Dah aisee michepuko inanguvu jmn 😀 cm ya mke imepuuzwa tena nakufyonza juu lkn cm yamchepuko imepokelewa chap tena kwa tabasamu zito kbs 😂😂 mama namtoto wapuuzi kbs limama najenyew linachekelea tu ujinga
Oya Ray hapa umetukoseya wanazengo mwanangu. Yani umehusisha penzi la jinsia moja kwenye filam yako.?? Haya sasa niyale mauchafu ya wamagharibi tunaanza kueneza wakati filam zetu zina ustaarabu maadili yake. Kwakweli hapa nakushauli hili swala lisijirudie maana halistahili kwakweli.
😂😂😂 ray ananifurahisha anavoongea harak hrk❤❤❤ na kamsemo wake wa jamaniiii 😅😅
❤ Enjoying from Kenya, keep it up🎉🎉🎉🎉
Jamaniii ivi Cindy ni kabila gani etiiii.
Maanaaaa❤❤❤
Dah aisee michepuko inanguvu jmn 😀 cm ya mke imepuuzwa tena nakufyonza juu lkn cm yamchepuko imepokelewa chap tena kwa tabasamu zito kbs 😂😂 mama namtoto wapuuzi kbs limama najenyew linachekelea tu ujinga
sijawah kuona sidechick mrembo,wanaume huacha wake zao warembo na kudate na madada mibaya km nin
Iko pw from Congo 🇨🇩🇨🇩 ila azifiki mwisho 🙆
Vp Long time
Mbna hamueleweki ikifika sehemu inaganda why😢
I thought ni simu yangu Iko na shida 😂😂
Nilizani ni mimi peke yangu
Roy ijoyi Sana tu wajua aseeiy ❤❤❤❤
Fundi mmoja African ray kigos hakuna kama wewe 🎉
Napenda movie zko xana Ray keep it up
Mtoto laana huyo cjui ndo pepo la ngono umalaya wote huo nakusagana juu duh 🙌
Oya Ray hapa umetukoseya wanazengo mwanangu. Yani umehusisha penzi la jinsia moja kwenye filam yako.?? Haya sasa niyale mauchafu ya wamagharibi tunaanza kueneza wakati filam zetu zina ustaarabu maadili yake. Kwakweli hapa nakushauli hili swala lisijirudie maana halistahili kwakweli.
Mbona inakwama,,,,part one piaimekwama.hamueleweki
Upload the full movie ama utoe hizi vitu zako😎 "I come in peace"
Part 3
NKT !!!! Kigosi hii n ujinga gani unakatia katia movie 😎
Nilijua labda ni mimi tu😅
Movie nzuri Ila Sasa kwanini inaishia njiani,daah inapunguza utamu wa movie
Jamani mbona zinaishia katikati tatizo ni nini
Sasa cjaona mwisho mbona😂😂😂
Movie night nzuri lakn mbona inakatikia Kati Kati mwataka tueleweje
Part one half upload something with senses please
Mnafeli sana movie haiishi
❤❤❤
Jamani kuna nini sasa sielewi pia mbona kuganda sana
Mija
Waridi wa pazia🤤🤤
Mbona haifiki mwisho tafadhali muangalie tatizo nn
Tafathali movie imengoma aisongi ...vipi part 3 juu 2 imekatika ?
😢 jamani daaaa wanaume mungu awakumbuke
Mbona haizfiki mwisho tatizo nn
Za wizi cyo zao
Mnaboo sasa hizi n gani unawatch ikifika atam inaganda
Movie haziishi sa mlikua mnazituma za nini mtandaoni😏😏 muhakikishe mambo yanaenda vzr bhn
Hatujuwi imemalizika vp
Waname kweli ni shida
Oi kigosi mbona zinaganda mwixho haziixhi
Sio mna like tu wekeni mitambo ikae sawa
Kwenye kasha picha nyingine ndani movi nyingine ndo nini ss
😅😅😅😅 mm pia nimeshangaa
Wapuuzi mnazingua
Mbona haindelei 😢
Apo tuelewe kama wanaume hawajui wanachokitaka,mke ana inye lakini anakibasmat
Move nzuri ila kuganda kwingi hameleweki
Imekwamaa??????????x
sauti shida part 1 vile vile part 2
ATANTI SANA KWENUDJAMANI
Fanyeni malekebisho yakuganda hii sio poa
Waridi
Mbona hatuelewi jamani kwanini inagandaganda hivi ?
Sasa vipi movie inakwama story haiishi
Mnaboa bwan kukata kata kwingi
Mbona anaongea kike huyo jamaa,vp miayusho hiyo
Ajarimbu awe ziyishe fr kenya iko poa sasa jarimbu poa
Mbona hamalizi sasa jaman mnakwsmakwam?
Hazifiki mwisho jaman
Vicent.kigosi
Mbona hazifiki mwisho
Wanaume huwa wanakua km misimu ya mvua
Kudadeki movie mbovu hata haiishi , ray vp
Mbona haifiki mwisho sasa
Mbona inaishia katikati kwann mnazingua
Mbona zinaishia kat
Makuma nyie movi havieleweki kuganda kwingi
Mjuwe mna tuhalibia
🔥🔥
Mbona haishi jamani
Wekeni inayoisha, tujue iliisha vp?
Mbona haziishi kuna nini?
inagand jmn whyyyyyyyy
Haki hii movie imnikumbush nilikoto acha tu
Thank you for wasting my data
Munazinguw
Mbona haiishi
Muchepuko ana raha yake .
Kwan kuna shida gani mbn ikifika mahali Pataki inagand❤❤ u all
C ndo hapo wanatumalizia tu MB zetu
Story nusu mbona sasa
Mbn unaganda
😢😢😢😢
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂
Vp kigosi watumboo
Mbana inaishia njiani sasa