KWANINI MAMBO YAKO YANAISHIA NJIANI? HAYAFIKI MWISHO!! {Part 01}

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Mika 7:5
    Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 103

  • @EliwajaYona
    @EliwajaYona 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mungu akubarik nimejifunza kitu mungu aniepushe na hila za adui

  • @makkawi4294
    @makkawi4294 8 หลายเดือนก่อน

    Oooh hallelujah ujumbe mzito jmn umeni sisimua mwili

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 หลายเดือนก่อน

    Asanteee MUNGU kwa. Asubuhi hiii Yaleo Naomba unitoe kwenye matatizo na shida zinazo niandama baba niomba no fanyie mambo makubwa Leo bava huu mwaka uwe wa shuhuda kwangu

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie sana

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundishe baba kunyamaza nifundishe baba kunyamaza Tena 🙏🙏

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t 8 หลายเดือนก่อน

    YESU nifunze ukimy

  • @marthamtalo4348
    @marthamtalo4348 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Roho Mtakatifu nifundishe kukaa kimya na wakati wa kuzungumza. Asante Yesu sifa kwa jina la Yesu

  • @DadyNoel-nl2es
    @DadyNoel-nl2es 8 หลายเดือนก่อน

    Amen God bless you so much na uendelee na mafundizo saidi

  • @priscachotta5442
    @priscachotta5442 8 หลายเดือนก่อน

    Amen asante sana kwa somo 🙏🙏

  • @verynicejohn7384
    @verynicejohn7384 8 หลายเดือนก่อน

    Nifundishe kunyamaza bwana 🙏🏼

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 หลายเดือนก่อน +2

    Eee MUNGU nifundishe kunyamaza baba najua wewe ndy kimbilio langu baba siwez kusema bila ya wewe baba nipe moyo wa subra baba🙏

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 8 หลายเดือนก่อน

    Eeee mungu nisaidie nifundishe jinsi ya kunyamaza peke yangu siwezi NISAMEHE baba

  • @NiceMboya
    @NiceMboya 8 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu nazidi kujifunza mengi mnoo

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu and Amen 🙏 🙌 👏 ❤️

    • @LynetWatson-fj7in
      @LynetWatson-fj7in 8 หลายเดือนก่อน

      Roho Mtakatifu Nifundishe Nyamaza Katika Maisha Yangu Ya Roho Na Mwilini Nijue Kutunza Taarifa Zangu

  • @PolaChadi-wm8mk
    @PolaChadi-wm8mk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eeemungu..wangu.nifundishe.kunyamaza..nikanene.yoko.

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu

  • @HeritierMwengeGisele
    @HeritierMwengeGisele 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu nahitaji walinzi kwenye kinywa changu

  • @priscapaul339
    @priscapaul339 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nifundishe kunyamaaza

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisamehe kwa kijiungamanisha na maroho ya ajabu najing'oa kwa Jina LA Yesu

  • @julyjuly-ik9er
    @julyjuly-ik9er 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nifundishe kunyamanza . Nilinde na maudhui wangu

  • @LoyceNeem
    @LoyceNeem 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu nipe nguvu ili niweze kifaham kusudi lako kwangu na hekima zako,pambana nao wote walio kuja kwangu kwa kusudi la kuniangamiza walio nipangia mabaya yote iwarudie

  • @PolaChadi-wm8mk
    @PolaChadi-wm8mk 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen.mutumishi.wamungu.kwaibada.hii.imenitowa.pahali..nikwali..ubarikiwe..sana

  • @angelasteven6015
    @angelasteven6015 หลายเดือนก่อน +1

    God...🙏🙏

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana
    Hakika madhabahu hii imebarikiwa mno tena mno
    Yaan mungu hazidi kukubariki innocent. Hakika weye ni among the chosen one.

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 หลายเดือนก่อน

    Asante YESU Kwa majira haya

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa San mtu mishi wa mungu akulinde sana maubiri wetu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤💐💐💐💐

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen Asante sana Baba mungu akujalie maisha marefu❤❤

  • @EsterSaid-zx4sz
    @EsterSaid-zx4sz 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubarik sana Mtumishi naam no mungu tu amenikutanisha na madhabahu ya siri za biblia Mafundisho yako yamenijenga kias kikubwa sana namuona mungu kwenye maisha yangu ubarikiwe

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 8 หลายเดือนก่อน

    Sylvia asante roho mtakatifu

  • @margykariuki
    @margykariuki 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏 nashukulu sana kwa iiii Madhabahu nimejua Mambo mingi sana sana ubalikiwe sana pastor umekuwa BABA wakaribu sana BALIKIWA SANA

  • @collethageorge512
    @collethageorge512 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Kwa ujumbe mziri mungu akubarik.. na mm bwana nifundishe kukaa kimya❤❤❤❤

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 4 หลายเดือนก่อน

    Eeee Mungu asante kwa neno hiri naomba unifundishe kunyamanza

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 8 หลายเดือนก่อน

    Nifundishe kunyamazaaaaa Ee Baba yanguu😢

  • @SultanAli-u6i
    @SultanAli-u6i 8 หลายเดือนก่อน

    Ooh mungu nifundishe kunyamaza,barikiwa mtumishi kwa somo zurii...

  • @neemamartin1956
    @neemamartin1956 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba utufundishe kunyamaza Mimi na familia yangu tubadilishe Mimi pamoja Joseph Mungu mubadilishe Nakuomba

  • @ZiadaHassan-e8h
    @ZiadaHassan-e8h 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu 🙏, ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa ibada hii

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 8 หลายเดือนก่อน

    Sylvia amen,ee mungu tusaidie .hii mafundisho Ni ukweli kabsaa.naomba mungu unipe macho YA Rohini Na ufahama pamoja utambuzi🙏

  • @Ingabirenoella-zu2jd
    @Ingabirenoella-zu2jd 8 หลายเดือนก่อน

    Niwezeshe Mungu kulinda kinywa changu na roho mutakatifu Ani ongoze

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh baba naomba baba niguse mkono wako leo

  • @ellyp.p2237
    @ellyp.p2237 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe macho ys rohoni niweze kuona kusudi lako kwangu

  • @Dhore-jb5pb
    @Dhore-jb5pb 8 หลายเดือนก่อน

    asante yesu nifundishe kukaa kimya kwa mambo yangu bwana

  • @tinahtinash6160
    @tinahtinash6160 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏 Asante yesu Kwa mafundisho haya nimepta kitu mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, mungu aendelee kukutumia

  • @victoriaaman6628
    @victoriaaman6628 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi Asante sana Mtumishi

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 8 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa maarifa maana wengi tumepoteza mungu atusaidie 🙏🏽🙏🏽

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu naomba unisaidie ninyamaze

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni nisaidie na unifushe ee Roho Mtakatifu kunyamazaaa,niliongea sanaa

  • @JacklineGabrielSumbizi
    @JacklineGabrielSumbizi 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi wa mungu

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu Nifundishe kunyamaza

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba kuwa na matumizi mema ya kinywa changu kwa maneno ninayo nena, nijue pa kunyamaza

  • @jesca6057
    @jesca6057 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen Asante sana Kwa kutufungua

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 8 หลายเดือนก่อน

    Asnte yesu kw Kuniunganisha tena Madhabahuni

  • @jacklinegatwiri635
    @jacklinegatwiri635 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu anifundishe kungamasa

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho mtumishi shalom.

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa kunitambulisha kwa madhabahu haya ya siri.

  • @doricejoel7228
    @doricejoel7228 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu wangu nirehemu sanaa sanaa sanaa

  • @FarajaMushi-tw2lr
    @FarajaMushi-tw2lr 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa 🙏🏼

  • @irinenjombo3368
    @irinenjombo3368 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie niwe mtu wa kunyamaza kwenye maisha yangu 😢

  • @VeronicaMtesigwa
    @VeronicaMtesigwa 8 หลายเดือนก่อน

    Am connected in Jesus blood 🙏

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Asante sana 🙏🏻🙏🏻

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu kwa majira haya

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 8 หลายเดือนก่อน +1

    Emeeeen

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 8 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wangu nifundishe kunyamaza

  • @RAIMONIRICHIMONI
    @RAIMONIRICHIMONI 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwaushauriwako

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 8 หลายเดือนก่อน

    I need you lord

  • @SpoonlyPastries
    @SpoonlyPastries 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba unipe macho ya rohoni kuhusu kinywa changu

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu nifundishe kukaa kimya n mambo yangu ee sikujua mm kusema mmbo yangu sai imekua shida😢

  • @charmantendungo8970
    @charmantendungo8970 8 หลายเดือนก่อน

    Nifunze Ku nyamaza n'a kujuwa Nini naeza kuongeya n'a nini siezi kuongeya nifunze Mwenyezi Mungu

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mtumishi utuzwe na bwana Yesu

  • @kabangomatete6101
    @kabangomatete6101 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏽

  • @Joycesanta
    @Joycesanta 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 8 หลายเดือนก่อน

    Sylvia amen🙏🙏🙏♥️

  • @BeatriceBenad
    @BeatriceBenad 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu wangu nisaidie niwe mtu w kunyamaza

  • @velmah_96
    @velmah_96 8 หลายเดือนก่อน

    Incredible

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom

  • @modesterstanislaus6639
    @modesterstanislaus6639 8 หลายเดือนก่อน

    Ni mimi kabisa mtumishi cwezagi kujizuwia naomba mungu anipe macho ya rohoni🙏😥

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen and Ameeeen

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @BenedictNgenzi
    @BenedictNgenzi 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeen

  • @GetrudeBahola
    @GetrudeBahola 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo yangu mengi yameharibika sababu ya kuongea kwangu ila sai mungu ananisaidia kwa kunyamaza

  • @jemasenkubo8457
    @jemasenkubo8457 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundishe kunyamaza baba kunanilichojifunza baba😢

  • @janeandisen
    @janeandisen 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unifunfshe kunyamaza roho WA bwana

  • @faidamashukamo751
    @faidamashukamo751 8 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God thank you Pastor. God bless you. We follow you and we love you.🙏🙏🙏👍👍👍🌷🌷🌷❤️❤️❤️

  • @ellyp.p2237
    @ellyp.p2237 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakuomba kupitia madhabau hii unibari huu mwaka ukawe mwaka wa neema niweze kubeba ujauzito na kujifungua salama maana ni kilio changu nu miaka 8 sas

  • @amisakiza1538
    @amisakiza1538 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atupe hekimaya kuwawa kimia

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante ❤❤❤

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nena nasi bwana.

  • @ChekaSaidi
    @ChekaSaidi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba bwana huniwezeshe nakiywa changu

  • @RatifaFrancis
    @RatifaFrancis หลายเดือนก่อน

    Nifundishe kunyamaza bwana

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nisioexpoxe mambo yangu ili nisipigwe locck

  • @shakiraissa2517
    @shakiraissa2517 4 หลายเดือนก่อน

    Jamni mm ndo wa kwanza nimeanzisha kibiashar kina miez mitatu nimeshapost😢 eeh mungu nisaidie.

  • @user-sarah1sarah
    @user-sarah1sarah 8 หลายเดือนก่อน

    Ndio kabisa kafariki jaman binadam wabaya kabisa

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU naomba unipe macho ya rohoni kuhusu kinywa changu

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MarcyOchieng-kz9pu
    @MarcyOchieng-kz9pu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Baba naomba uni funze kunyamaza niwe na kuelewa wakati wakusema mahali Pana faa wawakati

  • @mungeremajura9061
    @mungeremajura9061 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naombeni link ya group jamani

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @MarcyOchieng-kz9pu
    @MarcyOchieng-kz9pu 8 หลายเดือนก่อน

    Eeh baba wabinguni nashkuru kwa wakiti huu ume ni fisha

  • @Lovenessimon-zz8qg1jz6j
    @Lovenessimon-zz8qg1jz6j 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmm 🤔 picha na mshahara

  • @joankalegi
    @joankalegi 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie Sana,