"RAIS WAMEKAMATA NDEGE TENA, YULE YULE" KABUDI AMVAA CAG MSTAAFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 410

  • @p.be.s
    @p.be.s 4 ปีที่แล้ว +7

    KOT would have been all over Canadians trolling them and demanding immediate return of the plane, if this had happened to Kenya. Colonialists have to be called out and put on blast. Tzed family...get on this sahii hii. AFRICA supports you all the way. Enough with WS. Black Power prevails all day every day.

  • @DrSanai
    @DrSanai 4 ปีที่แล้ว +22

    Mungu aendelee kutusimamia Tanzania.

  • @bekamsafii8330
    @bekamsafii8330 4 ปีที่แล้ว +18

    Hawata weza kamwe kwakuwa mungu yupo pamoja na taifa letu kwanza jpm na mkubali kabudi na mkubali na viongozi wengine wengi na wakubali

    • @lukandotv8101
      @lukandotv8101 4 ปีที่แล้ว +1

      Dawa ya deni n kulipa,hz mbwembwe n hazina tija.

    • @jonaskilomba4094
      @jonaskilomba4094 4 ปีที่แล้ว

      @@lukandotv8101 hivi wewe Ni mtanzania kweli

    • @nimrodsigulu2053
      @nimrodsigulu2053 4 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo Mungu ni wa watanzania tu?...jaribu kuufikirisha ubongo

    • @yusuphomary6200
      @yusuphomary6200 4 ปีที่แล้ว

      Mataila yanashitakiana nn c jui Leo?

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 4 ปีที่แล้ว

      Haki uliinua taifa, Mungu huwanyeshea mvua wema na wabaya!

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 ปีที่แล้ว +12

    Jamani inauma Mungu yuko pamoja na tanzania tutashinda.

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Hatuko South Africa kama zitatumika technicality haha dawa alipwe pesa zake serikali isilete uharam kwa kuzungumza kwa uchungu nae mwenye deni lake anao hivyo bora kulipa deni kuliko fedheha za kila siku

  • @jumamavind7713
    @jumamavind7713 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mh Kabudi wewe nimzalendo wakweli

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว +5

    We win and we will continously win...Allah is greater than all

    • @lukandotv8101
      @lukandotv8101 4 ปีที่แล้ว

      It's your perception,not reality

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว

      @@lukandotv8101 what are talking about..u fool

  • @kiyabonjemu9885
    @kiyabonjemu9885 4 ปีที่แล้ว +14

    Mh kabudi nimeelewa, umeongea kizalendo sana, Nina iman sana na wewe, pia rais wetu ni msikivu anasikia! Nawaombea mkashinde kisheria huko CANADA

  • @jimmytuwa4886
    @jimmytuwa4886 4 ปีที่แล้ว

    Nakuona mbali sana Mh.kabudi.......naamini wewe ndie Rais wng baada ya Magufuri,Mungu akuguse na kukusemesha ndani yako kuwa unaweza na unatosha kuwanyoosha watanzania.

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 4 ปีที่แล้ว +24

    Kabudi muache baba wa watu cag mstaafu apumzike nyie VP vitu vya muhimu alivitaja mkaviyeyusha tu

    • @shafiimsofe9975
      @shafiimsofe9975 4 ปีที่แล้ว +3

      inaashiria bado kivuli chake kinawatesa sana, ndio maana hawaishi kumtajataja

    • @richardpeter7223
      @richardpeter7223 4 ปีที่แล้ว +3

      Hakika wamuachee CAG Mstaafu......wanateseka sana wezi hawa.....alivyokosoa bunge mkamchukia....Leo mnamwandama...acheni unafiki!!!

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 4 ปีที่แล้ว +2

      Shida gani asisema hati safi ilotolewa haikuwa sawa. Kila baya likemewe na kila nzuri lipongezwe

    • @p.be.s
      @p.be.s 4 ปีที่แล้ว +1

      CAG akamatwe leo.

    • @praisesamson8298
      @praisesamson8298 4 ปีที่แล้ว

      @@p.be.s ni kweli akamatwe kama kweli ili tuamini alafu yakafumuke na mengine kama yapo yaliyo jificha.

  • @bwerumaster6691
    @bwerumaster6691 4 ปีที่แล้ว +16

    Mara paaaap! Watakuja kung'oa na SGR yetu swine hawa!

    • @Linkmycommunity
      @Linkmycommunity 4 ปีที่แล้ว

      Hapa tunawaua

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

      ni kukwamisha tu kasi ya Jembe..woote wasenge hawa,usipokopa kwao ,ni shida.lol

    • @johnjulius3084
      @johnjulius3084 4 ปีที่แล้ว

      Ahahahaaaaaa

  • @josephtemu2633
    @josephtemu2633 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mungu ametuwekea hazina ingine mungu akulinde akuepushe na mabalaa yote

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 4 ปีที่แล้ว +51

    Mimi ni mwenye nchi. Mimi ni Mtanzania halisi najivunia kuwa Mtanzania. Naenda kinyume na watu wote wa ndani na nje ya nchi wasiopenda maendeleo ya nchi yetu.... najiuliza hizo ndege zisingenunuliwa huyo mkulima angezuia nin huko? Kweli ukifaninikiwa ndipo maadui wanazidi kushamiri...

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +3

      Mna maendeleo gani kuliko canada mpaka muonewe wivu?? Ni maswala ya kisheria nendeni myamalize kisheria !! Si mnadaiwa afu mnaleta visingizio vya hovyo kutafuta huruma!!!!

    • @martinmetalworkstv1639
      @martinmetalworkstv1639 4 ปีที่แล้ว

      Saana

    • @paull8659
      @paull8659 4 ปีที่แล้ว

      Unajihangaisha tulipe deni tu.Kanada haiko kama Tz, wanafuta sheria. Hakuna cha ubeberu hapo, wacheni propaganda, haki ni haki we Prof.Jalalani.

    • @paull8659
      @paull8659 4 ปีที่แล้ว

      Hizo ndege nani kazipitisha? Budget ipi? Zimenunuliwa kiasi gani? Prof.Jalalani🙉🙈🙈🙈🙈

    • @paull8659
      @paull8659 4 ปีที่แล้ว

      @@raphaelsamwel2640 , kweli kabisa, hakuna anayetuonea wivu, tuna deni na lilipwe, Canada ituonee wivu????🙉🙉🙉Tuna nini sisi???? tunaishi kwa dola 1/ siku🙈🙉🙉

  • @Itarusii
    @Itarusii 4 ปีที่แล้ว +21

    Waangaike tu. Ndiyo kwanza wanaifanya Tanzania ifahamike vizuri. Ndege itakuja tu.

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 4 ปีที่แล้ว +2

      😂

    • @pauljackson8120
      @pauljackson8120 4 ปีที่แล้ว +2

      mhemiwa nimefuhi sana umezungumza kwa hisiya kweli wewe mzalendo wakweli

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania ifahamike vizuri kwa dhulma maana inadhaulumu kupita kiasi ifahamike kuwa serikali ya Tanzania wakaidi kulipa deni nyie mnaotetea upuuzi humu wa kila kosa la serikali mkaona sawa hamuipendi Tanzania yetu mahasidi wa nchu yetu hapo tunatakiwa kufuatilia kwa makini kuujuwa ukweli msitake kukoment kwa kuijipendekeza tunadaiwa tulipe hatuwezi kulipa tumuobe radhi sio kumsakama mwenye deni na kumbambikiya mijisifa tu viingozi kwa makosa MMungu nfie alokataza dhulma

  • @mohdiddi8203
    @mohdiddi8203 4 ปีที่แล้ว +7

    Huyu kabudi pia achunguzwe huenda sio mwaminifu

    • @peternichoraus5983
      @peternichoraus5983 4 ปีที่แล้ว

      Mmh unamatatizo Kwel hiv watu mnashida gan ama Kwel ww tu hata uongoz wa shulen hukuwahi kuwa lkn unachokiongea kama hujasomavile

    • @mohdiddi8203
      @mohdiddi8203 4 ปีที่แล้ว +1

      @@peternichoraus5983 sina uhakika ww umeishia la saba au form two. Kila mtu ana maoni yake na mtazamo wake, usisubiri mm nime comment then una reply kwny comment yng, ww comment kivyako kwa mtazamo wko.

  • @seiphkaira5372
    @seiphkaira5372 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika tumewakabidhi imani yetu watanzania kwenu viongozi watiifu na shupavu na tumaini letu kuwa Tanzania bora ya mfano...Mungu awatie nguvu na maarifa muzidi kutupambania wanyonge wenu💪

  • @rashidalshaid445
    @rashidalshaid445 4 ปีที่แล้ว +2

    Dahh. Kabudi unafaa Sana Sana. Msaidie Rais wetu

    • @paull8659
      @paull8659 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabudi ndiye adui wa nchi, kumshauri raisi vibaya, wacha ushamba we

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 ปีที่แล้ว

      Paul L alimshauri nini kibaya hebu tujuze mdogo wake lisu na sisi tujue

    • @paull8659
      @paull8659 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanmirambo564 Prof.Jalalani ni very big propagandist na mnafiki no. 1. wa T Z, anatudanganya.
      1. Mkulima alikuwa anadai haki kwa kutumia mahakama yetu akashinda, tukaanza kumlipa. Awamu ya 5 kwa ubabe ikagoma na kumfukuza👉 kosa kubwa.
      2.Prof.Jalalani anajua mkulima anatuvizia huko nje kwa kutumia sheria za kimataifa👉 hakuna cha ubeberu, mkulima anadai haki zake.
      3. Tumefanya kosa inabidi tulipe. Na mwisho titumlipa.Hata mahakama zetu ,zilimpa haki wakati wa Mkapa.

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 ปีที่แล้ว +1

      Paul L hizo mahaka za ten parcent usiniambie sitaki hata kusikia sijui awamu ya JK wala ya BEN zilikuwa na udhalimu mkubwa sana huwezi ukasimama na tajiri mahakamani na ukashinda kesi ili hali haki ni yako,nadhani ulikuwa bado mdogo hili niache nichate na watu wazima wanaofahamu tulivyokuwa kwenye maisha ya kisenge wakati huo

  • @yeasrmsafi7152
    @yeasrmsafi7152 4 ปีที่แล้ว +2

    Kabudi namkubali sana tena sana

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 2 ปีที่แล้ว

    kabudi mungu akulinde saaaana

  • @chinemaentertainment1110
    @chinemaentertainment1110 4 ปีที่แล้ว +1

    Achana na cag fanya kazi yenu muacheni mzee apumzike

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 4 ปีที่แล้ว +22

    Hawataweza kwa lolote lile, tatizo tunajiamini watanzania.

    • @mcibralipuli640
      @mcibralipuli640 4 ปีที่แล้ว +3

      Hivi uyo mwadamu anamatatizo gani lakini na Nchi yetu?mbona anaturudisha nyuma kimaendeleo? Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 4 ปีที่แล้ว

    Ukiona vikwazo ujue Tanzania imeanza kuwa tishio duniani...na tukiweza kuvishinda na kuvivuka vipingamizi ujue tayari tutakuwa tumeingia katika orodha ya mataifa tishio na yanayojiweza duniani na katika ukanda Wa Afrika...
    Mungu mbariki Raisi John na Ibariki na watendaji wrote walio chini yake na Tanzania kwa ujumla wake

  • @harountuesday9668
    @harountuesday9668 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kiongoz wetu umeongea kwa uchungu.

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Kama yeye ana uchungu na akazane alipe deni na mwenye deni lake nae anaona uchungu vile hata bado malipo ya kudhulumu ni mbaya sana

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 ปีที่แล้ว +5

    Tutapambana kwa sheria hizo hizo za kimataifa. Lkn tukishindwa tutalipa pesa zao ili ndege yetu ifike sbb pesa tunazo na hazina hisa na mabeberu

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 4 ปีที่แล้ว

    You are good Profesa.

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 4 ปีที่แล้ว +15

    HUYU MZEE KABUDI MMI WAGA NAMKUBALI SANA ANAVYOONGEA KWA KUJIAMINI SANA MAANA ANAAMINI KILE ANACHOKIJUA YEYE.

    • @gemkachar
      @gemkachar 4 ปีที่แล้ว

      Kabudi mwanasheria wa ovyo. Eti sasa wa CAnada wamekuwa wabeberu. Anaogopa kumuambia bosi wake ukweli wa mambo. Serikali ya Canada pamoja na balozi wao hawana mamlaka ya kuingilia kesi lililoko mahakamani. Itaeleweka tu.

    • @salimmohamedsalim4448
      @salimmohamedsalim4448 4 ปีที่แล้ว

      Kuongea sio vitendo endelea kumuamini👍

    • @zaym7769
      @zaym7769 4 ปีที่แล้ว

      @@gemkachar hovyoooo wewe

  • @sulabdul6007
    @sulabdul6007 4 ปีที่แล้ว

    Viongozi wa afrika ni maselfish au wababe hawataki ushauri wanajifanya ni one man show! This way we will never ever move foward!! Tutapiga hatuwa 3 iksha tutarudi nyuma hatuwa 1.. mataifa ya wenzetu yanapiga hatuwa kwasababu wanafuata katiba na sheria sio sisi.

  • @laurentnkanga9944
    @laurentnkanga9944 4 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana kabudi maana anauchungu sana na mali ya watanzania

  • @khadijashabaniiddy4137
    @khadijashabaniiddy4137 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama ulikua hujui viongozi wanafki wenye kuongea mbele za masultani kwa matakwa ya masultani basi huu ndio mfano mzuri wa kuwajua

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 3 ปีที่แล้ว

    love you my brother

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 4 ปีที่แล้ว +6

    Hasila hasara! Usipigane na mkuu anaekushinda wezo!.Kuwa najeuri kulusha mawe havisaidii wewe chapakazi.Hata wengine wanazinunua kelele hakuna!!.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 ปีที่แล้ว +4

    Even they real don't about Tanzanian people who needs help from them. what they do is Bussines only.

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว +6

    Yangu macho tuu yajayo yanafurahisha.tunadaiwa tena?duuh.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

      Hivi mnafurahishwa nini

    • @AbduRahman-os2vx
      @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว +1

      @@blandinamwarabu5025 tunafurahishwa na serikali ambayo inadanganya raia kuwa inakusanya kodi vizuri na inatuletea maendeleo kwa madeni,kama una hoja karibu nikufungulie kitabu tatizo lenu mmezoea kudanganywa,hilo la ndenge mbona dogo kwa faida yako uliza serikali yetu inadaiwa fedha ngapi tangu uhuru na ni ccm...

    • @eliuspeter8163
      @eliuspeter8163 4 ปีที่แล้ว +1

      Haya sio madeni ya serikali hii. Ni ya serikali zilizopita. Sasa wanafanya hujuma dhid ya serikali ya JPM

    • @AbduRahman-os2vx
      @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว

      @@eliuspeter8163 serikali yetu tangu uanze mfumo wa vyama vingi imetawaliwa na chama gani?halafu jiulize serikali ni nini? Kama sio wewe raia maskini mlipa kodi kwa kunufaisha chama cha madikteta,jpm alikua waziri enzi hizo na uongozi mbalimbali alitetea nn,nakuacha na swali la mwisho kuna haja gani ya kutengeneza uwanja wa ndege chato na wakati huko huko chato raia wanahitaji barabara bora huduma za afya bora miundombinu bora pamoja na maji na umeme kama sio ubadhilifu wa fedha za raia maskini jitambue uzalendo kwanza..

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 ปีที่แล้ว +1

      @@AbduRahman-os2vx wewe una akili kubwa sana watanzania wenye akili km ww bado ni wachache wengi wao bado wajinga wasiojitambua

  • @shukurumundandu3244
    @shukurumundandu3244 4 ปีที่แล้ว

    Very painful, kabudi nakukubari sana unafaa kuwa Rais baada ya magufuli

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +7

    pesa zake nisawa na samani ya ndege moja. ndo mana kaiziwiya ndege? huyo jama anastaili kulipa fidiya akishindwa

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 ปีที่แล้ว

      Kweli humu tupo wengi

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Ndio hivyo laka wanakaza macho kama wana tolewa roho kwa kusema uwongo lipeni deni yatakwisha au yata kukuteni ya nuni firauni

    • @eliadligima6554
      @eliadligima6554 4 ปีที่แล้ว

      nanyie magamba mkishindwa case mlipe naya usumbufu! namimi nitakamata moja nyie subirini2!

  • @fatmaally5944
    @fatmaally5944 4 ปีที่แล้ว

    Ni maadui wa maendeleo ya tanzania coz abiria watakuwa na hofu kwa safari za nje kutumia ATC kwa kukamatwa bila taarifa kama south africa abiria wamesha check in wanashushwa very terrible

  • @emmanuelmussa8331
    @emmanuelmussa8331 4 ปีที่แล้ว +16

    Dawa ya deni ni kulipa tu.

    • @tzmny4909
      @tzmny4909 4 ปีที่แล้ว +1

      anadai nini?

    • @theleo3899
      @theleo3899 4 ปีที่แล้ว +1

      Angekuwa anadai angeshnda kule south

    • @kiyabonjemu9885
      @kiyabonjemu9885 4 ปีที่แล้ว

      Kuna sheria wewe

    • @mapesamale3379
      @mapesamale3379 4 ปีที่แล้ว +1

      Mlikuwa mna mtetea CAG mmeona madudu yake?Ethiopia ubalozi wa Tanzania katoa hati safi kwa balozi wa Tanzania!ndiyo maana Asad anazidi kubwabwaja

    • @charleslwanga6301
      @charleslwanga6301 4 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Mussa 😂

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba yetu JPM pole sana naona unaumia sana kushikwa kwa kitega uchumi chetu

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Wakienda wakaguzi wanapigwa cha juu anarudi kimya kimya.Shida viongozi walipewa safari za nje wanachota pesa dable payments nchini wanalipwa wakifika Ubalozini wanahudumiwa na Ubalozi huo ni Wizi. Asante Magufuli kwa kulinda hela za wanyonge

  • @cydemanchester2368
    @cydemanchester2368 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama suala ni la kisheria hakuna haja ya kulalamika kwa nguvu kubwa namna hiyo. Tusubiri haki itapatikana mahakamani

  • @fadhilmohamoud
    @fadhilmohamoud 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah uyu mzee kaongea kwa hisia sana leo

  • @sashaaishajamani1979
    @sashaaishajamani1979 4 ปีที่แล้ว +2

    Sio pesa tu na watu wakifika pale wanashindwa kusaidiwa safisana

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaani mitaa hy magu nakuamini wote wanaohusika sukuma ndani ikiwezekana ht kijeshi nchi itawaliwe haiwezekani kutufanya watanzania wajinga kiasi hicho imetosha hatutaki ujinga

  • @maufundi5037
    @maufundi5037 4 ปีที่แล้ว +2

    Kila mbabe ana mbabe mwenzio

  • @abishaibahemu3345
    @abishaibahemu3345 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kuwatia nguvu viongozi wetu,Mungu ibariki Tanzania

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 4 ปีที่แล้ว

    Watz hamuishiwi majungu na serikali yenu Tanzania lazima isonge mbele haijalishi wachawi mko wangapi

  • @michaelxfxana2470
    @michaelxfxana2470 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole kwahayo

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole kwetu sote ila pole sana muheshimiwa Raisi nimeona ulivyoumia

  • @josephmalisa2987
    @josephmalisa2987 4 ปีที่แล้ว

    Ni mara ya kwanza kumwona rais Magufuli ana uso wa huzuni na kukasirika kama leo inanikumbusha taswira ya a uso wa rais wetu wa zamani Julius Nyerere alipokuwa anatangaza kumpiga Iddi Amin. Kwa uwezo wa mwenyezi Mungu na kuungwa mkono na watanzania wote au wengi wao atafanikiwa tu.

  • @elimwazembe3631
    @elimwazembe3631 4 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo APA CAG,msitafu anatafutiwa kesi kwakuwapa hati safi kutoka isopia

  • @ezrajuma8970
    @ezrajuma8970 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni raisi wabadaye

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 4 ปีที่แล้ว

    CAG mhh hati safi kumbe mabilioni yameliwa.

  • @Cryptocurrency_Tanzania
    @Cryptocurrency_Tanzania 4 ปีที่แล้ว

    tatizo lako prof.... hauongei toka moyoni unaongea kumfrahisha ndugu Raisi.... sa unamuangalia Raisi wakati unaowaambia wapo mbele.... kweli hapa hakuna mtu...

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 4 ปีที่แล้ว +11

    shida mnawafumbia macho weka ndani wote tusonge mbele bgp makufuri usikate tamaa tupo nyuma yako.

    • @lukandotv8101
      @lukandotv8101 4 ปีที่แล้ว

      Unajua km n wanaccm wenzake?

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 2 ปีที่แล้ว

    Tulipitiaga kipindi kigumu sana. Sasa bahari imetulia

  • @fabianialexmpunga8137
    @fabianialexmpunga8137 4 ปีที่แล้ว +3

    Africa matatizo mufate sheria wazungu awanaga shida

    • @dollyandthedoliganeloi3025
      @dollyandthedoliganeloi3025 4 ปีที่แล้ว

      Yaani ni kweli uku London ubalozi uko bond street katikati ya mji very expensive area

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 4 ปีที่แล้ว +3

    washindwe na walegee kwa jina la Yesu

  • @rashidinyegele4077
    @rashidinyegele4077 4 ปีที่แล้ว +6

    Talking overconfident ...is he a President

    • @onesmojohnny3905
      @onesmojohnny3905 4 ปีที่แล้ว

      Huyo jamaa ananini mpaka anashindana na serikali yetu?

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mh. Kabudi...maneno mazito na ya kishujaa..Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wetu!

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 4 ปีที่แล้ว +4

    Stop complaining about Canada, it's has no problems with you guys, its duty of fulfilling the international laws not otherwise.The only solution is to pay other people's money not mere story.Remember Canada is a democratic country adhering to its law and international laws, they are not dictators as you guys.

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc 4 ปีที่แล้ว

      James Robare you don’t know how imperialist run their missions .

    • @ibranoahngidange5909
      @ibranoahngidange5909 4 ปีที่แล้ว +1

      You idiots and you dont know how much we pay tax for our development

    • @johnshimbi7322
      @johnshimbi7322 4 ปีที่แล้ว

      KABUDI HONGERA

    • @amouramour3421
      @amouramour3421 4 ปีที่แล้ว

      Hh

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว +6

    mimi ni mtanzania mzalendo sana ...ila naona hizi ndege zinanipa pressure tu..kwanini asilipwe deni lake tumalizane nae ? huu ujinga ni wa viongozi wetu tu ...tulipe madeni bwana tuache kujimwambafy

    • @damascongongi1609
      @damascongongi1609 4 ปีที่แล้ว

      Atalipwaje wakati kesi ya afrika kusini alishindwa na ameenda kufunga kesi hiyo hiyo nchi nyingine? Tuwe na Uhuru wa kifikra tutaona maendeleo na kuwa na uzalendo ktk taifa letu.

    • @polloz77
      @polloz77 4 ปีที่แล้ว

      Hilo deni halishindwi kulipwa hila tatizo halilipiki kila hukilipa hatatoa madai mengine tena
      Na hanayoidai ni mtoto wa kambo siyo mtoto wake halisi wakishirikiana na watanzania watwana mwenyewe kudai hasa hamejitoa
      Lakini baadhi ya watanzania wameungana na huyo mtoto kuhujumu Tanzania pamoja na. Vyama vya upinzani ambavyo siyo wazalendo

    • @hadija846
      @hadija846 4 ปีที่แล้ว

      Serikali inatuzinguwa tu wanawapa pesa nyingi mahakamani kesi inakwisha baadae yanatokea tena. Na pia anasema zaburi tu inamaana mabalozi wote ni wakiristo?

    • @josboy5384
      @josboy5384 4 ปีที่แล้ว

      @@hadija846 kasema dini ambayo anaijua unataka azungumze dini ambayo haifahamu?

    • @barakakarama2232
      @barakakarama2232 4 ปีที่แล้ว

      akimlipa huyo ataibuka mwingine so usiwaze hapa waza tu mbali

  • @ibrahimkadibo810
    @ibrahimkadibo810 4 ปีที่แล้ว +1

    Nendeni mkasome zabur: hiyo mlio ambiwa 105:1~11

  • @consolathambuya6580
    @consolathambuya6580 4 ปีที่แล้ว +6

    Prof Kabud anafaa kuwa Rais 2025👍

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 4 ปีที่แล้ว +1

      Consolatha Mbuya
      Kwa lipi atii...
      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @erickkabelege7992
      @erickkabelege7992 4 ปีที่แล้ว +1

      Naumiza sana Rais wetu anavotuangikia Tz kukuza uchumi lkn wachache wanaleta uchiza wao tunaomba NDEGE yetu irudi haraka kwanza wakpatkana hao wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengne nmeumia sana kwa ss watanzania kwa kodi zetu kidogo hadi tunanunua ndege nalan sana hlo pepo walilonalo hao mabeberu wakaregee na kutapka

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 3 ปีที่แล้ว

    love ya bro

  • @babangida322
    @babangida322 4 ปีที่แล้ว +8

    CAG WA nini tena, khaa si mshamtema. Mnatamani kumchafua tu,

    • @mosesmaiga8600
      @mosesmaiga8600 4 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo asisemwe yeye ninani

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 4 ปีที่แล้ว +4

      @@mosesmaiga8600 Mbona hawasemi Mabalozi wawajibike.. Kama kuna ubadhilifu ubalozini, balozi hausiki?

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 4 ปีที่แล้ว

      Juma Jaffary Akikujibu nishtue😀
      Viongozi wa kisiasa wanajilinda ili wapate mwanya wa kuwahujumu hadi wataalamu ili wawaogope wafanye nje ya ueledi kufunika maovu yao.

  • @rayrobert524
    @rayrobert524 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atusimamie watanzania 🇹🇿🙌

  • @kinjeketilengwale1141
    @kinjeketilengwale1141 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanatujaribu waone tutafanya nini?wamekasirika kuona hatuwainamii tena,wanatafuta chokochoko ili tusambaratike tufikie malengo yetu hata hili tutavuka tu!

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 4 ปีที่แล้ว

    Halo ndo ujue Pua Ndefu wanaumizwa namafanikio Yetu

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amuukuum .yaani mtu aunaenda mbele mwengine anakuvuta nyuma

  • @yussufshaaban7916
    @yussufshaaban7916 4 ปีที่แล้ว +6

    Sauti Ya simba proffeser Palamaganda Kabudi Nimekuelewa

    • @frankndenga783
      @frankndenga783 4 ปีที่แล้ว +1

      Mhsh,umetoa neno zito sana,Mungu akubariki zaidi.

  • @stevenkyando151
    @stevenkyando151 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania tumuunge mkono rais wetu katika maendeleo ya nchi

  • @dastansimpanzye5558
    @dastansimpanzye5558 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kabudi

  • @wilbertfidelime9473
    @wilbertfidelime9473 4 ปีที่แล้ว +4

    Mhe: Rais huyu ni tapeli hebu angalia hata macho yake tu kabisa ishara zinaonekana

  • @ognecro8550
    @ognecro8550 4 ปีที่แล้ว +1

    Ayo baba fanya uchunguzi maana uyo kaburu ana dai na ana mikataba yake kwa hiyo serekali ifanye uchunguzi sio kukurupuka kusema matepeli wakati wana dai haki yao

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 ปีที่แล้ว

    Balozi wa Canada hafai namjua Muuza sura tu kingereza kingi but kazi hawezi ameshindwa Afya ni limbukeni sana..kwa nchi kama canada ateuwe very intelligent na loyal person..Huyu balozi hafai anajua ya kinafki sana..Magufuli amubadilishe akatibu si daktari huyo wa usingizi..tuna wahitaji nyumbani..kila leadership post haiwezi ni mtu limbukeni sana na tamaa za kuonekana na SI MTENDAJI HATA KIDOGO

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 ปีที่แล้ว

    Mr Kabudi ndiyo Habari ya Kimataifa

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 4 ปีที่แล้ว +3

    muheshimiwa diwani Athumani watanzania tuna imani kubwa na wewe kwa utendaji wako mzuri hawa wanaotuhujumu mabeberu na mawakala wao waliopo nchini hebu dili nao watz tupo nyuma yako

  • @mickykiteu7446
    @mickykiteu7446 4 ปีที่แล้ว +1

    Hi tz kuma mamae hadi ije naviongozi wasomi tuta pitia mengi sana wazungu mna waita mabeberu ila hao hao mnawaomba condom una Mwita balozi Wa Canada yeye ndomahakama ujinga huo fateni sheria au huko naye pelekeni polis wenu

  • @stephenkihongozi2171
    @stephenkihongozi2171 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anatufuatafata sana kwanini asishikiswe adabu yeye anataka ndege tu aende zake huko

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 4 ปีที่แล้ว +2

    Watashindwa wenyewe, hope God will do. Rais Iran umetusahau hatuna balozi

  • @khafidhsaid7687
    @khafidhsaid7687 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mm Nauliza Simba jana ilishina ngapi? nilikua bize kidogo sikuangalia mpira.

  • @fahimrahim1221
    @fahimrahim1221 4 ปีที่แล้ว

    Nyie mnadaiwa mnasema ni hujuma nchi kama South Africa na Canada ni nchi za ki democracy sio ya ki communist kama Tanzania

  • @titusmoses7
    @titusmoses7 4 ปีที่แล้ว +1

    Mngekua mmemlipa fedha zake yote haya yasingekuwepo, dawa ya deni ni kulipa tu

  • @fatumakeche8788
    @fatumakeche8788 4 ปีที่แล้ว

    Dah!muheshimiwa magu kakasirika sana anaonekana usoni

  • @wilbertfidelime9473
    @wilbertfidelime9473 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani mimi siwezi tembea kifua mbele kusema eti Kibudu ni Baba yangu au Meko

  • @dottopeter3187
    @dottopeter3187 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni kaz kuyafikia maendeleo

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 ปีที่แล้ว +1

    Namwona majitamajita mwenyewe amekasirikaje....weeeeeeeeeeee

  • @omarymahanja2948
    @omarymahanja2948 4 ปีที่แล้ว +4

    Hizi ndiyo arakati za mabeberu kuturudisha nyuma ila tuombe mungu

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว

    Rais wangu jpm kuwa jasiri... Haya ndo yaleee vita vya kiuchumi n vigumu mno. Nawaomba watanzania woote tuungane kuomba kwa mungu ndege yetu ya watanzania ije salama

  • @Gasimba785
    @Gasimba785 4 ปีที่แล้ว +2

    Hao wanafiki muatafute wapelekwe mahakamani.

  • @hamzaliganga7437
    @hamzaliganga7437 4 ปีที่แล้ว +1

    Tutapata taabu saana watanzania tatizo tunaficha vitu ila chadema watatugungua masikio

  • @amouramekhamis5254
    @amouramekhamis5254 4 ปีที่แล้ว +2

    Iyo ndege imekamatwa kwa sheria za canada acheni kutafuna maneno

  • @mussalameck4667
    @mussalameck4667 4 ปีที่แล้ว +1

    Dawa ya Deni Ni kulipa

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabdi acha uongo kama anatudai kweli tutoe kodi tumlipe

  • @minhajunta7963
    @minhajunta7963 4 ปีที่แล้ว +2

    safi sanaaa

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 4 ปีที่แล้ว +2

    itakua wanajiandaa kukamata msafara wa rais wahuni c watu wazuri

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 4 ปีที่แล้ว +8

    Hivi angekuwa mtanzania mkulima kuidayi canada ingekuwaje?

    • @tzmny4909
      @tzmny4909 4 ปีที่แล้ว +1

      walahaniwe wote wanao ujumu tanzania na mwenyezi mungu awape udhariri wa wazi

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 4 ปีที่แล้ว

      Angelipwa kama kesi angeshinda, na asingelipwa kama angeshindwa kesi.

    • @allymadunda7931
      @allymadunda7931 4 ปีที่แล้ว

      Angeshughulikiwa kisheria

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Angepuuzwa wala msaada serikali asingeupata serikali ya kihuni na wao hupata mhuni mwenzako walivyoona wameshinda in technicality sio kisheria wa kafurahi sasa nenda ukashinde tena na kokote mtakwenda ana haki ya kuzuwiya watu hawana matibabu wajane wnahangaika na maisha yameghalika kila mfanya biashara analalamika wewe unataka Rais usifiwe kwa ndege maskini gani ataepanda ndege hamna haya wala vibaya kila siku kutudanganya MMungu nae anamuona mja wake nae mlipeni haki yake kabla hizo ndege hazijaripuka mkatuulia Watanzania wenzetu kwa ukadi na kiburi chenu

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani ,hebu mtuambie kwani kulikoni??!juzi tu tumepongezana kurudi kwa ile nyingine,sasa tena inakuwaje??!!,kuna nn nyuma ya pazia??!Professor tusaidie majibu,kuna shida gani?!maana hizo ni kodi za watanzania.

    • @paull8659
      @paull8659 4 ปีที่แล้ว +1

      Mkulima alikuwa anadai haki yake akiwa hapa nchini, kwa ubabe wetu tukamfukuza.sasa anatukomoa huko nje, dawa ni kumlipa tu.

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 4 ปีที่แล้ว

    eti mkasome zaburi! Mungu hadhihakiwi kabudi

  • @mathewndunguru6340
    @mathewndunguru6340 4 ปีที่แล้ว

    Kabudi ni shidaa piga kazi mzee

  • @jumaizungo9088
    @jumaizungo9088 4 ปีที่แล้ว

    Nadhani,kwakua dawa ya deni ni kulipa,ningeshauri @ Mz achangie angalau elf 20, tungekua tayari ,tumelipa kuliko kuhama,viwanda,laa sivyo ndege ziruke hapahaapa2