SAM SIMBA: CHAMA SIO MZEE "AZIZI KI NI MOTO ,MPANZU ATUE SIMBA TUONE MOTO WETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga rahaaa sana

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Hii yanga sasa ipewe onyo, kuna miradi ya serikali bado haijakamilika Yani mnafunga goal la sita bado mnachukuwa mpira mnakimbia kurudi katikati.

    • @omarMchoya
      @omarMchoya ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂 hatar san hii yanga lbda ifungwe namahakama tuy

  • @ImaGentro
    @ImaGentro 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Yanga daaaaah

  • @DENISMAKALA
    @DENISMAKALA 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kuna muda walifunga goli alafu wakaenda kushangilia gamondi akawamaindi akawaonyesha saa kwamba wanapoteza muda mpira uende katii😅😅

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kaka na kupenda sana unasema ukweli wambiye ukweli wahache ushabikiki upewe ulinzi Unasema ukweli

  • @EngeneerSiasa
    @EngeneerSiasa 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dhaiif hire team na Jao mazembe walikuwa hawako vizur ingia sasa

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tena ndio kwanza wameingia caf chapion wana yanga wanabahati sana

  • @bongotv7120
    @bongotv7120 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Fulla kwe2 yanga

  • @AllyRamadhani-f2p
    @AllyRamadhani-f2p ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani lilipofungwa goli la nne,Gamondi anahimiza Wachezaji warudi kati haraka kwani muda upo wa kuscore magoli mengine!!!

  • @ALLILETA
    @ALLILETA 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nanyinyi kama Ken gold tu mulikula ngapi

  • @Niika870
    @Niika870 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Team Gani bhana hiyo kama kengold tu , Chama ni mzeee tosha

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeumia subili tuone 😂😂 ksho ww

    • @robertadolf562
      @robertadolf562 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      utakufa na wivu...kolo ww

    • @FrankAugustino-g2s
      @FrankAugustino-g2s 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Simba alikula 5 vp na yy ni Kengold.? Ahhahahahaha

    • @DENISMAKALA
      @DENISMAKALA 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Daraja lake ni Kama Simba tu waliopigwa 7 on aggregate😅😅😅

    • @sospeterkashusha7031
      @sospeterkashusha7031 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeumia chomoa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Walisema yanga mbovu.

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe yanga walitafuta pesa ya kulimlipa kagoma

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kule ni Zanzibar kaka

  • @AlfaCharles-e8h
    @AlfaCharles-e8h 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uongoz wa yanga naomba yanga iwe na wimbo maalumu Kila inapocheza lazma uimbwe

  • @SaidbarakaShabani
    @SaidbarakaShabani 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka angaria wachezaji wanavyo cheza kaka ujui mpira

  • @SultanMakumbulu
    @SultanMakumbulu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani huyu kalazishwa kuwa shabiki wasimba kwaninavojua mimi mshabiki wakweli ngumu kuhama timu yake ila huyu niyanga anajificha kivuli cha simba utaondoka tu utamfuata meja

  • @EngeneerSiasa
    @EngeneerSiasa 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mchekea ww utoboi subir uone drooo utalia

    • @HarithIdrissa
      @HarithIdrissa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yoyote aje broo

  • @SaidbarakaShabani
    @SaidbarakaShabani 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka tatizo ww yanga funguka tuuu

  • @ephraimmsangi
    @ephraimmsangi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Angalieni kamera hyo mnaharibu media

  • @evarestmaji5141
    @evarestmaji5141 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu kama yanga tu

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukweli hmuupendi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dunduka mnapenda kudanganywa.. subirini uwongo wa Ahmed Ally.. team bado kuungana, kwani unga wa ngano

  • @ALLILETA
    @ALLILETA 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kikao chawakubwa wewe mtt unatumwa sigara tulia