MZEE AFUNGUKA CHANZO KILICHOJIFICHWA KUFUNGWA KWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 9

  • @AnnamarySeth
    @AnnamarySeth หลายเดือนก่อน

    Kasaidia wengi Sana mbona hamsemi 😢😢Yana semwa Mabaya tu.

  • @fredkimiti516
    @fredkimiti516 หลายเดือนก่อน

    Angefungiwa Kiboko kama kiboko ya wachawi ila Huduma ile ingebaki watu wahudumiwe na mchungaji mwenye Maadili . Kwasababu pale kuna watu walifwata imani na sio Kiboko ya wachawi

  • @JasminBabulal
    @JasminBabulal หลายเดือนก่อน

    Hivi mbona hamuelezei jinsi alivyo wasaidi kuwapa mitaji bodaboda msiwe na roho mbaya amepigwa vita sana na hao wanao toa huduma kama zake.

  • @user-iy7xy1np7c
    @user-iy7xy1np7c หลายเดือนก่อน

    Wakiristo hamuna dini poleni

  • @MathaseverinMatha
    @MathaseverinMatha หลายเดือนก่อน

    Yani Tena asije akapew nafasi uyo kiboko yawachawi tapeli mkubwa uyomwizi

    • @Feisalmatandula
      @Feisalmatandula หลายเดือนก่อน

      Kakutapeli ninin kuku wew

    • @JamilaHija
      @JamilaHija หลายเดือนก่อน

      Kakutapeli nn

    • @AGM19697
      @AGM19697 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kudhibitisha utusaidie?

  • @user-tm5ls1ml6d
    @user-tm5ls1ml6d หลายเดือนก่อน

    Ww masikin kakutapeli nini acha uchawi hutofanikiwa maisha mchawi ww hiv wakiristo.mbona rohombaya sana