My brother Jamal Historia ya utumwa ni ya kusikitisha sana sana sana Mume wangu ni Mmarekani mweusi ambae hajui ni nchi gani ametokea Africa, yeye ni kizazi cha nne,lakini bado anauchungu sana kwa hawa washenzi wazungu,ukiishi na hawa waamerika ndio utajua jinsi gani bado wanauchungu mno na sio rahisi kusahau,ni historia ya kusikitisha sana kama ukisikia wenyewe wakikuaadithia.
Kuna na huku omani dada kila mtu mweusi anakwambia ana jua Kiswahili japo vizaz vyao sasa hawajui kuzngumza inaumiza Sana Allah awalaani ote walotesa ndug zetu
Namshangaa sana mou anaelilia kwenda ulaya, kufanya kazi za ndani wakati rasilimali zote Zipo huku,hususani Ardhi.laiti kama mababu zetu wangeona kizazi chetu tunavyolilia kupendwa na wazungu,na kuwakaribisha kwetu na kuwanyenyekea,nadhani wangelia sana.Tunawabatiza watoto zetu majina yao ya kishetani,zaidi sana tunabaguana kwa dini dini ambazo zimetoka kwao hao hao washenzi,unawezaje kumuita ndugu na jamaa yako kafiri kisa tu,haamini imani ya kitumwa kutoka huko kwa mashetani weupe.Unakuta mzazi yupo tayari mwanae aitwe BROWN,lakini sio aitwe KAHAWIA,hivi tupo sawa kiakili jamani.......PUMBAVU KABISA
Wasafi-storybook for life professor Kutoka Kenya tuko pamoja Twajua utumwa mpka wa Leo haujaisha sisi Kama waafrika tushikane pamoja tuweze kuukabidhi racism duniani💯
asalamu alaikum mwalimu wetu mim nakuobea allah akuzidishie ilimu nauhai katika maisha yako pia katika mgogo wako Allah atoa moja kama wewe jamali Allah akupe janah firidaush amina🙏
Can we all as an African people come together and unite . We still suffer from the effects of slavery. Look at what our people had to go through 😭😭 very heartbreaking 💔!! Let us please unite ...I hope this message does not fall on deaf ears.we can do it!!!
So sad ....and years down the line we have not yet attained independence, not just physically but psychologically. A deep history...TRULY PROFESSOR!!!Nice work
WHY THEY don't SHOW this ON TV to ur children IN AFRICA or teachin at school. let the children know their enemies. Itakuwa vizuri for th new GENERATION
Jamal unaandaika vizur Sana lakn mtiga ni msimulizi mzuri Sana inshort mmepoteza perfect combination aiseee maana wewe unaandika Story nzuri lakn hazisisimui kwenye masimulizi mtiga siku hizi anahidithi Story za kawaida Sana nafikiri amepoteza muandishi sahihi (Jamal) mlitengeneza pacha bora Sana lakn duuuh no one knows.... Ni mtazamo tu masela msijenge chuki
Figisu tu zilifanyika, namimi nilipoona kila story inatrend TH-cam hadi namba #3 na Views mamilioni, nilihisi patatokea Fitina tu maana The Story Book ilishaanza kuteka watu wengi,..But Kwasasa tuachane na hio Combination maana Jamal mwenyew anachinja vizuri tu
Mko vizuri sana MashaAllah lakini natamani sana kuwapata na kwenye PODCAST wasafi mtupe storybook pia kwenye Podcast wengine tunapendelea zaidi Podcast kusikiliza ila kila kitu ni kizuri nafurahia sana Storybook MashaAllah ila mkileta na podcast zenu itapendeza zaidi na zaidi Asante sana WASAFI
I really is love with this soundtrack, Inaendana na visa hivyo ni ubunifu wa hali ya juu when i think about The story book by Jamal, the soundtrack it's also my favorite issue to that stories 👌❤😎💪😊
Asili haachi asili utumwa bado upo nashangaa sasaivi mzungu anamapenzi na mwafrica siamini lakini iyo ndiyo rohoo yao haita badika mbaka mungu ajioneshe
Umenikumbusha maana kati ya mstari naouchukia kwny nyimbo ni ule wa Nikki wa pili eti, 'BAADA YA MUNGU NI MZUNGU' jamaa alinikera sana nikaona elimu muda mwingine sio uwezo wa kufikili..
ouchhhhh!!!! IT'S NOTHING BUT A PAINFUL CREDIBLE TRUTH Pro. JAMAL I just feel like this was more than brutality. It's time that we as Africans should feel this as being ruthless and we ought to stand and STAND as resolute people. people with brains enough to rise up .
Watu tunatoka mbali sana nashangaa ati wale wanch gn cjui hp africa wanatka fidia y pesa kwa damu za wat walouwawa na ujeruman dah ujinga kwa mawazo yngu kwann wasidai vichwa vya wazungu tkavila
Na hao hao wanajifanya wanazijua haki za binadamu wakati wao wanaua wenzao kama Ghadafi na hawajafanywa kitu yule Kiongozi wa Iran... Ma black wanauliwa na Polisi lakini macho yao yapo kwetu kutufatilia kila kitu.
Kalii sana ....Niwabunifu sanaa Wa vipnd vyenu ...Huwa havichoshi #wasafi for de life#
Wazungu unaweza ukawachukia milele😰 wasenge sanaa
acha tu sema simu unayotumia ata ni ya wazungu 😆😆😆
Wasenge kweli kweli MACHETANI
Hata mimi sana
Don Me sio ya wazungu
umetukana eeh?
My brother Jamal
Historia ya utumwa ni ya kusikitisha sana sana sana
Mume wangu ni Mmarekani mweusi ambae hajui ni nchi gani ametokea Africa, yeye ni kizazi cha nne,lakini bado anauchungu sana kwa hawa washenzi wazungu,ukiishi na hawa waamerika ndio utajua jinsi gani bado wanauchungu mno na sio rahisi kusahau,ni historia ya kusikitisha sana kama ukisikia wenyewe wakikuaadithia.
Kuna na huku omani dada kila mtu mweusi anakwambia ana jua Kiswahili japo vizaz vyao sasa hawajui kuzngumza inaumiza Sana Allah awalaani ote walotesa ndug zetu
No 10 kucoment story nomaaa✊✊✊
Very interesting let the young generation youths to know the truth
Namshangaa sana mou anaelilia kwenda ulaya, kufanya kazi za ndani wakati rasilimali zote Zipo huku,hususani Ardhi.laiti kama mababu zetu wangeona kizazi chetu tunavyolilia kupendwa na wazungu,na kuwakaribisha kwetu na kuwanyenyekea,nadhani wangelia sana.Tunawabatiza watoto zetu majina yao ya kishetani,zaidi sana tunabaguana kwa dini dini ambazo zimetoka kwao hao hao washenzi,unawezaje kumuita ndugu na jamaa yako kafiri kisa tu,haamini imani ya kitumwa kutoka huko kwa mashetani weupe.Unakuta mzazi yupo tayari mwanae aitwe BROWN,lakini sio aitwe KAHAWIA,hivi tupo sawa kiakili jamani.......PUMBAVU KABISA
Huyu ndo mbadala sahihi was mtiga abdalahh...jamaa anajua sana...naombeni likes zenu na mimi
Mtiga zaid uyuu proffes
@@shabanramadhan3587 huyo mtiga tumemjua kupitia huyu maana huyu ni muandishi na msimulizi Mwamba
Huyu ndie aliye mpika mtiga, Mtiga Ni mwanafunzi wa huyu bwana
Huyu ndo anajua sanaaa
Yoo nependa sana comment Yako nipe nambari zako za sim
Wanaosema Jamar Anafanana na Alikiba Gonga like hapa
kweli aisee
Mbona Mie namuona afanana na mbosso
@@ramadhanimwanyumba2955 jjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj
Hhh
kwel
OTA Benga😝alikuwa na meno yamechongoka km sururuu km umegundua hilo twende pmj na otabenga na chibudenga ndugu wa damu kwa like za kufa nyanii👍👍👍
Daah we jamaaa,,,tuko pa1,,,team otabenga😂🤣🤣🤣
😆
Z
Ssd
Skd
@@zaitunijuma7831
Vip
@@maysarahesha9532 pow kwem
Wasafi-storybook for life professor
Kutoka Kenya tuko pamoja
Twajua utumwa mpka wa Leo haujaisha sisi Kama waafrika tushikane pamoja tuweze kuukabidhi racism duniani💯
🇹🇿🇰🇪
Jamal uko deep sana proffesor!!! Umetisha unachimba madini c kitoto~good bless yuh"
Hongera sana bro tunajivunia kuwa na watanzania wabunifu kama ivi tukiwa kama watanzania endelea kutufundisha wavivu wa kusoma vitabu
Hii story imenikumbusha shule jmn bigup sana bro
Uui
Otabenga Atakuwa Na Undugu Na Chibudenga
😂
He he
😂😂
😁.. chibudee chibudenga
@@MenTPL 😂
asalamu alaikum mwalimu wetu mim nakuobea allah akuzidishie ilimu nauhai katika maisha yako pia katika mgogo wako Allah atoa moja kama wewe jamali Allah akupe janah firidaush amina🙏
Nice mwamba your the hero
Muko vizuri Sana wasafi tv_ the story book
Allah Akbar. Allah awalaani mizungu iliofanya ivo. Inauma sana
Jamal is alikiba's look alike
Viva africa may God bless Africa both today and forever..
Eeeh
Huyu Jamaa Ndio Alikuwa ana Mfanya Mtiga Ashine Jamaa Anafanya Tafiti Zakisomi
Wacha uchawi kila mt anauwezo n kipaj mungu fundi
Endelea kutuletea story tamu tamu
DUH HUYO OTABENGA USIOMBE AKUNG'ATE HAYO MENO DUH😂😂
🤣🤣🤣stop that
Can we all as an African people come together and unite . We still suffer from the effects of slavery. Look at what our people had to go through 😭😭 very heartbreaking 💔!! Let us please unite ...I hope this message does not fall on deaf ears.we can do it!!!
Problem is our leaders,
Not in Africa countries
prblm iz neo colonialsm
you still even use their language....inafurahisha sana utumwa unaotutesa sisi Waafrika ni wa fikra
@@edmundmbele4307 hakika. xax ame2mia english ya nn xx.
Nimeikosa kwa tv leo nilikuwa naisubir huku .🔥🌍🔥
Huwa na mda gan kwa tv?
OTABENGA ...R.I.P
YAMOTO KABISA PROFESSOR KIJANA WAKO HAPA NDOTO ZANGU KUKUSOMEA ULICHO ANDIKA MKUU!!
Wanatakiwa kutulipa fidia wanasheria wako wapi kwa upuuzi waliotufanyia wajinga hawa
Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu keep it up brother 💪
So sad ....and years down the line we have not yet attained independence, not just physically but psychologically. A deep history...TRULY PROFESSOR!!!Nice work
Na wewe mtumwa unatumia ruga sio taifa
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥huyu jamaa anajua
Nakuelewa sana jamal
Kama nawewe umeona kua Jamaa kafanana na Ali kiba like hapa twende sawa
Hahaa ht mm nimesema jaman
Hivi ndo vipindi vzuri vinavyo sisimua UBONGO. asante Professor Alikiba
Ur xo creativity bro, kp it up 🔥🔥🔥🔥
Jamal atar Sana ww ni professor haswaaa
Leo siku ya mwisho kusikia the story book back to school
Acha tuu yani
Hahah
@@mwanahawa6362 bc 2
@@ramadhanboi6485 hhh
All the best my young
Kila ijuma saa moja nakumbuka shuleni the story book
Me.. Nakubali.. Kaz.. Yako.. Unajua.. Kinoma
Africa tulipata tabu sana ndy naama m/mungu kaamua kupunguza covd19 or corona kwa kiasi kikubwa xana niayake tupumzike tumetesek xan
Utaona wa bongo wanapenda wazungu nakujamiana na makafara
Daah aaisee hii ni hatari mpka najiisi vibaya mno😢😢😢😢
Walifanyiwa vibaya mno
Hongera sana nduguyangu jamal kwa simulizi nzuri ALLAH AZZAH WAJALAH AWE PAMOJA NA WEWE, ni mimi Hassan gamal tobiko from Kenya
Jamal unajua sana kusimulia na sauti yako ni ya simulizi...hongera kwa kazi nzuri
Kazi nzuri Jamal April
WHY THEY don't SHOW this ON TV to ur children IN AFRICA or teachin at school. let the children know their enemies. Itakuwa vizuri for th new GENERATION
Jaaamaaa kwa mbali kama alikiba mm nlijua kiba kwenye thumbnail
Na mm pia nimejua alikiba
@@mariamabdallah5224 😁😁nilistuka leo wasaf wameamua nn kutoa story ya kiba
Ramadhan Boi 😂
@@mariamabdallah5224 😂
Jamal unaandaika vizur Sana lakn mtiga ni msimulizi mzuri Sana inshort mmepoteza perfect combination aiseee maana wewe unaandika Story nzuri lakn hazisisimui kwenye masimulizi mtiga siku hizi anahidithi Story za kawaida Sana nafikiri amepoteza muandishi sahihi (Jamal) mlitengeneza pacha bora Sana lakn duuuh no one knows.... Ni mtazamo tu masela msijenge chuki
Kwel kbsa
Figisu tu zilifanyika, namimi nilipoona kila story inatrend TH-cam hadi namba #3 na Views mamilioni, nilihisi patatokea Fitina tu maana The Story Book ilishaanza kuteka watu wengi,..But Kwasasa tuachane na hio Combination maana Jamal mwenyew anachinja vizuri tu
@@hassan0256 it's true coz life goes on no matter what!!
Mini Akili yangu baada yakusikia hiyi simlizi inaniabia kila mzungu no mshezi kwangu.
dah jamaa anajua sana.....kama unapenda kuwa na IQ kama ya huyu jamaa weka like yako hapa
Bro unachunguza asee, like kwa kaka mkubwa jamn
From 254 🇰🇪🇰🇪 thanks a lot jamal
Mko vizuri sana MashaAllah lakini natamani sana kuwapata na kwenye PODCAST wasafi mtupe storybook pia kwenye Podcast wengine tunapendelea zaidi Podcast kusikiliza ila kila kitu ni kizuri nafurahia sana Storybook MashaAllah ila mkileta na podcast zenu itapendeza zaidi na zaidi
Asante sana WASAFI
Bro unapata kupitia podcast yangu karibu na u share please link on twitter.com/erickitalazyo
😭😭😭😭daaah babu zetu na bibi zetu waliteseka sana
Upo vzuri sana Prof.👌😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙
Tuwaue wazungu
Mungu alali wanalipiwa na alshabab
Nzuli sana
Hahahaaaaa 1st. nimejikuta nazingatia video production
2nd. Audio
(Kizazi Sana)
muda mwingine haya mambo walio tufanyia ngozi nyeupe ninaona hata hushpup yupo sawa kuwapiga mabilioni ya pesa
Amin mzee 😂😂
Daaah kumamake.. Wazungu walicho kifanya kwa ma babu zetu sio poa
😭😭
Siwapendi wamarekani weupe wana roho mbaya sana 😭😭😭🤲🙏
Msenge nilikua sikukubali ila saivi nakuelewa sanaa kweli huwezi kufanikiwa bila kupigwa mawee hongera umetuprove rwong sisi kama wajumbe
Daaah inaumiza Aiseee
lots of love from kenya...kazi nzuri
I really is love with this soundtrack, Inaendana na visa hivyo ni ubunifu wa hali ya juu when i think about The story book by Jamal, the soundtrack it's also my favorite issue to that stories 👌❤😎💪😊
Wazungu ni mashetani...waafrica wengi wao uweka imani kwa mungu..mungu amewapa akili na awajui kutumia..washindwe
Nashangaa sanna tena sanna.. Waafrika wa sasa kujishobokesha.. Kujifananisha kwa wazungu... Wazyngu si watu wazur hata chembe...
Asili haachi asili utumwa bado upo nashangaa sasaivi mzungu anamapenzi na mwafrica siamini lakini iyo ndiyo rohoo yao haita badika mbaka mungu ajioneshe
Nakukubar Sana Jamar mstafa
Umenikumbusha maana kati ya mstari naouchukia kwny nyimbo ni ule wa Nikki wa pili eti, 'BAADA YA MUNGU NI MZUNGU' jamaa alinikera sana nikaona elimu muda mwingine sio uwezo wa kufikili..
Haaaaaaahaaaaaa
Dah mzungu msenge kabsa inakuwaje anaitw mtakatifu huy mtu dah
May above God bless 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ilike the story book
Daaah jamani africa tuliteseka mnoo😭😭
Mungu atahukumu
Eee Asante mungu tuko huru sasa jamani
Africa is the second largest continent and the richest if only we unite as one we would've unstoppable and the strongest .
😢😢😢mimi heshima yangu kwa wazungu apana Napenda Africa
Hey
Aki nimelia sana wazungu nimashetani kabisa 😭😭
ouchhhhh!!!!
IT'S NOTHING BUT A PAINFUL CREDIBLE TRUTH Pro. JAMAL
I just feel like this was more than brutality.
It's time that we as Africans should feel this as being ruthless and we ought to stand and STAND as resolute people. people with brains enough to rise up .
Kiukweli najisikia hasira sana,alafu leo Kuna viongoz wa kiafrica bado wanawakumbatia hawa wazung daaah
Nakukubali sana kaka
Daaah mpka roho imeniuma yani
Asante kaka kwa Chanel yako swala langu niku uliza mungu hakukua naona aya nakubali Sasa kama dini nizakututapelitu
Jamali we Nifundi Sana unajua kaka
Unajua sana professor
Ndy professor... Heshima kwako Jamal..👍 japo natamani mtiga ajirudi muendelee kufanya kazi kwa pamoja kwan mna combination nzuri sana
The first to coment hit like here
m.th-cam.com/video/6abyIWmevO8/w-d-xo.html
Professor jamal
Eemwenyezi mungu tuondoshee tawala za wazungu katika uso wa dunia
Watu tunatoka mbali sana nashangaa ati wale wanch gn cjui hp africa wanatka fidia y pesa kwa damu za wat walouwawa na ujeruman dah ujinga kwa mawazo yngu kwann wasidai vichwa vya wazungu tkavila
Naomba weka nakala za airel sharon na historia israel
Mimi ndio maana huku ulaya nawaibia wazungu kumamke siwapendi
Leo hii wanataka kutuaminisha wanatuletea msaada... Kweli.!?
Wazungu sio watu wakujifanya marafiki zetu hata siku moja.
Alie tutesa leo ety aje atupe msaada nawachukia sana hawa jamaa
Sitowai kuwa rafiki na wazungu hata siku moja😌😌
Naona #TheStoryBook imeanza kivingine daah hatare... ubunifumoja amazing
Miwani yake inatufanya tumuamini anachosema😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Siwapendi wazungu kutoka moyoni yani hata kama ubaguzi wa rangi umepigwa marufuku walaaniwe kabisa mbwa awa
The best
Nakukububali Sana bro
Hongera
Thanks for this wonderful story I love this... Kindly I would like to see more of this and other ones that happens and that happens century bless
Leo hii mkiwaona wazungu mnawaona watu wa maaaaana
Tena haohao wakatuletea dini zao,na kutuambia tupendane,tusamehane,wakati wao wenyewe hawatupendi, afu hao wapumbavu,makuzi kwel
Na hao hao wanajifanya wanazijua haki za binadamu wakati wao wanaua wenzao kama Ghadafi na hawajafanywa kitu yule Kiongozi wa Iran...
Ma black wanauliwa na Polisi lakini macho yao yapo kwetu kutufatilia kila kitu.
dini, siasa na demokrasia ni utumwa fikra walituachia, na tunateseka kweli
@@abdalahabdalah7853 kabisa
Anger may brind ur version-Marcon x
Hana jua sana.