NISHER: AMCHANA MWIJAKU TUXO ZA BET/IRECTOR KENNY ANAPEWA MAWAZO NA DIAMOMD/ HATUMII UBUNIFU WAKE/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa alikua smart sana...full confidence

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 3 ปีที่แล้ว +4

    Ila nisher bonge la handsome 😜😍😍😍

  • @svt3
    @svt3 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ni mjinga Kenny na kazi yake iwe mbovu iwe safi Diamond anampendeya hiyo haangejuwa lolote Diamond angemtumbua zamani uyu kaka ana wivu za kijinga na ushamba kama Mwinjaku kama unataka kazi kwa Mondi muendeye umuombe, na siyo ku disi wafanya kazi wake ambaye wamefanya kazi kwa mda na wame success kwa kila kazi

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani wabongo wacheni wivu na maneno mengi

  • @rogersmasamalodavid8289
    @rogersmasamalodavid8289 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kama anasaidiwa sio mbaya team work sio kitu kibaya but nachokiona ni 50% ya 50% ila sio 95%

  • @owlbig
    @owlbig 3 ปีที่แล้ว +5

    Muaceni anaongea ukweli

  • @barakawiliam657
    @barakawiliam657 3 ปีที่แล้ว +1

    Lnazingua hli

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว

    Kweli 🐘🐘🐘🐘🐘💯💯🙏🙏🙏🙏

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu bweke Sana!! Afu kibri na chuki za kijinga

  • @senshabernard5797
    @senshabernard5797 3 ปีที่แล้ว +4

    Akwende uko ....hater uyo

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว

    Mjinga, Kenny analipwa ukiwa unabweka tu hapo