Gavana Barchok amempongeza Rais William Ruto kwa kuwasimamisha kazi mawaziri wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Gavana Barchok amesema kuwa hatua hiyo inadhihirisha kuwa Rais ni anawasikiza wakenya na yuko tayari kusuluhisha masaibu yao.Wakati huo huo Barchok amelaumu wanasiasa kwa maandamano ya vijana waliofululiza hadi ofisini kwake kumtaka awajibike.

ความคิดเห็น • 1

  • @Reminder15
    @Reminder15 23 วันที่ผ่านมา

    huyu anyamaze tu venye alikuwa amenyamaza..watu walipigania hii changes