ความคิดเห็น •

  • @Alkibosstz
    @Alkibosstz ปีที่แล้ว +8

    nime penda sana mazungumzo ya Leo asante sana 🙏

  • @tulinagwea.malopa2889
    @tulinagwea.malopa2889 ปีที่แล้ว +16

    “Unaweza kutana na mtu kumbe ni universe ina-conspire akamilishe kitu flani kwako”🔥🔥🔥

    • @Miss_Nj
      @Miss_Nj ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/GhOgw4BZwfVIQTIbB5qFxA.html

    • @thisboyisgreat
      @thisboyisgreat ปีที่แล้ว +1

      Kweli aise Jana nimepigwa kitu kizito na mwana mke huku

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 ปีที่แล้ว

      @@thisboyisgreat 🤣🤣🤣 wanaume nyie amueleweki sana sijui mnatatizo gani?

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +17

    Bora leo tumepata mtu anaeweza kuwambia ukweli wanawake 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 ปีที่แล้ว +3

    Sio wote wanacheat watu wamewe wazo Na desturi ya kusema wanaume wanacheat Sio wako waaminifu sana

  • @TABASAMAU
    @TABASAMAU ปีที่แล้ว +6

    That very true, brain is everything kwa marriage

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 ปีที่แล้ว +1

    Hi Mada ilinipita lakini this is very true People come to you life for purpose some people mean to be seasonal and some people is there to stay permanently. Sasa hatuchukui muda kungamua hili.

  • @pearlmagnus6876
    @pearlmagnus6876 ปีที่แล้ว +4

    jamani i loved the conversation sanaaaaa👍🏾 ukweli mwingi umesemwa

  • @lawacenziku8624
    @lawacenziku8624 ปีที่แล้ว +16

    😂anatoa siri za kambi, anyway an honest interview💯

  • @lovvy854
    @lovvy854 ปีที่แล้ว +1

    I appreciate for the good advice atamim Niko kwahilo Swala la kutafuta MKE Bora kimaendeleo na jitihada zote za kimsingi

  • @erick-mugishabwakea7056
    @erick-mugishabwakea7056 ปีที่แล้ว +3

    One of the best shows 👌 🙌

  • @Mcsceo
    @Mcsceo ปีที่แล้ว +2

    Duuuuh aseeeh 🙌 I love this session

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +5

    Mtangazaji ur a beautiful

  • @ppcltdppc3402
    @ppcltdppc3402 ปีที่แล้ว +4

    chefkile the genious

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa wote.

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 ปีที่แล้ว +5

    Ndio wapo wasiochepuka. Feki gold ni nyingi mno lakini original gold zipo tena nyingi mbona. Maoni yangu hayo

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว

    Na angalia sana mapishi yake .. kumbe ni mtaalamu wa mambo haya big up sana..

  • @salomekombo215
    @salomekombo215 ปีที่แล้ว

    Dah tnx broh nimetoka na kitu apa ubarikiwe sanaa🙏

  • @jaliwakope1949
    @jaliwakope1949 ปีที่แล้ว +4

    Nimeyafurahia maongezi yenu kwani yana madini mengi ndani yake.

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 ปีที่แล้ว +4

    Aise hiki kipindi nimekipenda sanaaaaaaaa

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 ปีที่แล้ว +27

    Hilo la kuchiti sio kweli mimi ni moja ya wanaume wasio chiti na nimesema ni mmoja wao kwasababu kama mimi sichiti naamini wapo na wengine mimi mke wangu hata tukosane vip hata atokee mzuri zaidi yake uwezo wa kuchiti sina kabisa kwahio asiseme ni wote mimi ni shahidi 🙌🙌🙌🙌

    • @mumbiseverino4146
      @mumbiseverino4146 ปีที่แล้ว +6

      Kweli bro niliwahi kuwa nampenzi wangu karibu miaka mitano nasikuwahi kumcheat,ilitokea tu tukaachana sasahivi ninamchumba karibu nitamuoa kiukweli sitegemei kuja kumcheat hiyo kitu mimi huwanashindwa kabisa,hata nikimuona mwanamke mwingine mzuri huwa naona wakwangu nilienae nimzuri zaidi.

    • @jamesobedy3940
      @jamesobedy3940 ปีที่แล้ว +2

      @@mumbiseverino4146 yaani ni ukweli mtupu wanaume waaminifu tupo sema kama ulivyo sema uliachana na huyo iko wazi wanawake wengi wakipendwa upendo wa kweli huwa wanajisahau kabisa hata wangu nilie naye migogoro haishi ila naendelea kumpenda achoke mwenyewe siwezi kumsaliti kamweee 🙌🙌

    • @winfridamwigilwa2107
      @winfridamwigilwa2107 ปีที่แล้ว +7

      Kumbe mpooo Mungu awabariki sana.

    • @jamesobedy3940
      @jamesobedy3940 ปีที่แล้ว

      @@winfridamwigilwa2107 shukurani 🙏

    • @hamadgakwaya3466
      @hamadgakwaya3466 ปีที่แล้ว

      James ni kweli au

  • @princeyabili789
    @princeyabili789 ปีที่แล้ว +3

    I like it 💪💪

  • @thamaniutajirihalisi467
    @thamaniutajirihalisi467 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri sana Aminiel endelea kutufundisha

  • @topmoves5172
    @topmoves5172 ปีที่แล้ว

    GREAT STUFF

  • @lucyemichael7814
    @lucyemichael7814 ปีที่แล้ว +5

    I love this session👏🏼

    • @Miss_Nj
      @Miss_Nj ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/GhOgw4BZwfVIQTIbB5qFxA.html

  • @user-zq3lt5tl2s
    @user-zq3lt5tl2s 3 หลายเดือนก่อน

    Br uko smart sanaaa nakubal!!!!!!❤

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanaume asiyechiti wapo ila wanajijua wenyewe kisa nini ila haipo sababu ya msingi ya kutokuchiti corse haina ubaya wowote ... tatizo lipo kwenye kutokuwa makini ... ukimpata wa mpka mwisho haipo sawa....

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 6 หลายเดือนก่อน

    Tumemulew Asante sana

  • @peterswai391
    @peterswai391 ปีที่แล้ว

    Nice fact

  • @nbaugustin
    @nbaugustin ปีที่แล้ว +2

    Thx y’all for the honest interview 🤝!!

  • @itNeza
    @itNeza ปีที่แล้ว +1

    Mr kile ✅☑️❤️

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว

    Point Tupu Mbarikiwe

  • @nahumumgwama2280
    @nahumumgwama2280 ปีที่แล้ว +1

    Japo nimeona Ila nimejifunza kitu,, jamaa noma sana

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 ปีที่แล้ว +3

    Aise napendaga vipindi kama ivi 🤗 Asante sana bro

  • @user-jk6qy6il7v
    @user-jk6qy6il7v 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤nimependa somo laleo😊

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana maongezi aya

  • @topmoves5172
    @topmoves5172 ปีที่แล้ว

    RARE WISDOM

  • @padilijamesmikomangwa519
    @padilijamesmikomangwa519 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nikupe ushauri kidogo: Mara nyingine alika watu kama mimi (Dating Coaches) tukupe ukweli ambao - huwezi kuusikia kila siku au kwa wageni wako (ambao sina shida nao binafsi bali kinadharia/hoja)., Wageni wako wengi wana "pander" katika upande mmoja kwa vile hawaki kuumia hisia za wasikilizaji na wanafamilia.

  • @eliudimwakasenga9754
    @eliudimwakasenga9754 ปีที่แล้ว

    Umetisha kaka

  • @joycekingu-jz9iw
    @joycekingu-jz9iw ปีที่แล้ว +1

    Napendekeza ule muziki wa background ungetolewa ili tusikilize vizuri. . Otherwise interview ni nzuri.

  • @user-xj7fo6ec8h
    @user-xj7fo6ec8h ปีที่แล้ว +1

    Kabisa

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥👌

  • @Glorie711
    @Glorie711 ปีที่แล้ว

    Kabisa ❤❤❤❤

  • @jacklinejoseph8018
    @jacklinejoseph8018 ปีที่แล้ว +1

    Waoo kipindi kizur kaka ameongea vzur mno na wsh kumuona nimpe lunch 🤪😂😂

  • @hangiroetincelle8167
    @hangiroetincelle8167 ปีที่แล้ว

    " tunataka mama"
    Tunataka mama wa zamani=100%.
    Hatutaki mama wa kisasa.

  • @mussalulenga9939
    @mussalulenga9939 ปีที่แล้ว +1

    Nitajitahid ila nashindwa nakaa myezi angalau 2 ila baado nashindwa

  • @monnahpatrick4116
    @monnahpatrick4116 ปีที่แล้ว +2

    🥰♨️♨️♨️

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @husseindjumida6568
    @husseindjumida6568 ปีที่แล้ว +4

    SNS MMETULETEYA KIPIND POA SANAA.

  • @evodylaurent8349
    @evodylaurent8349 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuuh, xina neno

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 ปีที่แล้ว +1

    Ya leo ilikuwa fimbo ya ukweli na uwazi

  • @jacklinejoseph8018
    @jacklinejoseph8018 ปีที่แล้ว +1

    Restaurant yake iko wap plz

  • @omarmahirizi-km8dc
    @omarmahirizi-km8dc 9 หลายเดือนก่อน

    Samahani dada huyu naona si mjuzi sana kwa hii mada kama kaka deo sukambi ni moto sana

  • @hshshsshjdjejjejejejej9823
    @hshshsshjdjejjejejejej9823 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli

  • @yusufmalangu9797
    @yusufmalangu9797 ปีที่แล้ว +2

    jamaa ana unyama

  • @josephinemateru5151
    @josephinemateru5151 ปีที่แล้ว +1

    Arudiwe plz

  • @omarmahirizi-km8dc
    @omarmahirizi-km8dc 9 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @hamadgakwaya3466
    @hamadgakwaya3466 ปีที่แล้ว +2

    Madini mengi san karbu tena

  • @zuwenaadja2261
    @zuwenaadja2261 ปีที่แล้ว +4

    Ndio wa dada tujue sio kila kizuri nikitamu… bora ukose sura uwe na tabia ndio maana wanaodumu kwenye ndoa wengi wao sura kawaida ila wanajielewa.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu ameenda ndani Sana yaani ameongea yaliyomatatizo makubwa Kwa jamii japo yamejificha nyuma ya vitu ko hayaonekani kirahisi huku nje

  • @m___ck799
    @m___ck799 ปีที่แล้ว +1

    Dah!😲

  • @agnestemba6119
    @agnestemba6119 ปีที่แล้ว +1

    Kaka umenena

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa kaka kile

  • @yaajefwa94
    @yaajefwa94 ปีที่แล้ว +2

    Ila kile unachoma

  • @omarmahirizi-km8dc
    @omarmahirizi-km8dc 9 หลายเดือนก่อน

    Sukambi mlete nayeye aongee hii hii mada please hii mada ni moto ila inataka mjuzi zaidi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @willykaovela5485
    @willykaovela5485 ปีที่แล้ว

    from today on ward tuwe marafiki hii huwa inaboa

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa anagawa ramani na silaha zote kwa adui

    • @joymohat5848
      @joymohat5848 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @winnie9076
      @winnie9076 ปีที่แล้ว +1

      Na tutazitumia ipasavyo🤣🤣

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว +1

      @@winnie9076 Msisahau kutuhurumia pia

    • @winnie9076
      @winnie9076 ปีที่แล้ว

      @@kdloon2030 😃😃hakuna huruma kwenye pambano

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว

      @@winnie9076 Roho hiyo unayo ya kuto muonea huruma mwenzio?Sidhani....

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +4

    Mm mwanaume wang hachepuki ila wanawake wao ndo wanamtongoza na anawambia ninamwanamke wang so sihitaji,,,,,,,,So wanaume wasiochepuka wapo lakn ni kumi kwa mmoja.

    • @edsonqasus6885
      @edsonqasus6885 ปีที่แล้ว +2

      Anachepuka huku mzaa ana mama na baba yake umekutana naye mkubwa mwenzio

    • @halimamvungi1
      @halimamvungi1 ปีที่แล้ว +1

      Una umri gani ndugu , ndio anakudanganya hivo mumeo

    • @veronicacharles9197
      @veronicacharles9197 ปีที่แล้ว

      Lol 😆😆😆😆😆

    • @sweetbertmushi8764
      @sweetbertmushi8764 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @fredma21x
      @fredma21x ปีที่แล้ว

      Huwa hatukutaarifu🤣🤣🤣🤣Tunaishi nanyi kwa akili🤣🤣🤣🤣

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 ปีที่แล้ว +1

    Umlete tena huyu mwamba.

  • @emanuelmatiku3609
    @emanuelmatiku3609 ปีที่แล้ว

    Bro umewapa ukweli halis

  • @ahz6907
    @ahz6907 ปีที่แล้ว

    Mimi hapo kwenye brain amenikosha.huwa mwanamke akiwa na brain basi kauteka moyo wangu kwa zaidi ya 90%

    • @fredma21x
      @fredma21x ปีที่แล้ว

      Sana..Ndiyo maana utatukuta wanaume tuna wake zetu ni wa kawaida tu ila mchepuko bonge la pisi🤣🤣🤣🤣

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 ปีที่แล้ว

    Kuna faida gani na Hasara gani kuoa/ kuolewa na mtu asiejua kusoma?

    • @lahatimuga6836
      @lahatimuga6836 ปีที่แล้ว

      kwa tafsiri mtu yeyote asiejua kusoma ni mjinga au kwa lugha nyingine ni illiterate,ukimuoa au kuolewa nae hakikisha anasoma.

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 ปีที่แล้ว

    Duh! Jamaa kavujisha siri, yaani kila kitu pwaaaa!

  • @jasper849
    @jasper849 ปีที่แล้ว

    Sisi bado hatujabadirika

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 ปีที่แล้ว

    mm chapa ilale, doze doze

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

    Nipo nawaona,niimeahwa😭

    • @fredma21x
      @fredma21x ปีที่แล้ว

      Umeachwa jana?🤣🤣Ni mapito tu hayo usichukulie maisha serious.

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 ปีที่แล้ว

    Hiki kipindi nakielewa

  • @shedy_marie
    @shedy_marie ปีที่แล้ว

    Ni mbwa kweli walimaanisha😂😂😂

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa wote.

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio watu wakuwaleta kwenye kipind kama hichi msituletee watu na visasi vyao vya kimapenz mkawahoji