sana ila nimesema unisameh maan nilikuwa naidharau sana na kuipita. Ila nimekubali kazi mzuri sana unajua mpaka unajua tena. Siku zote mimi ni shabiki yako ila leo nimekuwa shabiki yako rasmi 🎉🎉🎉🎉
Dubu nisamehe kwa kweli kwa kuchelewa kuangalia hii movie maan n moto wakuotea mbali 🥰🥰🥰🥰🥰
🥰
😅😅😅😅😂😂😂😂nyanyi kwekwe yaaan nimecheka kinoma na nilikua na stress kinomaa😅😅😅❤❤❤kazi nzuri sana nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉🎉
🙏❤️
Ukacheka kwa nn
Kwakua nimefurahia
Hongera sana kaka dubu mungu azidi kukupa nguvu kwenye kazi yako nakupenda sana ❤❤
🙏❤️❤️
Dubu wewe nawe ukachagua Watu wafupi wafupi kama Wazazi aha 😂😂😂😂.. Wewe mzuri na zile movie zingine za kuyeyuka lakini Hizi za ki ofisi yakuzidi ❤❤🎉
Wazee nao noma dar 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😮kazi nzuuuuuuur❤❤❤
Safi saana Yani ivi njo naelewa kazi nzuri kweli mnatisha ❤
🥰
Wueh napenda sana hii filamu,kila wkt lzma niiangalie, mungu awabariki sana, nawapenda bure❤❤❤❤❤❤❤
❤️
Aise kazi nzur Sana kaka mungu aibarika kazi yako na akupe hitaji la moyo wako Amina🙏❤️❤️
Waoooooo iko powa sana jaman❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli filam nzuri sana hadi inatoa machozi ya furaha ❤
❤️
Nimeielewa kiukweli hiimuvi nikali kinoma
Sio kali tuu ni noma
Ongera sana@@OfficialDubu_tz
😂😂😂😂😂😂mwachekesha Nyan ngwengwe na mtumishi moto
kweli jmn damu nzito kuliko togwa kazi nzuri kaka🎉🎉🎉 inafundisha inauzunisha inafuraisha mwambie dada hajra apunguze kupenda kula
Filamu Safi sana hongereni na wapenda nyote ❤❤❤❤❤❤❤
Tunashukuru sana
Aaah makosa sana ..furaha umeivunja Diba
Dube anajua Kua act kweli♥️♥️♥️
🙏🥰
Kazi nzuri sana broo Dubu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
🙏🙏
Naomba usije ukawa kama diamond...chapa kazi yako vizuri baba..maana wapendwa na wengi
Tuko p1 kaka but magic school iko hot sanaaaa 🎉🎉
Huyu dubu me nampenda sana tangia nimtazame kw maiti yangu na chifu good job my dear dubu
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Nimewapenda sana hao madogo🎉
Kazi safi ❤❤❤salute mumeweza sana.
🙏🙏
nimeinjoy sana kiukwli mungu awabriki sana kwa kazi nzuri
🙏🙏
Hao machali wanajua sana🎉🎉🎉
Hii kitu ilikua taaam sana jama, hongereni sanaaa wahusika🤞👏👏👏❤❤
Shukrani sana
Dubu muna fanya vizuri kabisa ❤❤
🙏❤️
❤❤❤ safi bro🎉🎉
Ao watoto wameuwa ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri dubu ❤❤
Ongelen mko vizur big up🎉❤😂
😂😂😂ak hii Khali Kwa kweli inachekesha kinoma
Nimeishi nikicheka mwisho mumeniliza asanten sana wapenz❤leo ndio nimeangalia kwaumakin
🙏❤️
Hao wasodo nawakubali sana❤❤
Nawafatiliaa❤❤❤❤
Movie nzuri dubu ,dube ,diba.wmecheza vzr pmoja na mamayao hongereni
❤️
Wooow❤❤❤Nice one🎉🎉 Watching from Kenya 😊😊
Muv nzur na imeish vzr hngera Sana Kaz iendlee
🙏🙏🥰
Oeee dubuwangu
Dubu nakukubari sana ❤❤❤❤
❤️
Oya mi nakukubali sana nko msumbiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Filam nzuri sana yenye funzo kubwa
🙏🙏
❤naipenda xana filamu hyi kinoma xana 😢😮😅😊
🙏❤️
Nyani ngwengwe jamani😂😂😂😂nimechoka weeee
Kuna watu wananifurahisha humu ni NYANI NGWENGWE NA KIBONGE 😂😂😂😂 dah mbavu zangu
🙏
😂😂😂😂😂😂Nyani ngwengwe jamani
Kazi nzuri pokeen maua yenu🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
🙏🙏🙏
Nikweli ni Suri sana maana inamafudisho mazuri😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watot nmewapenda breeee
❤️
Hongera kaka mung akuongoze ufike mbal zaid
Waa😮😮😮 ..... achana n dubu n hatarii
Dubu hii movie jmni kiboko yani nakukubali sana jmni Sault kwako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🥰
Kazi mzuri dubu
Ongelen mko vizur big up
Waaaa..dubu i love your content
Keep it up bro
🙏🥰
Jamani move tamu sana mm nilikua sio mpenzi na hizi move ongera sana
🙏❤️
Mzee anaroho mbaya sana
Mimi sikua nakujua pia sikua mfatiliaji wa movie za kibongoila toka nimeona magic school bas umenifanya nianze kukufatilia, nakupenda sana na hongera na hongereni sana mungu awabaliki🙏🥰❤️
Asante ❤️
Move nzur ❤
🙏
Good job keep going❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongereni ❤🎉😢😮😅😊😂😂😂😂
❤❤dubu uko vizur
Jamani wasiojua achaa wajifinzee kwa dubu na nyaningwegwe😅😅😅😅 atakufaa na ukwiruuu
🥰
Flamu nzuri sana bro dubu endelea na kazi yako pongezi sana kwa wana daresalam mimi natoka kenya 🇰🇪
🙏
mungu awa bariki watoto hawo wana fundisha sana
Huyu Diba and Diba huwa yuko vizuri kwenye kazi yake❤
❤️
Ongera sana kazi yako nzuri❤❤❤
Hiyo safi san nimeinjoi
❤️
Team diba kz nzr San aky hii nimeipenda ❤❤❤❤
🍎
It was lit🔥🔥🎉 keep it burning bro🔥🔥💪💪letea sisi ingine waiting 🤲❤️
Soon Inshaallah 🙏
@@OfficialDubu_tzkak Naomba Namba zako Kuna Ishu Nataka Tuongee Mana mimi Ni msanii Kwasasaiv Nashut Kwenye Acount ya Zizzo punch SNAKE GIRL Sasaiv Stumii Acount yangu Lakini Acount yangu Ndo hii SAM BIGMondy
khalisti midabanguro naye yuko ndani ya sinema noma kabisa
Duuuuh kumbeeee Kuna mapacha Jmn
Kazi nzur sana
Mmetisha sanaaa
kaz nzuri sana dubu nazpenda kazi zako
🙏
Waandaji wa mefeli kbs kwenye iyi filamu
Kazi safi👏👏👏👏
🙏🙏
😂😂😂😂😂 ety Humu tuu
Hawa madgo wawili waokota makopo nmewaelewa sana,wanatembea na biti vzr sana
🙏🙏
Nime wakubali sana
Wako vizuri sanaa❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
watching from kenya ❤❤
Safi sana
Ni moto sana
Vp hawa madgo mbn cwaelewi kabx ❤❤❤❤❤
❤️
Safi Sana ina mafunzo mazuri
🙏🙏
Daaah jaman mbona kama iyo movie Ina endelea aiwezi kuishia apoo bhanaaa me Cja pendaaaaa❤😂😂❤
❤️
Ivii location ni morogoroo au???
Jamanii nimependezwa sana na hao mapacha 3❤🤓
❤️
halafu ww udugu😅😅
Ipo vizuri sana
🙏
Unakataa mimba na ulikuwa unaenjoy😂
Jamani watu wanaingiza vp filamu nzuuuuuuuuuuuri xana dar
🙏🙏🙏
watoto hawo wana kipaji sana hongeren sana
🙏
Mmmmmmh mmenifurahisha ila spendi mtu yeyote jamani mko poa ilie kinoma apo kibonge mwezangu unafanya vitu so poa hatare
Filamu tamu sana nimeipenda👍👍👍😅
🙏
Wajumbe mi mwenyewe nina uwezo wa kuigiza naomba kampani yenu
Tumezoe uchawi bana❤❤❤❤
Nimependa sana
KAZI nzuri naikubali ❤❤
🙏🥰
Cha kwanza sijui niseme unisamehe au vipi maan sikujua kabisa kuwa hii movie ni nzur kiasi hiki tena ina mafunzo makubwaaa sana ila nimesema unisameh maan nilikuwa naidharau sana na kuipita. Ila nimekubali kazi mzuri sana unajua mpaka unajua tena. Siku zote mimi ni shabiki yako ila leo nimekuwa shabiki yako rasmi 🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🙏
😂😂😂watoto mwachekeshasana
Wanatisha sana njamaa
❤️
Dubu sijaipenda hii ww kua muuwaji sijapenda🙄
🥰
Nani mwigne anawatch akicharge simu