MZEE MANGUNGU HAUSIKI NA HIKI KINACHOENDELEA NDANI YA KLABU YA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 31

  • @simonhaule8976
    @simonhaule8976 10 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki tubaki imara na SIMBA YETU hata kama viatu na nguo zetu zitachakaa baadhi ya sehemu na iwe hivo 💪💪💪♥️♥️🦁🦁

  • @GeorgeMwella
    @GeorgeMwella 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga imesaidia kuyaonyesha haya yaliyo jificha ndani ya simba heshima kwenu yanga. Tusipo angalia awam ya pili watatunyoosha tena ili akili itukae sawa. Nguvu moja💪💪💪

  • @simonhaule8976
    @simonhaule8976 10 หลายเดือนก่อน

    Sikuzote mtini hutundikwa wasiohusika🤔🤔🤔🤔 MANGUNGU Mungu atakulipa hapa ni Duniani tu.🙏🙏🙏

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mkono ndio tatizo sio mangungu .mpira ni kushinda na kufungwa au draw makolo bwana

    • @GraceMhoja-zc7yg
      @GraceMhoja-zc7yg 10 หลายเดือนก่อน

      Ww kwel ujui mpira ndugu yangu wachezaji awajitumi mechi ya Simba na yanga walioelekwa sana mana max akishika mpira anakimbia wao wako nyuma

  • @flova7022
    @flova7022 10 หลายเดือนก่อน +1

    Simba inakosaa mwekezaji sahihi,,, hatoi pesa...Jambo jingine.. viongozi hawana weledi kwann wasiseme kama mo hatoi helaa?

  • @PodoKinyeda
    @PodoKinyeda 10 หลายเดือนก่อน

    Ao watulie 2 kwanza wafanye usajili mpya waze wamechoka miaka 10 ni hao hao

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 10 หลายเดือนก่อน +5

    SASA KM KUNA MTU MKUBWA ANASABABISHA TIMU KUHARIBIKA C MTAJE? KM NI MO KWANN AFANYE HVYO? SASA C WAONDOKE? KWANINI HAMUIGI WENZENU WA YANGA? KUMBE NYIE OVYO KABISA.

  • @stephenwainage2523
    @stephenwainage2523 10 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki wa Simba wamechanganyikiwa Sasa Mangungu anacheza mpira wachezaji Wana cheza wamechoka sn

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Acha akatae mo akitoa pesa zina liwa na hao wawili

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 10 หลายเดือนก่อน

    Mfukuzeni Moo mtakuja kunishukur. Mangungu ni mfungua vikao tu jamani 😅

  • @ERICKRICHARD-t1h
    @ERICKRICHARD-t1h 10 หลายเดือนก่อน

    Uo mgogoro na muharibifu wa timu anatakiwa mangungo atoke aseme ata kama atajiuzuru aseme fulan na fulan wanafanya 123 uo ndo uongoz

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 10 หลายเดือนก่อน

    Hapa mnamlenga MO msemeni hadharan aondoke,mm nitaidhamin smba

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 10 หลายเดือนก่อน +1

    MANGUNGU ATOKE HADHARANI ASEME KINACHOFANYIKA WATU WANAMHUKUMU BILA KUJUA

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa mangu ngu sio aliwahidi kuifunga Yanga kwenye uchaguz wake

  • @kambilukwele2831
    @kambilukwele2831 10 หลายเดือนก่อน

    Dirisha dogo lisifunguliwe Hadi mzunguko wa kwanza uishe

  • @barakagwata4160
    @barakagwata4160 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo anashilikiana na mangungu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 หลายเดือนก่อน

    👊👍✌️。

  • @imma_billy
    @imma_billy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duh 🙄 me sijui muundo wa Uongozi wa Simba ila mmh migogoro haijengi bali kubomoa.

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kanjibahi na football wapi na wapi😂😂

    • @GabrielSky64
      @GabrielSky64 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😂bc bc

  • @leo-us9es
    @leo-us9es 10 หลายเดือนก่อน

    mpaka waseme

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 10 หลายเดือนก่อน

    Msenge aondoke

  • @BobbyKila26
    @BobbyKila26 10 หลายเดือนก่อน

    02 Uyo Mwamba Too Much

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 10 หลายเดือนก่อน +2

    Bundi kaingia msimbazi

  • @ZaiitunTharia
    @ZaiitunTharia 10 หลายเดือนก่อน

    Mangungu atoke

  • @hamzalipuye7198
    @hamzalipuye7198 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Mangungu hana baya ila shida ni huyo Mo, ebu jikumbusheni history ya Mo kwenye soka la bongo, kabla hajatia mkono pale simba, alitia Mkomi Singida je ilikuwaje, alilohalibu akahamia Africa lion akjifanya anataka kuinunua, imeishia vp yaani nako kaharibu na sasa yuko Simba we unazani ni nn kitatokea 😷😷😷😷😷

    • @mussahoza
      @mussahoza 10 หลายเดือนก่อน

      ila miaka 4 ile ya ubungwa Mo alifaa cyo... binadam hanaga jema hata umfanyiee nn

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 10 หลายเดือนก่อน

    Kwani mangungu ni nani si atoke

  • @PodoKinyeda
    @PodoKinyeda 10 หลายเดือนก่อน

    Shida yote iyo kono la nyani

  • @augustinemainde2730
    @augustinemainde2730 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂