LISSU NI MUONGO SANA WENJE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 357

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา +5

    Kumbe Mdogo wangu ZEMBWELA kuna muda ktk maswali nawe unakuwa VEMA ! Hongera kwako bw. Mdogo

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 2 วันที่ผ่านมา +20

    Lisu anapenda haki.....machawa wanapenda pesa.....hakuna ubishi chadema inanufaisha wachache........hasa mboe na watu wake kama akina mboe

  • @mwarikimwariki2653
    @mwarikimwariki2653 2 วันที่ผ่านมา +10

    Angalia sana wenje,unaonekana ni chawa wa bwana ma herikopta

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 วันที่ผ่านมา +5

    Wenje njaa kali sana

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 2 วันที่ผ่านมา +17

    Hamna uwezo wa kubato na lisu

  • @MediatrixNgabona
    @MediatrixNgabona 3 วันที่ผ่านมา +18

    Huyu kakabwa koo kuhusu Rushwa ya mama Abdul na abdul.

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 3 วันที่ผ่านมา +11

    You can fool some people sometimes but you can not fool all the people all the time..we trust you no more bwana Wenje

  • @BensonMpete
    @BensonMpete 2 วันที่ผ่านมา +12

    Lisu for Tanzania

  • @GodluckPhilipo
    @GodluckPhilipo 2 วันที่ผ่านมา +6

    Hata mangufuli alikua anakikosoa chama chake nandio mana alifanikiwa kufika mbali unataka mtu akiwa kwenye chama akisifie hata kama kinadanganya

  • @MihayoMageta-k4n
    @MihayoMageta-k4n 3 วันที่ผ่านมา +24

    Wenje bonge la chawa😮😮😮

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 3 วันที่ผ่านมา +1

      Shame on him ame- react baada ya Lissu kumtuhumu kuwa ndio li - go between Abdul . Mchumia tumbo huyu anaegemea mahali penye neema. Shame upon you.

  • @CHRISTIANSANZE
    @CHRISTIANSANZE 3 วันที่ผ่านมา +9

    Good question Zembwela 🙌

    • @WazyKilima-z3v
      @WazyKilima-z3v 2 วันที่ผ่านมา +1

      Tena jibu linamsumbua kujibu anaruka ruka tu

  • @tosh7671
    @tosh7671 3 วันที่ผ่านมา +13

    Dalali anajitukanisha 😂😂😂

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 19 นาทีที่ผ่านมา

      TUNDU LISU akipata UENYEKITI, jua tu Wenje atajiengua na kuingia CCM

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 2 วันที่ผ่านมา +4

    Mbowe mzuri .
    Mwimbaji mzuri ni Yule anayetoka kwenye stage wakati watu bado hawajamchoka.

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 3 วันที่ผ่านมา +28

    Wenje angalia watu wasigundue kama huna akili.

  • @malikimrisho7844
    @malikimrisho7844 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona kama Wenje kaja Kuchamba tu😂😂😂

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi leo mliyekuwa mnamtukuza , amekuwa mwongo tena!!!!!

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 2 วันที่ผ่านมา +11

    Zito Kabwe ,Chacha Wangwe, Cessil Mwambe,Fredrich Sumaye na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa shida inaanza kuna nini katika Chadema?

  • @JoramBaraka
    @JoramBaraka 3 วันที่ผ่านมา +5

    Ni kweli kabisa yupo upande wa mbowe

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanasiasa 🙌

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 วันที่ผ่านมา +13

    Hakuna mtu mwenye akili atakaemuamini Wenje

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 3 วันที่ผ่านมา +4

    Kwaiyo ht Jpm mlikuwa mnamsingizia kwamba kampiga risasi

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 23 นาทีที่ผ่านมา

    Zembwela shikamoo, Swali lako limempiga wenje kwenye mshono au za uso. Hawa ndio watakaojiengua Chadema pale TUNDU LISU akipata UENYEKITI. yangu ni macho 🙄🙄🙄 nasubiri dk zile 90 zigote.

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje acha kutetea uovu ili kumlinda Mbowe, mmekula rushwa ya Abdul sasa inawapalia
    Na Lissu asiposhinda uenyekiti tutahama hicho chama tuwaachie nyie wanafiki na waovu mtafune vizuri ruzuku

  • @malikimrisho7844
    @malikimrisho7844 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona kama vigogo wa chadema wanafoka sana baada ya kuona Lissu anataka kuchukua kitu😂😂😂

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา

    Tunamuheshimu Mh. Mbowe lkn watu kuwa na Nia ya kuongoza ktk hatua nyingine basi anakuwa hafai.
    Mh. Lissu ni mtu makini na wa-tz tunamjua hawezi kutudanganya

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา

    People's POWER....
    Siku zote ulikuwa wapi kuyasema hayo !
    Kweli pesa inabadilisha mtu ..!
    Huyo jamaa hafai kua makamu m/kiti wa CHADEMA kabisaaaa
    Sasa hv waliokuchagua kua m/kiti wa KANDA wanajuta kukupa nafasi hiyo si muda utabaki na watu wa kuwaongoza 20 usipoangalia kwani graph yako ya kukubalika almost zero huko kanda ya ziwa.
    UONGO wako unafika mwisho watanzania tumeelevuka vya kutosha Mh. Tundu A Lissu kwa ss ndio habari ya mjini

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา

    Asante mtangazaji Zembwela kwa swali makini alikuwa wapi kutoa tuhuma dhadi ya Lissu kabla ya mvua kuanza mnyeshea ?

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje ndo mwongo namba moja, alidanganya kwamba anamdai lissu pesa

  • @JohnNjuyuwi-c2t
    @JohnNjuyuwi-c2t วันที่ผ่านมา

    Nyinyi mnataka kuua chama kwa kupenda fedha kumbe hamfai kushika dora kwendeni zenu acheni ccm iwavuruge mtawanyike zenu

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wenje unajidhalilisha brother. Volume ya lissu na wewe n tofauti.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje kaamua kuside na mbowe, kwa sasa mbowe haeleweki na watanzania.pole wenje

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 3 วันที่ผ่านมา +6

    Bakin na mbowe mkafie mbali

  • @AbdulSinga
    @AbdulSinga 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jama nimungo sana aisee pesa ililpwa na watanzania wote haswa sauti ya watanzania. unaliwalisha watu matango.

  • @WazyKilima-z3v
    @WazyKilima-z3v 2 วันที่ผ่านมา +4

    Wasafi fm tunaomba mumualike na lissu atupe za upande wake

  • @Eng.Mwisongo
    @Eng.Mwisongo 3 วันที่ผ่านมา +5

    Lissu kakushika pabaya

  • @piuskanyampala4540
    @piuskanyampala4540 2 วันที่ผ่านมา +2

    Wenje ni Dalali sana

  • @mariamwiston
    @mariamwiston วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mchanga sanaaaaaa ,acha kuongea utumboooooo ,tunaenda na lissu

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We, msenge umepewa pesa unabwabwaja tu.kumchafua lisu. Sasa lisu MUNGU atatupa

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wenje kuma Tu njaa kali. Lisu anatosha sisi tunamjua lisu toka 1995. Alipambana juu ya matindikia kapambana atishwi lisu anae usubutu.

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 2 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana wote mliotoa maono yenu d@lali akisoma na wenzake pengine wataelewa

  • @magesachilimila1104
    @magesachilimila1104 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mmejua leo? Pole sana.

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaaa mapovu sana. Pia anatetemeka kwa kupanic. Why all these?
    Mngembana zaidi kwa maswali mengi

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s 2 วันที่ผ่านมา

    Chiz katka ubora wake,huna lolote Lisu nikchwa kinacho weza ongoza hata Marekan

  • @nangatukatalks
    @nangatukatalks 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini huyu pekee ndio tunayemuona kipindi hichi hapa hamuoni kuna tatizo mbowe hana yeyote kwenye upande wake cha msingi namuomba mbowe astaafu kwa heshima

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Team mbowe kamwe hamtafanikiwa

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu mpenda haki msema kweli asie tishwa wewe umepewa pesa kutuaminisha friman anatosha

  • @AbdulSinga
    @AbdulSinga 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jama bora asinge enda kwenye hii interview (1) ameomekana hawezi kujenga hoja (2) hana uwezo wa kujibu maswali (3) Anaongea jambo moja hamaliza anarukia jambo jingine. (4) Anaongea like ametoka usingizi

  • @ayoubzacharia8677
    @ayoubzacharia8677 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zembwela bana😂 pamoja na wenje kukusemea lkn unamtandika maswali Hadi anajikanyagakanyaga tu...tushaelewa chakufanya kwa wakati huu

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 2 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu ni muongo muongo sana tabia zake kama Manara

    • @SaidiIduri
      @SaidiIduri 2 วันที่ผ่านมา

      Tumia akili kuchanganua hasa masuala muhim km haya

    • @MihayoMageta-k4n
      @MihayoMageta-k4n 41 นาทีที่ผ่านมา

      @@MaguguStore Acha hizo Wenje 😂

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 3 วันที่ผ่านมา +8

    Tunamtaka Lisuuuuuu

  • @WachunyaTebeka
    @WachunyaTebeka 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    LISU JEMBE , WW WENJE MJINGA SANA HIZO FEDHA MBOWE ANAKULA, LISU SIO MJINGA AWEZI KUCHANGIA WEZI.

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo jamaa muongo uyo izo ni siasa njaa siasa za kizamani sana mnatumia nguvu kubwa sana kuliko akili pumbavu.

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 2 วันที่ผ่านมา

    Nyamagana ilikushinda now umekuwa chawa wa mbowe

  • @victormauggo
    @victormauggo 2 วันที่ผ่านมา

    Hawa ndio wasengerema wanaofanya watu wasiamini upinzani ..kichwa kikubwa ndani kimejaa makamasi

  • @AbdulSinga
    @AbdulSinga 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje nnachokushaur sikunyine usiende kwenye midia kuongea unathihirisha upeo wako very small broo😂😂

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 2 วันที่ผ่านมา

    Lissu anashutumu viongozi wahuni sio chama. Kama mnaamini ninyi ndio chama LISSU haamini hayo.

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe7038 3 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu ajitoe tuu, kwenye kugombea. Amwachie Mbowe. Chadema pameshaparanyika Kwa hiki kinachoendelea

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 วันที่ผ่านมา

      Chedema si chama ni kundi la wahuni ambao wanatafuta fedha kupitia siasa

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje unajichoresha bure tu inaonekana wewe unakula posho za Lumumba. Wewe ukiwa makamu mwenyekiti utauza chama.

  • @bedabeda6348
    @bedabeda6348 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje eti "Lissu muongo sanaaa" nimecheka sana😂😂😂😂😂😂😂😂 hii Tanzania nzuri sana

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙊🙊🙊🙊 liongo hiloo

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 วันที่ผ่านมา +1

    Naona hapa wote ni wazushi tu sio Mbowe wala
    Lissu. Ila Dola kweli ina nguvu sana. Siamini leo CCM imeweza kuvuruga CHADEMA kiasi hiki 😂

  • @philimonkajigili-hx6ph
    @philimonkajigili-hx6ph 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wenje we ndo mwongo na mbabaishaji,mbona ulimpeleka Abdul kwa lisu huku ukijua unaeda kushawishi rushwa

  • @athumansaid796
    @athumansaid796 2 วันที่ผ่านมา

    Zimbelaaa babaaa unaakili saaaanaaaaaaa

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา

    Muulizieni huyu mtu maswali mazito na uhusiano wake na pesa chafu ! Aache ubabaifu watu tuna akili ya kujua mtu makini na chawa

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu ni wa Sgd sehemu inaitwa Ikungi ni hatari baadhi ya watu wa hapo

  • @phighbeats
    @phighbeats 2 วันที่ผ่านมา

    Tapeli uyo na Ni mnafki Ukiwa na msela wa hivi atakuja kukuuza tu

  • @PaulKaisi
    @PaulKaisi 2 วันที่ผ่านมา

    Ninyi hamjaelewa kinachoendelea juu yenu ila sisi waombaji tutamwambia Mungu wetu maana ss tunataka amani ,acheni kujionyesha kuwa ninyi ni Wema na mwingine ni mbaya siyo kweli

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 2 วันที่ผ่านมา

    Kaaaa kimyaaaa

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota 2 วันที่ผ่านมา

    Ningekuwa na namba ya wenje ningemtext aondoke hapo. Yaani wanamchota akili balaaa. Halafu Hakujipanga kuongea

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje huna hoja lini lisu alisema kuhusu ushoga

  • @gwejonoah1900
    @gwejonoah1900 3 วันที่ผ่านมา +2

    huyu mpuuzi sana😂😂

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje kaaa kimyaaaaa

  • @dasadremandad9208
    @dasadremandad9208 2 วันที่ผ่านมา

    Viva lissu🇲🇿🇲🇿🇲🇿 viva VM7

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 วันที่ผ่านมา

      Mbowe Viva 😂😂

  • @SowetoBanks
    @SowetoBanks 2 วันที่ผ่านมา

    LISU FOR LIFE

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 วันที่ผ่านมา

      Mbowe 4 Life

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 2 วันที่ผ่านมา

    Unadanganya mpaka unajishtukia,,

  • @AbdulSinga
    @AbdulSinga 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa sijawai kujuwa kama ni mjinga kiasi hichi anaongea sana hana detail za kotosha. pia anagombea makamu mwenyekiti 😂😂 Wajumbe watakao mchagua huyu jamaa wajiqngalie mara 2

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota 2 วันที่ผ่านมา

    Muogope mtu kila shutuma anakwambia njoo na evedence

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa vyovyote Mbowe hatakiwi na wananchi

  • @GasperKapungu
    @GasperKapungu 2 วันที่ผ่านมา

    Lisu ni mropokaji na hawezi kuongozq. taasisi kubwa kama chadema

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 2 วันที่ผ่านมา

    Ukimaliza uchaea wako huko dar ukiludi mz tunakuangslia kama kandambili ya kuendeea chooni tumekudharau hatukuhitaji achana na lisu ksbisa we siyo size yake

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 วันที่ผ่านมา

    WENJE NI USALAMA WA TAIFA! JIPENDA PESA TU

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 2 วันที่ผ่านมา

    Dalali Kama dalali anaongea matapishi boys kweli ujamaa tanataka lisu acheni kumchafua lisu mnajichafua wenyewe

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 วันที่ผ่านมา

    mtoeni lissu

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama lissu hachangii,ninyi si mmelipwa na mama abdul

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ila Samia Suluhu kapeleka mtafaruki Chadema kawachanganya kwa mamilioni sasa wanavurugana 😂😂

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 2 วันที่ผ่านมา +1

    Katumwa na mbowe huyo chawa

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 3 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu alikwenda Washington kuomba Tanzania inyimwe misaada na tukafutiwa misaada mingi ikiwa ni pamoja na REA. Huyu hatufai hapa nchini.

    • @yusuphmtuga4951
      @yusuphmtuga4951 3 วันที่ผ่านมา

      We unapenda misaada

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 3 วันที่ผ่านมา

      Nchi hutofautiana kimaendeleo na interdependence ni lazima. Huwezi kwenda peke yako bwana unajidanganya😅​@@yusuphmtuga4951

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 3 วันที่ผ่านมา

      Kwahy munaishi kwa misaada bado 😀😀😀😀

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa ushirikiano kimataifa, nchi hutegemeana​@@youngsachafurniture5482

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 2 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo kupewa misaada ni sifa?

  • @robertlazaro9951
    @robertlazaro9951 วันที่ผ่านมา

    Ajajibu swali nichawa uyo

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 วันที่ผ่านมา

    Mna laana ya JPM ninyi nyote ni WACHUMIA TUMBO HAKUNA MTETEZI WA WANYONGE

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 2 วันที่ผ่านมา

    Dooo wenjeeee😅😅😅😅😅😅

  • @nangombakhatau1277
    @nangombakhatau1277 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Afadhali mbowe chukuwa pesa zako Chama kishindwe kufanya uchaguzi ili muadhibiwe

  • @SalumuSaidi-p9y
    @SalumuSaidi-p9y 3 วันที่ผ่านมา +8

    Wenje we ni chawa wa mbowe

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ushapewa mlo Bw dalali!

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 2 วันที่ผ่านมา

    HIVI HIKI CHAMA CHA MBOWE BADO KUNA MTU ANATAKA UWENYEKITI KAMA SIO MCHAGA JARIBU YA KUTOKEE YA CHA CHA WANGWE

  • @VashtyBurge
    @VashtyBurge 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa Lisu kaonekana ni muongo, hamuoni kuwa anasingizia CCM kumpiga risasi?

  • @AbeliJonas
    @AbeliJonas 3 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo jamaa kumskia had kichef chef,

    • @MaguguStore
      @MaguguStore 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe Lissu ni muongo muongo sana ,

  • @ayoubzacharia8677
    @ayoubzacharia8677 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zc time Tumeamua kuchagua lissu

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe na Matimu Mbowe mnashida

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 3 วันที่ผ่านมา +6

    Wenje unaendelea kujivua nguo naona sasa unaelekea kuvua hadi chupi

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 2 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi tunayemtaka sasa hivi ni msema kweli asiwe na ukabila kama chama kilivyo Cha kichaga.muondoeni muone moto,lipumba karibu yenu