ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Fix You: 'Kujichua kunaivunja ndoa yangu, kila siku nagombana na mke wangu' Dr Isaac Maro anamshauri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2023
  • Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
    / @simulizinasauti

ความคิดเห็น • 169

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 ปีที่แล้ว +21

    Jambo hili ni baya sana mbele za Mungu linda moyo wako kuliko yote ulindayo maana ndiko zitokako chemichemi za uzima mithali 4:23

  • @timothymikola2317
    @timothymikola2317 ปีที่แล้ว +4

    Maro we genius nimekuelewa sana

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 ปีที่แล้ว +7

    Hii kwa mambo ya kiroho ni mapepo.mapepo hata ni addiction kama kwa madawa ya kulevya.pia ni uzinifu sawa na uzidifu mwingine.kimbia hilo people saana when you fill like to do it fikiria mambo mengine kwa kichwa kama kusoma neno la Mungu etc.

  • @bettyadhiambo9557
    @bettyadhiambo9557 ปีที่แล้ว +4

    Mafundisho mazuri kweli Asanteni

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan Dr. Nimekuelewa na nimekupenda bure❤❤❤🙏🙏👍👍🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Balogetv
    @Balogetv ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Kaka umetupa ushauli wa maana nahis utatusaidia sana kama wahanga wa hili

  • @ChrissBou-k8j
    @ChrissBou-k8j 26 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda swal

  • @DenisDonat-lg4gh
    @DenisDonat-lg4gh ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiw dr isaac somo zuri

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 ปีที่แล้ว +9

    Shukran sana kaka,hakika nimejifunza mengi

  • @user-ox9uq9ed2c
    @user-ox9uq9ed2c 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Dr naomba no zako Asante

  • @rpynoel566
    @rpynoel566 ปีที่แล้ว +10

    Wenye Hela hawan nguvu za kiume, weny nguvu za kiume hawana Hela! Tutafte watoto tu maana ukiwa huna Hela ndani hata kusimamisha huwez

  • @damaresi
    @damaresi ปีที่แล้ว +2

    💚💚💚Hahaaa hiyo salamu...sasa
    ....
    Nilizani una sema na wewe ume bahatika kufanya ...... hahahaa🤳🤳🤳

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว +6

    Ooooffffff Mungu tusaidie jmn

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว

    Elimu Nzuri SANA Ila Tuwe Na Tabia Nzuri Mungu Yupo Nasi

  • @bujsaudaselemani5562
    @bujsaudaselemani5562 ปีที่แล้ว +3

    Shukurani sana

  • @joharyrajabu7056
    @joharyrajabu7056 ปีที่แล้ว +1

    Dr. Issack maroo ni mgodi unaotembea ilitakiwa muutumie kweli kweli naona kama mtangazaji alikosa maswali mhimu ya kumuuliza sijajua kwa nini hii interview asingeifanya sky mwenyewe.

  • @user-rs1qk2hn8r
    @user-rs1qk2hn8r 6 หลายเดือนก่อน

    Big up, nmeenjoy somo la leo

  • @gadluck4362
    @gadluck4362 ปีที่แล้ว +4

    Dah doctor kaongea kitaalamu sana, achana na wale waganga wakuuza dawa za nguvu za kiume

  • @eliminalevocatus2079
    @eliminalevocatus2079 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimepita tuu nasoma comments kuna watu wanachekesha sana.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +2

    PUNYETO si mwanaume tu' hata Kwa Mwanamke ni hatari inasababisha pia Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa..!

  • @user-gu9bk4xf3y
    @user-gu9bk4xf3y 3 หลายเดือนก่อน

    Dkt kuna rafiki yangu ataki kabisa kufanya mapenzi na mke wake ila anapenda kujichua sana kiasi ndoa iko mashakani je anasaidikaje

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir3153 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa namkubali sana kwq kweli mkweli sana nimeangalia video zake sana afya check wqkat mama watoto mjamzito amenisaidia sana

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla ปีที่แล้ว +3

    Atumie supplement flani hv zinaitwa Maca root ni nzuri sana ziko interms of capsule after 30 days kila siku awe anatumia 2capsules ataona mabadiliko aaache kujinyonga for three months kwanza

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 ปีที่แล้ว +1

      Zinapatikana wapi

    • @yama_virginhairthequeen1065
      @yama_virginhairthequeen1065 ปีที่แล้ว

      @@highthemetv7857 Macca nzuri n ya powerd haijachanganywa n camicals zozote utakunywa na uji or shake or smothe yy y matunda o juice o maziwa

  • @felixkato6283
    @felixkato6283 ปีที่แล้ว +4

    Mm mkewangu akitoka akasafiri shetwan ananivamia napiga masta b so kila Mara Dr si itaweza kuniletea shida mbelen

  • @jescaclemency-gr4tm
    @jescaclemency-gr4tm ปีที่แล้ว +2

    OK

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 ปีที่แล้ว +21

    Mwambieni anitafute tuongee mimi nitamsaidia ili tujue afanye nini naamini atapona bila dawa. Kama yuko tayari aweke no yake ya simu ya whatsp. Mimi niko nje ya nchi. Furaha yangu ni kuona furaha ya wana ndoa na amani yao.

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nishampigia nyeto huyu dada mtangazaji aisee macho yake nimenunua sabuni na vikopo vya mafuta ya mgando.kawada huwa sabuni nawaibia wapangaji wenzangu kumbe nina kazi nazo binafsi.

    • @perfectinnocent1875
      @perfectinnocent1875 ปีที่แล้ว

      Naomba namba ako

    • @iddimasika1173
      @iddimasika1173 ปีที่แล้ว +1

      Tuma no yako tukutafute

    • @officialpaulmabula8346
      @officialpaulmabula8346 ปีที่แล้ว

      Tuma namba

    • @aleeyfani8
      @aleeyfani8 ปีที่แล้ว

      Habari,

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว +3

    Kumbe inafaiiiida ok

  • @alidyaya4512
    @alidyaya4512 ปีที่แล้ว +2

    Mbona isac na irene mmefanana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +2

    Dr yuko vizuri sana💯
    But bado inaitwa addiction

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว

    Mm ninachojua mwanaume akiwa na UOGA anamaliza haraka, akiwa amepania sana anawahi kumaliza, akiona kitu kikam-bore pia atawahi kumaliza.... Na ukijichuwa unsjisikia kichwa kugonga au sometime sambamba na kuchoka sana..... Hivyo wahuni tujitahidi kupambana na kuepuka hii kitu japo inanadiwa kama kitu kisichoachika kirahisi.

  • @umelamedia
    @umelamedia ปีที่แล้ว +1

    Aloooo noma let's learn

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      Mimi nimeshakua mraibu wa kujichua yaani aje mwanamle yeyote lazima cha kwanza nipige self.nikimuoma dada mzuri tu lazima nimpigie nyeto.Hapa huyu mdada mtangazaji tu keshaniumiza tayari namtafutia sabuni.ila sipotezi performance yangu pia kwa mwanamke nampelekea moto kama kawaida kule kunako mpaka maji aite mma.Ila kujichua siachi

  • @selapionalfred9454
    @selapionalfred9454 ปีที่แล้ว +2

    It's true

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 ปีที่แล้ว +5

    “Kujichukulia sheria mkononi”ni hatari sana

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว

    “Mnachuana “ kazi kweli kweli 😂😂😂😂

  • @hajihamadi4130
    @hajihamadi4130 10 หลายเดือนก่อน

    Walio athirika na Hilo Jambo tupo wengi na wengine wanahitajia msaada hebu saidia mawasiliano au namna ya kupata msaada wenu. Nivyema labda kuonana .

  • @trillionthamani
    @trillionthamani ปีที่แล้ว +10

    Namlaumu sana binam yangu alinifundisha nyeto ya mafuta mpk leo sitaki kuyaona mafuta yoyote ya mgando

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +1

    Sema PUNYETO.....hicho kiingereza hatuelewi...!

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +3

    Hatari nimejifunza kitu

  • @hobokelamikael9682
    @hobokelamikael9682 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni addiction mkuu...

  • @MigomgoMigali-ky1jl
    @MigomgoMigali-ky1jl 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna demu nimekutana nae apo namwambia vipi sasa twende geto et ananimbia nipe 30000 apo daaha na hali ivyo ngumu ivi nikaenda chapu nikajichukulia sheria mkononi nikalala zangu

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe siyo nzuri‼️
    Ila nimesikiliza vizuri ni kama ina faida zake pia au nimeelewa vibaya.🤔🤔

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +2

      😂

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna faida yoyote ila ni hatari na maisha yako yanaandamwa na mapepo sanaaa

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna faida yoyote ila ni hatari na maisha yako yanaandamwa na mapepo sanaaa

  • @amiriabdul6305
    @amiriabdul6305 ปีที่แล้ว

    dada apo umekazi et vijana ndio wanaelewa kwenue kumake pesa🤣🤣🥰😀😀

  • @amanididas7660
    @amanididas7660 2 หลายเดือนก่อน

    unajipimiaaaaaaaa😂😂😂😂

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 6 หลายเดือนก่อน

    Doctor naona hautibu tatizo naona maelezo yako kama yanawahamasisha vijana waendelee na huu upuuzi.Kumbuka hili ni tatizo la kiroho sio kisayansi unaweza kutibiwa na bado ukaendelea.Sababu mojawapo ni kuwa unapojichua unakuwa unashiriki ngono na mapepo na zile mbegu unazotoa ndio zinaenda kuzaa watoto wa kishetani kuzimu,hivyo unaweza kuacha na kutibiwa lakini bado ukarudia rudia huu huu uchafu ni ngumu kuacha ,mpaka ufanyiwe maombi makali sana na sadaka ya utengano ya kuvunja agano hilo.Bila hivyo utatapeliwa sana na waganga

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 6 หลายเดือนก่อน

      Nikuambie tu huuuchafu hauna faida yoyote Bali unahasara asilimia 500

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 3 หลายเดือนก่อน

      Nikuacha upuuzi huu aseee

  • @MigomgoMigali-ky1jl
    @MigomgoMigali-ky1jl 2 หลายเดือนก่อน

    Punyeto inasaidia tusiwape watoto wa watu mimba mtaani me nikianza tu kujihususisha tu na mahusiano nampa huyo binti mimba saizi nina watoto watatu kila mtoto na mama yake mimba wadada wametoa wengi tu na mimi hii hali siipendi nimeona bora tu kupiga nyeto

  • @mcjmcheshi
    @mcjmcheshi ปีที่แล้ว +3

    Vitabu vya dini haviruhisu lkn sayans inasema ni mzuri Kwa afya ... Asee Ila usifanye kupitiliza ...... Wahuni tumeelewa

    • @JoelChande
      @JoelChande ปีที่แล้ว

      Na je ukijichua sana alafu ukaja kuowa unaweza mpa mwanamke mimba?

    • @mcjmcheshi
      @mcjmcheshi ปีที่แล้ว +1

      @@JoelChande Sana Tu kujichua hakufanyi kupungua nguvu za kiume ,jichue Kwa afya Kwa wiki mara moja sio mbaya mzee ... Me Niko nawatoto WA tano na ulikua mchezo wangu

    • @JoelChande
      @JoelChande ปีที่แล้ว

      Na je ulikuwa unajichua marangapi kwa siku

    • @mcjmcheshi
      @mcjmcheshi ปีที่แล้ว +1

      Me nilikua nakumosha , nilianza kujichua nilipomaliza darasa la Saba mpaka nilipofika miaka 25 ... Na sanyingine nilikua hata mara tano Kwa siku na kuna wakati nilikua na double.... Unaijua daboling wewe Mzee . Yani unapiga afu unaona hujatosheka unapika tena Una tulia baadae tena , lkn nikaja nikaacha na inawezekana Tu

  • @-zj2zd
    @-zj2zd ปีที่แล้ว

    Nasomatu komet

  • @rickyblair6233
    @rickyblair6233 ปีที่แล้ว +1

    65% weee imo for men is 99%

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 ปีที่แล้ว +2

    Dah!🙂😎

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +6

    Mwanaume anayejichua ni mzuri Sana coz anakuwa hakusumbui Sana unakuwa husumbuki kuoga asubuhi ili uswali

  • @hanihaadamuhanifaadamu4125
    @hanihaadamuhanifaadamu4125 ปีที่แล้ว +1

    Mm ndo kazi yangu kujichuwa

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

      😂🤦

    • @raphaelmheta
      @raphaelmheta ปีที่แล้ว

      Aisee 😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @BIGGIEMANN47
      @BIGGIEMANN47 ปีที่แล้ว

      Unajipimia

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 3 หลายเดือนก่อน

      Acha umbumbumbu,acha tabia hiyo,

  • @pesatamu
    @pesatamu ปีที่แล้ว +1

    Nonstop funny 😂

  • @edwinejumanne6323
    @edwinejumanne6323 ปีที่แล้ว +5

    Lakin pia unakuw unapotez kumbukumbu ukifany marakwamara..........

  • @hasheemomary4507
    @hasheemomary4507 ปีที่แล้ว +10

    🙌KAKA ISAC MIE NIMESIKIA FAIDA TU HAYO MENGINE NTAJUA MIE 😁

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla ปีที่แล้ว +7

    kuna na mawazo pia perfomance Anxiety kiuoga ka kufanya lile jambo ila excessive masturbation si nzuri. kiafya manake too much is harmful....

  • @philipomaganga9746
    @philipomaganga9746 4 หลายเดือนก่อน

    Dkt samahani naomba namba yako

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 ปีที่แล้ว +6

    Na sitamtoza gharama zozote atanishukuru baada ya kupona

  • @joesimba
    @joesimba ปีที่แล้ว +10

    Sasa dadangu maongezi umeyataka wewe na aibu unaona wewe.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว

      😅🤣🤣🤣mambo mengine yataka moyo nyie...haswa kwa Africa.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +3

      Sasa kaka anaongea uku anamgeukia yeye ataachaje kuona soni kwa mfano. Mi mwenyewe naona aibu ingawa hamnioni🙈🙈🙈

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +2

      @@vanessalaizer4363 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว +1

      @@vanessalaizer4363 mimi nishampigia nyeto huyu dada mtangazaji aisee goli 2 tu

    • @perfectinnocent1875
      @perfectinnocent1875 ปีที่แล้ว

      @@vanessalaizer4363 😀😀😀😀

  • @LodyRich8
    @LodyRich8 4 หลายเดือนก่อน

    A

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hajazungumzia nawana wake!?

    • @alfoncenkuwi615
      @alfoncenkuwi615 ปีที่แล้ว

      Anapatikanaje kwa namba yake stellah simon

  • @delphiniusdeocress9798
    @delphiniusdeocress9798 ปีที่แล้ว +5

    Dawa pekee ni kukata mikono

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 ปีที่แล้ว +2

    Topic ngumu kwa dada mtangazaji

  • @habibubinmoss72
    @habibubinmoss72 ปีที่แล้ว +4

    Kwenye izo faida najiskia farajaaa😅😅😅

    • @Manyara-Jr
      @Manyara-Jr ปีที่แล้ว

      🤣🤣

    • @anisethbahati2079
      @anisethbahati2079 ปีที่แล้ว

      Angalia mathara spiritually ndo utajuaaa

    • @KhadijaKiologweaa
      @KhadijaKiologweaa ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @ivomhagama9796
      @ivomhagama9796 3 หลายเดือนก่อน

      Acha umbumbumbu hakuna faida ila kipigo. Cha madhara utaona mbeleni acha

  • @dadooutfit5809
    @dadooutfit5809 ปีที่แล้ว

    Prevention yake ni gani

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว +1

    Anaetaka Tiba na dawa za kujiçhua anitafute napatika Tatizo litamwisha kabisa .

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +1

    Irene dahhhh Irene Irene

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว

      @@irenekamugisha kama umeolewa au una mtu huyo mtu Ana bahati sana 😄

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 ปีที่แล้ว +1

      @@kennethbenjamin275 kwanini jamanii?

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmazullu4933 namuelewaga sana

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmazullu4933 nikimuonaga tu roho nafsi yngu inatuliaa

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 ปีที่แล้ว +7

    Wakenya wanasema kunyonga

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 ปีที่แล้ว +5

    Sema faida zake ndo unyama🤣🤣

  • @gaddafimohd4129
    @gaddafimohd4129 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji Ana blush

    • @hamzabeka9620
      @hamzabeka9620 ปีที่แล้ว +1

      Uckute mwenyew ashawah kujichua

  • @jescaclemency-gr4tm
    @jescaclemency-gr4tm ปีที่แล้ว

    OK