HOTUBA YA NYERERE NA MAGUFULI/MSIWAABUDU WAZUNGU NI MAJAMBAZI HAWAWPENDI WANATAKA MALI ZENU TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 213

  • @charlesmihayo1275
    @charlesmihayo1275 3 ปีที่แล้ว +13

    Inaumiza sana hizi hotuba tunakumbuka na kukulilia baba kama umeenda kwa mipango ya mungu roho yako aiweke mahali pema peponi.AMINA.

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 3 ปีที่แล้ว +33

    Hawa ndio viongozi wazalendo, wanaokuwa tayari ku sacrifice maisha yao kwa ajili ya Watanzania.
    Hayati J.K. Nyerere na J.P. Magufuli, mtuombee ili Watanzania wote tuwe kama ninyi. Amina.

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 3 ปีที่แล้ว +24

    Kusema ukweli hawa washenzi waliomuua Magufuli wametukomesha haswa.Tz ilkua inakuja juu sana chini ya huyu mwamba,sasa wametuondolea Rais wetu hatuna tena pa kukimbilia,RIP John wetu😭😭😭😭😭😭😭

  • @aminakm2009
    @aminakm2009 3 ปีที่แล้ว +9

    Kwa uchonganishi wawo nima exoert njo chenye walisomeyaga long live hayati tutatembeleya nyao zako daima ❤

  • @zuhurakassu1427
    @zuhurakassu1427 3 ปีที่แล้ว +20

    Umeona bb wa taifa maneno. Mazuri huyu ni km maguful hivo hayat maguful alikua sahihi wivu wa maberuberu

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 ปีที่แล้ว +23

    Mzee wetu kaongea maneno mazito sana

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 ปีที่แล้ว +27

    Africa kila anapotokea raisi mwenye misimamo na mzarendo na nchi yake uwa anachukiwa na wazungu adi waafrica wenyewe.. Tunawapenda kama wakina mobutu wanaouza nchi kwa mabeberu

  • @ndamarevocatus4918
    @ndamarevocatus4918 3 ปีที่แล้ว +18

    ULITUAHIDI KUWA PAMOJA NASI NA UKAWA KWELI, UKATUOMBA TUKUOMBEE NA TULIKUOMBEA KWELI, SEMA MUNGU NDIE ALIAMUA KUTUTENGANISHA KIMWILI LAKINI BADO TUNAISHI KWENYE MAONO YAKO TULIOKUWA TUNAKUELEWA NA KUKUAMINI.

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 3 ปีที่แล้ว +20

    Magufuli ni shujaa na Mzalendo wa kweli.Ana utu na hana ukibaraka hata chembe.
    Tumuenzini kwa kuzalisha Umagufuli mwingi.
    Wakipatikana Magufuli wakutosha ndo tutakua tumejikomboa waafrika na wa Tz.
    Tumuombeni sana Mungu atusaidie na siai tujitahidi kila mmoja kupambana na kulinda Rasilimali zetu.....

  • @omaryally198
    @omaryally198 3 ปีที่แล้ว +17

    Ukiona huna uchungu tz ujue unachembe chembe za ubeberu tu, R.I.P JPM, R.I.P, mwalimu

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu hawalinde ma legend

  • @lucasmugoma2870
    @lucasmugoma2870 3 ปีที่แล้ว +24

    Alafu mnasema samia ni rais au kibaraka tu huyu mimi rais wangu ni magufuli sio samia huyo samia sijamchagua mimi na sitaki hata kuiona sura yake huyu kibaraka mkubwa

  • @jonimarwa597
    @jonimarwa597 2 ปีที่แล้ว

    Marais waliokuwa tofauti na wengine ni Hawa tu! Wawili Mungu awalaze mahali pema peponi Amina!

  • @juliusmnkondo5574
    @juliusmnkondo5574 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu pumzisha roho za wapendwa wetu Hawa tunawakumbuka sana

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Ailaze Roho yako maali pema pempeni Baba wetu Mimi Bando sijaamini kama umetutoka Najua siku moja utarudi tu mungu Ni wsmajabu maisha yangu yote sitawai kukuzau Rais wangu

  • @jayfourtv115
    @jayfourtv115 3 ปีที่แล้ว +12

    Yaani kama yupo hai maana hizi hutuba nazihisi kwa hisia kama namuona akiwa jukwaani namuangalia na kumsikiliza mr jpm

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว +3

      Umeona EE yani zipo kali zamoto

  • @naaanaina2850
    @naaanaina2850 3 ปีที่แล้ว +31

    Huyu mfalme kweli alikuwa tunu kwetu, Mungu amsamehe makosa yake na ajalie ndoto zake zidumu na ili Tz yetu isonge mbele, maneno aloongea Jpm ktk hii hutuba ni mazito sana kama ukiielewa

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +4

      Ni kweli kbs

    • @salehestambul5535
      @salehestambul5535 3 ปีที่แล้ว

      Anachonifurahisha, ni Kama anaongea na familia yake kwa uchungu sana, ona akihutubia kundi kubwa la kimasikini ktk nchi yenye utajili wa kila aina. Safi jpm mungu akulaze pema.

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 ปีที่แล้ว +14

    Tuendelee kuwaenzi hawa waasisi wetu na tufuate hekima yao.

  • @martinmsonga2290
    @martinmsonga2290 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante Baba

  • @pembeelangombe187
    @pembeelangombe187 2 ปีที่แล้ว

    Viongoz hawa ndo tunaomba mungu tuwapate tena kama hawa pumnziken kwa amani mungu atawalipa kwa wema wenu kwa watanzania masikini

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 3 ปีที่แล้ว +8

    Jamani, nalia kila siku, wapi tena tutapata mtu kama Nyerere na Magufuli?

  • @radiusbakashaya2801
    @radiusbakashaya2801 3 ปีที่แล้ว +23

    Magufuri nikipata frusa yakulinda kaburi yako angalau nisirpwe nikae nasikiliz a hotuba zako na Picha yako

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว +6

      Mm mungu angenijalia kipato kila mwaka nindetoa ALUBAM INAYO HUSU MANENO YAKE MAANA NAJIULIZA NITATOA NINI KWA MUNGU KWAAJILI YA MWANA MWEMA HUYU MUNGU ALIVYO RUHUSU AWE M TZ SIONI

    • @yoakimmsuha9636
      @yoakimmsuha9636 3 ปีที่แล้ว

      Namm pia

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +8

    😀😀😀😀😂😂😂😂R.I.P mtoto mtiifu wa Nyerere uliyeendeleza sera za baba yako mkombozi wa nchi JKN...daima tutawakumbuka

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee hayo maneno mazito uliyoongea hatuwezi amini kuwa umekufa kwa ahadi ya mungu. Ila kama ni mungu amekuita basi mungu ashukuriwe. Nenda salama shujaa wa afrika.

  • @ernestmasanja2589
    @ernestmasanja2589 3 ปีที่แล้ว +14

    Hawa viongozi kweli ni wazalendo walikua hawawaogopi Mabeberu viongozi wa sasa waige msimamo thabiti na kufuata nyayo zao.

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu yangu weshaanza kumgeuka hata mwezi bado.

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 3 ปีที่แล้ว +14

    dume la mbeugu,ipo siku Mungu awaaibisha mafisadi atamleta magu mwingine

  • @davidomach6082
    @davidomach6082 3 ปีที่แล้ว +15

    This was a leader and shall forever remains so.

  • @zakariampompo953
    @zakariampompo953 3 ปีที่แล้ว +8

    Mzee Uliona Mbali Sana,R.I.P

  • @mwashibenard2280
    @mwashibenard2280 3 ปีที่แล้ว +26

    Huyu mwamba wamemuondosha ila falsafa zake tutabaki nazo daima.
    Wamekuondoa kimwili ila fikra na umwamba wako upo hai.

    • @georgedimale3872
      @georgedimale3872 3 ปีที่แล้ว

      Mimi najiuliza sijaona samia aki muzunguzia wazungu wala uchumi wanchi yetu sijui ndio tayari wame mshika mana nasikia
      Wapigaji wanasema nchii ni msikini kitu ambacho hakiwezekan

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante mzee wetu Musa no moja tuombee watzd giza limetufunika watesi wetu wameanza kututafuna

  • @senseiamazing1823
    @senseiamazing1823 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwambaaaaaaa magufuli rest in peace our president of Tanzania and Afrikaans

  • @johnsonjulius7832
    @johnsonjulius7832 3 ปีที่แล้ว +9

    Hawa walikuwa ni viongozi wazalendo sana. Pumzikeni kwa amani wazee wetu

  • @charlesngalya2681
    @charlesngalya2681 2 ปีที่แล้ว

    Ee mungu walehemu viongozi wetu waliotangulia mbele zako baba JK,Jpm Sasa hivi huku wanatubuluza wanavyotaka wenyewe matajili ndo swali kabisa walalahoi mmmm! Mungu we unaona

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 3 ปีที่แล้ว +6

    Kaja mwakilishi wa wazungu sasa
    JPM WEWE ulidhani msaidizi WAKO lakini kumbe alikuwa msaliti wako mkuu.
    Tunaumia sana wanyonge
    YEYE kucha kupanda ndege tu.

  • @patrickmarwa5024
    @patrickmarwa5024 ปีที่แล้ว

    Hakuna kiongozi mzalendo kati ya awa wote hapa tatizo tuliwahi sana kudai uhuru tulitakiwa kudai huru mwaka 2020 hili hii nchi kwa rasmali zilizopo hii nchi ingekuwa mbali sana maana wazungu wangeijenga nchi vizuri kuweka miundo mbinu yote mfano nchi ya south africa wamechelewa kudai uhuru nchi imejegwa vizuri uwezi kusikia leo hii south africa kiongozi akiingia madarakani anaenda kupambna na nishati ya umeme au maji vipo sawa.

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka leo najua rais wangu ni JPM mwingine mpaka wananchi tumchague 2025

  • @bennalfamahundi6621
    @bennalfamahundi6621 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakubal san ila kun watu nilikua napend waangalie hii link km risu mang kimambi na roma naikubali san tz ila nakerek san na baaz ya watu wachach

  • @jumakilewa7265
    @jumakilewa7265 3 ปีที่แล้ว +9

    Viongozi wa Afrika wanafiki tuwatambue na tuwasute vibaraka wa wazungu hawafai.

  • @kennirochok5067
    @kennirochok5067 3 ปีที่แล้ว +7

    Mzee walikuwai lakini tupo wengi tunakufuata

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana kiongozi hakika africa tutabakia watumwa daima kwa maana wanaotuangusha ni viongozi wetu tuliowapa dhamana ya madaraka

  • @shukranipaul5463
    @shukranipaul5463 3 ปีที่แล้ว +1

    Nitakukumbuuka daima my sawa bwana kazi ya Mungu haina makosa

  • @moricemorice75
    @moricemorice75 3 ปีที่แล้ว +13

    Dr nyie watu wawili nyie najua mko pepon mungu awe nanyi.

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 3 ปีที่แล้ว +1

      Nyerere hawezi kuwa peponi, alikuwa mshirikina sana ila mwamba magufuli moja kwa moja amepokelewa

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      @@elishakayagwa9371 🙏🙏

  • @michaelmwambona3017
    @michaelmwambona3017 3 ปีที่แล้ว

    Daima tunawakumbuka kwamambo mema na ushujaa mlio tuonyeshea najua kwasasa mlisha kutana hukomliko kwenda nakama ingewezekana ningemuomba mungu awarudishe mmalizie kazi pare mlipo paacha

  • @thomasmdasi1999
    @thomasmdasi1999 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwli kunavibaraka wanatutesa

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 ปีที่แล้ว +5

    Mzee, vibaraka bado wapo. Tumempata mwingine anaitwa Samia.

  • @arineitwemoses297
    @arineitwemoses297 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante baba.. Tutakukumbuka

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 3 ปีที่แล้ว +9

    Waliokua wamezoea vya bure

  • @mathiasmb4967
    @mathiasmb4967 3 ปีที่แล้ว +1

    😄😄😄😄😄😄😄 ulikuwa mwaume shupavu,💪💪💪💪 mambo yakakataha😄😄😄,
    " mambo ya kulima😄😄😄♥♥♥♥.

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 3 ปีที่แล้ว +4

    True African leader JK,JPM rest in peace.

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 2 ปีที่แล้ว

    Ipo,,cku!!,,
    Ukweli itajulikana tuu 🪴🪴✍️🙏💞

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mwamba kweli mwanaume sio nyerere yeno hakufanya cho chote wala lolote ni kibaraka wazungu wangereza akafa huko london makufuli mwanaume bwana

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว

    Vibaraka tu ndio wanapo pakukimbilia ubeligiji canada marekani kiongozi wa shoga papa lisu

  • @aishanassoro8326
    @aishanassoro8326 2 ปีที่แล้ว +1

    Unatuliza sana magu wetu tunakukumbuka sana😭😭😭

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 2 ปีที่แล้ว

    Hawa ndio viongozi waliowapenda wananchi wa Tanzania.

  • @nyambabesikimai2776
    @nyambabesikimai2776 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kauli hizo mzee asingeachwa salama ni lazima maadui wawe wengi; RIP baba

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 3 ปีที่แล้ว +1

    SHUJAA WETU MAGUFULI TUTAFUATA NYAYO ZAKO ALUTA CONTINUE.
    The STRUGGLE CONTINUOUS
    Mapambano bado yanaendelea
    RIP MAGUFULI
    UFISADI UKOMESHWE TANZANIA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI.
    RIP JPM

  • @michaelmwambona3017
    @michaelmwambona3017 3 ปีที่แล้ว

    Poreni sana kumbe hamkujua yotehayo mama samia nikibaraka wamalekani kutoka mwanzo nainawezekana nakifo cha rais wetu anahusika nakama hausiki vigogo wamarekani wanataka nini hapakwetu nandege yao yamarekani inataka nini hapa jiurizeni na mtapata majibu

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Tuseme hata huyu Marehemu Nyerere wakati yupo huko UK inawezekana walimfanyia figisu figisu kumuuwa! Au hakuna anaejuwa!

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni channel sahihi kabisa

  • @latifabashiru5598
    @latifabashiru5598 3 ปีที่แล้ว

    Hizi clip hao viongozi washenz wa ccm huwa hawaziskii ?

  • @nyambabesikimai2776
    @nyambabesikimai2776 3 ปีที่แล้ว

    Hawa mabeberu interest yao ni viongozi watakao wasaidia masilahi yao, wafrika tusipokuwa makini kwa hawa wezi wa rasilimali zetu tutasbili sana na kibaya zaidi tunatumiwa ss kwa ss kuuwana kwa kuhongwa pesa na kuahidiwa madaraka pasipo kuhoji faida na hasara

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atatulipizia kisasi Kwa yote haya

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumesha dolora Baba, tumerudi awamu ya 4

  • @martinmsonga2290
    @martinmsonga2290 3 ปีที่แล้ว +4

    PUZIKA KWA AMANIBABA

  • @abuukachale1126
    @abuukachale1126 3 ปีที่แล้ว

    Africa pasopa , atakaye kuwa na msimamo hawezi kudumu

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 3 ปีที่แล้ว

    hahahaha visa ya mitaani aisee wazungu

  • @ErnestShija-y2f
    @ErnestShija-y2f 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze huko uliko

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Hii nilikuwa sijawahi kuiona.

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😘😎❤️💞💞🤝🤲🙏🙏🙏🙏🤝🤲mungu akupee faraja daima peponiii

  • @samwelilaizer661
    @samwelilaizer661 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndo walikuwa viongozi wa kweli katika taifa letu la Tanzania tutawakumbuka na kuwaenzi daima

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว

    Hotuba zako Mwl huwa hazichuji. Hata usikilize asubuhi mpaka jioni ukilala ukiamka bado zinavutia. Kisa uzalendo wa damu. Ukichanjwa ulikuwa unatoka uzalendo sio damu. RIP Baba w 60mil uchumi kati sasa. Hiyo ndio kweli ya Wakoloni. Mungu atuepushe. RIP Mungu akuoneshe uso wake wa huruma.

  • @prosperulungi2998
    @prosperulungi2998 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli magufuli alikuwa akifata nyayo za nyerere

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu ni rais kabisa, ,,, MUNGU tupe replacement,, viogoz vibaraka, MUNGU watupilie mbali

  • @baltazaryjohn1968
    @baltazaryjohn1968 2 ปีที่แล้ว

    Wapumzike kwaamanii jmn viongozi wetuu

  • @MairaMtaki
    @MairaMtaki 9 หลายเดือนก่อน

    Mabeberu watuache kwa ni watu wasio wema na hawana shukurani washanyonya vingapi

  • @drfred7707
    @drfred7707 ปีที่แล้ว

    Now we understand that we lost a real Leader

  • @princebuganzilut2047
    @princebuganzilut2047 3 ปีที่แล้ว +1

    Watakatifu Nyerere , Mkapa na JPM mtuombee huko mlipo.
    Najua warokole waliokubali vitabu vya mzungu kak bible watachukiavkuwaita hawa wazee watakatifu. Ila wako radhi wawaite wazungu watakatifu. Mnisamehe tu

  • @muzdalfaaladina519
    @muzdalfaaladina519 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah so sad pumzika kwa amani shujaa never hutatoka katika mioyo ya watanzania wanyonge😭😭😭😭😭😭🙏🏻

  • @jumakilewa7265
    @jumakilewa7265 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nashangaa hapa Tz na Afrika b bado viongozi wa Afrika

  • @jamesselemani5530
    @jamesselemani5530 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii video ya Nyerere Tundulissu huwa anaiangalia alivyo kibaraka wa wazungu mjinga yule?

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Majembe haya, MUNGU tupe replacement

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 ปีที่แล้ว +1

    Babu nakukumbuka sana.

  • @agnesmathei4689
    @agnesmathei4689 3 ปีที่แล้ว

    Magufuri baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @nestor384
    @nestor384 3 ปีที่แล้ว +3

    He come to remind us if we want the true development path it is that JPM took.

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Haya maneno yanajenga,, kabisa,

  • @joelnaja9935
    @joelnaja9935 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo clip ya Nyerere naomba link plz

  • @mowabumussa7938
    @mowabumussa7938 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli kwanini amewahi kuondoka jamani angeback Kwanza

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 6 หลายเดือนก่อน

    Our president is hearing this

  • @salehestambul5535
    @salehestambul5535 3 ปีที่แล้ว +1

    Alichokuwa akinifurahisha ni Kama anaongea na familia yake kwa uchungu mkubwa, ona akihutubia kundi kubwa la umasikini ktk nchi yenye utajili jili wa kila aina. Mungu akulaze pema jpm.

  • @samgwazay1208
    @samgwazay1208 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @vijanadigital3935
    @vijanadigital3935 3 ปีที่แล้ว +6

    "Mabeberu wanamezeya mate"

  • @nbaben10
    @nbaben10 3 ปีที่แล้ว +3

    Zamani umasikini ulikuwa umetawala tanzania rais hatahana tangazo

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli ni jeshi kubwa na ataendelea kuishi mioyoni mwetu.

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 ปีที่แล้ว

    Kaa

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 ปีที่แล้ว +3

    KIUKWELI JPM DAMU YAKO AITAWAACHA SALAMA KAMA WAMELIFANYA ILO.😭

    • @fatumaomar778
      @fatumaomar778 3 ปีที่แล้ว

      Dah!inauma sana ,laana itawafuna wanaowaona mabeberu Munguwatu nakuwasujudia kila siku kiguu na njia na wanaokusaliti ,RIP baba yetu JPM

    • @fatumaomar778
      @fatumaomar778 3 ปีที่แล้ว

      R I P baba wa Taifa Mwl .Nyerere tutawakumbuka daima

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +1

    🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️mungu akulaze mahala pema rais wetu😭😭mwenyezi mungu tuongozee huyu mama afate nyayo za magufuri jamani jamani tutapata kama wewe kweli

    • @alanusrespicius1796
      @alanusrespicius1796 3 ปีที่แล้ว

      Nchi ishamshinda huyu mama. Ngoja hii minne iishe tuchague tena tuone kama tutabahatika tena.

    • @balkeesfatah8898
      @balkeesfatah8898 3 ปีที่แล้ว

      @@alanusrespicius1796 waibaji kura hawa CCM tutawaweza kweli

  • @yovithaobed5574
    @yovithaobed5574 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 ปีที่แล้ว

    Bado sana mapambano. Vibaraka wapo.

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว

    Walahibnaadawapo japowachache 1jawaponi jpm