Mgombea tulimpata nae alikuwa magufuli na ametutoka kama ulivyo taka kwenye hatua hii baba nyerere lakini ametutoka mungu amlaze mahali pema peponi amina
Peponi wakati alikua anasapoti maaskari kuwaua watu Huyu alituchafulia uchaguzi kwasasa tunaviongoz wakijinga wasiojua majukumu Yako viongozi ambao hawana baraka za mungu
Nilikuwa naona wazazi wangu nababu wanalia kwa msiba wa Nyerere nawashangaa. Najiuliza hivi huu si uchimbi huu. Mtu hamfahamian nakulia kukosa raha! Hii iliponifika kwa Rais wetu alipokufa nikajua maumivu waliyoyapata. Ndo nimejua walimpenda kuwaweka huru. Walilia kwa sbb km hapa ambavyo naumia nalia naugulia donda kwa Rais wetu
Hee mwenzangu mm basi juzi nili jiuliza hizi kumbe ndio mana wakati wa msiba wa nyerere wazazi wetu walifazaika? Hivi kwanini mawazo yetu saa zingine Yana fikili jambo moja
Alikufamimi nikiwa na miaka 22,lkn nilimjua kwa namna yngu niliumia nilianza Julia alipokuwa anaumwa Sana,alipokufa niliteseka Sana,na sasa Magufuli ananiliza.
Mwl. Nyerere hakutumiwa na mabeberu kulididimiza bara la Afrika.Aliwapinga mabeberu pamoja na vibaraka wao.Pia aliwaonya baadhi ya viongozi wa Afrika waliotumika kudidimiza uchumi wa Afrika hasa wale waliokuwa wanaruhusu mali za Afrika kusombwa kwa wingi kwenda ulaya na amerika na kuacha nchi hizo zikiwa masikini.Aliwaita viongozi hao manyapara.
Baba tulimpata mrithi wako aliibeba tanzania kwayote ulioyataja lakini ametutoka kama upepo hatuamini yani kama masihala hatuna lakusema tumeamini kwakua tumemuona kwenye jeniza inauma sana mungu ilaze roho yake mahali pema amin
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
You're wright my friend. Our Magufuli was a very honest man. We never get a such president before. And now will be very had to get a President like him, only God knows what is going to happen in our country. Because we even started to suffer again ever since he left. May God make him rest in peace wherever he is.
Siku zote unabii huwa hautimii kwa muda huo huo, ndiyo maana ilipita miaka kadhaa kumpata Kiongozi aliyetabiriwa lakini Sasa ametutoka. Mungu ana makusudio yake
Babu mpokee kijana wako mzee wetu John pombe magufuli maana alierithi mambo uliyokuwa unayoyafanya, ila hayupo tena tuombeeni huko mliko mungu awapumzishe kwa amani.
Kati ya watu ambao walitutoka komwili Ila bado unaishi kwenye roho za watanzania wote kwa yali uliyokuwa ukiyaongea wakati upo na yanatokea Hadi Sasa Karne ya 21 . Mungu akupumzishe na mwanga wa milele akupe eebwana
@@timothmwakakusyu4563 wote hao walikumbatia ujamaa siasi mbaya kuliko zote duniani , wanao itekeleza ni madikteta ushwara ambao hawapendi maendeleo ya watu.
Mandela alikuwa kibaraka wa wazungu, kipindi chake makaburu ndio waliomiliki uchumi wa Waafrika kusini ,,,,,,,ukisema Magufuli ni sawa,,,yeye alipambana na wezi wote wa rasilimali zetu
Nahis Kuna watu Mungu anewachagua; Mungu atusaidie sana maana watu wamekuwa na tamaa ya Mali na kusahau ubinadamu, Huwa nalia sana Kwa sababu ya magufuli Mfugale Kijazi nawaombea sana.
Nyerere Mungu akusamehe ulipojikwaa hakika tutakukumnuka mpaka mwisho was dahari,, na kamwe hatujawahi kupata anaefanana na wewe nyerere mpaka leo, tumekuwa tunapata wakiogozi wabinafsi wachoyo wanaopendelea chama na kuweka chaguzi zenye zambi nyekundu Kwa kupitisha rafiki zao na kutumia nec vibaya kwamba wamepita bila kupigwa mamia ya watu wamefungwa wengine hawakutaka kujadili juu ya katiba mpya wala mazungumzo ya pamoja na wasio was chama tawala,, NYERERE HAKUNA WA KUKUIGA HATA ONGEA YAKO HAINA UJANJAUJANJA,, STAY BLESSED NYERERE, YOU REAL LOVED YOUR NATION.
Na walikua wanamtaka JPM, sasa hilo jamaa linajiita lissu, hakuna mwananchi anayelielewa.....zaidi ya vibaraka.....majambazi ya kizungu, litetezi la wezi wa madini, linatamaa ya kuvunja Amani ya nchi. Yaani halifai kabisa
Ni kweli wanafanana hata tabia zao ,Nyerere kaua Wazanzibar kibao maelfu kutokana na mapinduzi alitoyafanya kule.Makufuli kaua raia zske kibao hapa aTanzania bara akiwemo Ben Saa Nane ,Azory Gamba na mamia ya watu yaliyokua yakiokotwa kwenye viroba pwani bichi Wanapumzikaje kwa amani na roho za watu walizozitanguliza kwa dhulma?Tusiwe wajinga.
Mungu awaweke mahali pema patulivu waliotangulia mbele za haki, na awalinde wale wote wanao endelea kujitoa kwa kusimamia haki ya Kila mmoja milele AMINA.
Baba endelea kupumzika kwa amani pamoja na shujaa wetu John pombe magufuri mungu anajua mlicho kifanya ndani ya Taifa hili la Tanzania pumzikeni kwa Amani 😊
Mwl Nyerere fought corruption, tribalism nor did he discriminate any one. But we have witnessed discrimination in religion to the extent of exposing the followers of a certain religion to put on uniforms even in public offices, schools etc. Past 5 yrs tribalism took us to a dark corner. Northern tribes and some few tribes from Lake zone who were in public service were unlawfully sacked some oppressed, abused to force them to quit office etc. Other principle officers of the forced their junior officers to communicate in their vernacular (kisukuma) so that other officers from different tribes would not understand. Thank God for saving us from such hatred. We are one again thank you your Excellency Samia Suluhu Hassan our lovely President of the United Republic of Tanzania😘😘😘
Wanapumzikaje kwa amani wakati wamedhulumu roho za binadamu wenzao?Au unaomba dua hii kwa sababu katika wengi wa waliouliwa hayumo baba yako,mjomba yako au kaka yakoSio?Basi ujue wamo wa wenzio.Hiyo ni roho mbaya ya nafsi ya kichawi hivyo ndivyo ulivyo.
Ndo maana hupenda kujiita mjukuu wa Nyerere nikiwa kwetu Kenya watu wanadhani siienzi nchi yangu lakini ni mahaba yangu kwa Nyerere ndo yanayonifanya kujihusisha naye zaidi
Allah awapokee nakuwalipa malipo mema kwa kuwa Bado tunamlilia tupate Rais mwingine kamati za utezi wa viongozi wa Juu,awajazwe Roho ya kweli na kutupatie mtetezi wa wanyonge wa nchi hii,
Mwamba wa Africa Mwl Nyerere ,the giant of peace and security of Africa. Ndio maana African Union wamekujengea ukumbi wa mikutano pale Addis Ethiopia. Pumzika Mwl.Nyerere na mwanao magufuli mmetuheshimisha watanzania tutafuata nyayo zenu kulinda Mali zetu.R.I.p
Mungu baba wa mbinguni akulaze mahala pemaaa aminaaa
Kwel shujaa wet
Kweli SHUJAAA
Mgombea tulimpata nae alikuwa magufuli na ametutoka kama ulivyo taka kwenye hatua hii baba nyerere lakini ametutoka mungu amlaze mahali pema peponi amina
Mbona tukianza skuli tulikua tukiulizwa wewe ni nani muhindi, muarabu au mshirazi kwa nn
Nani aliyemtaka huyo acha ulisha watu ujinga.
Pp
Peponi wakati alikua anasapoti maaskari kuwaua watu
Huyu alituchafulia uchaguzi kwasasa tunaviongoz wakijinga wasiojua majukumu Yako viongozi ambao hawana baraka za mungu
Toa ujingq wako@@VORTEXAF
mpumzike kwa Amani ma shujaa wetu tz mungu awape mpumziko na mfurahi huko mbinguni Amina❤
14/10/1999,17/3/2021,legends died,tutawakumbuka daima
Nilikuwa naona wazazi wangu nababu wanalia kwa msiba wa Nyerere nawashangaa. Najiuliza hivi huu si uchimbi huu. Mtu hamfahamian nakulia kukosa raha! Hii iliponifika kwa Rais wetu alipokufa nikajua maumivu waliyoyapata. Ndo nimejua walimpenda kuwaweka huru. Walilia kwa sbb km hapa ambavyo naumia nalia naugulia donda kwa Rais wetu
Hee mwenzangu mm basi juzi nili jiuliza hizi kumbe ndio mana wakati wa msiba wa nyerere wazazi wetu walifazaika? Hivi kwanini mawazo yetu saa zingine Yana fikili jambo moja
Alikufamimi nikiwa na miaka 22,lkn nilimjua kwa namna yngu niliumia nilianza Julia alipokuwa anaumwa Sana,alipokufa niliteseka Sana,na sasa Magufuli ananiliza.
kwakweli twalia mwee
@@jenyyusuph4973 Hata wewe Baba yako akifa utamkumbukq kwa malezi mpaka hapo ulipofikia
Kimwili hauko nasi kiroho tuko nawe mungu yu mwema
Mwenyezi Mungu,tubariki na sisi kenya viongozi wa namna hii.
Kweli
Uliyo yasema yote yametimia mwalimu upumzike kwa. Aman baba
Hakika tunafanyia kazi maono yako mwalimu jk nyerere🙏🙏🙏
Mh!!
Maono gn alikuwa nayo wewe unamjua vizuri huyu au unafata mkumbo tu wa kusifu sifu watu😅😅😅
😨😚😚
Lloll
L
Hekima yote hii ndani ya kichwa kimoja? Kifo hakina huruma jameni. Twakuenzi Mwalimu
Siku zote kazi ya mungu haina makosa hatutawasahau mashujaa was Tanzania kama jk nyerere pamoja na jpm , rest in piece forever
Pumzikeni kwa amani mashuja wa nchi yetu 😭😭😭😭😭
😭😭😭Naumia
@@hadijamagufuli2661 ahl
Wanapumzikaje kwa amani wauaji wa raia zao kaburini na mbele ya haki?Hao wawili wote walikuwa wauaji wa binadamu wenzao wanyonge.Usijitie ujingani
Mwl. Nyerere hakutumiwa na mabeberu kulididimiza bara la Afrika.Aliwapinga mabeberu pamoja na vibaraka wao.Pia aliwaonya baadhi ya viongozi wa Afrika waliotumika kudidimiza uchumi wa Afrika hasa wale waliokuwa wanaruhusu mali za Afrika kusombwa kwa wingi kwenda ulaya na amerika na kuacha nchi hizo zikiwa masikini.Aliwaita viongozi hao manyapara.
I liked Mwalimu's phylosophy and leadership
Asante sana mzee wetu..uliyejaliwa neema na hekima kutoka kwa MUNGU.. MUNGU akukumbuke
Baba tulimpata mrithi wako aliibeba tanzania kwayote ulioyataja lakini ametutoka kama upepo hatuamini yani kama masihala hatuna lakusema tumeamini kwakua tumemuona kwenye jeniza inauma sana mungu ilaze roho yake mahali pema amin
Huyo hakuwa mrithi wake .
@@issamunga9039 alikua Nani kichwa chako
@@adamfundikira4556 alikuwa dikteta aliye wahifadhi watu wasiojulikana.
@@issamunga9039 mmmh kumbe na Samia je
@@adamfundikira4556 huoni tofauti ? Huyu ni muislamu na huyo hakuwa na heshimu hata viongozi wake wa fini.
Heri kufa kwa busara zilizo hai kuliko kuishi kwa busara zilizo kufa busara zako bado zinaishia baba
Ni kweli
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
Nyerere
Magufuli was a man in action.Although they killed him,But his spirit is alive.
Thanks so much bro 🙏💯
Welcome Tanzania unforgettable landa .We ever and ever get a strong leader like Magufuli ,my be after 100 years latter
You're wright my friend. Our Magufuli was a very honest man. We never get a such president before. And now will be very had to get a President like him, only God knows what is going to happen in our country. Because we even started to suffer again ever since he left. May God make him rest in peace wherever he is.
Dah aridhi huwa inameza myamba sana mungu bhana acha aitwe mungu make hakuna kama yeye hakuzaa wala hakuzaliwa
Mpokee mwanao mwanamapinduzi halisi ulietabili kuwa atakuja kuwaletea maendeleo watanzania amefanya na ametuacha baba mpokee apimzike kwa amani
.. #
Yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyytt
Kweli
Watson katende umezinguah
May the Lord receive you our worriors in Glory,Amen
J. K. Nyerere na J. P. Magufuli mlale mahali pema peponi, ninyi ndo maraisi wangu bora kuwahi tokea
And that's how the foundations of a great country were laid!
Jfmc
Mhuuu
❤
Siku zote unabii huwa hautimii kwa muda huo huo, ndiyo maana ilipita miaka kadhaa kumpata Kiongozi aliyetabiriwa lakini Sasa ametutoka. Mungu ana makusudio yake
Tulikuenz baba japo wengine atukukuta lkn pia. We still suffer for our supper hero magufuli😭😭😭😭😭
Babu mpokee kijana wako mzee wetu John pombe magufuli maana alierithi mambo uliyokuwa unayoyafanya, ila hayupo tena tuombeeni huko mliko mungu awapumzishe kwa amani.
Amina
Kati ya watu ambao walitutoka komwili Ila bado unaishi kwenye roho za watanzania wote kwa yali uliyokuwa ukiyaongea wakati upo na yanatokea Hadi Sasa Karne ya 21 . Mungu akupumzishe na mwanga wa milele akupe eebwana
Mwenye heri.
Sio kwa watz tu Mkuu... mimi mkenya lakini hotuba za Nyerere na JPM ni faida sana kwangu!!!
Raisi tuliyempata kama zawadi ametutoka ambae ulimtabiri pia TUTAWAKUMBUKA SANA MALEGEND WA TANZANIA MASHUJAA WA AFRICA
Baba ulituacha mahari pazur hakika tutakuezi daima.
Pumzika kwaamani baba🙏
Hakika tulimpenda sana mungu ame mpenda zaidi yetu
Ndiyo kiongozi pekee wa taifa LA Tanzania hakuna wa kulivaa viatu vyake mwalimu nyerere punzika kwa Amani baba yetu mpendwa
Ndio kiongozi ninaye mkubali mm
Magu je?
@@jordanclassic7849 huyu na magu ndo watu ambao naweza kuwaelewa katka marais wote waliopita
@@ibrahimngurungu5607 hata mimi jpm na huyu
@@timothmwakakusyu4563 wote hao walikumbatia ujamaa siasi mbaya kuliko zote duniani , wanao itekeleza ni madikteta ushwara ambao hawapendi maendeleo ya watu.
A patriotic leader of vision for his country.
Maneno yako mwalimu nyerere yalikuwa niyaukweli mtupu hakika rais magufuli ulimtabiria ukweli ila mw1mungu amempenda mungu ailaze roho ya magufuli peponi amina
Yn ikikichwa ndo sawa sawa na cha magufur baba yn ivi ndo bichwa vilikuwa ktk nchi yetu na angekuwa ai uyu akakutana na baba magu page noga
Tulipata jembe jpm tulimpenda ila mungu kampenda zaidi
Kweli baba magufur ameyakamilisha
Rest Baba Nyerere& Magufuli...the two greatest African Presidents after Mandela
Mandela alikuwa kibaraka wa wazungu, kipindi chake makaburu ndio waliomiliki uchumi wa Waafrika kusini ,,,,,,,ukisema Magufuli ni sawa,,,yeye alipambana na wezi wote wa rasilimali zetu
@@coolruler6820 sd
Nahis Kuna watu Mungu anewachagua; Mungu atusaidie sana maana watu wamekuwa na tamaa ya Mali na kusahau ubinadamu, Huwa nalia sana Kwa sababu ya magufuli
Mfugale
Kijazi nawaombea sana.
Nyerere Mungu akusamehe ulipojikwaa hakika tutakukumnuka mpaka mwisho was dahari,, na kamwe hatujawahi kupata anaefanana na wewe nyerere mpaka leo, tumekuwa tunapata wakiogozi wabinafsi wachoyo wanaopendelea chama na kuweka chaguzi zenye zambi nyekundu Kwa kupitisha rafiki zao na kutumia nec vibaya kwamba wamepita bila kupigwa mamia ya watu wamefungwa wengine hawakutaka kujadili juu ya katiba mpya wala mazungumzo ya pamoja na wasio was chama tawala,, NYERERE HAKUNA WA KUKUIGA HATA ONGEA YAKO HAINA UJANJAUJANJA,, STAY BLESSED NYERERE, YOU REAL LOVED YOUR NATION.
Kote uko baba magu kapita yn sehemu ngumu zote yy ndo kazitatuwa maguful mashaalah allha akupe mwanga baba wamlilele😭😭😭
Hakika amejitahidi alipoweza laiti km raho ya mwl nyerere ikimpokea itafurahi pamojanae
Daaaaaa mzee wa taifa ili alikuwa mwamba Sana na John pombe Joseph magufuli na alikuwa mwamba Sana R.I.P kwa wote
Shida ya kenya mpaka sahi ni ukabila....upuzi mtupu..mimi mkenya na bado jambo hili laniudhi kabisa
In shaa Allah yatapita hayo tunawaombea@Victor
Ipo ckui utaishaa broo
Ni kweli unachoongea na kimekuwa kidonda sugu mungu atunusuru na hili janga maana wanasiasa ndo chanzo cha makabila hapa kenya.
Msijali Mungu atajalia yatapita tu..🇹🇿🇹🇿
D😮😢😢😢😢io09😊😊😊
😊😅😅@@alfanm.8221
What a great orator, what a heartfelt speech, what genuine concern for the people.
😢😢😢😢😢baba umeenda ungekuwepo basi tungekuwa mbali sana
🤔🤔🤔👋👋 🦁🦁 Simba wa Afrika R.R.I.P OUR LOVELY PRESIDENT OF TANZANIA AND AFRICA IN GENERAL
🙏
Na walikua wanamtaka JPM, sasa hilo jamaa linajiita lissu, hakuna mwananchi anayelielewa.....zaidi ya vibaraka.....majambazi ya kizungu, litetezi la wezi wa madini, linatamaa ya kuvunja Amani ya nchi. Yaani halifai kabisa
Halifai hata kwa kulumagia hilo kibaraka wa wabeligij
Nalitakufa vibaya sana lilisu silipendi
Yani mm huyo kiumbe lisu sitaki hata nimusikie make namuona Kama ibilis aliyetupwa tanzania
@@trisamilob3652 hasewaa
Ndo inamaana gano
Kweli wewe ilikuwa baba was kweli sio was kambo mungu akubariki na akuweke mahalo pema"amen
Uhuru na kazi hapa kazi tu na Mungu anasema asiye fanya kazi asile mbarkiwe
Kweli kabisaaa ulimtabiri Magufuri vyote vinne ulivotabiri ndivyo alivyokuwa anapambania Magufuri pumzika kwa amani Jembe
Kweli baba.mungu akurehemu pia
Que vive l'Afrique, vive la Rdc sans oublier la Tanzanie 🇹🇿.
Amani lekule😢🎉
Jivgd ddgg yu LMC zD du
Kumbe magufuli alifata maneno ya baba wa taifa ndio maana kaweza rip magufuli
Ni kweli wanafanana hata tabia zao ,Nyerere kaua Wazanzibar kibao maelfu kutokana na mapinduzi alitoyafanya kule.Makufuli kaua raia zske kibao hapa aTanzania bara akiwemo Ben Saa Nane ,Azory Gamba na mamia ya watu yaliyokua yakiokotwa kwenye viroba pwani bichi Wanapumzikaje kwa amani na roho za watu walizozitanguliza kwa dhulma?Tusiwe wajinga.
@@maulidimuhammed7851 Mjinga ni wewe , peleka ushoga kwenu Zanzibar.
Msenge kabisa !
R.I.P. we love you forever President Nyerere
Mungu awaweke mahali pema patulivu waliotangulia mbele za haki, na awalinde wale wote wanao endelea kujitoa kwa kusimamia haki ya Kila mmoja milele AMINA.
Tumekuwa na marais wazuri sana, Mungu ametupendelea sana watz, na atatupa tena rais mwenye viwango hivyo hivi karibuni! Mungu azidi ibariki Tanzania.
Tutawakumbuka daima viongozi wetu Pumzikeni kwa amani😭😭😭😭
Ö
.olp
Wanapumzikaje kwa amani wauwaji?Wadini na wakabila .
Baba nilimpata kiongozi ila Mungu kampenda tena
Mungu awaweke maali pema peponi Amina 🙏
Tutamkumbuka milele na milele. Magufuli shuja wuja.
How you can most important leader struggle for our nation R.I.P our beloved leader
Baba endelea kupumzika kwa amani pamoja na shujaa wetu John pombe magufuri mungu anajua mlicho kifanya ndani ya Taifa hili la Tanzania pumzikeni kwa Amani 😊
Mabadiliko tumeyaona kwa JPM ndani ya miaka 5 hakika ulimtabiria,
Mwl Nyerere fought corruption, tribalism nor did he discriminate any one. But we have witnessed discrimination in religion to the extent of exposing the followers of a certain religion to put on uniforms even in public offices, schools etc. Past 5 yrs tribalism took us to a dark corner. Northern tribes and some few tribes from Lake zone who were in public service were unlawfully sacked some oppressed, abused to force them to quit office etc. Other principle officers of the forced their junior officers to communicate in their vernacular (kisukuma) so that other officers from different tribes would not understand. Thank God for saving us from such hatred. We are one again thank you your Excellency Samia Suluhu Hassan our lovely President of the United Republic of Tanzania😘😘😘
Kila mwenye maono huongozwa na nafsi ya iman# hakika Mwl alikuwa kiongozi imara na aliyekidhi matakwa ya watanzania wote
Mzee wa maono Rip nyerere
Asante sana hayati raisi wetu J.K.Nyerere. kwa kuondoa ukabila nchini kwetu.
Anachokisema baba wa taifa tulimpata mtu ambae hupepesi maneno
Mwalimu NYERERE Dr John Joseph POMBE MAGUFULI
Nyayo zenu tutafuata
ALUTA continua
Mapambano bado yanaendelea
KWELI,MUNGU WA KWELI hana dini wala dhehebu .
Hakika
Pumzikeni kwa amani mwlm Nyerere na JPM
Wanapumzikaje kwa amani wakati wamedhulumu roho za binadamu wenzao?Au unaomba dua hii kwa sababu katika wengi wa waliouliwa hayumo baba yako,mjomba yako au kaka yakoSio?Basi ujue wamo wa wenzio.Hiyo ni roho mbaya ya nafsi ya kichawi hivyo ndivyo ulivyo.
Nabaki tu natabasamu nikimuangalia uyu shujaa
U liangalia kwa jicho la tatu mungu akurehem.kapatikana mtumbuaji tena bila gazi.na anakemea rushw
JKN na JPM mpumzike kwa amani. Mashujaa waliojaa uzalendo mkubwa wa kweli wa nchi yao. Mlale salama huko mliko.😭😭😭😭😭
Wazalendo baba wa Taifa na Magu pumzikeni kwa amani tunawakumbuka kwa mema mliofanya
IN SWAHILI NYERERE SAID: PEOPLE ARE POOR WITHIN A RICH COUNTRY TANZNIA WITH MAJESTIC NATURAL RESOURCES. RIP OUR FATHER.
Huyu baba Alikuwa Na maono
Alikuwa na maono makali Sana! Mwenyezimungu wapumzishe Kwa amani mashujaa wetu wajalie pepo isiyo na mwisho!
Amiin yaraby
Awamu zote magufuli namwalim nyerere walikuwa zaidi yaviongoz bora Africa nawakuigwa Mambo yao .
Allha akupe kauli sabiti baba wataifa, 2takukumbuka daimaa
Tutawakumbuka. Sana. Wazeewetu munguawaripe. Kwakire. Mmetufanyia. Watazania
Kweri raisi magufuri hatuta msahau kamwe
Asante magufuri
Mwalimu nyerere yuko sawa tumkumbuke sana baba yetu wa taifa
Ndo maana hupenda kujiita mjukuu wa Nyerere nikiwa kwetu Kenya watu wanadhani siienzi nchi yangu lakini ni mahaba yangu kwa Nyerere ndo yanayonifanya kujihusisha naye zaidi
Asante sana,🇹🇿🇹🇿Tz tunakupenda
Mashujaa wainji yetu ya Tanzania wako wawili tuu Mangu fuli na baba wa taifa enendeni mkapumzike salama😢😢😢
Kijana wako ametuacha .Utendaji wake utaishi karine mbili
Genious. 🎉🎉🎉
tunakukumbuka sana baba wa taifa mungu akuweke panaposthiki
we mic u so much hero. jk nyerere.. may rest in internal soul peace dady...
Huyo mzee n kichwa..
Tutayakumbuka maneno yako Jk Nyerere
Asante mkombozi wetu mangufuli yote hayo ameyafanya lakini mungu kamchukua mapema🙆🙆🙆
Kweli kabisa
Sana inauma lkn atuna jins
Kama tuanona uko ahkhera bas wataonana inshalh 😭😭
Kwer tuli mpataa huyo kiukwer katimiza yakee ya liokuwa yaki hitajika. Mupumzike kwa Aman
Rare intelligence with high moral value. What was his worldviews of government?
Allah awapokee nakuwalipa malipo mema kwa kuwa Bado tunamlilia tupate Rais mwingine kamati za utezi wa viongozi wa Juu,awajazwe Roho ya kweli na kutupatie mtetezi wa wanyonge wa nchi hii,
Mwamba wa Africa Mwl Nyerere ,the giant of peace and security of Africa. Ndio maana African Union wamekujengea ukumbi wa mikutano pale Addis Ethiopia. Pumzika Mwl.Nyerere na mwanao magufuli mmetuheshimisha watanzania tutafuata nyayo zenu kulinda Mali zetu.R.I.p
You did a great job sir
Hotuba ya Nyerere yenye busara Sana na muhimu sana.
May the Lord continue resting you in peace.
Tuungane Sasa Watanzania tuache ujinga wa makabila Na uchama
Nyerere ,,, vizazi vijavyo vitamsahau, generation haimjui tunahitaji video za nyerere kuanzia chekechekea
mungu akupumzishe baba yetu wa tz
Mungu atusidie ili Kila kiongozi ashike maadili hasa kuwa na hofu ya mungu