MIRAJI: YANGA KAFATA HIKI ZANZIBAR | WANASIMBA HUU NI MTEGO | KWA FEITOTO SINA KAULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sisi yanga tunahuru sehemu yoyote kucheza hayo ni maneno yetu daima mbele ilove yanga na inshallah tutashinda 💛💚💚💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💚💚💚💛

  • @ManfaceFildoline-d9x
    @ManfaceFildoline-d9x 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Miraji upo sahii sanaaa ❤❤❤❤

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 48 นาทีที่ผ่านมา

    Anaitwa Miraji mchambuzi wangu pendwa rangi zetu Ishara ya Upendo💚❤️💚❤️💚❤️💚❤️💚❤️💚❤️💚

  • @majashotwotimes5026
    @majashotwotimes5026 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Miraji ww ni mtu wa mpira sana...big up

  • @godifreychalesi5394
    @godifreychalesi5394 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Miraji na chagamba muko sahii sana yanga kwenda Zanzibar

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 3 นาทีที่ผ่านมา

    Apo sawa miraji Leo nimekukubari uwa uko vizuri best

  • @teketekekinunda1174
    @teketekekinunda1174 12 นาทีที่ผ่านมา

    Ubaya ubwege yanga bingwa💚💛🖤

  • @NassirAmeir-c7p
    @NassirAmeir-c7p 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na Leo wapo bubwini yanga kabla ya mchezo wao saa 2

  • @Salumjamhur
    @Salumjamhur 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We miraji inamana mechi kuhamishwa zanzibar ndo ulalamike,, wananchi nao wa zanzibar pia wanaitaji burudan tuliaa

  • @Q_Lax
    @Q_Lax 57 นาทีที่ผ่านมา +1

    Miraji sio mnafiki huwa umenyooka

  • @user-po7md8vx3s
    @user-po7md8vx3s ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Miraji some time unajichanganya wewe unataka ujue ya yanga ya nini ndio maana mna jipa tabu mno wewe isaidie timu yako sisi tuna jicho la mbali baba,achana na yanga

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wew mwenyeo miraji nakuambia tena umeingia kwenye mtego maan huwezi kuwasifia nyuma mwiko kwa kucheza na cbe

  • @HemediRashidi-p4s
    @HemediRashidi-p4s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraj nakubali sn family chagamb

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 7 นาทีที่ผ่านมา

    Wewe Mr Miraji ni mchambuzi na si hao wengine wanaoibuka kama uyoga kipindi cha nasikia na jua likichomoza hunyaukaq

  • @SadickKinyata-h8o
    @SadickKinyata-h8o 17 นาทีที่ผ่านมา

    Oy miraji ongelea ya timu yako umekazana chagamba chagamba chagamba yanini yote hayo maneno mengi kabla ya mechi subili mechi iishe

  • @charlesmwita4245
    @charlesmwita4245 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sema miraji unujua kujenga UONGO unao fariji

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 10 นาทีที่ผ่านมา

    Hakuna mashaka yoyote kuhusu uongozi Wala wachezaji, kama ni hivyo mechi zijazo watachezea wapi? Dua Haina nafasi katika hili, Dua ni sehemu ya maisha ya kawaida

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 6 นาทีที่ผ่านมา

    nakuelewa sana chagamba sio hao wanabwabwaja 2 hawajui wanachokifanya

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 32 นาทีที่ผ่านมา

    Sawa kabisa simba mkifungwa mfungwe tu msitafute visingizio vya uwanjani😅😅😅😅

  • @TABUATHUMANI
    @TABUATHUMANI 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji we muongo hakuna anayeihujumu yanga!

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 4 นาทีที่ผ่านมา

    Kwa hiyo leo Dube akifunga magoli zaidi ya moja, mamluki watakuwa wameisha? Siku hiyo timu nzima haikuwa vizuri, leo utaoma

  • @YussufNdaa
    @YussufNdaa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fact kaka wanookubeza waache2

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 นาทีที่ผ่านมา

    Kuanzia Leo nimekusamehe Bure kumbe mimi ndoo nilikua sikuelewi

  • @innosentmolel8057
    @innosentmolel8057 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli wanasimba wote duniani tumwamini huyuu jamaa tuamkeni tutengeneze ubaya ubwela

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huo ni uwoga wao haoo makolooo wanaogopa kufungwa wanahofia sura zao wataziweka wapiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hebu waulize we changamba nakutumia Kwa hao makolooo siku ya YANGA. DAY. Viwanja 2 vilijazwa na naniiii ??? Nasubilia jibu langu we chagamba

  • @voicdesition897
    @voicdesition897 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji muongo mpila haupo ivo

  • @JasmineSelemani-c2w
    @JasmineSelemani-c2w 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji wewe huko sawa

  • @NaahMakwava
    @NaahMakwava ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ok

  • @peterchande957
    @peterchande957 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji unajikanganya vby sana

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji acha woga mbona unaingiwa na mchecheto utajidatisha bule

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 9 นาทีที่ผ่านมา

    Mimi pia ni mmoja wao nataka Simba wasipite! Wapigwe tu!

  • @dalmasokoth4190
    @dalmasokoth4190 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji kwani imeandikwa wapi kwamba kila mechi za kimataifa za yanga lazima zichezwe Kwa mkapa? Hayo ni mawazo yako na hayana uhalisia kuhusu yanga kupeleka mechi Zanzibar

  • @ISAACCHAWE
    @ISAACCHAWE 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hayo unayosema sio kweli Yanga walitaka kupeleka mechi kabla hata Mashindano hayajaanza kukazushwa kiwanja kimefungiwa na caf.

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 19 นาทีที่ผ่านมา

      Nikweri ila watu waongeya uongo

  • @godfreyselomba9378
    @godfreyselomba9378 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Miraji unatoa maelezo yamenyooka sana Ila nina code za ubaya ubwela yani ni ubaya ubwela kweli kweli.

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    yani wameona uwanja wa mkapa hawatoweza kujaza uwanja kutokana na mechi yao

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapi bumbwini giningi kuu wanatengeneza mambo yawe mazuri.

  • @husseinmgalula5864
    @husseinmgalula5864 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bro unaakili nyingi sana

  • @wamburanyarugezi9075
    @wamburanyarugezi9075 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukwel mpira wabongo Yan Kuna watu wakiongea hapo niwapinzan wanaongea facts sana Ila wasiojua mpira wanaachama2 big up miraji

  • @Salumjamhur
    @Salumjamhur 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siri iliyopo ni kwenda kumtambulisha fesal zanzibar

    • @NellyKaguli
      @NellyKaguli ชั่วโมงที่ผ่านมา

      11:08 11:08

  • @DonaldBatez
    @DonaldBatez 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Miraji ajui kitu chochote uyo

    • @AmanaHassan-cy4fi
      @AmanaHassan-cy4fi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unayejua kitu basi upewe maikii walau sekunde 47 kama unamudu kuwamalizia Watu MB zaoo..

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miraji wew mwenyew umeingizwa kwenye mtego na umejaa maan hakuna intaviyuu uliyofanya ikawa usiwazungumzie yanga wao umewaon lini wakiizungumzia timu yako wao wenyew wameshindwa kuizungumzia timu yao

    • @emmanuelmacha7138
      @emmanuelmacha7138 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Miraji ni mchambuzi zoo mbaguzi la nyeupe husema la nyeusi pia husema

    • @HusseinHussein-f7n
      @HusseinHussein-f7n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@emmanuelmacha7138 humsikilizi vzr kama unatak kujuwa kama hata yeye anaingia kwenye mtego rudi nyuma kaskilize intaviyuu aliyofanya baad ya yanga kusema kuwa kagoma ni mchezaji wao mtazame alivyokuwa na mihemko alisema hatowaamini viongozi wa simba hatimae kagoma yule pale anacheza simba halafu ukisema ni mchambuzi kwani awo wachambuzi hawaingii kwenye mtego Tanzania kuna wachambuzi kuna wapiga debe

  • @allyr.mavura7878
    @allyr.mavura7878 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kutia fitna, mamluki ni nani?

  • @NaahMakwava
    @NaahMakwava ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ok