Rais Kenyata anatarajiwa kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo eneo la Nyanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2021
  • Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo katika ziara yake ya kaunti ya Kisumu kabla ya kuungana na wenyeji wa kaunti hii kuadhimisha sherehe ya Madaraka. Kati ya miradi hiyo ni bandari ya Kisumu, upanuzi wa barabara miongoni mwa mengine. Wadadisi wakioanisha miradi hii na uhusiano wa rais na kinara wa ODM Raila Odinga baada ya handsheki. Chemutai goin yuko kisumu na ametuandalia taarifa ifuatayo

ความคิดเห็น • 13

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana nyote kazi nzuri sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na afia njema na uzima tele awalinde awatunze vyema awapikanie awashindie awaweseshe na awaongose awatale vyema Kwa Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @margaretachieng2712
    @margaretachieng2712 3 ปีที่แล้ว

    Renner is hoo Lord when we pray .Finally RAO have taken this country kenya to Canaan. Agwambo you are ablesing to the next generation.Jis Excellency Uhuru Kenyatta u are chosen to reconcile this country don't be diviated with cheap politics . May God bless you

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen and Ameeeeen God is good all the time and all the time too in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen and Ameeeeen God we trust 🙏💯💯

  • @b4realandreveal
    @b4realandreveal 3 ปีที่แล้ว +2

    THANKS 4 SHARING THIS...
    IS THERE ANYWAY OF GETTING
    THIS VIDEO IN ENGLISH? GBU!!!🙏🏽

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 ปีที่แล้ว

    Raila amepigania kenya hamumuwezi kumtapeli safari hii.big up rais muachie raila amalize kazi utakapo bakisha

  • @injiniamidega
    @injiniamidega 3 ปีที่แล้ว

    Your camera man and Chemutai does not want to give the exact pictures of Kisumu no problem we will get them from other sources.

  • @evansjohnarek2271
    @evansjohnarek2271 3 ปีที่แล้ว

    When will Luos stop this stupidity and exasperation of useless things.

  • @evansjohnarek2271
    @evansjohnarek2271 3 ปีที่แล้ว +1

    Luos are too pride of useless things.

    • @margaretachieng2712
      @margaretachieng2712 3 ปีที่แล้ว

      You are adevil and enemy of this country enda ukufe huko .You need to checked at mental health .

    • @leonardobiero8495
      @leonardobiero8495 3 ปีที่แล้ว

      Your grammar yawa!!! Machos😅😅😅😅

    • @margaretachieng2712
      @margaretachieng2712 3 ปีที่แล้ว

      @@leonardobiero8495 owadsa english is our languagen