Wew bora ulisafir kwa uchungu huo hongera sana kaka kuna "MANYUMBU" wamesoma nchi hizohizo na wamekua viongozi wa taifa letu lakin ni manyumbu tu , manyumbu, ni manyumbu tu
Amina ubarikiwe sana ndugu yangu kwa makadara ya mwenyezi Mungu ,Mungu tusaidie tupate vijana kama hawa elfu 10,000 ili nchi hii ya Tanzania iamke bado tumelala
Ubarikiwe sana kwa kukitukuza na kukiheshim ki Swahili chetu, alalafu unakiongea kiswahili balabala, bila kukigoshi, unakuta mtu anaongea kiswahili anatuchanganyia na maneno ya kingereza, hii ni utumwa wa rugha
Joram we ni nyerere mpya nakupenda kaka kwa elimu yako kuna wasomi wengine ni kama maamuma tu hayo ndyo tunayoyahitaji kwa wasomi wetu wawe kama wewe mungu akuongoze vema
Lkn msisau hong kong tunanyimwa entry wakati atuna visa wanaturudisha tukiwa tunakila ki2 nilitaka siku nimpe kipindi brother sky lkn cjapata namba yake au namba za maraisi wa darspora tujue km tunavisa tupate visa au km awatutaki bac selkali yao ituambie na serikali yetu itoe tamko.big up brother wazungu walishakwenda kitambo atuwawezi
Mimi nimefika Chuo Kikuu huko Sweden nikakuta mpaka Canteen ya wanafunzi ndio hiyo hiyo ya Maprofesa: sisu huku tumetenga; utazani mahitaji ya miili yso ni tofauti! !!
Leooo nimefurahi hongerenii,wana blog hiii,haya ndoo mamboo ya kutuletea tuyatazame na kusikilizaa,punguzenii,kushabikia mamboo ya ukrainaaaaa na Hamas hayatusaidiii😊
This man should be the given presidential candidate chance in 2030... if he win, he will make this country better than the people of his age who are going to take that chance! That is the Fact
Afrika kinachotuangusha ni serekali zetu,ila kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja sisi tunawazidi mbali wazungu,siku serekali zitajitambua tu tutafika mbali sana ila hatujui siku hiyo itafika lini ya kujitambua basi
Umezungumza vizuri sana kaka, na hivi ndio anavyotaka SETANI(SATAN AU LUSIFA) tuishi huru kabisa, kwa hufuata kitabu chake, tuwache vitabu vye vya mwenyezi mungu tumfuate yeye
Tatizo sisi hatuna uzalendo, hasa viongozi , walio wengi wanajali famalia zao , tungekuwa na viongozi . Kama mama samia . Magufuli. Makonda . Tungendelea sana.
Hii interview ilimstahili Bundala, huyu mwamba ni muhimu sana mngemheshimisha sio kumuhoji kiholela hivyo sisemi mtangazaji hajui ila kiwango chake bado kiko chini
@@anordgerison8639 nauhakika unajua kusoma ila sidhani kama unajua kuelewa unachokisoma, …… hamna sehemu niliposema kwamba mtangazaji hajui , unaweza kurudia kusoma comment hiyo tena, kuelewa na kufikiria badi ni halali haijapigwa marufuku bado…
Amna wakati mwingine maongez ya kukata kata ya mwandishi kujikuta anajua Lakin ameacha jamaa atoe elimu kwa upana. Kuhoji hoji kihorela syo ujuz Huwa ni ufala wakati mwingine
Ni kweli kuhusu lugha ya kwetu kiswahili wazazi wengi hawajali hilo wanakimbilia lugha nyengine,lkn nchi nyengine kama waarabu,wahindi na baadhi ya nchi watoto wanaongea lugha za kwao pia,mimi watoto wangu nawazungumzisha kiswahili mpaka kuna mwaka mmoja nilimpeleka mtoto klinik na nesi aliniuliza mtoto wako unaongea nae lugha gani?nikamuambia kiswahili,akaniambia ni vizuri sana kuhusu lugha ya huku ataijua tu akienda skuli au akicheza na wenziwe,jamani lugha ya nyumbani ni vizuri kuijua pia,utakuta wengine eti wanawapeleka watoto kufundishwa kiswahili wakati baba na mama wanaongea ni aibu,tabia hiyo ipo kwa watanzania,warundi na baadhi ya nchi ingawa sio wote,hata kama mzazi mmoja sio Mtanzania pigania wewe Mtanzania mwanao akijue kiswahili
@@allykwaya hapana kwa GPS labda kama kunakipindi kingine au kama hiyo siku GPS wanaongelea mambo ya uzalendo na maendeleo lakini kuchambua vita sishauri afanye yeye anadunia yake nyingine lakini sio kuchambua vita sababu huyu ni mtu ambae kunavipindi vya dini huwa namuona na akiongea km kiongoz
@@ce-08 Nimekupata vizuri. GPS Ikiongozwa na Mtalamu wa fact and logic Dj Smaa, Mwinuka na masubi inakuwaga Babkubwa sana. Sky akiibua hoja na matukio huwa haichoshi kabisa. Salute SNS
Waswahili kutoka East Africa hatuna umoja wa kusapotiana km Hawa wenzetu wa ngozi nyeupe Unaweza ukafungua mpk mgahawa lkn ndugu zako wa kashindwa Kuja kula tofauti na wenzetu Wahindi Muhindi mwenzao akifungua hata Laundry wapo radhi atoke hata umbali wa km 5 lkn aende kufua nguo kwa Muhindi mwenzie ampe sapot hiyo ndio tofauti yetu na wao Na ndo maana tumeshindwa kua na umoja wa maeneo yetu binafsi ktk Nnchi nyingi tu tumekua na umoja zaid ktk mambo ya kiuhalifu lkn mambo ya kimaendeleo Zero
Huku TANZANIA si mnaleta UChawa kazi kusifia tu viongozi lkn hakuna linalofanyika UFISADI na kufikiria matumbo yao tu na kuleta siasa kwenye kila kitu Sasa maendeleo yatakuja lini..?
Umoja upi unaoutaka?fuata kilichokuwezasha kuwa ulipo,ukiwa Tz ukikaa n'a Mhaya akiongezeka Mhaya mwingine ikiwa wewe sio Mhaya anakuacha sembuse huko ulipo kwa sasa.
Wamekua wakiiba utajiri wa nchi za Africa kwa miaka nchi kama Congo 🇨🇩 wanagombanishwa ili wachote Mali, wanaiba mafuta kwa mataifa ya Kiarabu. Leo Mzee Mseven anaanzisha bomba la mafuta eti anaharibu mazingira.Acha kuwatukuza Majizi na Warafi wakubwa hao
Wewe unaona wezi lakini viongozi Wenu Waafrika wanaodai wanalinda rasilimali zenu kumbe wao ndio wanaiba lakini kwaajili ya matumbo yao ila kama wageni hao wanaiba kwaajili ya maslahi mapana ya nchi zai
Habari Joram mimi sijakutana nawewe ana kwa ana ila nimekutana nawewe kupitia kazi zako na naamin siku moja tutaandika kitabu pamoja
Wew bora ulisafir kwa uchungu huo hongera sana kaka kuna "MANYUMBU" wamesoma nchi hizohizo na wamekua viongozi wa taifa letu lakin ni manyumbu tu , manyumbu, ni manyumbu tu
Dah nilitamani siku huyu Mwamba tumskie dah SnS ni level nyengine big up
Rais wa 🇹🇿 wa abeee ishaallah
Amina ubarikiwe sana ndugu yangu kwa makadara ya mwenyezi Mungu ,Mungu tusaidie tupate vijana kama hawa elfu 10,000 ili nchi hii ya Tanzania iamke bado tumelala
Wewe una maarifa thabit kabisa unao vitu vikubwa sana joram Nkumbi wa walumbi mungu akuongoze uje kuwa rais wa nchi yetu hongera
Ubarikiwe sana kwa kukitukuza na kukiheshim ki Swahili chetu, alalafu unakiongea kiswahili balabala, bila kukigoshi, unakuta mtu anaongea kiswahili anatuchanganyia na maneno ya kingereza, hii ni utumwa wa rugha
Joram we ni nyerere mpya nakupenda kaka kwa elimu yako kuna wasomi wengine ni kama maamuma tu hayo ndyo tunayoyahitaji kwa wasomi wetu wawe kama wewe mungu akuongoze vema
Nimependa jinsi unavyojuvunia kiswahili,safi sana
JORAM,HONGERA SANA.HATA ECKERNFODE CAMBRIDGE, TANGA WANAFUNZI WALIKUPENDA SANA.KUMBE KUNA VISION KUBWA SANA NDANI YAKO.
Oooh Nimefurahi kupata Ujumbe wako Mwalimu, Asante Mkuu wangu wa Kazi - Nawe ulikuwa ni Mwalimu wa Kujituma sana na Uliojaa nidhamu
Amesomea Tanga??
Nakukubali sana kaka uko very smart waswahili bado tuko nyuma saana,
Broo uko vizuri sana uwezo unao mwanangu keep it up
Lkn msisau hong kong tunanyimwa entry wakati atuna visa wanaturudisha tukiwa tunakila ki2 nilitaka siku nimpe kipindi brother sky lkn cjapata namba yake au namba za maraisi wa darspora tujue km tunavisa tupate visa au km awatutaki bac selkali yao ituambie na serikali yetu itoe tamko.big up brother wazungu walishakwenda kitambo atuwawezi
Lahaula lakwata😢😢😢😢
Upo vizuri mzazi Kwa unavyo chambua na kufuatilia historia ya watu C I A hawaku kufuatilia kweel
Tena bora ya hata huko Tanzania Dare Es Salaam
Huyu jamaa anayesimulia is purely sanguine. Anajua kuongea!❤
Ni melankoli as a dorminant character,sangwini ni resecive
Huyo Jamaa ana chembechembe za Mwl Nyerere.
Kabisa ...
❤ kaz nzuri kaka utakumbukwa sana.
Mimi nimefika Chuo Kikuu huko Sweden nikakuta mpaka Canteen ya wanafunzi ndio hiyo hiyo ya Maprofesa: sisu huku tumetenga; utazani mahitaji ya miili yso ni tofauti! !!
Nawezaje pata scholarship huko sweden ndugu
Safi sana interview ipo super.
Namba iandikwe hapa
Awali ni mwanzo unaposema sikuzaawali si sahihi kwa maanayasikuzijazo
Africa kuendelea ni vigumu sababu viongozi wengi ni vibaraka watiifu wa magharibi.
Kabisa
Sio viongozi hata raiya wao ni watiifu
Ndugu, lenye mwanzo lina mwisho!
Viongozi wa namna hiyo ni zao la cc wananchi wa hovyo .tukubali ifike pahala waafrica tukubali Kuna sehemu punakwama tubadili namna yakufikiri.
Licha ya utiifu kwa mabeberu ni wezi pia waliokubuhu kabisa
Great,nafurahi sana kusikia mengi kutoka kwake, Mimi nipo kusini mwa Afrika nahitaji kitabu hicho,nikipateje?
Safi sana mzee nakupata bwana J tokea Captown south Africa 🇿🇦 karibu sana
Hawa ndiyo vijana Serikali inatakiwa kuwatumia.
DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 IZINGATIE UJENZI WA MIUNDOMBINU STAHIKI. TUMECHELEWA SANA. VIONGOZI ZINGATIENI MAWAZO HAYA
Je atapendwa? huyu amezidi ktk ukweli , hatotakiwa.
Wanyaturu wanaongea kiswahili fasaha sana, hongera mnyampaa great iq
Hongera sana Joram ww ni mlumbi kwel kwel
Nampenda sana kaka angu
Leooo nimefurahi hongerenii,wana blog hiii,haya ndoo mamboo ya kutuletea tuyatazame na kusikilizaa,punguzenii,kushabikia mamboo ya ukrainaaaaa na Hamas hayatusaidiii😊
Asante nishakuelewa❤❤❤
Waswahili wakifika ulaya au amirika wanajitenga kila mtu kivyake😊
Uchawi majungu that why
Uchawi,umbea,wivu hakuna anae penda maendeleo ya mwenzake 😢ila Africa ni pazuri sana tatizo maendeleo tu ndo hatuna.
Mim huwa najiuliza iv viongozi wètu hawaishi kwenda ulaya iv wao huwa hawapati wivu wamaendeleo, wao ni kuuza rasilimali tu
Asante sana Joram
Watanzania atuna umoja hata kidogo na hawawezi saidiana
True
Aiseee vizuri sana jaman
Napenda sns❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
yani mgeni ana munkari ila muandishi amepoa kiasi kwamba interview imekua kama imepoa hv kwa kingereza tunaweza sema unmatched energy
hhhhh
Unaongea kiswahili kizuri sana ❤❤❤
This man should be the given presidential candidate chance in 2030... if he win, he will make this country better than the people of his age who are going to take that chance!
That is the Fact
Huyu ana sera za ujamaa so kwa nchi kama tz watu wenye falsa za kijamaaa hawawezi kupata nafas
Bingwa kabisa uyuu
Eh
@@rommyshabby3959au unaogopa uwezo wake
Sawa lakin nawewe pia andika kiswahili, unarudia yaleyale we vip tena
Safi sana tumepata mengi toka kwako kaka
Nawe ungeandika kitabu kwa kiswahili Ili kuenzi
Dogo one day mola akujalie uje uwe president wa Tanzania
Jamaaa ana IQ kubwaaa...
Unamaisha mwenzangu na mimi ningefika kutafuta nini wakati Tanzania yetu wenyewe hatuja itembea
MashaAllah ❤
Afrika kinachotuangusha ni serekali zetu,ila kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja sisi tunawazidi mbali wazungu,siku serekali zitajitambua tu tutafika mbali sana ila hatujui siku hiyo itafika lini ya kujitambua basi
Embu nieleweshe unavyosema kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja tunawazidi
Huenda uko Sawa Holo la mmojammoja
Sisi bado sana, tunafikajeeee huko wakati tuna viongozi wanawaza ubinafsishajiii
I am a Mormon saint a Tanzanian living in 🇹🇿
Umezungumza vizuri sana kaka, na hivi ndio anavyotaka SETANI(SATAN AU LUSIFA) tuishi huru kabisa, kwa hufuata kitabu chake, tuwache vitabu vye vya mwenyezi mungu tumfuate yeye
Wewe unafkiri bila kusoma vitabu vitakatifu na kumfuata Mungu basi utaweza fanya kitu
Tatizo sisi hatuna uzalendo, hasa viongozi , walio wengi wanajali famalia zao , tungekuwa na viongozi . Kama mama samia . Magufuli. Makonda . Tungendelea sana.
Atuna pesa iyo tukabari😂😂😂
Hii interview ilimstahili Bundala, huyu mwamba ni muhimu sana mngemheshimisha sio kumuhoji kiholela hivyo sisemi mtangazaji hajui ila kiwango chake bado kiko chini
Acha uchawi wewe Roho mbaya Kama ya mbwa .....!!!! Mwaandishi anajua Sana sema amekutana na mtu ambaye n muongeaji Sana
Mtangazaji yuko sana vizuri haku mwintaraki na story ili flow vizuri.
@@anordgerison8639 nauhakika unajua kusoma ila sidhani kama unajua kuelewa unachokisoma, …… hamna sehemu niliposema kwamba mtangazaji hajui , unaweza kurudia kusoma comment hiyo tena, kuelewa na kufikiria badi ni halali haijapigwa marufuku bado…
Amna wakati mwingine maongez ya kukata kata ya mwandishi kujikuta anajua Lakin ameacha jamaa atoe elimu kwa upana. Kuhoji hoji kihorela syo ujuz Huwa ni ufala wakati mwingine
Uko vizuri Kaka duu
Uko vizuri muno kiswahili
Mzee wa Ulumbi nielekeze hapo kwenye bwawa la kuogelea wa mnyama nikatalii😂😂
Huyu angalikuwa ni mjukuu wa nyerere ingalipendeza baadhi ya vibagwizo vinafanana
Jamaa yuko smart Sana
Africa kazi yao dhulma kuuwana kunyimana Uhuru wakupiga Kura rohombaya tumach
Rushwa ndio adui yetu,hupati kazi bila kujuana ni jambon la kushangaza sana
Mtaalamu uyu
Wabongo wakikaa pamoja wanawaza kuchukuliana mabwana
Amina uhakika n'a wazo lako
Daaa ndo tunachokiweza hicho😂
❤🔥🔥🔥 fact
Asante sana bro ❤
Ni kweli kuhusu lugha ya kwetu kiswahili wazazi wengi hawajali hilo wanakimbilia lugha nyengine,lkn nchi nyengine kama waarabu,wahindi na baadhi ya nchi watoto wanaongea lugha za kwao pia,mimi watoto wangu nawazungumzisha kiswahili mpaka kuna mwaka mmoja nilimpeleka mtoto klinik na nesi aliniuliza mtoto wako unaongea nae lugha gani?nikamuambia kiswahili,akaniambia ni vizuri sana kuhusu lugha ya huku ataijua tu akienda skuli au akicheza na wenziwe,jamani lugha ya nyumbani ni vizuri kuijua pia,utakuta wengine eti wanawapeleka watoto kufundishwa kiswahili wakati baba na mama wanaongea ni aibu,tabia hiyo ipo kwa watanzania,warundi na baadhi ya nchi ingawa sio wote,hata kama mzazi mmoja sio Mtanzania pigania wewe Mtanzania mwanao akijue kiswahili
Jamaa namkubariii sanaa,, yaaan watu kama hawa ndo wakupewaaa nchiii aiseee,, mbona tungefikaaa mbaliii Ana exposure sanaa
Angalia msomi akiongea kiswahil Hana muda na kingerezaaaa chenu na ni msomii
Wa kwanza kuangalia hii
HIYO INTERVIEW UNGEFANYA NA BROTHER SKY INGETISHA SANA KWELI..ILA HAPO MTANGAZAJI HATA AELEWI AHULIZE NINI😂
😂😂😂😂daa we mpuuzi Sana 😂😂😂
THE VERTELLER
Tembea uone
❤❤❤❤
Umesema kweli
Huyu jamaa ni Mwalimu au alikua mwalimu wa Math maana lazima uelewe anavyo hadithia😅
Alkuwa MWALIMU WA MATHE
Sijakuelewa bro kabisa
Ungekiandika kiswahili
Hakuna Ubalozi mdogo wa Tanzania Marekani New York.
Mie nilishanga nilifika Norway nikaona highway 🛣️ zipo chini ya milima ya mawe tena uko chini kwa kuna mabonde ya kupanda na shuka.
Kwani uyu ni mtoto wa Nyerere au
facts
Mwambie broh sky amjuishe kwenye watu wa jps please 🙏
PGS anaweza kusaidia kiasi fulani kwenye kujenga fikra na kuhamisha uzalendo.
@@allykwaya hapana kwa GPS labda kama kunakipindi kingine au kama hiyo siku GPS wanaongelea mambo ya uzalendo na maendeleo lakini kuchambua vita sishauri afanye yeye anadunia yake nyingine lakini sio kuchambua vita sababu huyu ni mtu ambae kunavipindi vya dini huwa namuona na akiongea km kiongoz
Labda kwenye kipindi Cha CHIMBO SCHOOL OF THOUGH unakipata hapa hapa SNS huenda hicho kikamfaa zaidi 🎉
@@ce-08 Nimekupata vizuri. GPS Ikiongozwa na Mtalamu wa fact and logic Dj Smaa, Mwinuka na masubi inakuwaga Babkubwa sana. Sky akiibua hoja na matukio huwa haichoshi kabisa. Salute SNS
@@ce-08 Naaam
Tanzania kwa rasilimali tulizonazo, tungeona aibu kwenda kuombaomba misaada na kukopakopa nje huko! AIBU KABISA!!!
unaogea sana nkumbi
Wapili ku like
😂😂yeah hapa Vancouver kuna beach watu wote wanakuwa naked kabisa 🙌🙌
Mwambie kasahau treni za juu zipo hapa Germany kuna mji unaitwa wurpetal.
Imeenda iyo
Waswahili kutoka East Africa hatuna umoja wa kusapotiana km Hawa wenzetu wa ngozi nyeupe Unaweza ukafungua mpk mgahawa lkn ndugu zako wa kashindwa Kuja kula tofauti na wenzetu
Wahindi
Muhindi mwenzao akifungua hata Laundry wapo radhi atoke hata umbali wa km 5 lkn aende kufua nguo kwa Muhindi mwenzie ampe sapot hiyo ndio tofauti yetu na wao
Na ndo maana tumeshindwa kua na umoja wa maeneo yetu binafsi ktk Nnchi nyingi tu tumekua na umoja zaid ktk mambo ya kiuhalifu lkn mambo ya kimaendeleo
Zero
Naogopa sana siku vijana wetu wanapo pata nafasi ya kujifunza ughaibuni hawana msaada isipokua wanakuja kuwa wazungu weusi!
Wewe washauri wa hapa kwetu waache wizi. Hayo mambo yatawezekana hata huku
Huku TANZANIA si mnaleta UChawa kazi kusifia tu viongozi lkn hakuna linalofanyika
UFISADI na kufikiria matumbo yao tu na kuleta siasa kwenye kila kitu
Sasa maendeleo yatakuja lini..?
😂😂😂😂eti kama mijusii😅😅😅
Tanzania wakiacha ubaguzi nakutengeza kukaribisha maifa mengine ujuzu na ufanisi utajenga inchi imradi kuheshim katiba ya inchi
Umechelewa kutoka man
Kumbe ukifika ulaya afrika kunaonekana shamba😂😂 Ndiomaana ndugu upendelea sana ukooo😂😂😂
Unatisha bro
Hili swali nilikuuliza sku nyingi sana. Viongozi wa kiafrika wakifika huku wanaangaliaga nini?
Waaaa uko ni kiti ja shetani
Nakupata mkubwa nipo Canada mwaka wa tatu ila uku Tz atuna ummoja 😢😢
Umoja upi unaoutaka?fuata kilichokuwezasha kuwa ulipo,ukiwa Tz ukikaa n'a Mhaya akiongezeka Mhaya mwingine ikiwa wewe sio Mhaya anakuacha sembuse huko ulipo kwa sasa.
ndio unayo sema nikweli baba na mama ndio wanamakosa ongerasana
Huyu jamaa ana madini kichwani lakini mwandishi wa habari Sio hawezi kuuliza maswali yoyote yupo kama Robots ,
Wamekua wakiiba utajiri wa nchi za Africa kwa miaka nchi kama Congo 🇨🇩 wanagombanishwa ili wachote Mali, wanaiba mafuta kwa mataifa ya Kiarabu. Leo Mzee Mseven anaanzisha bomba la mafuta eti anaharibu mazingira.Acha kuwatukuza Majizi na Warafi wakubwa hao
Wewe unaona wezi lakini viongozi Wenu Waafrika wanaodai wanalinda rasilimali zenu kumbe wao ndio wanaiba lakini kwaajili ya matumbo yao ila kama wageni hao wanaiba kwaajili ya maslahi mapana ya nchi zai
Sio MAKADARA ni MAQAADIIR kwa maana ya mipango ya Mwenyezimungu ambayo alishapanga jambo hilo litokee