MANENO ya MWISHO ya MAREHEMU DIRECTOR NISHER ALIJIREKODI VIDEO, ALIFUNGUKA KUHUSU MAISHA ANAYOPITIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2023
  • MANENO ya MWISHO ya MAREHEMU DIRECTOR NISHER ALIJIREKODI VIDEO, ALIFUNGUKA KUHUSU MAISHA ANAYOPITIA...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 50

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 หลายเดือนก่อน +2

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @ThomasMagoti-it4ty
    @ThomasMagoti-it4ty 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nmemuelewa sana!!!Apumzike kwa Aman!!! Pambana na Muda!!!! Wakati ukifika utakutamburisha wewe ni Nani❤Tufanye Kazi!!! Tuheshim history!!!Nimependa sana Anamaneno yahekhima God bless him huko Alipo🤲

  • @neylalyimo2457
    @neylalyimo2457 7 หลายเดือนก่อน +7

    Nimemuelewa Sana ,ana akili Sana, Pumzika kwa Amani Nisher, forever in our hearts

  • @mwasonkambi7207
    @mwasonkambi7207 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh Mwenyezi Mungu tunakuomba utunusuru na depression na utusaidie ..R.i.p nic devie

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      Yeah. Mental health is real 😢

  • @mwananganzi
    @mwananganzi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Akili nyingi sn . Mungu akuweke pema

  • @daphnemasogange7353
    @daphnemasogange7353 7 หลายเดือนก่อน +2

    A very sad, after learning the demise of nisher, my sincere condolences to his family and friends, may God give them strength this difficult time.

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 7 หลายเดือนก่อน +3

    jamani jamani jamani, mimi imani yangu ni kwamba mtu yoyote anayevaa mipete ya ajabu huwa sina imani nae kwamba anaamini katika MUNGU huyu ninaye muamini na mimi, huwa najua kwamba wana miungu yao, kwa hiyo kwa imani yangu najua huyu alikuwa ni wakala wa shetani kupitia hiyo mipete yake. kwa hiyo kifo chake ni mpango wa mungu aliye muabudu yeye. Msininyambe huo ni mtazamo wangu. but all in all rest in peace nick, hukumu ni juu ya MUNGU na sio mwanadamu.

    • @3in1Attire
      @3in1Attire 7 หลายเดือนก่อน

      Dhahabu na kila kitu ni chetu... mbingu yenyewe based on our bible fondation yake ni mawe ya thamani..... tusome biblia

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 7 หลายเดือนก่อน

      Sawa

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      Umeongea nonsense lakini nia yako ni kutaka attention. Ngoja tukuache na huo ubongo hollow na imani yako ambayo sijui kama hata unaijua 😠 😡

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu 7 หลายเดือนก่อน

    Nice 🎉🎉

  • @sarahsimon8060
    @sarahsimon8060 7 หลายเดือนก่อน

    utajiri wa hivi mtakufa mno sis yetu macho

  • @petronilamark5177
    @petronilamark5177 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nisher ulimtumikia mungu dunian hukutaka kumtumikia Mungu wa kweli

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      Uko very judgemental, pole sana.

    • @user-vk2qz9zo5r
      @user-vk2qz9zo5r 7 หลายเดือนก่อน

      Usihukumu ili nawe usije ukahukumiwa

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba 7 หลายเดือนก่อน

    Harmonize chizi tu anamponda daimond nakusema aache utoto safi bro R.I.P❤

    • @Hanel_csn
      @Hanel_csn 7 หลายเดือนก่อน

      Kusema,acha utoto Ni uchiz😂!?chiz ww unaekumbatia utoto,rest in peace Nisher

  • @mwasonkambi7207
    @mwasonkambi7207 7 หลายเดือนก่อน

    Duh r.ip nisher 🙏

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rip true word bro

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 7 หลายเดือนก่อน +2

    Rest in Paradise

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 7 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh, alikuwa hali sembe kweli huyu mwamba? All in all rest in peace bro

  • @rockyjr6314
    @rockyjr6314 7 หลายเดือนก่อน +1

    Rest in peace bro

  • @user-hj9ek7dm2h
    @user-hj9ek7dm2h 7 หลายเดือนก่อน

    Freemason wacha aende zake kapenda Dunia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    He had kids where are they😢😢

  • @saidomary7930
    @saidomary7930 7 หลายเดือนก่อน +1

    R.I.P 😢

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna uchid benzi nimeuona au VAR yangu imekosea niipeleke kwa fundi

    • @tumainirichard5678
      @tumainirichard5678 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-vk2qz9zo5r
      @user-vk2qz9zo5r 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅 namuona chid kwa mbaaal

  • @mikeangel003
    @mikeangel003 7 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa anaumwa nini?

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 7 หลายเดือนก่อน

    RIP POLEKI WAFIWA

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 7 หลายเดือนก่อน

    Harmonize huyu mpe vidonge vyake

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    Was he married

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 7 หลายเดือนก่อน +2

    Naisi hajajiuwa hila kanywa pombe kupitiliza

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      Nani kakuambia amejiua? Endelea na hisia na ujiue wewe.

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amekataza watu wasiongee ila yeye kasema

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    Why commit suicide😢😢

  • @PriyankaPaulheyo-ur6bx
    @PriyankaPaulheyo-ur6bx 7 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    If not having a wife then hr was a womanizer..Okay was he degree holder or what ever😮😮

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      You are so judgemental and dumb! Ungesikiliza zaidi kuhusu yeye.

  • @hilidentamale9778
    @hilidentamale9778 7 หลายเดือนก่อน

    Mbna hamutwambii chanzo cha kifo chake

    • @brillianthalisi2259
      @brillianthalisi2259 7 หลายเดือนก่อน

      Alijidhuru au kujijeruhi na kitu chenye ncha kali😢

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona maneno ya mwisho ni mipasho badala ya kumtaja muumba wake kwa sala au global mmemlisha maneno kama mtu alipewa nafasi ya kuongea neno la mwisho mbona kaongelea vitu vya ajabu haliyakua ni mtoto wa Nabii 😂😂

    • @Ericomtz5
      @Ericomtz5 7 หลายเดือนก่อน +3

      Kama huku pata elimu ukanga'ng'ania madrasa huwezi muelewa

    • @DoreenMwanga-ne1dt
      @DoreenMwanga-ne1dt 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@Ericomtz5asante kwa jibu zuri

    • @MariamHamisi-oe1bx
      @MariamHamisi-oe1bx 7 หลายเดือนก่อน

      Acha kashfa ww nyau

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio maneno ya mwisho hii ni zamani Sana 😅😅

    • @judithkimaro-mp6te
      @judithkimaro-mp6te 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kama una akil utaelwa ila kama huna huez elewa

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 7 หลายเดือนก่อน

    Mmhh ya zaman iyo inamiaka mitano iyo clip😂😂😂 nisha wa sasa hakuwa na mwili huo apo alikua na 27 yrz

    • @BeatsbyDady
      @BeatsbyDady 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo nilikua nashangaa mbna kakonda hivi