Kama haya ni kweli je hao wanaowateka wanasiasa wana lengo gani. Kumbukeni maelezo ya mkuu wa wilaya Longido taarifa za uwepo machawa nchini. Kwa mtazamo wangu Kuna makundi ya zccm kama vchama ya utekaji na mengine ya vyombo vya dolla. Inasikitisha
Mona km Kuna sehemu cjaelewa? Huyo kijana wa bodaboda ilionekana hakumpa ushirikiano huyo kijana, ikaonekana yuko kitu kimoja na aliyeiba simu. Halafu huyo huyo kijana wa pikipiki Tena, akaifuatilia gari na kutoa taarifa. Tena hakuwepo vituo vyote vya polisi hawakumpara, mara, amekutwa kituoni.Hapa kiukweli kwangu kigugumizi. 😅😅😅
Huyo kijana apelekwe Bugando Hospital achunguzwe kama amedungwa sindano ya Sumu ya kumuua polepole.Asihojiwe msikubali bila kuwepo Wakili wa CHADEMA.Shirikisheni kwanza Uongozi wa juu wa CHAMA chenu wamuhoji wao kwanza,kabla kuhojiwa na Police,kwani watambadili mawazo ili asiongee ukweli nje.
Polisi wachane na usabiki wa CCM na Chadema hii ndiyo itakuwa suluhishi,Idara ya Polisi lazima Uwepo,Tatizo CCM Wanahishiwa Kama dini za kiroho Upaku,bila kuhegemea dola hawana serekali ndiyo inaonekana😊
Kwa mazingira haya police watasemaje kuwa hawateki watu sasa hizo gari wanainchi wakianza kuzishughurikia mutasema eti wamevunja Sheria hiyo gari vyombo vya usalama viitafute maana Hawa ni waharifu kama waharifu wengine
Kwa Maelezo Ya Huyu Kijana Inaonekama Ni Uongo Na Hizo Ni Plopaganda Za Wachadema Kuichafua Selikali, Ila Mimi Naomba Hawa Chadema Waache Kutapatapa Na Uongo Usiokua Na Ukweli, CHADEMA WATASUBILI SANA,
Samia must go
Wala sio samia. Ni chama shenewe wajiteka. acheni ujinga
Hatari sana
Pole hawajakutoa.marinda
Watekaji wako chini ya CCM
Kama haya ni kweli je hao wanaowateka wanasiasa wana lengo gani. Kumbukeni maelezo ya mkuu wa wilaya Longido taarifa za uwepo machawa nchini. Kwa mtazamo wangu Kuna makundi ya zccm kama vchama ya utekaji na mengine ya vyombo vya dolla. Inasikitisha
SACCOOS BADO MAIGIZO YANAENDELEA 😢😢😢😢😢😢
Wanatufanya hatuna akili Hawa wapuuzi.wanajiteka wao
Maigizo haya yatatunyima kura. Bora tuwakamate na kuwashitaki maana wanachanganya jamii.
Hiv Mungu tunachopigania huku ni nn,c ushushe tu garika lako utuangamize wote😢
Mimi nafikiri haina haja ya kwenda polisi kutoa hayo maelezo.
Tanzania ni Sudani ya kesho
Hivi,kweri mtu anaweza kujiteka?????jamani,
Mungu yupo,
Mungu,yuhai eti!!!!tusidanganyike,mwanzo1:26-27,alilipa gharama kumumba mwanadamu, jaman,ninn tunafanya?my
God!!!.....wazazi tunaumia jaman,tunakuwa kwenye uchungu,
Reba,tunaumia,yehova tusaidie,tusaidie,
Mungu wetu,hatuwezi pekeeee yetuuu....
Mie kama sielewi hivi ukiwa mwanachama wa Chama cha upinzani lazimq utekwe na uuwawe
Mona km Kuna sehemu cjaelewa? Huyo kijana wa bodaboda ilionekana hakumpa ushirikiano huyo kijana, ikaonekana yuko kitu kimoja na aliyeiba simu. Halafu huyo huyo kijana wa pikipiki Tena, akaifuatilia gari na kutoa taarifa. Tena hakuwepo vituo vyote vya polisi hawakumpara, mara, amekutwa kituoni.Hapa kiukweli kwangu kigugumizi. 😅😅😅
Huyu jamaa surayake inaonesha alijiteka mwenyewe
Ni vile hayaja kupata Wala ndugu yako hamjawahi,ndio maana hujui uchungu wake ndio maana wafanya utani.hujafa huja umbika.
Pole kwa kupiga ramli
Wanasema hujafa hujaumbika
K yako
Ukisikia hakili kisoda ndiyo hii Sasa
Huyo kijana apelekwe Bugando Hospital achunguzwe kama amedungwa sindano ya Sumu ya kumuua polepole.Asihojiwe msikubali bila kuwepo Wakili wa CHADEMA.Shirikisheni kwanza Uongozi wa juu wa CHAMA chenu wamuhoji wao kwanza,kabla kuhojiwa na Police,kwani watambadili mawazo ili asiongee ukweli nje.
Hapo afanyiwe vipimo haraka hizo zitakuwa sindano za sumu
Utekaji upo na wahalifu wana take advantage,jambo lolote serekali ikilifanyia ulegevu lazima livutie wahalifu wengine.
Polisi wachane na usabiki wa CCM na Chadema hii ndiyo itakuwa suluhishi,Idara ya Polisi lazima Uwepo,Tatizo CCM Wanahishiwa Kama dini za kiroho Upaku,bila kuhegemea dola hawana serekali ndiyo inaonekana😊
Watanzania Bado hatutambui Kwamba polic ndo watekaji
Kwa siasa hizi 😂😂😂😂😂😂
Utekaji wa genge la CHADEMA.
1.Utekaji hufanywa na vyombo vya dola
(Dhidi ya CHADEMA?
2. Utekaji wa pili ni watu wengine ambao wameona serikali inakoroma!!
Kwa mazingira haya police watasemaje kuwa hawateki watu sasa hizo gari wanainchi wakianza kuzishughurikia mutasema eti wamevunja Sheria hiyo gari vyombo vya usalama viitafute maana Hawa ni waharifu kama waharifu wengine
Washenz nyie police wanawachekea sijui kwa nini, unavojieleza2 unajikanyaga kanyaga, ukihojiwa kwa kina wewe utasema2
Tena tufanye ivoivo waludishe watu wote
Apo kikubwa wamchek marinda
Yeye ni wa kiume
kama namba za gari zipo tafteni mwenye Hilo gari TRA mtampata tu
Weee sii ulisema utatumia ngumi kama silaha, sasa inakuwaje unaanza kulia lia na ngumi unaxo?
Acha ujinga mnawachokoza polisi
Jmn tuwewakweri basi
Wewe usisemee Watanzania wewe ndiye usiamini kwa sababu ya sababu zako na ccm wenako
Mnajiteka nyie halafu mnatengeneza drama tu.
Wakamateni hao wanaoteka hata kama ni chadema
Unafirwa na baba yako ww........😂😂😂😂
Ww una akili kweli ajiteke ajichome sindano na yule alietekwa akavunjwa miguu alijiteka akajivunja miguu basi subiri zamyako ndio utajua hujui
K
police ichunguze na Hilo gari likamatwe
Police tena? Kesi ya nyani kusimamiwa na ngedere🤔
@@MiriamAbdallahni hii nchi ya hovyo sana
Kwa Maelezo Ya Huyu Kijana Inaonekama Ni Uongo Na Hizo Ni Plopaganda Za Wachadema Kuichafua Selikali, Ila Mimi Naomba Hawa Chadema Waache Kutapatapa Na Uongo Usiokua Na Ukweli, CHADEMA WATASUBILI SANA,
Kwa vile wewe uko salama,ndomaana unakebehi,Mungu yupo Kila kitu kina mwisho,
Wewe litakukuta tu na ww mungu wetu sote
Suku atatekwa nduguyo ndio utajua akili itakusimama
Usichukulie uchama achumu kama ingekuwa ndugu yako ungejua
Kuna yule mkaka sativa sana chama chochote nae umeona yaliyomkuta
Weee sii ulisema utatumia ngumi kama silaha, sasa inakuwaje unaanza kulia lia na ngumi unaxo?