Zito hata hizo Tume za utumishi inaonekana huzijui zote!! Basi taasisi ambayo iko vizuri kati hizo Tume ni Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) ambayo hujaitaja.
Zito ni wa ovyo! Anasema suala la wakurugenzi limeanza 2020,huyu ni kigeugeu,ni mtu ambae siasa zake ni za uchumia tumbo. Kifupi,HAELEWEKI.. Ni kweli malalamiko kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi ya meanza 2020? Au ni ubinafsi tu!!!!!
I have been listening zito kabwe but l can't trust him as the full responsibility Tanzania politician he can be trusted Tanzania population dasnt want president point high commissioner of election still seem problem all this finance by ccm leadership that why l don't trust zito kabwe as the CT wazalendo leader opposition always look way how to savings considering political wisdom under Tanzania population trust as the political party with full responsibility to bring change on Tanzania population what they expect new opposition to bring change from what they have seen on ccm Rong doing
Ndugu yangu huwezi kumkwepa rais au mkuu wa nchi in the end of this process. Tofauti ya mapendekezo ya sasa na utaratibu uliopo ni hii. Rais anateua mmoja au wawili kati ya majina yaliyopendekezwa kwake na jopo huru ambalo muundo wake na upatikanaje wake una-vary nchi hadi nchi lakini kwa hapa Bongo kwetu jopo litaundwa na wawakilishi wa vyama vya siasa, madhehebu, asasi za kiraia, nk nahisi hivyo. Jopo litapatikanaje?Nahisi taasisi hizo zitaambiwa kuwakilisha majina au jina la watu wa kwenda kwenye mkutano wa uteuzi wa tume huru. Idadi ya majina yatakayo wasilishwa kwa rais kwa uteuzi wa viongozi wa juu wa tume huru itategemea maamuzi ya wawakilishi, zitto anapendekeza 3, nchi zingine ni wengi zaidi. Ui-independent unatokana na hii process. Soma katiba za nchi mbalimbali hasa Botswana, Kenya Namibia na SA.
Akili Za Ki CCM Za Zito
Zitto ni kama gogo la udi..maana kadiri unavyolichoma ndivyo linavozidi KUNUKIA..
Zito hata hizo Tume za utumishi inaonekana huzijui zote!! Basi taasisi ambayo iko vizuri kati hizo Tume ni Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) ambayo hujaitaja.
Bunge lipi
Hiyu jamaa anatomic akili sana . Ninamkubali kwa akili zake haendeshwi na mihemko ya watu anatoa mawazo yake mwenyewe .
Uchaguzi ni lni mwez was ngap
Huyu jamaa kahongwa TAYARI. Anasema Lawama kwa wakurugenzi wa halmashauri zimeanza 2020.😂😂😂 Hapo kadanganya sana aisee
Kwanini wateuliwe na Raisi? Je hiyo itaitwa tume huru?
Rais aachane na kuteua hii kitu
Zito ni wa ovyo!
Anasema suala la wakurugenzi limeanza 2020,huyu ni kigeugeu,ni mtu ambae siasa zake ni za uchumia tumbo.
Kifupi,HAELEWEKI..
Ni kweli malalamiko kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi ya meanza 2020? Au ni ubinafsi tu!!!!!
Genius from ACT Wazalendo.
Tamisemi na nec siwalewale tayari umeshatumwa uropoke
NEC GANI?
2024
Zito rais haruhusiwi kuteua mtu yeyote bunge la ccm mahakama nayo ni ya ccm
Matokeo ya kidato cha pili 1:14 1:16
2023
I have been listening zito kabwe but l can't trust him as the full responsibility Tanzania politician he can be trusted Tanzania population dasnt want president point high commissioner of election still seem problem all this finance by ccm leadership that why l don't trust zito kabwe as the CT wazalendo leader opposition always look way how to savings considering political wisdom under Tanzania population trust as the political party with full responsibility to bring change on Tanzania population what they expect new opposition to bring change from what they have seen on ccm Rong doing
Zito as long as Rais anahusika kuteua, hakuna haki itakayotendeka. Watamsikiliza aliyewateua. Hapo you are lost, completely lost
Ndugu yangu huwezi kumkwepa rais au mkuu wa nchi in the end of this process. Tofauti ya mapendekezo ya sasa na utaratibu uliopo ni hii. Rais anateua mmoja au wawili kati ya majina yaliyopendekezwa kwake na jopo huru ambalo muundo wake na upatikanaje wake una-vary nchi hadi nchi lakini kwa hapa Bongo kwetu jopo litaundwa na wawakilishi wa vyama vya siasa, madhehebu, asasi za kiraia, nk nahisi hivyo. Jopo litapatikanaje?Nahisi taasisi hizo zitaambiwa kuwakilisha majina au jina la watu wa kwenda kwenye mkutano wa uteuzi wa tume huru. Idadi ya majina yatakayo wasilishwa kwa rais kwa uteuzi wa viongozi wa juu wa tume huru itategemea maamuzi ya wawakilishi, zitto anapendekeza 3, nchi zingine ni wengi zaidi. Ui-independent unatokana na hii process. Soma katiba za nchi mbalimbali hasa Botswana, Kenya Namibia na SA.
Nadhani hakuna haja ya kuwa aina mbili za uchaguzi mkuu-timalizane na mambo ya uchaguzi siku moja tu ( vinginevyo siku mbili mfululizo).
Ilikua hutaelewa tu.. kwa sasa unaongea pollution ulomezeshwa na baadhi ya wanasiasa
Kwenye ruzuku ndioo unapo kutaka wewe